KADUGUDA-SIMBA HAIWEZI KUFIKA POPOTE/TATIZO KUBWA LA SIMBA SIO MANGUNGU /AWATAJA WANACHAMA SIMBA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • Aliye wai kuwa mwenyekiti wa simba Muhina Seif Kaduguda amesema tatito kubwa linalo ikabili simba kwa sasa ni wanachama wa simba.

ความคิดเห็น • 245

  • @MpoleJuta
    @MpoleJuta 3 หลายเดือนก่อน +9

    naitwa Mudrick !!! napenda sana kumsikiliza Mzee kaduguda maana anaongea point sana mungu akupe afya njema na maalifa makubwa

    • @MICHEZODAIMATV
      @MICHEZODAIMATV 3 หลายเดือนก่อน

      Uyu sio mangungu ni kaduguda

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mzee ana hoja nzito sana.Anafaa kutangazwa kuwa mtakatifu

  • @mosesregnald7117
    @mosesregnald7117 3 หลายเดือนก่อน +3

    Namkubali sana huyu Mzee

  • @GrantNgombe
    @GrantNgombe 25 วันที่ผ่านมา

    Umesomeka

  • @yusufukim8439
    @yusufukim8439 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri Mzee sasa tunauwekezaji lakini malengo sahihi bado hayafanyiki kabisa,

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mwamba upo sahii sanaaa

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 3 หลายเดือนก่อน +4

    fire 🔥 ukweli hautakuwi kwenye mpira wa bongo..big up brother

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana kaka

  • @nurumigeyo4625
    @nurumigeyo4625 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekuelewa vizuri mzee uko sahihi

  • @ronaldissack3338
    @ronaldissack3338 3 หลายเดือนก่อน +6

    Safi sana Mzee kaduguda

  • @JohnKabuka-o7h
    @JohnKabuka-o7h 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kaduguda uko sahihi kabisa

    • @AlliyFaki-vv5ys
      @AlliyFaki-vv5ys 3 หลายเดือนก่อน

      Hatutaki maneno tujenge Simba yeti

  • @EmmanuelLuoga-c1o
    @EmmanuelLuoga-c1o 3 หลายเดือนก่อน +6

    Safi sana kaduguda waambie hao wanachama na mashabiki ni mbumbumbu na njaa😂😂😂

    • @HabasuFamily
      @HabasuFamily 3 หลายเดือนก่อน +1

      Akili zako na zake zinafanana maana nyote vigeugeu

  • @zuberikupaza1184
    @zuberikupaza1184 3 หลายเดือนก่อน +12

    Kaduguda shida haiko kwa mangungu bali kwa Mo kwa sababu haja kamilisha uwekezaji wake kwa simba. Kifupi Mo hadi leo ni mfadhili sio mwekezaji!!

    • @barnabasmalima4823
      @barnabasmalima4823 3 หลายเดือนก่อน +2

      na MO anawekaje pesa wakati mchakato haujakkamilika?

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@barnabasmalima4823sasa mbona Kaunda bodi wakati mchakato bado ? C akae pembeni akihitajika ataitwa 😂😂 ....
      Mbona mwenzake anatoka pesa ila hajanza kuunda bodi ?

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@barnabasmalima4823mo na madunduka wanaviziana tu 😂😂 ... Mchakato bado haujakamilika mtu ameshaunda bodi ...akatimua then akateuwa, Mara rais wa heshima kesho mwenyekiti wa bodi upande wa mwekezaji then mwekazaji ni mudi tea vyeo vyote vyake

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@mwanangusanaTOPOLOOOOOOO 😂😂😂😂 MACHOGO FC WEWE

  • @josephsabuni795
    @josephsabuni795 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee kaduguda ulikia unapiga sana hela za MO sasa wamekutoa kwenye mfumo unaongea ujinga mitandaoni, kubali kukaa pembeni huwezi kua kiongozi wa Simba milele.

    • @RehemaPanga-x6z
      @RehemaPanga-x6z 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani kaomba kuwa kiongozi? Acha umbumbuuuu. Mfano kasema wanachama wanasema wao wanataka furaha tu sa huo ni nn si ubumbumbu? Haya wanachama hawajui katiba wanakurupuka tu,,

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki wwengi ni njaa mjaa pigia mstari hapo

  • @BakariBakari-sf4ld
    @BakariBakari-sf4ld 3 หลายเดือนก่อน

    Umesema sahihi sana Mzee wangu wanasimba kunachakujifunsa

  • @ericraphael9653
    @ericraphael9653 3 หลายเดือนก่อน +6

    Uyo mzee anaongea kweli sana na mwuelewa sana

  • @dicksondotto958
    @dicksondotto958 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanafunzi mwenzangu Udsm ,mzee anapiga kitabu cha michezo hana mzaha na yuko full time tuko nae Mabibo hostel, anaishi Simba mda wote.

  • @mtumeananiasjohachim8760
    @mtumeananiasjohachim8760 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi siyo mbumbumbu mzeee, wanangu wanakula kupitia mimi, hao unaotuita mbumbumbu inawezekana tukawa tumekupita maisha palefu Sana na umbumbumbu wote.

    • @asasiame500
      @asasiame500 3 หลายเดือนก่อน

      Shida hujaelewa kile ambacho anazungumza, wameelewa waliosoma cuba

    • @tonyelshabbaz
      @tonyelshabbaz 3 หลายเดือนก่อน

      Hii inaonyesha jinsi gani ulivyo mbumbumbu

    • @salvatorydotto8987
      @salvatorydotto8987 3 หลายเดือนก่อน

      Hujamwelewa mzee, unaweza ukawa una elimu kubwa ila kweny mpira ukawa zero yaaan mbumbumbu hajasemea maisha

  • @SuleimanNgware
    @SuleimanNgware 3 หลายเดือนก่อน +3

    Simba wa Yuda waambie sambusa na nlopokaji unwell
    Nguvu nyingi kupambana na watani badala ya kucheza boli uwanjani

  • @namtingakassim5529
    @namtingakassim5529 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mantiki hiyo wanachama wa simba ndio tatizo hawaijui katiba yao.ndio maana wamekuwa bendera hufuata upepo na ndio maana wamechagua mtu ambae hana sifa za uongozi wa mpira

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 3 หลายเดือนก่อน

    Ulivyosema hati inamlikiwa na mpangaji ni sawa na ccm seriali inaiwajibisha ccm

  • @KayembaRashid
    @KayembaRashid 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizola. Simba. Wanachama. Hanapesa. Ndiyo. Sababu. Wanachama. Wanamtaka. Moo

  • @fadhilisule
    @fadhilisule 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tafadhali sana kaduguda mbumbumbu ni hao Simba usichanganye hapo,

    • @mussampagama3065
      @mussampagama3065 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa, anyooshe maelezo huyo mbumbumbu

  • @hajikalanje5439
    @hajikalanje5439 3 หลายเดือนก่อน

    Hayo kaongee kwenye vikao, tatizo wewe mzee unapenda kusifiwa kwa kuiponda simba

  • @salvatorydotto8987
    @salvatorydotto8987 3 หลายเดือนก่อน

    Kumhoji mtu mwenye Elimu kubwa kuna kazi sana,unafanya nn hicho mwandishi wa Habari 😮😮

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 หลายเดือนก่อน

    Simba wa yyuda

  • @nadulabudodi1816
    @nadulabudodi1816 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee mwenyewe amekaa jujuu TU kama kabanwa na mavi😂😂

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mlimpaje upngozi jamani nanyie sindio mpiga lira kadugida

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hamkuwa na wachezaji wenye uwezo wa kuwavusha robo we mzee. Mlikuwa wa kuwavfikisha robo tu

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo aya alieitoa inaingiaje hapo? 😊😊😊😊😊😊

  • @charlesmtitu5606
    @charlesmtitu5606 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee anapita kila siku media anataka nin , hii timu ni ya public, anapita kila media anataka nin mi hata sielewi

    • @HabasuFamily
      @HabasuFamily 3 หลายเดือนก่อน

      C anapewa chochote kitu na gsm ili avuruge makusudi sbb kakoseshwa kula

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 kwani yeye sio sehem ya iyo public au wewe unaelewa Nini kuhusu iyo public ?? Au ni makosa kuwa na mtazamo tofautiii tofautiii?

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@HabasuFamily... Kwa mitazamo ya namna hii yanga Bingwa 😂😂😂 ..... Hiv madunduka wakat miaka 4 ya ubuntuu ile ya moto 🔥 pale juu kagere chama miquissone bwalya , kotei , wawa , joash ... Okwi ndo hii ya akina jobe , Fred na sawadogo 🤣 😂🤣... Halaf Rudi yanga ya yikpe , Molinga , sibomana , kindoki ... Halaf Rudi sasa pale Paccome Zouzoua, Aziz ki , Diarra , Max halaf bado mnakuja na mawazo barafu kweli ?? Mwambie muamed arudishe watu wa mpira pale msimbazi punguzen janja janja ndugu zanguni bhana
      Enzi zile unamkuta
      Hans Pope
      Evance Aveva
      Geoffrey Nyange Kaburu
      Mwamba mkubwa magori
      Sued Mkwabi ......
      Halafu kule yanga kipindi Wana manji
      Alikuepo
      Bin kleb
      Seif magari
      David mosha

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndio kadugiguda wa mashabik Sema sisi nao Tunazingua kweli

  • @velxempire8995
    @velxempire8995 3 หลายเดือนก่อน

    mzee umeongea point
    mpira unahitaj ueled

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 3 หลายเดือนก่อน

    Simba wa yuda

  • @charlesmashindike4874
    @charlesmashindike4874 3 หลายเดือนก่อน +1

    Simba ni Giant kwa sasa kinachotakiwa ni kusajili vizuri

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 3 หลายเดือนก่อน

    Kwl mzee wanachama wengi ni mambumbumbu ndio maan tuliletew Manzoki kwenye uchaguzi halaf wakawachagua leo wanaanza kulialia

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 3 หลายเดือนก่อน

    Kaduguda anajua mpira sanaaaaa na anaongea mpira. Hivi huo ukubwa wa Simba Africa uko wapi? Hawajachukua kombe lolote la Africa.

  • @BensonKelvin-tr7ul
    @BensonKelvin-tr7ul 3 หลายเดือนก่อน

    Hii ndimu anayo isema 😂😂😂😂 bila D mbili utoboi 😊

  • @LowasaSanare
    @LowasaSanare 3 หลายเดือนก่อน

    Huu ndio kiongozi Sasa anaona mbali sanaa lkn pumbupumbu hawatawez kuelewa huyu mwamba

  • @jumandangu9909
    @jumandangu9909 3 หลายเดือนก่อน

    Hizi Tim Za Simba na Yanga Mpaka Ziachiwe na Serekari Ndio Zitafanya Vizuri huo uwekezaji Unacheleweshwa na Serikari

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 3 หลายเดือนก่อน

    Kaduguda acha Kusumbua Wanasimba. Juhudi kila siku zinahitajika, kushindwa kufikia Lengo sio Hoja ya kulala. Wanachama na mashabiki hawana lawama. Hata Kaduguda ni Wanachama na pia ni Shabiki. Aache Upuuzu wake!

  • @kennedjohn5785
    @kennedjohn5785 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo Simba aliyoitaja Mwina ilikuwa sio poa

  • @MenruphKahimba
    @MenruphKahimba 3 หลายเดือนก่อน +2

    KADUGUDA UKO SAHIHI PIA USIACHE KUSEMA SAID IS KUIOKOA SIMBA MO DEWIJI NI TATIZO SIMBA

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kajula , Mangungu hawafai

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi hujui kuuliza maswali.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 3 หลายเดือนก่อน

    Shida ni tajiri,umsajiri vizuri,halafu unauza wachezaji fedha kibindoni tajiri hamna hapo

  • @SimonSamson-wp5ik
    @SimonSamson-wp5ik 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mo anawaburuza 😂😂

    • @HabasuFamily
      @HabasuFamily 3 หลายเดือนก่อน

      Kuna wanaoburuzwa na gsm lkn cc kimyaaa walifanya uchaguzi mtu na ukuta lkn cc kimyaa

  • @chemstry409
    @chemstry409 3 หลายเดือนก่อน

    RAGE ALIKUWA RIGHT KUWAITA WANACHAMA WETU MAMBUMBUMBU...KADUGUDA.

  • @chemstry409
    @chemstry409 3 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki MBUMBUMBU....😂😂😂

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 3 หลายเดือนก่อน

    Kaduguda upo sahihi mangungu haujui huo mpira wenyewe leo anapewa timu huyohuyo alishindwa kukaa muda mrefu kwenye ubunge

    • @dottopastory4623
      @dottopastory4623 3 หลายเดือนก่อน

      Wakati yeye ni mwenyekiti aliifikisha wapi simba?

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli baba tunaomba utusaidie kuling'oa lile lizee

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwani Kaduguda si aliwai kuwa kiongozi pale Simba alifanya nini cha maana

  • @abdulhamidnjovu6031
    @abdulhamidnjovu6031 3 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji ana 'bore' sana...anaidharirisha taaluma kwa kutojipanga wala kuelewa mantiki ya hoja za anayemuhoji!

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yeye mwenyewe alikuwemu humo ni mkundu tu huyo ana lolote Kuma huyo

  • @filbertntibasiga8093
    @filbertntibasiga8093 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tuachia yanga yetu sisi viongozi na timu wakizingua wote nje sisi ni taasisi kama hawalijui hili yanga tunataka ubingwa wa afrika na uwanja mengine watajua wao

  • @simbavideoshots
    @simbavideoshots 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee unazunguka zunguka lkn point yako ni mangungu sio mtu wa mpira, ukija kwa wanachama wameshaelewa mtu waliomkabidhi hawezi kuwafikisha popote ndio maana wanataka ajitoe..sasa we tuambie mwanachama anatumia kipimo gani kujua huyu mtu atafanya hiki au hiki zaidi ya ahadi za mgombea wanachama wapo sahihi waliishi kwenye ahadi za mangungu ila ahadi hazijaenda kama walivyotaka sasa wanachama unawalaumu kwa kipi

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 3 หลายเดือนก่อน +6

    We mtangazaji mjinga hujui maswali huna

  • @shaurichapote1138
    @shaurichapote1138 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee wangu kwa heshima yako ayo mambo ungeachana nayo tu wew kwenye uongozi wako umefanya nini?

  • @AliAli-uv5gw
    @AliAli-uv5gw 3 หลายเดือนก่อน +1

    "Mbumbumbu inaendelea"

  • @bushiringamba6971
    @bushiringamba6971 3 หลายเดือนก่อน

    Hao viongozi Ni brabra.lakini unasema sio tatizo.mbona ujielewi?

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 3 หลายเดือนก่อน

    Liverpool imekaa miaka mingapi hata kuchukua tu ligi

  • @MashakaMpuruti-di9dc
    @MashakaMpuruti-di9dc 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo alikua kiongozi alifell zaidi mpaka ka fukuzwa akosa ubunifu amebaki kutamani nafasi yakazi hawezi pata

  • @danielelikana2615
    @danielelikana2615 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika Kaduguda unaongea ukweli kabisa!! Wanachama wa Simba ndo Mapoyoyo kabisa!..mgombea anawaletea Manzoki na kulishwa pilau bila hata kufikiria, mnampa uongozi...upuuz kabisa!!

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 3 หลายเดือนก่อน

    Anadhani kuingia nusu ninkazi nyepesi, nenda ulaya arsenal mpaka leo hana kombe la champions league

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 3 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki NJAA na kina MZARAMO,,,,KISUGU,,,😂😂

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot 3 หลายเดือนก่อน

    Mbna Kuna Tim kubwa zinaixhia robo acha njaa

  • @gordiansoko9113
    @gordiansoko9113 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee njaa inamsumbua sasa anaweweseka anatembea kwenye vituo vya redio kuichafua Simba.

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 3 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi mjinga hujui kitu

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 3 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli hata mimi nasema tatizo la simba ni wanachama na mashabiki

  • @ChalambaMrisho
    @ChalambaMrisho 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini zisiwe clabuni, zinawekwa Ostabee

  • @AyubuMalika-c5x
    @AyubuMalika-c5x 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee unatuvujia heshima kutuita mambumbu wewe ezizako umefanyann

  • @SaidaYakub
    @SaidaYakub 3 หลายเดือนก่อน

    Yanga mpeni Kadugida kibarua huyo, kelele zote hizo anatafuta sifa mumuone! Mzee mzim asiyekaa akashaurina na wenzake badala ya kuzunguka kwenye vyombo vya habari!

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot 3 หลายเดือนก่อน

    We mzee huna akil

  • @fatherjaytz
    @fatherjaytz 3 หลายเดือนก่อน

    Na yeye ni mwanachama so ni mbumbumbu

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli.kaduguda.mangungu.hana.uwezo.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuu kwwelii ni mambumbu

  • @chemstry409
    @chemstry409 3 หลายเดือนก่อน

    BLAHH BLAHH...MASHABIKI NJAA.......😂😂😂😂😂

  • @BinMaja
    @BinMaja 3 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 3 หลายเดือนก่อน

    simba wamekosa watu wa mpira walifeli hata kusajili watu .nashauri body iondoe viongozi hao wote wasiokuwa watu wa mpira.

  • @nimlambangu2771
    @nimlambangu2771 3 หลายเดือนก่อน

    Kawekeze katika kutuelimisha maarifa uliyonayo wape basi na wengine

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 3 หลายเดือนก่อน

    Kaduguda wewe si kiongozi ……? Mkarekebishe mambo ya Simba.

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 3 หลายเดือนก่อน

    We uliongoza Simba na kuifikisha wapi?

  • @Majambo_Duniani_Tv
    @Majambo_Duniani_Tv 3 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji mpe muda wa kujieleza unakua kama mangungu wa media

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 3 หลายเดือนก่อน

    Kaduguda "Amesema mashabiki njanja, blaablaa, elimu ndogo, wanashabikia vitu vya kuhunihuni!!! Wanachama mbumbumbu, halafu oyaoya!!!!"
    Huu ndo ukweli mchungu!!!!

  • @lusajomwasumbwe2735
    @lusajomwasumbwe2735 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee mwanzoni sikumuelewa ila kaongea point sana

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 3 หลายเดือนก่อน

    MBUMBUMBU 😂 TENA OYAA OYAA😂😂

  • @abiolasereman2575
    @abiolasereman2575 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mzee wivu wewe ushawai kua bingwa tatizo wewe mzee umeferi

  • @AndrewShayo-np1sy
    @AndrewShayo-np1sy 3 หลายเดือนก่อน

    Wanachama wana shilingi ngapi? Wewe mpigaji tu.

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo kubwa linaloikabili Simba ni udalali unaofanywa na baadhi ya wanaohusika na USAJILI
    Wakala wa mchezaji asipokubali komisheni (kutoa cha juu)basi mchezaji wake huyo hata awe Bora kiasi gani. HAWAMSAJILI
    Na endapo watakubaliana kwa ahadi ya uongo(asipowatekelezea)baada ya kusajiliwa, humfanyia sokomoko alimradi mchezaji huyo aweze kufukuzwa
    ADUI WA SIMBA NI SIMBA WENYEWE!!!

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 หลายเดือนก่อน

    MO Mangungo Tray again wote wapigaji

  • @richardkwayson7202
    @richardkwayson7202 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee ananzaa anatafuta pakula...

  • @AnnaMrsmoses
    @AnnaMrsmoses 3 หลายเดือนก่อน +1

    pale simba tatizo ni moooooooooooo hawa wengine ni mbuzi wa kafara tuu

  • @chemstry409
    @chemstry409 3 หลายเดือนก่อน

    KADUGUDA ANAONGEA KWELI TUPU....

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli mzee mashabiki wa Simba mbumbu wanafuraiya kitu chakijinga mo kaongea mtandaoni wao wanafuraiya mwiteni mo aje mkae kikaopamoja siokuongea mitandaoni mnajifanyamnajuwa hamjuilolote ndiomaana mnapingwa namtapigwa kilasiku Sasa mo kaludisha viongozi walewale mnafuraiya ligi ikianza hatumtaki furani hamuoni hapo mashabiki mnashida kazi mnakaa kwenyemidia mnatukana viongozi huu Sasa ndiowakati wakukutana na viongozi kwapamoja nakuongea ukweli

  • @emlongetcha88
    @emlongetcha88 3 หลายเดือนก่อน

    UNALILIA KATIBA YA SIMBA BADALA YA KATIBA YA NCHI... NAWEWE NIMJINGA TU KAMA WAJINGA WENGINE

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 3 หลายเดือนก่อน

    Hapa shabiki muelewa mchome pekeake kapinga maneno ya mo lakini waliobaki kilamtu anakwambia kafuraiya maneno yamo haya ngojainyeshe tuone panapovuja

  • @abdallahomaryabdallah
    @abdallahomaryabdallah 3 หลายเดือนก่อน

    Mo.hana.tatizo.si.anatowa.hela.zake

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 3 หลายเดือนก่อน

    Kaduguda ww mwenyewe mwanachama kwa hiyo na ww ni mbuumbuu tuu si mwanachama

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kilomoni mwingine huyu hapa

    • @fredrickipembe8188
      @fredrickipembe8188 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu mzee siku hizi mimi simuelewi

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@fredrickipembe8188😂😂😂 kama alivyokuwa hawaelewi mashabiki oya oya

    • @MohamediOmari-nz4vv
      @MohamediOmari-nz4vv 3 หลายเดือนก่อน +1

      Anasema ukweli mashabiki awajielewi