MAJESHI YA TANZANIA NA MSUMBIJI YAUNGANA KULINDA AMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Kwa Habari za Kitaifa, Kimataifa, Burudani, Matukio, Breaking News na Exlusive Interview za mastaa wote, video mpya za Bongo Fleva, hadithi za Eric Shigongo na Magazeti Bure, ni Application namba moja pekee Tanzania.
    Install #GlobalPublishersApp
    Android: bit.ly/2AAQe1d
    iOS: apple.co/2Assf4M
    Subscribe / uwazi1
    MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro na Mkuu wa Jeshi la Polisi Msumbiji, Bernadino Rafael, leo Jumatatu wametiliana saini ya makubaliano ya kushirikiana katika kupambana na uhalifu baini ya nchi hizo mbili.
    Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, Sirro amesema kuwa ushirikiano huo utaleta tija baina ya nchi hizo mbili kwani kumekuwa na wimbi la uhalifu nchini Msumbiji ambapo wahalifu hao hukimbilia Tanzania au wahalifu wa Tanzania kukimbilia Msumbiji.
    Siro ameongeza kuwa katika matukio ya huko nyuma ambayo yalikuwa yakifanywa na vikundi vya kigaidi wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameshabaini wahalifu hao walikimbilia Msumbiji ambapo hivi sasa jeshi la polisi limejiimarisha vilivyo kuhakikisha linawakamata wahalifu hao popote walipokimbilia.
    FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM:

ความคิดเห็น • 2

  • @ashahamad6021
    @ashahamad6021 4 ปีที่แล้ว

    Jamani Hii Acheni Mnakumbuka Ya Kenya Na Somalia