FULL VIDEO: DARAJA LINALOHAMA KUTOKA TANZANIA HADI MSUMBIJI "WACHINA WALIJENGA USIKU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2023

ความคิดเห็น • 41

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 ปีที่แล้ว +12

    Maskini kwa mfugale watanzania tulipoteza mzalendo.🙏🙏🙏

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 9 หลายเดือนก่อน

      Yule Mzee alikuwa noma Kwa michoro

  • @asserimsechu7872
    @asserimsechu7872 ปีที่แล้ว +6

    Hivi munashindwaje kuunganisha sauti na picha? Nyie ni channel kubwa ila hii kitu inakera sana kwa sisi viewers

  • @dungayusufu1954
    @dungayusufu1954 ปีที่แล้ว +1

    injinia mfugale mungu amrehemu alikuwa vizur

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 ปีที่แล้ว +2

    Kuhama kwa daraja sio hicho nilichokiona hapo ni kutanuka kwa vyuma wakati wa joto na vinarudi wakati wa baridi.Na pia kwanini msiwe mnatuonuesha tukio lilivyo mnakazana kuonyesha sura za watu na mazingira badala ya hilo tukio????

  • @esiliarthurmwaisango9146
    @esiliarthurmwaisango9146 ปีที่แล้ว +2

    Wow nzuriiii

  • @daudmtange8005
    @daudmtange8005 ปีที่แล้ว

    Hayaa tena wanguu wazee wa Mozambique,maputo ,kabuluu Kama nawaona vile boda letuu ,✌️✌️

  • @johnmlay4759
    @johnmlay4759 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli linahama coz kaa saivi Niko Burundi na naliona kwa Sasa limehamia Burundi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +4

    RIP Eng. Mfugale.... & W.Mkapa
    Wazalendo wa kweli..... Watawala wa Leo wanajenga chumi za familia zao Kwa Kasi kubwa. Uchumi wa nchi ukijengwa Kwa Kasi ndogo...iwe heri Kwa watz

    • @khamiswavuo4873
      @khamiswavuo4873 ปีที่แล้ว

      Linakimbia yalingumu ya maisha ya tz

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 ปีที่แล้ว

      @@khamiswavuo4873 🤣🤣🤣🤣🤣Kaa saivi limehamia malawi

    • @Myplusbee
      @Myplusbee ปีที่แล้ว +1

      Jiwe la Msingi limeweka Oktoba 2005. Kimsingi waliojenga hilo daraja ni hao hao unaowaita "wanajenga chumi za familia zao"!
      Wewe itakuwa Mfuasi wa JPM manake ni Wafuasi wa JPM ndio wanadanganyana kwamba nchi hii wengine wote hawakufanya kitu isipokuwa JPM na kidogo Mkapa! Hapa ulitamani sana lingetajwa jina la JPM lakini kwavile halipo, ndo ume-force kuliingiza la Mfugale kwa sababu JPM na Mfugale walikuwa kitu kimoja!!
      Huyo Mfugale kafanya nini hasa?! Eti kisa ndo Mchora ramani!!

    • @abuuramadhan8093
      @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

      Chuki zitakuua Fara ww daraja la kigamboni kumejengwa na nan

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale ปีที่แล้ว

      @@Myplusbee Lugha nyepesi limejengwa na JK... Hakuna maelezo!

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 ปีที่แล้ว +1

    Application of thermal expansion

  • @juliusakilimali9424
    @juliusakilimali9424 ปีที่แล้ว

    Mungu atatenda haki yake!!!

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 ปีที่แล้ว +2

    Daraja linahamaje?

  • @ShafiMangame
    @ShafiMangame หลายเดือนก่อน

    2:55

  • @allyhassan8370
    @allyhassan8370 ปีที่แล้ว +1

    Mtamba swala hiii enginea alikua mwanamke

  • @miraclemathias488
    @miraclemathias488 ปีที่แล้ว +2

    Amja zingatia maelezo na picha mnazo onesha

  • @zulehaabubakar3574
    @zulehaabubakar3574 ปีที่แล้ว +3

    Mmeluona lakini lishaNza ufa huko chini

    • @mudighurayra
      @mudighurayra ปีที่แล้ว

      Ukiangalia tena kwa makini utaona sio ufa ni saruji ilio tokeza ni inatokezea sna hio unapo piga zege wakat wa kufumua kuna sehem zinakua hivo so mara nyingi unapiga grenda 2

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 ปีที่แล้ว +1

    Sijaelewa anacho elezea hapo.... Elezea kwa picha

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 ปีที่แล้ว

    Hapa vilaza wa Physics unapaswa kueleza mara 100 na zaidi.

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 ปีที่แล้ว

    Linahamaje kwa mfano wakati limejengwa kwa nondo na cement

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว

    Hili daraja alijenga Mkapa ondoa mara moja pia ya huyo fisadi Kikwete babu la kula bata mtalii

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว

    Sasa hayo ndo maajabu?. Huoni kama Hilo ni tatizo au changamotoo?.

  • @mahabaclassictwentyseven27mjeu
    @mahabaclassictwentyseven27mjeu ปีที่แล้ว

    Mtambaswala daah kitambo cn

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale ปีที่แล้ว

    Mbona tuliambiwa JPM kamaliza kila kitu?

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 ปีที่แล้ว

    Bora kidogo mirad umetuwekea mjomba kwenye kava maana ungetuwekea ........!🤔🤔!! Tungeacha hata kuangalia tv yako.

  • @mawazoselemani614
    @mawazoselemani614 ปีที่แล้ว

    Lilipe tu Kodi liache usumbufu WA kuhama hama

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 ปีที่แล้ว

    Kwani mlisema limejengwa chini ya kiwango itakuwa nongwa, mnaficha Nini hapo hiyo inaoneka Ni nyufa halafu mnatengeneza maneno mapya eti faraja linahama mnatengeneza stori za kitoto nyie!

  • @khamiskiandiko2965
    @khamiskiandiko2965 ปีที่แล้ว

    Hujaelezea kitu kikaeleweka ila ulichapia chapia tu

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 ปีที่แล้ว +1

    Sijaelewa hii daraja linalo hama??

    • @didimhutila8985
      @didimhutila8985 ปีที่แล้ว +1

      Waaandishi wetu wasenge!

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 ปีที่แล้ว

      Yaani unaambiwa kaa saizi hili daraja lishahamia Malawi

  • @stevenmichaelmaganga4828
    @stevenmichaelmaganga4828 ปีที่แล้ว

    Huna habari

  • @theresiakaruhanga364
    @theresiakaruhanga364 ปีที่แล้ว

    Hapo sijaona kipya Cha kuliport kwenye media kwa sababu haya ni mabadiriko ya kiphysikia kulingana na mabadiriko ya joto

  • @theroggyplus255
    @theroggyplus255 ปีที่แล้ว

    NATOA USHAURI, Mr.Milard Ayo, Sijajua Video Editor ni nani hapo.. lakini kuna jambo naona kafeli sana.. Mtaalam anapotoa maelekezo yeye anaweka video ambayo haiendani na maelezo, sasa inafanya mtu hata hauwi tena interested na machapisho kama haya. Maana hii ni taarifa lakini pia ni Elimu.

  • @StevenKasanga
    @StevenKasanga ปีที่แล้ว

    Maelezo hayaendani na picha