"Mawazo" Sehemu Ya 66 Thoughts Dr Elie VD Waminia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @emmanuelkamlenga3892
    @emmanuelkamlenga3892 หลายเดือนก่อน +1

    God keep u Dr elie,🙏🙏

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wazazi wanakosa mawasiliano thabiti na watoto wao. Baba na na mama kukinzana mbele ya watoto haifai.Wazazi kosoaeneni mkiwa wawili. Watoto wajifunze kuwakubali wazazi vile walivyo. Ukimzaa mtoto anakutambuwa wewe kwa nasaba uliyompa, hakuna jitihada ili akutambuwe. Mtoto anatakiwa awasogelee wazazi wake. Hakuna jambo kubwa sana unaloweza kumfanyia mtoto wako zaidi ya kumzaa . Mzazi hupaswi kufanya jitihada zozote ili mtoto akutambuwe Nimejifunza asante Chomoza, pongezi Dr Ellie. ❤❤❤❤🎉

  • @esbon-c2m
    @esbon-c2m หลายเดือนก่อน +1

    Great Knowledge

  • @Thomas-mt1oz
    @Thomas-mt1oz 2 หลายเดือนก่อน +2

    Doctor Ubarikiwe sanaa2

  • @joycekajivo915
    @joycekajivo915 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera team Chomoza kwa kipindi chenye kuelimisha jamii njia sahihi ya maisha

  • @saidaegwaga1978
    @saidaegwaga1978 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina,ashukuriwe Mungu baba anaetupa neema ya kujifunza, msamaha na namna ya na kuratibu mambo🙏🙏

  • @saramwaigomole7112
    @saramwaigomole7112 2 หลายเดือนก่อน +2

    love is life and life is love thank you Dr Ely

  • @silverman6930
    @silverman6930 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow what an excellent lesson . Thanks all 🇬🇧🙏🙏

  • @giftwieland6322
    @giftwieland6322 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda doctors mungu amtunze

  • @kelvintety
    @kelvintety 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru Kwa masomo team chomoza

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nampenda sana Dr Elly na wabeba maono wa kipindi hiki..nafaidikaga sana

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Somo zuri Asante chomoza Mungu awa bariki sana🙏

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wow I was waiting for it ❤❤❤ thank you so much

  • @kevinmtei1457
    @kevinmtei1457 2 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you Dr and team chomoza.

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 2 หลายเดือนก่อน +2

    Team Chomoza tunaomba muandae semina ya kukutana live na DR ELLIE na sisi tuchangie tukiwa tunaonana, tunawaomba sana jamani

  • @ChristinaFlavian
    @ChristinaFlavian 2 หลายเดือนก่อน

    Amina,najifunza

  • @giftwieland6322
    @giftwieland6322 2 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @NtayandiLeonard
    @NtayandiLeonard 2 หลายเดือนก่อน +1

    🙏

  • @JosephatKinemo
    @JosephatKinemo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Anko jimmy, nahitaji vitabu vya Dr eli, naomb unisaidie jinc y kuvipata, niko wilaya y Serengeti mkoa wa mara

  • @agathaservas7805
    @agathaservas7805 2 หลายเดือนก่อน

    sisi watazamaji wa youtube Tunaomba msihide baadhi ya masomo (private)tunashindwa kufungua na tunapenda sana kujifunza tunapitwa tusipoona ata nusu somo.tafadhali tunaomba.

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zitoe bhana

  • @bahatilusambo2757
    @bahatilusambo2757 2 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho Yako ni mazuri sana,ila mama yako alikosea sana pia na baba yako alikosea sana kwa sababu kumpiga mgonjwa kwa sababu ya samaki imeliwa ni makosa pia na baba yako alikosea sana kukaa kimya alifanya makosa, kukaa kimya wakati wa kuchukua hatua ni makosa pia,ukimya unaweza ukawa ni mzuri au mbaya kulingana na mazingira,je mtoto kwa kipigo kwa kosa ambalo hajafanya akafa je wewe baba sio muuaji bora useme mke wangu usiwaazibu watoto samaki nimekula mimi ubaya upo wapi?

  • @DorethMselem
    @DorethMselem 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tunawacheki kwa upendo wa dhati tafadhal baba tunaomba uandae mkutano tuje tukutane tule tunywe tucheke tuonane macho kwa macho mi napenda hivyo tutachangia baba

  • @GideonMnzava
    @GideonMnzava 2 หลายเดือนก่อน +1

    ✍✍✍

  • @bushimani1544
    @bushimani1544 2 หลายเดือนก่อน +1

    GD dokita

  • @nemesjosephat5612
    @nemesjosephat5612 2 หลายเดือนก่อน +2

    Umenifanya nisijifunze kwa mwingine

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 2 หลายเดือนก่อน +2

    Umerudi na ndevuu kaka Jimmy 😅😅