Amen Amen Mungu anabadilisha kuanzia ndani mpaka nje. Anabadilisha roho na mwili ooh glory to God. Nimebarikiwa sana nawe Mungu akubariki kwa kuubariki moyo wangu.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, kweli inafungua wengi waliofungwa na ibilisi. Endelea kusimama katika kweli ya Kristo na atakushika mkono na kukupigania siku zote. Wewe ni mwanga wa kuangazia walio gizani nyakati hizi za mwisho. Ubarikiwe sana mtumishi
Kama kweli mtu upo rohoni kwa nyakati hizi, utamwelewa Paschal, lakini kama huna mwombe Mungu hizi nyakati ni kulinda ulichonacho kama injili imehubiriwa ya kweli na ya uwongo pia ipo. Kazi kwazi mwenye macho haambiwi tazama, mwenye masikio vile vile. Mungu yupo
Sema yote. Hata kama uliua. Hiyo ndiyo Toba ya kweli. Unasaidia Wengi kutubu na kujiamini kwamba Yesu Kristo anasamehe dhambi zote isipokuwa kumkufuru Roho Mtakatifu
Wacha tu these servant of God akisimulia his life story u can see God himself through him,God is a living God and his testimony is a living testimony through pastor paschal cassian❤❤
@@Steven-y8h5g uliwaona wapi au unasikiaga tu kila siku mnadanganywa na ili jamaa mala ya mwisho alikua akiomba sadaka za ujenzi wa kanisa ziko wapi izo sadaka au ilo kanisa amka uliko lala matapeli ni wengi mjini
Amen ur a lords living testimony baba and through u we see God himself❤❤❤ faith from kenya
Amina mwinjilisti Paschal Cassian Mungu akubaliki nami ninaendelea kukuombea
Pastro ur a super agent of true might God forever in jesus 🙏🙏
Amen Amen Mungu anabadilisha kuanzia ndani mpaka nje. Anabadilisha roho na mwili ooh glory to God. Nimebarikiwa sana nawe Mungu akubariki kwa kuubariki moyo wangu.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, kweli inafungua wengi waliofungwa na ibilisi. Endelea kusimama katika kweli ya Kristo na atakushika mkono na kukupigania siku zote.
Wewe ni mwanga wa kuangazia walio gizani nyakati hizi za mwisho.
Ubarikiwe sana mtumishi
Mmmmmmmm!!!! Mh! Cassian❤❤❤ wewe umeitwa hiii nakuogopa mtumishi wa MUNGU sio wote wameokoka husema siri nzito namna hii MUNGU akutunze mtumishi wake
Kama kweli mtu upo rohoni kwa nyakati hizi, utamwelewa Paschal, lakini kama huna mwombe Mungu hizi nyakati ni kulinda ulichonacho kama injili imehubiriwa ya kweli na ya uwongo pia ipo. Kazi kwazi mwenye macho haambiwi tazama, mwenye masikio vile vile. Mungu yupo
Ukweli kabisa🎉
Haswaaa
Nakuitaji kwenye mjin wetu
Sema yote. Hata kama uliua. Hiyo ndiyo Toba ya kweli. Unasaidia Wengi kutubu na kujiamini kwamba Yesu Kristo anasamehe dhambi zote isipokuwa kumkufuru Roho Mtakatifu
Barikiwa sanaa kwakusema ukwelii bb
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu Amen
Amen amen sema wapone
Rbarikiwa Sana mtumishi
WALE MNAOTUKANA NA KUKOSOA OLE WENU, UJUMBE HUU NIWAKWEL HAFU MNAKATAA
Amen balikiwa sana mtumishi mungu akuzidishe sana zaidi ya hapo nafurai sana unavyo sema kweri binafusi napenda huduma Yako mtumishi balikiwa San
Mungu akubariki mtumishi
Amen amen barikiwa mtumishi wa Mungu ❤❤❤
Eti mtumishi wa mungu da
@@MedronundersonMkuyutatizo sio wewe mumefungwa na mashundisho ya uongo
Huyu ni muimbaji wa injili nnayemsikiliza akiimba hao wengine tatzo
Cassian ana injili ya kweli anajua ni wapi Mungu amemtoa
Wacha tu these servant of God akisimulia his life story u can see God himself through him,God is a living God and his testimony is a living testimony through pastor paschal cassian❤❤
Yesu anabadirisha
Safi sana Mtumwa Injili Inalipa
Nahari mtumishi mungu atusaidie
Amen mung aendelee kukulinda
Haleluya Sana mwana wa mungu
Amen amen sema kweli tupone mtumishi wa Mungu
Mambo Ni Motooo
Asante mungu amen
Ubarikiwe mtumishi
Good
Safi sana mtumishi
Mngu akuongoze paschl kassian
Mungu akubariki sana
Amen
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Amen amen
Polisi ,inabidi imwite imhoji haiwezekani uue halafu ubaki salama
Mambo ya rohoni
Amena
Ameeeeen
Amen🎉🎉🎉
Mbona ulikuwa fukara tena choka mbaya.usitudanganye.halafu unachafua watumishi wa Mungu.
Wewe umetumwa nashetana unathubutu kukwambia mtumishi wa Mungu maneno hayo. Ndiyo nyie mnayesali kwa mwamposa wakati mwamposa yupo ferremasoni
Casiani be blessed
Pôle kabisa 😢
Mpaka leo bado ni freemanson
Umetuma kuchafua watumishi wa kweli kuwa ni freemanson
Munamacho ila hamuoni munamasikio hamsikii endeleeni na injili za kukanyaga mafuta na kufata miujiza
Ww na ulikua na vindagu tu free mason ya wapi kwa maisha magumu ulonayo
Wewe acha ujinga nani kakwambia freemason ukiwaacha wanakuachia utajiri walokupa tambua vyote wanachukua
Wewe ni wale wakuangalia mwilini tu, neema ya Mungu ikufikie ulipo ikufungue.
@@Steven-y8h5g uliwaona wapi au unasikiaga tu kila siku mnadanganywa na ili jamaa mala ya mwisho alikua akiomba sadaka za ujenzi wa kanisa ziko wapi izo sadaka au ilo kanisa amka uliko lala matapeli ni wengi mjini
Mungu akusaidie una macho lkn kipofu masikio unayo lkn kiziwi Mungu akusaidie upone
@@renatus5687 May Jesus silence you. You'll face account for every word you utter! do you know that?
Pesa na dhahabu ni Mali ya Bwana shetani chake.
Elewa neno" Fedha na dhahabu" hayo ni madini, sio pesa, mtu wa Mungu.
Waoh hakika inabariki sana
Hapo ni KATAVI sehemu gani?
EAGT kazima
KATAVI Nyerere kanisa la EAGT
Mkuu hubiri kweli
Emeen
Tapeli kama tapeli wengine
We acha hila za shetani wewe ibilisi atakumaliza kwa uongo Alie rohoni huyatambua ya rohoni sio laisi Kama unavoelewa kuwa tapeli anaimani ya mitume
Agent wa shetan ww
Kama huna cha kusema nyamaza
Hakuna Cha ibilisi Wala nini dini tumepandikiziwa na wazungu na waarabu
Ndio hii pepo jamani ombeni Sana
🎉🎉🎉🎉🎉𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒆𝒏𝒅𝒆𝒍𝒆𝒆 𝒌𝒖𝒌𝒖𝒕𝒖𝒎𝒊𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒇𝒂𝒏𝒐 𝒌𝒘𝒂 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂𝒌𝒐 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒌𝒖𝒍𝒊𝒏𝒅𝒆 𝒔𝒂𝒎𝒂❤❤