Mathayo 6 : 14-15 Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.
Kwa sababu ndiyo mapenzi ya mungu, kwamba kwa kutenda mema mzibe vinywa vya ujinga vya watu wapumbavu; kama walio huru, ila wasioutumia uhuru huo kwa kusitiri ubaya,(...) PET 2: 15-16
kiukwel nimesamehe ila nikikumbuka moyo unadunda Ti Ti nyimbo hii ni kubwa sana naitabilia makubwa sana hongera sana obby umetukumbusha tumuombe MUNGU atupe karama ya kusamehe na kuaschilia,
kwa kweli Mungu akubariki sana kwa huu wimbo wapo wengi walio tuumiza mioyo yetu wakaipiga misumari wakatuacha tukingangana kuitoa misumari hiyo mioyo yetu bado inamwaga damu maumivu na majeraha mengi
Wow wimbo huu umenifunza mengi mno katika maisha ninayoishi kiukweli Mungu atusaidie tuwe wepesi wa kuachilia ee Mungu utufundishe kuachilia 🙏🏾 be Blessed #Obby Alpha#
Mungu akubariki mtumishi na azidi kukuinua kwa viwango vya hali ya juu hakika umenigusa siwezi kusahau mapito yote niliyoyapitia, nimewasamehe ahsante Yesu
Kwa welii msamaha si kitu rahisi manake wanao tujerui mioyo ni wale watu wa karibu nasi tulio watarajia tukiwa nao watatuongezea furaha, amani, na upendo, ila hao hao ndiyo walivuruga ata kale kaamani tulikua nako nakuacha mioyo yetu ikivuja damu. Mm nilitendwa na rafiki kwa kuninyanganya mchumba wangu nilimsamehe ila nikimuona akipita moyo unalia machozi ya damu😭😭😭😭 yani nikimuona nakumbuka alivo nitenda nakosa amanii kabisaa. Mwenyezi tusahidie kuwasamehe na kusahau 🙏🙏🙏
Kuna watu mwimbaji kuwagusa kabisa, wapitia katika hali hii, kama ndo wewe, wimbo huu ufanyike daraja la kutoka kweny hiyo hali unapitia. Kama unaamini sema ameni
hili ndilo ombi langu kwa Mungu siku zote , anifundishe kuachilia maana mimi nashindwa kusahau kabisa😢 eeeh Mwenyezi Mungu nifundishe kusahau nimechoka kumeza dawa za Pressure katika huu umri mdogo .
Mathayo 6 : 14-15
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.
Mungu nifundishe kuachilia 😢
Kwa sababu ndiyo mapenzi ya mungu, kwamba kwa kutenda mema mzibe vinywa vya ujinga vya watu wapumbavu; kama walio huru, ila wasioutumia uhuru huo kwa kusitiri ubaya,(...)
PET 2: 15-16
🔥🔥🇰🇪
Kusamehe ni rahisi ila kumbukumbu
an uko vizur bro kazana
wakwanza leo naombeni 💯 likes zangu kwenye wimbo wa Alpha please 🙏🙏🔥🙏🙏🏼📖📖
Amen
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Kama hii nyimbo imekugusa kwakiasi kikubwa tuwe na amani yamoyo gonga like 🙌✅ comment 👇
how many agree that this video needs millions of views!
It’s a blessing 😊
Sure 🙏🙏🙏
Mungu nifundishe kuwasemea wote walio ujeruwi moyo wangu 😢
Ni wakati wakuacha ya kale yapite 🙌🏽🙌🏽
Hakika
Vile mimi hustruggle kuwachilia😢 though nasamehe but kuwachilia inanishinda kabisa.. haya ni maombi yangu pia. Nifundishe kuwachilia.🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏🙏🙏
Kenya 🇰🇪tumeikubali 🔥🔥💯
kiukwel nimesamehe ila nikikumbuka moyo unadunda Ti Ti
nyimbo hii ni kubwa sana naitabilia makubwa sana hongera sana obby umetukumbusha tumuombe MUNGU atupe karama ya kusamehe na kuaschilia,
Listening and watching from Kenya... Wapi likes za wakenya.
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
kwa kweli Mungu akubariki sana kwa huu wimbo wapo wengi walio tuumiza mioyo yetu wakaipiga misumari wakatuacha tukingangana kuitoa misumari hiyo mioyo yetu bado inamwaga damu maumivu na majeraha mengi
Huu wimbo umenizungumzia mimi. God bless you. Man Of God❤
Ni ukweli mtupu kusahau imekua tatizo sana Mungu atusaide
Mungu atuokoe
Hakika watasema tupate wapi tena mtu kama huyu ambaye Mungu anakaa ndani yake
🎉🎉🎉🎉
Kaka kiukweli nakosa pakuanzia kabisa nyimbo zko zote zinanigusa sana🎉🎉🎉🎉#desiremgandika❤
Shikamooo kakaa obby mwanangu unajuwa really
Hakika 🎉
May thee ALMIGHTY GOD bless you this song is a blessing❤️❤️❤️
Mungu Nifundishe kuachilia 🙌🏾🙌🏾😭
🎉🎉🎉
King of gospel music in Tanzania and east Africa generally 🎖️🎖️🎖️
Amini tatizo ni kuachilia Mungu nisaidie niachilie
🎉🎉🎉🎉
Kabisa🎉
Haujawah kufeli kaka obby Mungu aendelee kukutumia zaid
Ohol! Nimewasamehe wotee moyo wangu mweupeee kabisaaaa❤❤❤❤❤
NIMEWASAHEME😓🙏
ILA TATIZO KUACHILIA EEH MUNGU NIFUNDISHE KUACHILIA🙏
Hakika anipe vyema kuachilia
🎉🎉🎉
Asante Kwa ujumbe hatimae mrisi. wa Joel rwaga na clemnent. Ni wew
Honger mabrother hakika unajua NMEWASAMEHE
Nomaaaa sanaaa 🎉
Kenya imekutambua bro, vijanaa na injili
Nifundishe kuwachilia mungu,,, nimewasamehe,,, Barikiwa kaka Obby
Once again victory from our boy
Dear Lord nifundishe kuwaachilia walio nitendea maovu😢
Amen 🙏🏾
Amen 🎉🎉
Amen
Kama unaamini yesu ndiye daktari nipe likes 400❤❤
Blessed are thoes who lessened to this song cuz it reminds us of the prayer Be blessed y'all
Ameee😊🎉
Kama hii nyimbo imekugusa kabisa tuwe na moyo mmoja achilia like✋✋🎸🎸comment👇👇❤
Powerful song nmerudia kuckiliza mara nyingi barikiwa sana nyimbo zako zote ni nzuri sana zinagusa maisha yng
" KUSAMEHE NI KUJUWA KUACHILIA !
There's power in forgiveness ❤️🔥
Hakika nyimbo nzuri sana
Sanaa
Kabisa
Amen, huu wimbo unamaombi halisi ya moyo wangu,🙌🙌🙌😌😌
Hello
@@chebusjohn8311 yes hellow
Nimewasamehe ila tatizo kuachilia Mungu nifundishe tu kuachilia🙏🙏
🎉🎉🎉🎉🎉
Huu wimbo ni WA moto sana hata Mimi nimewasamehe🙏
Hata Mimi pia
This guy be another thing on the gospel industry❤
Wimbo bora wa mwaka 2024,,,,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Pamoja sana kak
Wow wimbo huu umenifunza mengi mno katika maisha ninayoishi kiukweli Mungu atusaidie tuwe wepesi wa kuachilia ee Mungu utufundishe kuachilia 🙏🏾 be Blessed #Obby Alpha#
Waoooooooow good song
🎉🎉🎉
Naomba likes nirudi nicommenti ❤
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Mungu akubariki mtumishi na azidi kukuinua kwa viwango vya hali ya juu hakika umenigusa siwezi kusahau mapito yote niliyoyapitia, nimewasamehe ahsante Yesu
Kwa welii msamaha si kitu rahisi manake wanao tujerui mioyo ni wale watu wa karibu nasi tulio watarajia tukiwa nao watatuongezea furaha, amani, na upendo, ila hao hao ndiyo walivuruga ata kale kaamani tulikua nako nakuacha mioyo yetu ikivuja damu. Mm nilitendwa na rafiki kwa kuninyanganya mchumba wangu nilimsamehe ila nikimuona akipita moyo unalia machozi ya damu😭😭😭😭 yani nikimuona nakumbuka alivo nitenda nakosa amanii kabisaa. Mwenyezi tusahidie kuwasamehe na kusahau 🙏🙏🙏
Mwenyenzi Mungu nifundishe kuachilia na kusamehe 🙏
Moto sana i love the reverb
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥
Hakuna wimbo wenye maana iliyogusa maisha yangu moja kwa moja kama huu. Dogo Yesu akuongoze.
Waiting
Naokoka kusikia iyi wimbo
Utakuwa umefanya jambo la maana Sana.
Thanks for a touching music, melody and lesson 🙏 be blessed Man of GOD go higher 🙏🎉
a very timely song❤God bless uu ndugu😊
Mungu nifundishe kuachilia Mimi mtoto wako 🙌🙌
Kaz nzur sana mdogo wangu.nipie na mimi.pst sisco
Obby never disappoints🎖️
Its so amazing gospel. Glorious to God.... Nice gospel song bro. 😇😇😇🙏🙏🙏🤗👌💯💯💯
Amen 😊
Mungu nifundishee kuachiliaaaa😔
Kuna watu mwimbaji kuwagusa kabisa, wapitia katika hali hii, kama ndo wewe, wimbo huu ufanyike daraja la kutoka kweny hiyo hali unapitia. Kama unaamini sema ameni
Ndabakunda Cyane mufite umwuka w'Imana ❤❤❤kusamehe inahitaji nguvu🙏🙏🙏📖📖📖 amina amina great work
Imana ishimwe
🙏🙏🔥🔥🙌🙌 nimesameh
Mungu nifundish kusameh
Nmeisikilizia all over again nasikia effects za radha za Mwasongwe the king of gospel in Mbeya Tz
🎉
🎉
🎉
🎉
🎉
Obby htr xn🎉
🎉🎉🎉
Nimewasamehe
Yaan kaka upo vizur wimbo mzuri
🎉🎉
Hakika Mungu ni mwema na aendelee kukubariki kufikisha neno lake na kuelimisha kupitia nyimbo nyimbo zako.
Big shout out to the producer too💓💓💓💓
Kabisa
Barikiwa na Jehovah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
A great vocalist you’re 💯💯💯💯
Nimelia sana huu wimbo umenigusa sana😭
Amen
Hiii Apa nyingine Kaz yetu pendwa kbs
🎉
🎉
🎉
🎉
🎉
There's power in forgiveness ❤️🔥🔥🔥
Be blessed 🙌, the cup of blessings to be full bro
Ngoma nzuri sanaa❤❤❤❤❤
Nmemsamee😂 kwa huu ujumbe🙏👍
Hata mimi nimewasameheeeeee
🎉🎉🎉
God bless you!🙏
Nani daktariiiii jamaniii,,,, dah kweli nimesamehe lkn kusahau ndo tatizoooo
Wimbo mkali sana
Oyaaa ankooooo 🚨🚨🚨🚨
This song came at a right time
Hongera sana kaka obby hakika hujawahi kukosea katika uandishi na peformance 🎉🎉🎉 Una kitu sana na ushatoboa ujue😂
Ashatoboa huyu taar😂😂😂
You make me cry, 😭 😭 I can't tell you how much I love your songs❤❤❤
Another banger from🇹🇿🇹🇿 ur friend willy from 🇰🇪🇰🇪won't stop supporting u Hadi mbingu zifunguke...wasemee to the world.
Nimefutaaaa na kisahauu
Obby unajuaa kak
Hongera san mtumishiii kwa kazi nzur
🎉🎉 cjui nisemaj unajuaaaa brother
Mwenyezi Mungu atuwezeshe 🙏🙏🙏
Always ulikua ukifanya kazi nzuri na yenye baraka...hujui kukosea...an unatenda haki kwa kila nyimbo...UBARIKIWE SAN KK!
The song 🔥Mungu nifundishe kusamehe
🙏🏾
Forgiveness is easy but it is hard to forget
Amen ,nimewasemehe ,nifunze kuachilia,,what a song ,,it's a such a blessing
Mungu akuinue zaidi
I LOVE THIS SONG FROM MOZAMBIQUE
Dieu est grand qu'il continue toujours à te donner des inspiration
Wewe dogo ni great thinker🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ Bwana akupeleke mbele zaid
Hakika
hili ndilo ombi langu kwa Mungu siku zote , anifundishe kuachilia maana mimi nashindwa kusahau kabisa😢 eeeh Mwenyezi Mungu nifundishe kusahau nimechoka kumeza dawa za Pressure katika huu umri mdogo .
Ni kweli kakangu.. umenigusa M❤YO sana, ni kama huu wimbo ume direct Mimi, ubarikiwe sana 254 all the way ..!!
Fantastic bombastic stupendous mind blowing work 🚨🚨🚨
Kama hii nyimbo imekugusa kabisa tuwe na moyo mmoja achilia like✋✋🎸🎸comment👇👇❤
Kusamehe Huwa tunasamehe shida ipo kwenye kuachilia na kusahau hapo tu ndo Kuna tatizo.
Mungu atusaidie tuweze kuachilia na kusahau 😢😢😢😢