MAAJABU!!! NYATI MWINGINE WA AJABU TARANGIRE, WATALII WASHANGAZWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 311

  • @mwigakatumpula6852
    @mwigakatumpula6852 2 ปีที่แล้ว +20

    Hapo hamna kitu cha ajabu maana katika maisha ya wanyama pia kuna albino labda cha ajabu kuwepo hapa Tanzania 🇹🇿👏

    • @lishamedia
      @lishamedia ปีที่แล้ว +2

      Hakuna cha kwako kwa ww uliekushaona so usiwafanye watu wote wawe km ww, tatizo huwa tunatabia ya kudis sana, kwanza hatujikubali, huenda huyo nyati mweusi tu unamuangalia kwenye tv hujawai kumuona live,leo mweupe alibino unasema jambo la kawaida acha izo bana ngoz nyeupe wametoka uko ulaya wamekuja kumuona wangekua kwao wapo wasinge kuja bro support cha kwako

  • @mindrelaxationch1259
    @mindrelaxationch1259 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyo ni ngombe banaa, msitake kutuona mandondocha, hata kimwonekano hafanani na nyati hata punje kuanzia pembe mpaka mwili, hata socialization na hao nyati hana ndo kwanza wanamshaangaa tu na kuhamaki. Labda mtuambie mna agenda ya siri nyuma ya pazia.

  • @salimsalim-rq9nx
    @salimsalim-rq9nx 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyo babake ni ngombe.mamake katongozwa na ngombe wa kimasai..so beautiful 😍❤️🥰

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😅😅😅😀😀😀😀🙈🙈🙈🙈🍾👏

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 2 ปีที่แล้ว

      @@trophywilson7211 😅😅😅

    • @maryjames7438
      @maryjames7438 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 umetisha kwel

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 2 ปีที่แล้ว +3

    Mavelous What a Blessing My Jirani's Wa Tz'd 👌👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿❤️❤️❤️🇰🇪

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimefanya kazi kwa miaka ktk hifadhi ya Taifa, na kulikua na nyati wengi sana na nimetembelea hifadhi tofauti lkn sikuwahi kumuona nyati mweupe!!...hiki ni kivutio kingine!
    Hongereni Ayo TV kutuletea hili nalo!!

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 2 ปีที่แล้ว +19

    kama Ng'ombe weupe wapo, kwanini nyati weupe wasiwepo,ni familia moja

    • @mcback4384
      @mcback4384 2 ปีที่แล้ว

      Ng'ombe wengi weupe ni wakisasa ambao tayari wamefanyiwa crossing kama ilivyo kuku wengi weupe ni wa kisasa

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว

      Hata wekundu na wa madoamadoa watakuwepo tu.

    • @samwelymlio628
      @samwelymlio628 2 ปีที่แล้ว +1

      Atapotea kama panya magawa

  • @juliuskunda6297
    @juliuskunda6297 2 ปีที่แล้ว +3

    Nashauri huyu nyati akamatwe ahifadhiwe sehemu salama atasaidia kuingizia Taifa mapato kupitia utalii

  • @nassibchatta651
    @nassibchatta651 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu mkubwa kwa kweli, wanyama hao weupe m watunze vzuri, maana watatuingizia pesa za kigeni kwa wingi🇹🇿

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi SAAAANA Tarangire, miujiza itaonekana tu tukimwita MUNGU SANA atupe hazina zilizofichama ardhini. Kila kitu ni ARDHI.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 ปีที่แล้ว

    Chefu sasa royal tour na nyati mweupe wapi na wapi

  • @kifakaraomar6598
    @kifakaraomar6598 2 ปีที่แล้ว +15

    Ni maajabu haya kwa maaskari wa Tanzania!, Nyati wamezaliwa mpaka wamekuwa wazee kiasi hiki hamjaweza kuwaona , na labda pia wameonekana kwa sababu ya utofauti wao , sasa ni wangapi wanaozaliwa na kuuwawa na majangili pasipo kuonekana ?, Ni ajabu hata hao wazungu sijui wanawafikiriaje .

    • @deoyessaya8689
      @deoyessaya8689 2 ปีที่แล้ว +2

      Nikweli najiuliza saana kwani amezuka

    • @diplomaticdiplomatic3931
      @diplomaticdiplomatic3931 2 ปีที่แล้ว

      Huyo ni chotara na ngombe msitudanganye

    • @mathiasmassai8747
      @mathiasmassai8747 2 ปีที่แล้ว +1

      Kaka umenena

    • @AlawiKahema
      @AlawiKahema หลายเดือนก่อน

      Kwani hao wazungu ni nani mpaka useme wazungu wanawafikiriaje , duh kasumba ya ukoloni bado ipo tu inaendelea

  • @hamadiselemani8665
    @hamadiselemani8665 2 ปีที่แล้ว

    Hii Ndio Tanzania, Mungu Katubariki Vitu Vingi Sana

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi ปีที่แล้ว

    Ila pembe zake zimekaa kama za Ng'ombe.
    Asante.

  • @hizamwaimu3918
    @hizamwaimu3918 2 ปีที่แล้ว +6

    Duuuuuuh mungu kaficha menge ...miaka yote hiyo mungu alimficha ndo kaonekana mwaka huu

    • @stanlaymanya687
      @stanlaymanya687 2 ปีที่แล้ว

      Mungu anasiri na Tanzania naukiona unasiri basi umeaminika Sana Mungu anatuamin sana

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 ปีที่แล้ว +8

    Albinism kwa wanyama pori ni kawaida.Aliwahi kuwepo simba mweupe Luangwa National Park,Zambia.Royal Tour haihusiani na nyati huyu

  • @hadijahassan6467
    @hadijahassan6467 2 ปีที่แล้ว +1

    KWANINI MSIMUHOJI HUO NYATI AWAPE MAELEZO YA KUTOSHA 👌👌

    • @hadijahassan6467
      @hadijahassan6467 2 ปีที่แล้ว

      NAOMBA UYO NYATI AFANYIWE INTAVYUUU😂

  • @anessabinery5654
    @anessabinery5654 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyooooo mlikuwa wapi tokea akiwa mdogo

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 2 ปีที่แล้ว

    Yani Royal Tour ndoimeleta Nyati Mweupe ???? jamani tuwe serious basi 😏😏🚶🚶🚶🚶

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 ปีที่แล้ว

    Royal tour hawakuiona?🤣🤣🤣🤣

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 ปีที่แล้ว

    Akuna Ajabu Apo Bali Mama Ake Kapandwa Na Ng'ombe Wa Kawaida Sema Sura Ndio Ikabenzi Sana Kwa Nyati Akuna Maajabu Apo Uyo Baba Yake Ng'ombe Wa Kawaida

  • @jacobramale9685
    @jacobramale9685 2 ปีที่แล้ว

    Mbona location uliyotupa unatuchanganya mze baba ,.

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawaonea huruma wale wote ambao wana-comment negatively lakini hawajawahi kutembelea hifadhi za Tanzania.Oooh huyo ni ng'ombe and blah blah kubalianeni na scientifical facts😭

  • @mwigakatumpula6852
    @mwigakatumpula6852 2 ปีที่แล้ว

    Kwani huyo nyati mwenyewe anasemaje juu ya muonekano wake huo😃😃😃😃🏃🏃

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 ปีที่แล้ว +4

    Tanzania is beautiful karibuni sana kwetu

  • @jshsbsbjshsbsbe9483
    @jshsbsbjshsbsbe9483 2 ปีที่แล้ว

    Wow anafanana na ng'ombe ndume

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +1

    Cette manifique ,Merci beaucoup Toute les monde

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 ปีที่แล้ว +7

    Jamani ni mzuri

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 2 ปีที่แล้ว +6

    Hayo ndiyo madhara ya kuchanganya wafugaji na mifugo yao kuishi pamoja na wanyama pori.ukimtizama. vizuri utaona maumbile ya kichwa chake na pua yake anafanana sana na ng'ombe. Najua wataalamu hamtakubali.Sasa hivi hata miti na nyasi isiyo asili ya pori zetu unaikuta katika hifadhi zetu,hayo ndiyo madhara ya kuharibu mazingira ya hifadhi zetu.

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 2 ปีที่แล้ว

      kwahiyo ni ng'ombe ha ha ha mbona hutajaona ngombe albino?

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว

      @@athumanfuko199 wapo nenda vijijini.Mbwa wangu aliwahi kuzaa watoto tisa na mmoja alikuwa albino mpaka macho.

    • @jonathanmnyone4003
      @jonathanmnyone4003 2 ปีที่แล้ว

      Kitaalamu (biologically) nyati haiwezi kuzaa na ng'ombe.

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว

      @@jonathanmnyone4003 kwa Nini?

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      @@jonathanmnyone4003 Muongo wewe

  • @kamaukamau6233
    @kamaukamau6233 2 ปีที่แล้ว

    Are there chances of finding a white elephant?

  • @peterkumongishu9580
    @peterkumongishu9580 2 ปีที่แล้ว

    bravo lè guidê

  • @beccaacro6193
    @beccaacro6193 2 ปีที่แล้ว +3

    Ahifadhiwe maana kuna viumbe wanaitwa simba sio viumbe wa kawaida watamla nyama muda c mrefu maana wao hawajui utalii

    • @yousuphnzira3209
      @yousuphnzira3209 2 ปีที่แล้ว

      🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

    • @davidmbaga2998
      @davidmbaga2998 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mamajaphety1624
      @mamajaphety1624 2 ปีที่แล้ว

      simba wakimuona cjui watamuacha😂😂😂

    • @beccaacro6193
      @beccaacro6193 2 ปีที่แล้ว

      @@mamajaphety1624 hawamuachi salama wao wanahitaji washibe cc tunahitaji utalii

  • @nashonmarwa7567
    @nashonmarwa7567 2 ปีที่แล้ว

    Swali langu.je tangia akiwa mdogo hakuwahi kuonekana??

  • @missangela6720
    @missangela6720 2 ปีที่แล้ว

    “Nyati nyeupe” Kiswahili ni adimu kama nyati nyeupe 😂😜😜😜

  • @denisjames2123
    @denisjames2123 4 หลายเดือนก่อน

    Wanamshangaa national albino?

  • @johnchale1073
    @johnchale1073 2 ปีที่แล้ว

    Hata wazungu sio harisia rang Yao Bali nyeus is real🤣🤣

  • @calebcaleb3193
    @calebcaleb3193 2 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @sophiapeter7843
    @sophiapeter7843 2 ปีที่แล้ว

    Mim naona mapicha picha tu,mbona huyo ni mbuuu😀😀😀mapembe ya nyati yameotea katikati ya kichwa lakini ya huyu ni mbuu mbuuu mwanzo mwisho ,tunapigw na kitu kizito

  • @ALOYCE007
    @ALOYCE007 2 ปีที่แล้ว +4

    Nyati huyu anaumwa serikali inabidi atafutiewe chanjo yangozi na atibiwe

  • @dmsknb1541
    @dmsknb1541 2 ปีที่แล้ว +1

    Kapandikizwa humo kuvutia Royal Tour

  • @mohamedsaid2882
    @mohamedsaid2882 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo ni zezeru je inawezekana akawa na porojo kama haji manara 😁😁

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 2 ปีที่แล้ว

    Inamaana miaka yote hawamuonag uyo nyat hua anaishi shimon au?

  • @rosekishengere7258
    @rosekishengere7258 2 ปีที่แล้ว +2

    Alindwe sana kwani ni kivutio kikubwa au wakwe sehemu maalumu kwani ni kivutio kikubwa.

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 ปีที่แล้ว +2

    Tena huyo nyati mweupe ni mjamzito mtizameni vizuri

  • @dmsknb1541
    @dmsknb1541 2 ปีที่แล้ว +11

    Mshaanza siasa eti kwa sababu ya Royal Tour

  • @jazzymkalitv5535
    @jazzymkalitv5535 2 ปีที่แล้ว

    Eti anakaa kivulini ili asiungue na Jua......😂😂😂

  • @djdarutz
    @djdarutz 2 ปีที่แล้ว

    chaajabu nini kwani hamumuoni manara sory natania

  • @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065
    @mussamarwachamahaaaaaaaaaa8065 2 ปีที่แล้ว

    Daaaa ongela kuw nanyati mweupe

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 2 ปีที่แล้ว

    Mungu anasemaga kwa matukio

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว +9

    Atakuwa kazaliwa na ng'mbe wa kimaasai.

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 2 ปีที่แล้ว +4

    Ukiangalia nyati hao wote ni wazee kabisa kwani kazi ya askari wa wanyama huwa wanafanya kazi Gani?ukiangalia nyati uyo ana zaidi ya Miaka 20 kwani Miaka yote askari Poli wako wapi?je usalama wa wanyama ukoje?wizara ya miliasiri mjitadhimini mnakula mishahara bule.

  • @missangela6720
    @missangela6720 2 ปีที่แล้ว

    Wazungu wa the Royal Tour si watu wazuri. Nimemaliza🤓🤓🤓🤭

  • @williamgideme2689
    @williamgideme2689 2 ปีที่แล้ว

    Wamekuja kumwona nyati mzungu yuko Tarangire

  • @freddyfredrick3487
    @freddyfredrick3487 2 ปีที่แล้ว

    Uyo sio maajabu uyo kaleta na peter

  • @MartinLaizer-d9d
    @MartinLaizer-d9d 14 วันที่ผ่านมา

    Awekwe basi kwenye zoo yaan captivity wazalishwee

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 2 ปีที่แล้ว +2

    Simba nao sijui watamshangaa😂

  • @lonyokimollel9259
    @lonyokimollel9259 2 ปีที่แล้ว

    Mtafutieni sehemu tengevu kwa ajili uvamisi ya Simba.

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 2 ปีที่แล้ว

    Imewezekanaje kuanzia alipozaliwa hajaonekana Hadi afikishe miaka 6-7 Ndiyo aonekane akiwa Mzee?!

  • @Chekibob
    @Chekibob ปีที่แล้ว

    Kwahiyo inaonesha kabisa hamuwajali wanyama kabisa, miaka kumi je wanaopata shida ya magonjwa. Mnajua waona wanaowinda wanyama, meno na pembe za ndovu kuliko wanyama🙆‍♂️

  • @deoyessaya8689
    @deoyessaya8689 2 ปีที่แล้ว

    Kwani toka udogo wake alikuwa anaishi wapi mbn sijaelewa .

  • @abrahamfarahani4949
    @abrahamfarahani4949 2 ปีที่แล้ว +11

    Ubashiri wa wazee wenu ni uongo.Hakuna mahusiano yoyote kati ya Nyati mweupe na Kimovie cha Royal Tour.Sisi wenye akili tunaamini huo ni uwezo wa Allah,ameamua kuumba hivyo ameamrisha imekuwa hivyo.Kunfa ya kuni.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Wamuangalie simba hasije akamaliza mchezo

    • @johnmakunda8599
      @johnmakunda8599 2 ปีที่แล้ว

      Nyati huyo, ni ng'ombe wa wafugaji alipotea miaka mingi.
      Mazingira yamembadirisha kidogo sana.
      Mwangalie nyati hasili,pembe macho,ukubwa(umbo)nk.

    • @hancevalence4936
      @hancevalence4936 2 ปีที่แล้ว

      huna akil wew

    • @missangela6720
      @missangela6720 2 ปีที่แล้ว

      😬😬😬😂

  • @mwantimazdombo6049
    @mwantimazdombo6049 2 ปีที่แล้ว +2

    Lakini mbone uyo tofauti na nyati wengine sababu nyati uku kwa kiuno ni mwembamba na kwakifua ni mkubwa sasa Uyu nikama ng'ombe tu

    • @dfinalpatrick8555
      @dfinalpatrick8555 2 ปีที่แล้ว

      Wale sio nyati wanaitwa nyumbu ..hawa ni nyati hufanana na ng'ombe kabisa.unaweza waitapia mbogo

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 2 ปีที่แล้ว

      @@dfinalpatrick8555 mi nashangaa mbona kama ngombe!

    • @JKQGAME
      @JKQGAME 2 ปีที่แล้ว

      Kuna ng'ombe alizaa na nyati yaani duuh ukimwangalia kama nyati kabisa kila kitu

  • @denisngoinde3693
    @denisngoinde3693 2 ปีที่แล้ว +1

    Mlivomuona amkumuhoji ni kwann kawa mweupe je ni mafuta gan katumia uyo nyati🤣

  • @saidlucas1216
    @saidlucas1216 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha-allah

  • @paulmassawe1591
    @paulmassawe1591 2 ปีที่แล้ว

    Nikijua watalii wamekuja sababu ya royal Tour kumbe wamekuja sababu ya nyati albino Sasa huyo anafaida Gani Kwa mfano

  • @LEO-uq6el
    @LEO-uq6el 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani akiwa albinism tatizo lipo wapi

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 ปีที่แล้ว

    Huyo aliyeongea kifaransa katutukana.

  • @japhetmtwenya5948
    @japhetmtwenya5948 2 ปีที่แล้ว

    Huyo ni Albino wa Nyati

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 ปีที่แล้ว

    Manara apige pictures nae kabisa

  • @mwanaishazain7985
    @mwanaishazain7985 2 ปีที่แล้ว +2

    Sio ajabu kama mmesoma science maana huyo anakuwa albino wala sio issue mnapenda kutakuwa kwasababu mnalazimisha. Sio ajabu msiwapotoshe wary waambie ukweli.

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 ปีที่แล้ว

    TANAPA mhifadhini huyu nyati ili waongezeke

  • @abdallahabubakar5410
    @abdallahabubakar5410 2 ปีที่แล้ว

    Wizara yamaliasili na utalii tunaomba mumlinde Huyo nyati kwasababu nichachu ya utalii niadimuu saan

  • @amanimanase3122
    @amanimanase3122 2 ปีที่แล้ว

    Daah anafanana na aina za ng'ombe kwetu

  • @abrahamfarahani4949
    @abrahamfarahani4949 2 ปีที่แล้ว

    Agha uzushi wear.Huyo nyati umesema ana umri wa miaka sita,hiyo Royal Tour haina hata miezi sita,sasa huo ubashiri wa hao wazee wenu

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo mbogo mkichinja siwezi kula

  • @donaldkiza4580
    @donaldkiza4580 2 ปีที่แล้ว

    cela signifie que nous sommes bénis

  • @halunimnenwa5224
    @halunimnenwa5224 2 ปีที่แล้ว

    Uyo naye anaweza akabebwa kapelekwa Ujerumani kama mjusi

  • @michaelkessy1738
    @michaelkessy1738 2 ปีที่แล้ว

    Tuishukuru Serikali ya awamu ya Sita kwa Nyati huyu Mweupe

  • @marylutengano1555
    @marylutengano1555 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo nyati ni mzungu

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 2 ปีที่แล้ว

    Nauliza siku zote alikua wapi tokea akiwa mdogo?????naomba jibu kama lipo!!!

  • @testarguy8609
    @testarguy8609 2 ปีที่แล้ว

    Tanzanian white buffalos sio african white buffalos 🤣🤣🤣

  • @gorettimtungwe9011
    @gorettimtungwe9011 2 ปีที่แล้ว

    Ila anaonekama zaidi umbo la ng'ombe kuliko nyati. Labda baba yake ni Ng"ombe alizaa na mama nyati

  • @shebykarim927
    @shebykarim927 2 ปีที่แล้ว +1

    Au kaujua mkorogo kamasio maji ya rey yamefanya kazi yake

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 ปีที่แล้ว

    Huyo ni half cast
    Wa nyati na ng'ombe wa nyumbani
    Kwani nyie hamuoni!!

  • @SeifSelemani-p3h
    @SeifSelemani-p3h 18 วันที่ผ่านมา

    Wazungu bado awajachukua mana ndugu yao uyo

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 ปีที่แล้ว

    Sasa mtalinda vipi huyu nyati zidi ya wanyama wakali?

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 ปีที่แล้ว

    Tusaidieni kuwauliza tanapa kujua umri wa huyo nyati.
    Hivi tangu azaliwe hao maafisa wa tanapa hawakuiona?
    Royal tour inahusikaje hapo?

  • @rasependopendo8096
    @rasependopendo8096 2 ปีที่แล้ว

    Ni alibino huyo ndyo maana tunaambiwa mungu ameumba kwa usawa

  • @mkushiandikayakoachananaya7944
    @mkushiandikayakoachananaya7944 2 ปีที่แล้ว

    Haya sio maajabu ila huu ni mchezo unaofanywa na wazungu katika utawala wa huyu mama aliyekubali kuwakumbatia hao nguruwe, tutaona mengi!

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว

    mbona sio jambo la ajabu.

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว

    Kafanana na mama yoyo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 TAREHE 28 MAMA YOOYOOYOO TUTAMCHUKUWA MBELE YA MUMEWE 🤣🤣🤣

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว

    Huyo ngombe aliesahaulika na wamasai akalelewa na nyati huoni hizo pembe azifananni na nyati??

    • @mindrelaxationch1259
      @mindrelaxationch1259 2 ปีที่แล้ว

      huyo ni ngombe kabisa, hata mtoto mdogo humdanganyi. hata hao nyati wenyewe kama wanamtenga hvi

    • @fathimamct232
      @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว

      @@mindrelaxationch1259 😂😂😂😂😂😂

  • @piusmelkizedeck9823
    @piusmelkizedeck9823 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa serikali ingefanya mpango wa kumpeleka kwenye Zoo ili kumlinda na hali ya hewa

  • @awadhahmed1662
    @awadhahmed1662 2 ปีที่แล้ว

    Huo ni ugonjwa kuna mdudu akimng'ata anabadilika rangi...

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 2 ปีที่แล้ว

    Rais wafukuze kazi hao walinzi wote haiwezekan nyati wamekua wazee mpaka leo hawajawahi kumuona wanalinda nini hao nyati wametoka wapi sasa

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 ปีที่แล้ว

    Nyati na ng'ombe Hana tofauti sana

  • @charlesdeuslugwisha7594
    @charlesdeuslugwisha7594 2 ปีที่แล้ว +3

    Wizara ya maliasili na utalii tunaiomba imlinde nyati huyu ili azae wengine na kuwa na idadi nyingi ya nyati kama hawa wa ajabu

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 2 ปีที่แล้ว

      Yaweza kuwa albinism

  • @mtumaijumaabdallah9764
    @mtumaijumaabdallah9764 2 ปีที่แล้ว

    Nyati hao wapewe ulinzi au wawekwe mahalo maalum wasije wakashambuliwa na simba

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 2 ปีที่แล้ว +1

    HUYU NI CHOTALA WA NG'OMBE NA NYATI

  • @anitasamson7850
    @anitasamson7850 2 ปีที่แล้ว

    Mlindeni vizur anapendeza asije akaliwa na wanyama wakali wenye uchu wa nyama.

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 2 ปีที่แล้ว

    Tarangire hipo babati kweli???!!!