Mangungu: "Hatuna Fikra ya Mwekezaji Mwingine | Mo Dewji Tunae Kwa Sasa"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มิ.ย. 2024
  • Murtaza Mangungu akizungumza kuhusu uwezekano wa Simba kuwa na muwekezaji mwenza tofauti na Mohamed Dewji #SportsXtra
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 32

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 หลายเดือนก่อน +2

    Nina Imani na Mangungu oyaaaa oyaaa oyaaaa simamia msimamo wako Baba 😂😂😂😂😂

  • @nasrinasri6691
    @nasrinasri6691 หลายเดือนก่อน +1

    mangungu mzewang unajua kabisa wewe upo upande wa pili na unashirikiana nawo ili tupote naomba toka jina la yesu

  • @MohdAli-fl2ef
    @MohdAli-fl2ef หลายเดือนก่อน +2

    Mzee njoo uwatulize wanachama huku mitaani kubaliana na mwekezaji tujenge jeshi vita haipo mbali msimu ujao ni wakwetu Kwani baada ya dhiki ni faraja

  • @sigfridmsaghaa1335
    @sigfridmsaghaa1335 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli huyu mzee kachoka sana hawezi kuendana na Kasi ya timu na malengo yake. Kwa asili tangu enzi Mangungu hawezi kufanya kazi na MO na ndiyo maana Mo alimwachia Try Again. Ni miongoni mwa viongozi wanaokwamisha mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa Timu. Kama wanachama tutamwacha NGUNGU boy aendelee kuwa m/kiti wa KLABU basi tutakuwa tumetengeneza vita ya ndani kwa ndani kati ya Mo na yeye. Tuendelee kupaza sauti Hadi atoke kabisa kwenye Bodi ili MO afanye kazi na Kiongozi mwingine anayeendana naye.

  • @darasibrown6084
    @darasibrown6084 หลายเดือนก่อน +1

    Mangungu achia simba bhana wew ndo gizaa sasa

  • @msagatijamari
    @msagatijamari หลายเดือนก่อน +1

    Muulizeni hyo mzee manzok alifuata nn mkutanoni

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee hatoshi maelezo yake hayana matumaini. Misimu mitatu hakuna kitu.

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 หลายเดือนก่อน +1

    Ulikuwa wapi kutekeleza hayo kabla hujatiwatiwa jambajamba.

  • @msagatijamari
    @msagatijamari หลายเดือนก่อน +1

    Ondoka mzee achia vijana mchawi ww

  • @AbuuMabomba
    @AbuuMabomba หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mzee tuachie timu yetu kwani ya baba yako hiyo kila mwaka unatuumiza tu mbwa ww

    • @user-zl6hg9so6s
      @user-zl6hg9so6s หลายเดือนก่อน

      Ana kad la mwaka 93 wewe ukiwa ujazaliwa nan mwenye timu yake apo😅

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ww ndo giza ondoka uje mwanga

  • @RamadhaniJawabu
    @RamadhaniJawabu หลายเดือนก่อน

    Wewe mzeeee ondoka hatukutaki

  • @omaryliwawa1025
    @omaryliwawa1025 หลายเดือนก่อน

    Ivi ww mzee unaelewa kweli ondoka acha njaa

  • @richardsalim1042
    @richardsalim1042 หลายเดือนก่อน

    Akibaki na wengine warudi.

  • @chazmjeshi
    @chazmjeshi หลายเดือนก่อน

    RAIDA WA BODABODA MACHIMBO ya TANZANITE MERERAN, tuko pamoja cloud fm

  • @mafikrahamza-lm4yp
    @mafikrahamza-lm4yp หลายเดือนก่อน

    Hatukutaki,sepa acha siasa ktk mpira

  • @suleimansuwed1846
    @suleimansuwed1846 หลายเดือนก่อน

    Kwann huondoki madarakani naweunajuwa hutakiwi

  • @LUBAINAMOHDRAJAB
    @LUBAINAMOHDRAJAB หลายเดือนก่อน

    Aondokeee asilazimishe uyo jamaaa aondoke watu hawamtaki wamemchoka. Huwezi rudisha furaha ya mtu ikiwa tayr amekuchukia

  • @user-li6zg6tg7o
    @user-li6zg6tg7o หลายเดือนก่อน

    wwe mzee su utoke Kwan simba ni familia Yako huyu mzee mbn ni mtu wa ajabu saaana kweny Dunia hii hata haoni aibu embu Toka uachie ngaz umefeli mzeee mangungu hauna jipya

  • @FadhiliKavindi
    @FadhiliKavindi หลายเดือนก่อน

    We siuachie madalaka kwann unang'ang'ania hatukuelewi sisi mashabiki

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA หลายเดือนก่อน

    UKITUKANA MTU,, YA KIPANYA NA MWIJAKU YATAKUKUTA ,TUMIA BUSARA KUREKEBISHA.

  • @elizabetharon6334
    @elizabetharon6334 หลายเดือนก่อน

    Mimi sio simba ila huyu mzee sijamuelewa kabisa kwa sintofahamu ilioko kwa wana simba na majibu yake ni kama kula ugali na asali kha!kwanza hana uchungu yuko kawaida kabisa huyu kuna kitu anapata pale

  • @MuhsinJuma-wo2bg
    @MuhsinJuma-wo2bg หลายเดือนก่อน

    Ushaanza kutungia mashairi hapa

  • @GermanaangeloMkemangwa
    @GermanaangeloMkemangwa หลายเดือนก่อน

    Jaman waachie wengine

  • @bulengwamisiri5630
    @bulengwamisiri5630 หลายเดือนก่อน

    WW mzehe munitu mujinga kweli tuachie Simba yetu

  • @MuhsinJuma-wo2bg
    @MuhsinJuma-wo2bg หลายเดือนก่อน

    Ww achia timu hatukuaki

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma หลายเดือนก่อน

    Kwanza we mbona mbishi sana Toka mjinga wewe

  • @geofreynyarusy2448
    @geofreynyarusy2448 หลายเดือนก่อน

    Achia timu huna lolote wewe ndo ulileta kina sawadogo ukaleta Manzoki hewa jiuzuru mzee

  • @franccoz94
    @franccoz94 หลายเดือนก่อน

    MANGUNGU NI YANGAA DAMU, DAMU BILA KUMTOA MADARAKANI SIMBA WAJIANDAE KUPOKEA 5G ZINGINE KUTOKA KWA YANGAA

  • @felisianikapama
    @felisianikapama หลายเดือนก่อน

    Tokaata wewe honarorote