ASKOFU AMSHABULIA RAISI WA TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @Amna-v8z
    @Amna-v8z 3 หลายเดือนก่อน

    Clp yakushambuliya sisi wa kenya ustadh mwaipopo punguza jazba sisi nimajirani zenu kikiumana tutajuka tz mutufanyeye dua inshallah

  • @Amna-v8z
    @Amna-v8z 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen yaraab sote Jamil Islamic

  • @abdululiza392
    @abdululiza392 4 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum sheikh mwaipopo umeongea kitu cha muhimu na maana sana watanzania bila kujali dini tukatae mambo haya.

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 4 หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo kwan tanzania ni ulaya sasa unaposema viongoz wa Africa ni wabovu wakiwemo viongoz wa tanzania maana tanzania haipo ulaya.

  • @drnow1528
    @drnow1528 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Askofu ni mbwa mwitu ndani ya vazi la mwana kondoo

  • @ayubutwalbu6594
    @ayubutwalbu6594 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchungaji anachuki Sana na uwisilamu

  • @Kachuba-w9p
    @Kachuba-w9p 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani huyu ni mwana siasa ama askofu

  • @anzurunindume
    @anzurunindume 4 หลายเดือนก่อน

    Hacha maneno hata na wewe uliwahi kusema kuhusu siasa (CCM )
    huwa unasahu mapema maneno yako

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mwaipopo ww ndio Sheikh peke uliobakia kukemea udini ,ukanda unaofanywa wazi wazi zidi ya waislaamu,usichoke Mwaipopo upo ktk njia sahihi na M/Mungu atakulipa.

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 4 หลายเดือนก่อน

    We chawa mpuuzi nn

  • @joezeno8
    @joezeno8 4 หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo acha unafki Brother, unasahau Sheikh Ponda yeye ndo alienda mbali zaidi akasema Waislamu wote wanakuliana kumchaguwa Tundu Lissu, Uchaguzi wa 2020
    Kumbuka Mtume Muhammad alikuwa kiongozi wa Dini pia alikuwa mwanasiasa! vilevile na Sheikh Ponda, Sheikh Kadogo na huyu Mchungaji Mwanamapinduzi, sio lazima akwambie kwamba yeye ni Mwanasiasa, Wewe kama NANI?

  • @kaybthepro4094
    @kaybthepro4094 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hata wewe ni mhubiri wa dini ungeachia wanasiasa wa jibu sio wewe. Sema kweli unatafuta tonge kutoka CCM. Sasa mwaipopo mbona wewe ni mhalifu wa dini, unasema wewe ni sheikh na quran hujui kuisoma. Kazi yako ni kuchangisha pesa za waislamu na ukizipata unaziweka wapi? Rudi kwa yesu atakusamehe mwaipopo

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa anaesamehe niyesu au mungu??

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 4 หลายเดือนก่อน

      Uyo yesu ndo mungu au??? Acha ujinga uyo yesu mwenyew kaumbwa na Mungu. Mbona msiokuwa waislamu mnaakili mgando ivo!!!

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 3 หลายเดือนก่อน

      Huyo yesu mtu anauwezo gani wa kusamehe mtu?