YESU ndiye maji ya uzima na kila aliye na kiu ya BWANA atashibishwa kwa imani na kwa kuoshwa kwa damu ya mwana kondoo wa MUNGU,baraka ziwe kwa kila anaye usikiza wimbo huu🙏🇰🇪🇰🇪
When your happy u enjoy the music but when u sad u understand the lyrics wimbo huu usisikilize kama burudani sikiliza kama ibada and seek for salvation Mungu atusaidie sana kumjua yeye
Mungu atuongoze sio kwa matendo ila kwa fikra pakubwa tufahamu na tukaso kwa damu yake. tukuwe kielezo na mfano kwa wengi. May this song bring us more closer to lord. love from kenya
Broo omba sana tena saana coz ibilisi anakodolea macho kipaji mwenyezi mungu ameķupa kama huduma soo broo stick in Jesus christ only and may the blood of Jesus protect you
YESU ndiye maji ya uzima na kila aliye na kiu ya BWANA atashibishwa kwa imani na kwa kuoshwa kwa damu ya mwana kondoo wa MUNGU,baraka ziwe kwa kila anaye usikiza wimbo huu🙏🇰🇪🇰🇪
Uhakika
Kila mtu atakaye soma comment yang namtakiya milango ya mafanikio ifunguke kwenye maisha yake
Amen🙏🙏
Amein❤
😭😭😭😭😭😭😭 I dedicate this song to all christians who have backslided due to temptations of the world
Obby MUNGU akupe kibali zaidi katika huduma hii nabarikiwa saana na nyimbo zako 🙏🏽
Am leaving this comment here so that when someone comes n likes it. I will come back and watch it again n again kijito❤
Duh bora kumpenda yesu kuliko mwanadamu
Ukimpenda Yesu utampenda Mwanadamu, Mtumishi. Kwasababu Mwanadamu ametokana na Bwana Yesu.
Amin kweli kupitia damu ya yesu tumepata utakaso. Mungu akubariki sana mtumishi,mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu sanaa.
Eeh Bwana ni rehemu sawa na fadhili zako, nioshe kwa damu Yako 😭😭
Kama umebarikiwa wimbo like hapo
I dedicated this song to all prisoner ad those who have lost hope there is God 😢
Hongera, umei imba kwa melody nzuri sana
Nikisikia huu wimbo nakumbuka vile yesu aliteswa pale msalabani,😭😭
Kaka obby alpha hauja wahi koseya mungu akubarikisana brother naakuzidisheye uduma yako namimi ninatamani niwe kamawewe kaka nifanyeje kaka ninacho amini no mungu tu ndiye chia Nina Imani Nani ata nifikisha
❤❤❤ atakufikisha mdogo wangu
When your happy u enjoy the music but when u sad u understand the lyrics wimbo huu usisikilize kama burudani sikiliza kama ibada and seek for salvation Mungu atusaidie sana kumjua yeye
Walokole mungu wetu ni mkuuu kuliko miungu yao . Tutashind n yesu
Tunao barikiwa wimbo huu tukiwa kahama nione like nyingi
Such a great song. I listen to it everyday before I sleep. 🙏🙏
Hi Nyimbo imegusa Moyo wangu mtumishi barikiwa sanaaaaaa
Mungu atuongoze sio kwa matendo ila kwa fikra pakubwa tufahamu na tukaso kwa damu yake. tukuwe kielezo na mfano kwa wengi. May this song bring us more closer to lord. love from kenya
Ahsante Mungu Hakika nimepata Nguvu mpya ya utakaso
Ameen Ameen kaka huu wimbo unaniweka kwenye uwepo ❤❤❤❤
Asante broo, nyimbo zako nasikiliza san. from washangaze song
Nimeupenda sana huu wimbo barikiwa Sanaa na mungu akushidishie utubariki zaidi❤❤
Hautabiriki brother ,powerful worship 🙌 Ifike mbali🙏🫡
Waoo so Kwa sauti hiyo jaman ,,,upako unatiririka wenyewe ,,ngoja ni danload hongela Sana obby
Kaka kaka kaka huu wimbo umenibariki sana Mungu azid kukuinua kwa viwango vya juu kaka anguu❤❤
See how I'm blessed with everything in this song beat❤ voice❤🎉
Your songs are always heart moving 🙏❤
Nyimbo zako zimekia nifaraja San kwenye maisha yangu
Tuna shukuru kwa nyimbo nzuri kabisa na Mungu akubariki
Amen Amen and Amen what a powerful song😢 may God continue to use you to spread the word of God🙏🙏 from Kenya watching while in Saudi Arabia
Kazi mzuri 💯🙏🙏🙏👌
Amen 🙏🙏 God bless brother
KAZI NZURI NDUGU YANGU MUNGU AZIDI KUKUSIMAMIA UENDELEE KUTULISHA NENO LA MUNGU KUPITIA UIMBAJI BINAFSI NABARIKIWA SANA KUPITIA UIMBAJI WAKO
Wewe ni Bora mara ×777Mungu azidi kukumbatia kwake Kwa ajiri yetu🫡🫡🫡🙏
Amen wimbo mzuri sana barikiwa❤
Amen keep it up this is am amazing one 😭😭 love you never give up loved one this song
Nimeamka sijiskii vizuri kabisa nilivyosikia nymbo nimebarikiwa sana naona kupona sasa🙏
Amen amen mtumishi hongera sana kaka Obby alpha for this bless❤
Amen 🙏 kaka Mungu akulinda katika maisha yako ya njili
Wakwanza Mimi nipeni like zenu kaka kupitia wewe tunaona nguvu za mungu na familia zetu zinabarikiwa.
Namsifu bwana kwa jinsi nilivyo✝️❤️🩹
Ameni 🙏 kaka nyimbo ipo vizuri sana hongera sana
Let's come together to worship God, he is the God for the second chance, come all come 🙏🙏
Broo omba sana tena saana coz ibilisi anakodolea macho kipaji mwenyezi mungu ameķupa kama huduma soo broo stick in Jesus christ only and may the blood of Jesus protect you
kwa mara ya kwanza nimesikia umelitaja jina la YESU
Wewe ni mtumwa wa fikra 😮
@@simonphabiano9050 ukweli huonekana
The best version spirit filled kijito cha utakaso 🙏
Ongera sana HAKIKA nyimbo zako zinakitu kikubwa sana Cha kubarikiwa
Nyimbo zako nazipenda sana mungu akuzidishie hicho kipaji kweli zinanigusa sana ❤❤❤❤❤🎉🎉
Amen🙏🙏 Yesu ndiye kimbilio letu na kiongozi wetu🙏
Hakika ni Damu yake Yesu inaweza kutuosha dhambi zetu na tukawa safi Mungu akubariki sana mtumishi
Nimeishi kusema ni kizito..oh lord.thankyou alpha leo nimejua ni kijito🎉
What a nice song be blessed 🙏
Munguu akuinue zaid kaka I really appreciate what you're doing
Hakika nimebarikiwa Sana nimehisi uwepo ndani yangu Mungu azidi kukuinua viwango vingine
Mungu aendelee kuiongeza huduma yako ktk viwango vingine
Amen 🙏 kaka barikiwa sana
Yesu ni kijito hakika
God bless you my brother ktk huduma yako
Mungu akuongoze vizur sana kak 5:59
Amen amen🎉glory brother
Be blessed Obadiah
Amina Amina ubarikowe sana kweli 🎉🎉🎉🎉🎉sifa kwa mungu wetu Amina
Nabarikiwa sana Mungu wa mbinguni akutunzee👏
Amen Amen 🙏 Glory be to Almighty 🙏🥹
@obby alpha kk tunaomba ep yako uidondoshe kule AUDIOMACK maan hatuioni!
Mungu akulinde mtumishi wa mungu kazi nzuri sana🙏🙏
Mungu akuongoze kaka nyimbo iko vizuri sana🎉
Kijito cha utakaso nioshe kwa dam yako 😭😭😭🙌🙌🙌🙌💯
Amen Mtumishi wa BWANA
Mungu akutiye nguvu kaka yangu
Kaka obby Mungu akuongoze zaid
❤❤ what a song,Kijito cha utakaso
Onger sana kaz nzri sana kijito mungu akupeleke intanesion
Ameni mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Asante YESU: Mfalme mwema: Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu my lovely Brother
Feeling blessed with this song🔥🔥🔥
Glory be to God
Ubarikiwe san kk kazi mzur...lkn iachie na AUDIOMACK ili tukaipakulie kule mtumishi!
Neno la Mungu nimpya kila siku hakika kijito cha utakaso 😢😢
Hallelujah Hallelujah 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ balikiwe
Damu ya Yesu inaweza yote,,,, Amen
❤mungu akubariki ,nabarikiwa sana na huu wimbo
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
My Brother 🙏🎶
Mungu mtumishi mungu azidi kukutia nguvu
Ameen YESU ndiye kijito Cha utakaso kwetu
Ubarikuwe sana🙏🙏 na kazi yako
Bwana anao uwezo kunipa wokovu AMENA !
Barikiwa mtu wa MUNGU🇹🇿💪🙏
Kijito chautakaso😢🎉🎉
So touching song ♥️♥️.. Mungu Fundi I say
Mungu akuongezee fahamu na akili
mungu akubariki usonge mbele 🙏
Blessings brother
I'm blessed with the song.. 🔥🔥
Add other more brother...🙏🙏
Feeling blessed 🙏🙏
Ubarikiwe sana Mtumishi
Nyimbo imeshiba upako
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 gospel