CASSIAN KUSHITAKIWA POLISI KISA WIMBO WAKE MPYA EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769

ความคิดเห็น • 212

  • @Franckmulaj-Officiel
    @Franckmulaj-Officiel หลายเดือนก่อน +24

    Nikupe shauri mutumishi wa mungu,wanaweza kukuondowa duniani,lakini abaweze kuondowa ujumbe wako,ao neno la mungu ❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @JamesOwino-n8r
    @JamesOwino-n8r 26 วันที่ผ่านมา +6

    Mimi nakusupport asilimia Mia mtumishi kwa kunena kweli 🇰🇪 🇰🇪

  • @FurahaDorcas-q2u
    @FurahaDorcas-q2u 29 วันที่ผ่านมา +6

    Kabisa huu nyimbo imenibariki sana, mungu akubariki n'a akulinde

  • @emmanuelmaluda
    @emmanuelmaluda 25 วันที่ผ่านมา +2

    Asante Sana unafanya vizr mtumishi Mimi nakupongeza kwa huduma hi naomba mungu atuongezee watumishi Kama wewe

  • @ClospaBanza
    @ClospaBanza 16 วันที่ผ่านมา +1

    mtumishi wa mungu ninyi tuko nyuma yako juu ya kusema ukweli yesu christo akulide🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏

  • @alimwimikesahwiurea0097
    @alimwimikesahwiurea0097 หลายเดือนก่อน +4

    Wahuni wote wa kudanganya watu kwa ngozi ya kondoo lazima wakuchukie lakini wanamchukia aliyekuita. Usiwaogope wauwao mwili halafu hawana cha kufanya kwa roho. Mwogopeni auawaye mwili na kisha roho kuitupa jehanamu. Hawa wa kuuwa mwili nao hawajui watakufa lini. Is just a difference of time.Keep it up man of God. Matapeli acha watoe mapovu yao.

    • @MosesShileka
      @MosesShileka 29 วันที่ผ่านมา

      Mjo
      O
      Mooo
      Mo
      M
      Mo.oo

  • @selinageogre2881
    @selinageogre2881 24 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu wa mbinguni akutetee Mtumishi

  • @jameskenzedex
    @jameskenzedex 29 วันที่ผ่านมา +1

    Am from Kenya have been following you Pastor Pascal ur a superbrand ambassador of God no weapon formed against you shall prosper in Jesus name 🙏 ur covered and protected by the blood of Jesus Christ ..... They will never defeat you your spiritual words from God who is above all we need be covered

  • @HenryMulindikabidji
    @HenryMulindikabidji 14 วันที่ผ่านมา

    Ndugu yangu nakupenda sana tena sana kwa kazi utendayo vita ni kubwa lakini Sisi ni washindi tu kwa jina la yesu

  • @MLIMA-WA-MINISTRIES
    @MLIMA-WA-MINISTRIES 29 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Ev.paschal BWANA YESU KRISTO WANAZARETH akusaidiye na uwe na moyo wa ushuujaa Amen.

  • @ruthmasabo21
    @ruthmasabo21 25 วันที่ผ่านมา +1

    God bless you you man of god May God continue to protect you🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mikejmusic254
    @mikejmusic254 หลายเดือนก่อน +5

    Basi watu wote wakulao wataliwa;na adui zako wote watakwenda kufungwa;kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa;na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo. YEREMIA 30:16-17
    Mungu yupo nawe usiogope.

  • @thomasernest4363
    @thomasernest4363 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Mungu Yuko pamoja na wewe tangu mwanzo Sasa na milele kwa kweli umeugusa moyo wangu neno na lidumu milele.pia mambo hayo ni mhuri na Kila mwenye sikio na asikie neno Hilo. Amen

  • @CharlesDarwin-q7j
    @CharlesDarwin-q7j หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupiganie mtumishi wa Mungu tunakuombea maana niliposkia tu huo wimbo machozi yalianza kunitoka bila kujua imekuwaje God bless you so much

  • @mengindegeya2780
    @mengindegeya2780 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mwema songa mbele vaaa ngao ya imani japo si rahisi amina!!!

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaaa ubarikiwe mtumishi, kwa kutufumbua macho, Mungu akubariki sana

  • @agnestunu5527
    @agnestunu5527 24 วันที่ผ่านมา +3

    nimekuwa nasukumwa sana nkuombee toka nilipo skiza huu wimbo..MUNGU akulinde sana akuekee ulinzi kama yebesi...wao wako na ulinzi unao onekana kwa macho lakini wana wa MUNGU tunalindwa kuliko wafale wa dunia hii

  • @DennisMungai-pf6rb
    @DennisMungai-pf6rb 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akusaidie'''sio sawa kuhukumu watumishi wasio wako...Mungu ndie hakimu wa haki''

  • @KambuaMulunde
    @KambuaMulunde 25 วันที่ผ่านมา +3

    Huu wimbo umenibariki sana I say

  • @KaviraMulumbi
    @KaviraMulumbi หลายเดือนก่อน +3

    Amen amen ile ni kweli Mungu atakutetea Mtumishi maana kwangu nabarikiwa sana nyimbo zako na mahubiri ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ZerubaberiMika
    @ZerubaberiMika หลายเดือนก่อน +2

    Paschal sharoom,Mungu aendelee kukupa neema na kibali walio kinyume cha haki ya Mungu wasikutishe Mungu yupo pamoja nawe.nakupata vizuri, bwana AZIDI kukupa neema.

  • @AlexAbraham-o2t
    @AlexAbraham-o2t หลายเดือนก่อน +1

    Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mungu hakika mungu hajawahi kuacha mtumishi wake mungu yuko pamoja nawewe

  • @mouzinhocorneliojacob3551
    @mouzinhocorneliojacob3551 28 วันที่ผ่านมา +1

    Deus te protege o servo de Deus cada vez mais sempre e te dá vitória durante longa jornada 🇲🇿

  • @MichaelParingo
    @MichaelParingo 29 วันที่ผ่านมา +1

    Sema rafiki yangu usimuogope mtu yeyote zaidi ya Mungu tu❤

  • @MakaliusNgua-y9g
    @MakaliusNgua-y9g หลายเดือนก่อน +1

    Dah? Kumbe ukweli unawauma mpaka wanakushitaki Ila awataweza labda MUNGU aluhusu wewe uzulike kwa maana bado anahaja nawe mtumishi na tunakushuru Sana kwa kutufumbua macho kuusu kanisa zetu na Mambo yanayo fanyika MUNGU akubaliki mtumishi paschal🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @emmanuelmbaga2155
    @emmanuelmbaga2155 27 วันที่ผ่านมา +12

    Mtumishi nimekuwa nikikufuatilia sana nilichojuwa unaroho wa mungu ndani yako hivyo bas usiogope binadamu yeyote yule maana hata unayo yatenda kwenye bibilia yapo mungu akutunze na kukulinda

    • @MichaelParingo
      @MichaelParingo 23 วันที่ผ่านมา

      @@emmanuelmbaga2155 hakika🤝

  • @sporahlazaro6619
    @sporahlazaro6619 26 วันที่ผ่านมา +2

    Yesu walimua .lakini bado anaishi ndani yetu.watakua wewe Ujumbe wako hautakifa .Mimi siogopi kufa Kwa ajili ya Bwana.Mungu awe nawe

  • @emanuelabely8840
    @emanuelabely8840 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akusaidie ndugu yangu mungu wetu ni mkubwa

  • @PerisWanjiru-z8n
    @PerisWanjiru-z8n หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atakupingania muchunganji wa Mungu juu unasema kweri mtupu juu ya Neno la Mungu

  • @Deboraclementgm
    @Deboraclementgm 29 วันที่ผ่านมา +1

    Amen amen usiogope mungu wa mbinguni atakutetea na kukutia nguvu

  • @monicaawino3916
    @monicaawino3916 8 วันที่ผ่านมา

    Never give up wambie ukweli na damu ya yesu ikuzikire Kwa hayo yote 🙏🙏🙏

  • @antonioremigioandeniandeni8186
    @antonioremigioandeniandeni8186 หลายเดือนก่อน +2

    Hubarikiwe mtumixi wa mungu

  • @SelinaDorcas
    @SelinaDorcas หลายเดือนก่อน +2

    Usihofu Wala usiogope maan mungu yuko pamoja nawe

  • @PasiweloMpembe
    @PasiweloMpembe หลายเดือนก่อน +1

    Usiogope mtumishi mungu yupo pamoja nawe. Na hakika injili lazma isemwe

  • @FhDg-mg1gn
    @FhDg-mg1gn หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akulinde kaka

  • @Franckmulaj-Officiel
    @Franckmulaj-Officiel หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki mutumishi wa mungu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @israelisponsor8755
    @israelisponsor8755 29 วันที่ผ่านมา +4

    Hawawezi kushindana na nguvu ya Mungu katika jina la Yesu kristo

  • @SuzyMuhando-yf8do
    @SuzyMuhando-yf8do หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutanguliye mtumishi

  • @Evangelist-Joseph-sikanyika
    @Evangelist-Joseph-sikanyika 29 วันที่ผ่านมา

    God will always stand with you no matter what, our God is faithful His name is indomitable worries

  • @Mtumishnoel
    @Mtumishnoel 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu wetu yupo hai atakutetea usiwe na shaka 😭😭😭😭

  • @emmybynith-y8i
    @emmybynith-y8i 29 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu unaongea ukweli kabisa

  • @josephokumu993
    @josephokumu993 หลายเดือนก่อน +2

    Mutumishi wa mungu usiogope sisi kama kenya 🇰🇪 tuko nyuma yako kwa maombi

  • @AyubuMagulo
    @AyubuMagulo 29 วันที่ผ่านมา +1

    MUngu ashie milele atakufa hadi umalize kazi ulio itiwa na bwana wewe nilikua kina ni sauti ya mtu aliae nyikani Amina
    Mungu awe nawe hata nafasi tupo nyuma yako KIIMANI. Ukijua watu viongozi wa madhehebu wanahubiri mapokeo.tofauti na mafundisho ya YESU KRISTO na mitume.uwe mwaminifu hadi mwisho wa kazi ulio times kufanya hadi kifo Amina mie Ayubu MAGULO.

    • @AyubuMagulo
      @AyubuMagulo 23 วันที่ผ่านมา

      Mimi ni AYUBU nilimwita jina sauti ya mtu aliae nyikani Amina tulioitiwa jina lipasalo kuabudiwa lazima tutafika Injiri hivi ndio njia.
      Hakuna uhusiano wowote katika tawala za dunia hivi na YESU KRISTO hakuna.
      Swali sanamu na KRISTO YESU mnaendana.?au akisali na YESU KRISTO tunae mhubiri? Kwani tawala zote duniani zipo chini ya 666. Yaani chini ya mnyama. NIWAULIZE mnalala kanisàni kuombea watawala swali 666 itabadilika imekiri KRISTO YESU?hapo ni kwa uchache Tu

  • @perisomungala6354
    @perisomungala6354 หลายเดือนก่อน +1

    Watu hawamtaki mungu, wanafanya ya Dunia, wajuwe kwamba, baada ya maisha ya humu ulimwenguni, Kuna mbinguni

  • @mwassajoseph8675
    @mwassajoseph8675 29 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli kabisa KANISA limefika pabaya kiasi cha kutuchanganya tuabudu Nini !! Naamini wakijitokeza wapinga shetani wengi kama ww Basi KANISA linaweza kurudi kwenye misingi ya kibibilia

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu akupinganie na kushindie akutete namadui wakae kimiya kwajina laYESU

  • @ClaudeChala
    @ClaudeChala 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akulinde

  • @evelinambewe2835
    @evelinambewe2835 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe nguvu mtumishi usiogope hata yohana aliunguzwa hakufa,na pia mtumishi usiogope yesu kristo hawe nawe Kila saa na akufiche usiogeme Mimi nipo nawe mpaka ukamilifu wa dahari

  • @alimwimikesahwiurea0097
    @alimwimikesahwiurea0097 หลายเดือนก่อน +2

    Alberto Valentino ni kipofu wa kiroho. Huenda ana majini na mapepo mengi sana lazima alalamike maana sindano imemwingia. Ndugu yangu nawe Valentino tangu sasa ukutane na mkono wa Mungu wetu MTAKATIFU, ANAYEWEZA YOTE, ASIYE NA MWANZO WALA MWISHO, ASIYEBADILIKA, WA MILELE, ANAYEJUA YOTE,

  • @FrJosuéSaidi
    @FrJosuéSaidi หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akushike mukono, mutumishi , usi wa ogope wale Wana uwa mwili lakini. Hawa wezi kuuwa roh🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @teyllalugazia
    @teyllalugazia 29 วันที่ผ่านมา +1

    Fanya kazi ya Mungu, wanao kosea hadharani wakosolewe hadharani ili watu wajue kuwa wamekosea

  • @stevensteven4513
    @stevensteven4513 26 วันที่ผ่านมา +1

    Daaah Ebwanaeee Huyu Mwamba ni 🔥🔥🔥 unataja Hadi BURUDOZA 🤣🤣🤣

  • @LinaJames-q8k
    @LinaJames-q8k หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana mtumishi umetufungua sana tuliokuwa timefungwa

  • @SarahMauka-ii1gd
    @SarahMauka-ii1gd 27 วันที่ผ่านมา +1

    Injiri iyendembeleee mungu muokowe mtu mishi wako amini

  • @MariaidifonsiNgelaNgela
    @MariaidifonsiNgelaNgela หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi ubarikiwe sana kwa kutufumbua macho

  • @babupiza641
    @babupiza641 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atakupigania dakika zote ubarikiwe

  • @jameskenzedex
    @jameskenzedex 29 วันที่ผ่านมา

    I love and fill the strength you owe from God Amen

  • @MargrethMloka
    @MargrethMloka 25 วันที่ผ่านมา +1

    Usiogope mtu wa mungu mungu atakutetea

  • @QueenNyondo-h1m
    @QueenNyondo-h1m หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi mungu atakulinda na atakupigania 🤝🤝

  • @ASHERIYOSIAANDREA
    @ASHERIYOSIAANDREA 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi MUNGU akubariki.sana

  • @DaddisoPro
    @DaddisoPro 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu akulinde mtumishi wangu

  • @BraiiMbena-e6c
    @BraiiMbena-e6c 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akulinde sana mtu ishi ansante kwa kutufungua maana tnadanywa sana mtu ishi mungu akulinde mtumishi

  • @perisomungala6354
    @perisomungala6354 หลายเดือนก่อน +1

    Uko mkweli kaka, mungu akufunike na damu yake

  • @RaphaelPaulo-d5j
    @RaphaelPaulo-d5j 24 วันที่ผ่านมา +1

    Kazakaza Sana mutumishi Mimi nakupenda wewe nakazizako natamani kuimbanawewe tafadhali nisaidie naombaako niweze kuwasiliana nawewe Nina Mambo nataka unishauli

  • @utawalarecordstudiosnairob5929
    @utawalarecordstudiosnairob5929 หลายเดือนก่อน

    mungu akutangulie kwa jina yesu. ushindi upo kwa nguvu ya roho wa mungu

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x หลายเดือนก่อน +1

    God be with you

  • @AnastinaIshisha-lt2rn
    @AnastinaIshisha-lt2rn 23 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli ndouo watumishi wengine ni changa la macho

  • @HagaisangaSanga
    @HagaisangaSanga หลายเดือนก่อน +1

    Kaka mungu mwema shetani yupo tumuombe mungu sana ssna

  • @ByamunguErnest
    @ByamunguErnest 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu atakugankia🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @DirectorRich2024
    @DirectorRich2024 24 วันที่ผ่านมา +1

    Amina mtumishi

  • @felislifestyle
    @felislifestyle 23 วันที่ผ่านมา

    Mungu akulinde siku zote

  • @EmmanuelLucas-of3pc
    @EmmanuelLucas-of3pc หลายเดือนก่อน +2

    PIGA KAZI MTUMISHI UKWELI LAZIMA USEME WATU WENGI TUWEZE KUOKOLEWA UNATHAWABU KUBWA SANA KWA MUNGU🙏🙏

  • @agnesmwangi2808
    @agnesmwangi2808 15 วันที่ผ่านมา

    may God protect you

  • @janemhangomhango5841
    @janemhangomhango5841 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi nakuelewa wote kwenye picha hapo hakuna mkweli apo

  • @GideonLenard
    @GideonLenard 24 วันที่ผ่านมา +1

    Oya nyie huyu mwamba namkubali sana

  • @JustineJohn-J7
    @JustineJohn-J7 19 วันที่ผ่านมา +1

    Imagine mtu alikuwa bongo fleva amekombolewa na bado baadhi ya watumishi wanamuandama

  • @PonsSalimu
    @PonsSalimu หลายเดือนก่อน +3

    Amen

    • @tulianyota7040
      @tulianyota7040 26 วันที่ผ่านมา

      Lakini sinivizuritu unge ongea matendo wanayo yafanya kuliko kuwataja majina? Nakuhurumia kwasababu watakuweka ndani. nabado hauja maliza mishen ya Mungu

  • @JamesKanyenda-y9y
    @JamesKanyenda-y9y 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mtumishi usipge wao wataleta mambo ya kiuni.wanakaslika nn.shetan mbona ana jipya katika Dunia hii

  • @AnethSwila-tw9mv
    @AnethSwila-tw9mv 29 วันที่ผ่านมา +1

    Wanaona unawaharibia mambo Yao ya kusaka tonge.....ila roho za watu wanaona kama za panzi hatazikipotea hawajari

  • @ZeridaMwirika
    @ZeridaMwirika 23 วันที่ผ่านมา +1

    Msema kweri nimpezi wamungu kama makanisa wanaoshana niaibu

  • @GeofreyNtabaganda
    @GeofreyNtabaganda 21 วันที่ผ่านมา

    Yupo mungu mwenye nguvu anae jua mbinu za kumvusha mtumwa wake tutadumu kukuombea Wala usiogope ,,, tazama yoshua 1.5--9

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 29 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU akutetee YESU wako yu hai anaishi atakusaidia

  • @JohnMewa
    @JohnMewa 22 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeen 😢

  • @aishambuma1716
    @aishambuma1716 9 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa mungu niliota kua sjakuelewa mwaxo 😂 Mungu akutunze sana

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 หลายเดือนก่อน +3

    ONGEA KABISA WATU WA KUELEWA WATAELEWA, MBINGU SII MCHEZO, WENGINA WANAANGALIA MASLAHI YAO, NI BORA KUPOTEZA NAFSI KULIKO UFALME WA MBINGUNI

  • @ByamunguErnest
    @ByamunguErnest 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu atakupigania .na mahadui zako🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @elishaathanas769
    @elishaathanas769 22 วันที่ผ่านมา +1

    Amina

  • @Frankmtulivu.
    @Frankmtulivu. 28 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli utakuweka huru ,usiogope kuwambia Ukweli. Soma Ezekiel 2

  • @MangilwaPumziko-q2u
    @MangilwaPumziko-q2u 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu akulinde sikuzote ukweli unahuma tu

  • @DavidMurhula-ww9vc
    @DavidMurhula-ww9vc หลายเดือนก่อน

    Nirahisi sana kufa Kwa ajili ya yesu Christo.hata mitume waliteseka kwaajili ya kweli! Sema ukweli mtumushi

  • @MondlaneGasparRachide
    @MondlaneGasparRachide 29 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana pastor.

  • @MwanaeshaAsthma
    @MwanaeshaAsthma หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbingini akulinde maana vita nivikali bali mungu yu pamoja nawe mtumishi. Mali ya tabu.

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala หลายเดือนก่อน

    Mungu awe pamoja nawe kila ulifanyalo lipate kibar

  • @LinaJames-q8k
    @LinaJames-q8k หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde mtumishi Wa Mungu

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 29 วันที่ผ่านมา

    Keeping preaching men of god

  • @amoskimena
    @amoskimena 27 วันที่ผ่านมา

    Respect to God

  • @HhNn-f5s
    @HhNn-f5s หลายเดือนก่อน +2

    Amen kaka mungu atakulinda

  • @asminmakoha6889
    @asminmakoha6889 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU Yuko nawewe

  • @jovettedenise2591
    @jovettedenise2591 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mungu akuteteye🎉🎉🎉

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 17 วันที่ผ่านมา

    Dunia iko mtaroni...😢😢😢😢😢