WIFI ZANGU VJB

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 170

  • @denismasele4130
    @denismasele4130 วันที่ผ่านมา +1

    2025 gather here ni kwa neema tu

  • @yvonneirakiza3990
    @yvonneirakiza3990 4 ปีที่แล้ว +6

    2020 tuko wangapi? Tujuane tunaoskiza hii 2020

  • @chudabad6539
    @chudabad6539 4 ปีที่แล้ว +8

    9:40 namkumbu mama angu nikiwa mdogo ananiogesha huku anaimba hiki kipande I love momy

  • @aishamkomwa6125
    @aishamkomwa6125 4 ปีที่แล้ว +1

    Halooooo weeenuna mpaka upasuke mdomo Mimi nipo nakakaako iloooo wifi kijini.hongera kiida waziri kwa mziki

  • @jacksonjohn5686
    @jacksonjohn5686 ปีที่แล้ว +1

    Naangalia hii nyimbo huu ni mwaka 2023

  • @sufianihoza3098
    @sufianihoza3098 3 ปีที่แล้ว +3

    Umenikumbusha mbali sana

  • @josephmichael2225
    @josephmichael2225 5 ปีที่แล้ว +4

    Midomo ya bata na hilo guitar la solo noma noma sana heshima yako shomari ally

  • @claudwasslem1119
    @claudwasslem1119 5 ปีที่แล้ว +5

    Nakumbuka mbali cn kipindi hicho nipo iwalanje nalima kaloti

  • @mustafamatata3795
    @mustafamatata3795 9 หลายเดือนก่อน

    Way back kibaha ...kota (tanita) nikitoka shule hii nyimbo lazima ipigwe kipindi cha mchana mwema RTD .....KIDA WAZIRI

  • @joycethomas93
    @joycethomas93 4 ปีที่แล้ว +3

    Wazamani wakuje jmn mawifi

  • @abdalahasssni4759
    @abdalahasssni4759 5 ปีที่แล้ว +3

    Wachaaa weee zamani kulikuwa kutamu

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 4 ปีที่แล้ว +3

    Nipo shule darasa la tatu kule kisiwani Pemba ,,,

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 6 ปีที่แล้ว +26

    Wangapi bado tunaangalia 2018 🙋🙋❤❤

  • @rosemwaijande8289
    @rosemwaijande8289 5 ปีที่แล้ว +7

    Wimbo unanikumbusha mbali sana kipindi cha maziwa na asali ukiingia kwenye ndoa wamekuchuja hasa mpaka kukubalika leo hii asubuhi mnakutana mwendo kasi jioni ndoa

  • @davidmwambona7685
    @davidmwambona7685 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe acha mkuu Leta zingine sio za kanyaga zinatuchanganya

  • @focusbusili2984
    @focusbusili2984 5 ปีที่แล้ว +23

    2019 tukowangapi tujuanee hatwaaaaaaaleee

  • @patsonnzogoro790
    @patsonnzogoro790 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama umeuona dimoso like here

  • @sangomamoricee6533
    @sangomamoricee6533 5 ปีที่แล้ว +8

    kida wazirii ktk umahiri unaotisha Sana asante mungu kwa kunijaria kukuona live ukiwajibikaa

    • @tiffahcammy31
      @tiffahcammy31 หลายเดือนก่อน

      Huyu cyo kida waziri ni NURU MHINA baby white

  • @ElishaMahelela
    @ElishaMahelela 5 วันที่ผ่านมา

    Nipo hapa mdau najikumbusha

  • @fransicochunji327
    @fransicochunji327 6 ปีที่แล้ว +7

    Ukweli wadau song hili linaigusa jamii mojakwamoja! Asante sana.

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 2 ปีที่แล้ว +1

    Mjo, Rashid, pembe, mjo, adara, mngona zeri,

  • @mabeleleheven1467
    @mabeleleheven1467 9 หลายเดือนก่อน

    Old is gold umenikumbusha mwaka huo nipo Bwiru boys sec,wapi juma muhina ,Jabes mayunga tupa tupa,

  • @victoriageoffrey5926
    @victoriageoffrey5926 ปีที่แล้ว +4

    Wangapi bado tunaangalia huu wimbo 2023

  • @wamupepe120
    @wamupepe120 4 ปีที่แล้ว +1

    Heshemiya baba ,abudu maman ,sikiliza mkubwa , basi navyote Vina endeleya SAFI.

  • @faustajohn8812
    @faustajohn8812 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikisilizaga wimbo huu huwa najisikia Raha Sana

  • @ifakaraenvironmentcdoorg2559
    @ifakaraenvironmentcdoorg2559 5 ปีที่แล้ว +2

    mbali sana sizani kama itarudi ya zamani yamekwisha eeeeenda niko kigogo ccm tunakura magimbi ya mama koba

    • @tindokamuti8142
      @tindokamuti8142 3 ปีที่แล้ว

      Aloo nani wew ,Mimi niposouth lkn Kigogo kama yangu

  • @Semnyawenda
    @Semnyawenda 5 หลายเดือนก่อน

    Kida waziri wa nyumbani kabisa safi sana!🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @ngonyani1
    @ngonyani1 5 ปีที่แล้ว +3

    Naelewa mazoeea….yana taabu…. Dimoso umenikumbusha mbali sana kipindi niko shule sina mke nausikia wimbo huu mpaka leo yaliyoimbwa humu nikayaona mwenyewe…..Wimbo mkubwa sana huu

  • @omaryally5904
    @omaryally5904 4 ปีที่แล้ว +1

    Kila nikitazama na kusikia nakumbuka marehemu mama ang... Mungu mpumzishe kwa aman

  • @davidmwambona7685
    @davidmwambona7685 3 ปีที่แล้ว +1

    Izi ndo nyimbo zazichujii

  • @hamadhamad9404
    @hamadhamad9404 4 ปีที่แล้ว +2

    KIBAO KILIENDA SHULE KWA ASLIMIA100/

  • @hashimmgunya8648
    @hashimmgunya8648 3 ปีที่แล้ว +2

    hoza

  • @kakarasmuuzages7490
    @kakarasmuuzages7490 ปีที่แล้ว

    Aiseee nimelia sna nimemkumbuka kaka yangu ambae Kwa sasa ni marehem 😭😭😭

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 ปีที่แล้ว +10

    Daah wimbo huu nakumbuka kitambo sana hizi ndizo nyimbo zenye kueleweka

  • @sibongilemasina8779
    @sibongilemasina8779 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa yakua mapenzi yana dawa sio mchezo, Dimosso mwenyewe ndani ya nyumba

  • @Msangasenior-lq2uo
    @Msangasenior-lq2uo ปีที่แล้ว

    Kida waziri,,,,hatari sana

  • @FrankWilsondulle-em9fu
    @FrankWilsondulle-em9fu ปีที่แล้ว

    Safi Sana zilipendwa

  • @zacharianjanga
    @zacharianjanga 9 หลายเดือนก่อน +1

    bonge la wimbo

  • @dennisgeorge9362
    @dennisgeorge9362 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka mbalisana

  • @SangomaSengwaji
    @SangomaSengwaji 6 หลายเดือนก่อน

    Sijui dunia hii iliyokosa upendo yenye chuki kisirani na kila baya km huu wimbo unawahusu asante vijana jazz ni moja kati ya band kumi bora za moyo wangu mie hapo ninao pia dar international chini ya jabar la music wapo pia sikinde na mahasimu wao msondo namleta kwenu zahir aly zoro naileta sauti ya maana kabisa kutoka kwa mtu wa maana sana Ramadhani mtoro Ongala daaah maisha mafupi

  • @allysuleiman9217
    @allysuleiman9217 6 ปีที่แล้ว +5

    mm natamani Julia kuikosa miziki kama hii kwa sasa

  • @VENASRICHARD-q6y
    @VENASRICHARD-q6y 16 วันที่ผ่านมา

    Wimbo unanikumbusha mwaka 1995 nikiwa sengelema butonga nikiwa kwenye kulima maarufu kibarua

  • @alhajititu5772
    @alhajititu5772 4 ปีที่แล้ว +15

    Wangapi bado 2naangalia 2020

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana.

  • @allymtawa-dy4km
    @allymtawa-dy4km ปีที่แล้ว

    Huu wimbo ukikaa pekeako then ukisikiliza unaweza kutokwa machozi aiseeeee dah...unanikumbusha mbali sana kipindi hicho Tanzania imetulia. Holiday unaijua, weekend unaijua, working days unazijua. Ukienda kujijini Raha ukienda mjini Raha dah...Mungu turudishie Tanzania yetu

  • @jaredowino7992
    @jaredowino7992 ปีที่แล้ว

    Jamani Kida Wazir alikuwa anatufurahisha sana kwenye bendi hii ya Vijana, bado anaendelea na muziki?

  • @khamissalum431
    @khamissalum431 4 ปีที่แล้ว +1

    Safii sana vijana jz

  • @tumainimalulu7708
    @tumainimalulu7708 ปีที่แล้ว

    Nadhani huu ndio wimbo wa mwisho Hemed Maneti kushiriki. Sauti yake inaanza mwanzo pale.

  • @WilliamJones-n1z
    @WilliamJones-n1z 24 วันที่ผ่านมา

    Keeling Cape

  • @ambrocendomba2167
    @ambrocendomba2167 3 ปีที่แล้ว +1

    inanikumbusha mbali sana hii nyimbo

  • @DarlenePeral-t9b
    @DarlenePeral-t9b 18 วันที่ผ่านมา

    Amina Loop

  • @medausmkono722
    @medausmkono722 5 ปีที่แล้ว +3

    Naelewa mazoea yana tabu lakini nitajitahid kusahau r.i.p. kida waziri bado tuko pamoja 2019 nyimbo nzuri ujumbe mzuri nilikuwa mdgo sana enzi hizo

    • @balozichalamila4034
      @balozichalamila4034 5 ปีที่แล้ว +2

      Kida waziri yuko hai bado

    • @omaryshabani9372
      @omaryshabani9372 3 ปีที่แล้ว

      @@balozichalamila4034 yap.

    • @abdallhamjegele5582
      @abdallhamjegele5582 ปีที่แล้ว

      Kida yupo hai mzee nasikia yuko Arusha ila wapenzi wa mziki tulimuomba siku moja ajitokeze kutupa hbr za zamani

    • @mustafamatata3795
      @mustafamatata3795 9 หลายเดือนก่อน

      Kida alifariki?

    • @mustafamatata3795
      @mustafamatata3795 9 หลายเดือนก่อน

      Mara ya mwisho nilimsikia ktk mahojiano ya TBC FM...akielezea changamoto alizopitia za ugonjwa.....

  • @HabibuThabiti
    @HabibuThabiti 7 หลายเดือนก่อน

    Vijana jazi tu sio nyingine

  • @glorymtenga6182
    @glorymtenga6182 7 ปีที่แล้ว +15

    mambo ya wahenga hayo saafi sana siyo sawa na miziki ya sasa isjyokuwa na kichwa wala miguu

    • @vonmos4890
      @vonmos4890 6 ปีที่แล้ว

      Zilipendwa ni noma sana jamani

    • @vonmos4890
      @vonmos4890 6 ปีที่แล้ว +1

      Zilipendwa ndio miziki bora, ila bas tu

    • @rukiasalum7628
      @rukiasalum7628 2 ปีที่แล้ว

      Haaaa.hakuna miguu wala kichwa

  • @abdallhamjegele5582
    @abdallhamjegele5582 ปีที่แล้ว

    Duuu unanikumbusha Morogoro jamuhuri Siku Rais Mandela naMkeo winnWanaingia nakupigiwa huo wimbo nikimuona laivi Kida wazili acha tu zamani rahaa bwana

  • @salmamacha9434
    @salmamacha9434 ปีที่แล้ว +1

    Nipo hapa 2023 jamani mawifi uwiiiii wapunguze jamani

    • @dmtv5152
      @dmtv5152  ปีที่แล้ว

      hahahaaaaaaaaa

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 5 ปีที่แล้ว +3

    Nawakumbuka mama zangu wote mungu awalaze pema

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 3 ปีที่แล้ว +7

    This song takes me back 1993 when I was still home (Zanzibar). Our house girl, Tatu S. A. Mng'ombe used to sing that song every day. Where are you Tatu? I know you're from Gendagenda, Tanga. I didn't see you since then. I miss you!😢😢😢

  • @salmamacha9434
    @salmamacha9434 ปีที่แล้ว

    Duh mawifi acheni

  • @MuhidiniJuma-ld9dk
    @MuhidiniJuma-ld9dk 4 หลายเดือนก่อน

    Hiligoma siomchezo

  • @josephatmakuka4860
    @josephatmakuka4860 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika

  • @edwinkachenje7677
    @edwinkachenje7677 6 หลายเดือนก่อน

    2024 naangalia

  • @brysonkaale3003
    @brysonkaale3003 ปีที่แล้ว

    Hapo ndipo neno " kuachwa kwenye mataa ,lilikoanzia!,Kida waziri.

  • @JoshuaMoyo-y2r
    @JoshuaMoyo-y2r 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbushia

  • @Elizabeth-mw4mo
    @Elizabeth-mw4mo 6 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania tuna utajiri mkubwa sana gone are the days kwakwel

    • @Shammy-rn3tn
      @Shammy-rn3tn 4 ปีที่แล้ว

      Sumu imemwagwa na bongo fleva. hawajui kupiga chombo hata kimoja. ni makelele tu kuruka ruka na nywele utafikiri wametoka kwenye Mars.

  • @sibongilemasina8779
    @sibongilemasina8779 4 ปีที่แล้ว +4

    Fantastic good job Vijana jazz,
    Old is gold always

  • @fransicochunji327
    @fransicochunji327 6 ปีที่แล้ว +2

    Vyema sana wajomba,ujumbe umefika.great song

  • @doricamussa5138
    @doricamussa5138 7 หลายเดือนก่อน

    Mawifi. Wenyekiereere

  • @immanuelmwaipopo1605
    @immanuelmwaipopo1605 3 ปีที่แล้ว +2

    Waloimba ndio hawa kwenye video au hawa wamekopi tu maneti ni yupi hapo jamani msaada

  • @EzekielMely
    @EzekielMely 4 หลายเดือนก่อน

    Shomari omary kwenye solo

    • @dmtv5152
      @dmtv5152  3 หลายเดือนก่อน

      Nikweli anaitwa shomari Ally ktk solo Gitaa

  • @zedysaidhanas1568
    @zedysaidhanas1568 7 ปีที่แล้ว +6

    nzuri sana hizi ndio nyimbo zenye maadili bhana

  • @donnymwenda896
    @donnymwenda896 8 ปีที่แล้ว +4

    Ya kale ni dhahabu, hakika muziki huu unatamani mtu uzaliwe upya lkn ndo haiwezekani

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 4 ปีที่แล้ว +1

    James Mawila! Mtoto wa Kiwalani!

  • @gemamwakyusa6100
    @gemamwakyusa6100 ปีที่แล้ว

    Hiki kibao bado kitamu sana

  • @edwinkachenje7677
    @edwinkachenje7677 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi Fredy Benjamin yu wapi jaman

  • @issaally4554
    @issaally4554 6 ปีที่แล้ว +11

    akika nyimbo hizi zina mafunzo mengi mazuri siyo kama za sikuizi, zawahuni

  • @PotentineTheonesti
    @PotentineTheonesti 6 หลายเดือนก่อน

    Shule ya hekima

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 ปีที่แล้ว +6

    Huu ndo muziki mpaka leo unsikia raha kuangalia 2018

  • @hamadhamad9404
    @hamadhamad9404 4 ปีที่แล้ว +3

    OLD IS GOLID

  • @fabianalexdesigns
    @fabianalexdesigns 4 ปีที่แล้ว +1

    2020 tujuane tuliopita hapa 😂

  • @mlamanlike_abdul2534
    @mlamanlike_abdul2534 4 ปีที่แล้ว +2

    2020 still watching this

  • @simonliberio5563
    @simonliberio5563 8 ปีที่แล้ว +7

    KWELI old is gold, very ataiming

  • @ayshaysh3326
    @ayshaysh3326 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi wa original wapo hapo kwa mnaowajua?

  • @focusbusili2984
    @focusbusili2984 6 ปีที่แล้ว +4

    kuwasema naogopa nitakuja gombanisha asante dada pili

    • @mtaninjegere6060
      @mtaninjegere6060 4 ปีที่แล้ว

      Sio pili. Ni Kida Waziri

    • @tiffahcammy31
      @tiffahcammy31 ปีที่แล้ว

      Cyo pili wala kida huyu alikuwa anaitwa Nuruh Muhina ameshafariki

  • @shabanikifumba587
    @shabanikifumba587 3 ปีที่แล้ว +1

    Yondo

  • @scholambalila9691
    @scholambalila9691 7 ปีที่แล้ว +8

    very amaizing song. old is gold

  • @FrancisgalusMbonde
    @FrancisgalusMbonde 8 หลายเดือนก่อน

    Enzi za wahenga ajuae maana redio ya mkulima 77

  • @davidsheguni7166
    @davidsheguni7166 11 หลายเดือนก่อน

    Wif zangu kamiri

  • @hizzersamwel2838
    @hizzersamwel2838 7 ปีที่แล้ว +4

    Daah zamani raha sana!!

  • @wamupepe120
    @wamupepe120 4 ปีที่แล้ว +1

    Très bien comme percussions ,images, présentation ,waimbaji ,wacheza namke kitoko cheftaine ,Njoo bien ivo..

  • @neemangadi7038
    @neemangadi7038 4 ปีที่แล้ว +2

    Tunaoangalia huu wimbo 2020 tujuane

  • @KalebuPhares
    @KalebuPhares 8 หลายเดือนก่อน

    2024 tupo

  • @peresisilikale3789
    @peresisilikale3789 6 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana ndo walivo mawifi asilimia kubwa. #Peacefull.+ old is gold. 🎄 🎅 👏👏👏

  • @ramadhanmzilangwe8707
    @ramadhanmzilangwe8707 6 ปีที่แล้ว +2

    nicesong

  • @thomasathanas3957
    @thomasathanas3957 5 ปีที่แล้ว +3

    When music was music dah

  • @ashamnaida5304
    @ashamnaida5304 3 ปีที่แล้ว +3

    2021

  • @elivtv.baseafrica3988
    @elivtv.baseafrica3988 6 ปีที่แล้ว +3

    Vedio hii tulikuwa tunaangalia mwaka jana na bibi ang Nimemkumbuka bibi yangu kipenz magreti upumzike kwa amani bibi angu

  • @RamadhaniMpombe
    @RamadhaniMpombe 6 หลายเดือนก่อน

    2po

  • @immahfred2127
    @immahfred2127 7 ปีที่แล้ว +11

    wakati muziki ulikua muziki, cku iz hamna kitu!!

  • @josphatambokile1523
    @josphatambokile1523 8 ปีที่แล้ว +5

    nyimbo tambo japo mimi kijana wa leo