Sielewi lipi nitakutendea kuridhisha roho Yako badala la changa la aibu mbele ya wenza! Lipi lakuponyesha roho, Dada. Hatari kubwa!! Dr. Ogeto International
Wimbo Tereza unanikumbusha mbali sana wakati huo na maratlfiki zangu tulikuwa tunapenda kwenda vijana na baadhi ya marafiki zangu wametangulia mbelle za haki mungu aendelee kuwalaza mahali pema
Natamani sana wimbo huu ukapitishwa kwenye mitambo ya kisasa ili iongezwe usikivu mzuri!. Sauti yenye punch ya Jerry Nashon inakata mawimbi barabara sana akipanda na kushuka. Huu ni moja ya wimbo unaweza kunitoa machozi japo nilikuwa mdogo sana enzi hizo!.
Upigwapo wimbo huo nawakumbuka sana marafiki zangu tuliokuwa tunatoka KARIAKOO, JANGWANI SAID, MWINYI KHAMIS, NASIIB, MASIGA hawa wote kipindi hicho tupo Young Kids chini ya kocha Marehemu Kessy Tarzan. Ni KITAMBO SANA
Hivi huu wimbo umetoka mwaka gani maana niliusikia kwa mara ya kwanza mwaka 2005 nikiwa darasa la 3 ingahawaje nilikuwa mtoto lakini nilikuwa naupenda sana.
Ama hakika ukisikiliza nyimbo hizi kwanza unapata ujumbe ulotulia vizuri poili unapata mipangilio ya vifaa AMBAPO hauwezi kuzima radio mpaka wimbo unapokwisha yaani ni Raha tupu!!
RIP Dudumizi. Miziki yake hasa Thereza imenikumbusha wkt nasoma chuo kikuu. Naomba mtu a post wimbo wa Jerry ulikuwa unaitwa joy Joy joy dada Joy joy mie Toto la kimakonde lime......
nyimbo hunifanya nimkumbuke binti mmoja 1992 shule ya msingi hananasif kinondoni alikuwa anaitwa Irene joseph alikuwa mzuri smati na wanafunzi walimbabakia bila ya mafanikio ama kweli nyimbo ni silaha pekee inayomfanya my arud kwa muda mahali alipotoka!
unanikumbusha vijana jazz band walipiga zanzibar mess polisi tuliachungulia ya miti na rafiki yangu hatuna pesa wadogo wanafunzi pia wanted shebi hongera
Ukisikiliza huu wimbo kwa umakini unagundua kabisa hivi vilikua vipaji na hawa wasasa ni njaa ndo inawasukuma
2:07 😊 2:10 😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅😊😊😊😊😮😅 3:14 😊😊😊😂😊😊😊😊
Theirs was real passion for music.
Theirs was real passion for music.
Moja kati ya wimbo ninaupenda sana hakika music ni zaid ya album asante jery dudumizi na vijana yako
Miaka ya 80
Sielewi lipi nitakutendea kuridhisha roho Yako badala la changa la aibu mbele ya wenza! Lipi lakuponyesha roho, Dada. Hatari kubwa!! Dr. Ogeto International
Hii ni kati ya nyimbo bora kabisa kuwahi kutokea katika historia ya mziki wa Tanzania, hakika zama zinapita na vipaji vinapotea.
Hata ingawa kiswahili chanilemea kiasi, huyo mwana muziki aliwika zama zile na hata sasa
😢😢😢😭😭😭 mm naumia tu namkumbuka baba Mungu ailaze roho yake pazuri peponi inshaallah
Moja Kati ya nyimbo Bora mno mno kuwahi kuimbwa kwenye uso huu wa jamuhuri tangu kuzaliwa kwake 1961
Marehemu Chiriku Maneti kweli uliipa ulimwengu wa muziki zawadi kwa nyimbo zako moto moto. Rest in peace.
2023 still one of my favorite
Udanganyivu wa penzi na hatri. Weka wazo na pendo kwa sahani Moja. Changanisha ni hawamu ya opotevu. Dr. Ogeto International
Baraza lasanaa tanzania nimamluki wa magharibi lengo laokubwa ni kupoteza nizam yaafurika watukama huyu shoga nasibu nyimbo zote nimapenzitu yani
Wimbo Tereza unanikumbusha mbali sana wakati huo na maratlfiki zangu tulikuwa tunapenda kwenda vijana na baadhi ya marafiki zangu wametangulia mbelle za haki mungu aendelee kuwalaza mahali pema
kula chuma hicho2023 june❤ wazee wetu mlitisha
This song runs so deep, you can feel his pain in every word.
definitely,true l like to play this song more frequent.
Very true, I even don't know what would become of me, Incase were in that quagmire
Natamani sana wimbo huu ukapitishwa kwenye mitambo ya kisasa ili iongezwe usikivu mzuri!. Sauti yenye punch ya Jerry Nashon inakata mawimbi barabara sana akipanda na kushuka. Huu ni moja ya wimbo unaweza kunitoa machozi japo nilikuwa mdogo sana enzi hizo!.
Sio wewe tu tuko wengi
kila jambo lilisimama lilipostahili asante wakuu nakumbuka Home tz
Nakumbuka mbali sana, nikiwa kijana wa miaka 24 nikiwa ndio naanza kaxi NBC
nakumbuka mwaka 1991 tukiwa chidya sekondar tunasikiliza wimbo huo kipindi cha ombi lako toka RTD
Ally Nayomo chiwata
Hii inanikumbusha mbali sana Manzese Midizini tukiganga maisha na wazazi kipindi mimi ni mdogo , acha kabisa unaweza kulia
Maeneo yetu hayo. dah midizini
Mi wakati uo nilikuwa kwa shekh kione
Big hit .nimeitafuta siku nyingi tu.best of Vijana jazz.thanks man for uploading
Kazi nzuri ya Jerry Nashon, Sulemain Mbwembwe, Hemed Maneti. Vijana Jazz ya ukweli,
Tulikua tunafaidi sana hizi nyimbo
Reminds me of when I was in my youth
Nyimbo za enzi hizo zilikuwa na maudhui mazuri.
Old is gold,i can't say enough of this song.
InstaBlaster...
Machozi yananitoka tu. Sina la kusema. Namkumbuka mbaaaali mnooo miaka ya 1988 Hadi 1992.
RIP mliotutangulia, Rip Linner.
Hasante chiriku marehemu manet
Hatari kubwa! Kusahau sura yake siku ya harusi. Siamini kamwe, labda mambo ya kababa!! Dr. Ogeto International
Kwa hakika iyo ndio ilikua miziki iliobeba ujumbe na mafundisho sasa sijui basata wanakubari vipi kupoteza nyimbo zenye mafundisho.
Jerry Nashon "DUDUMIZI" na EDDY SHEGY "SAUTI YA ZEGE" walipamba sana tasnia ya muziki. Hii ilikuwa weka mbali na watoto
Adam Bakari ndio sauti ya zege.
Eddy Sheggy ni fast mover
Mjomba wangu Ali Kasongo alikuwa ananipeleka pale Vijana Halll ili nikawqone hawa wanamuziki
Naomba mungu siku moja nikutane nao, wote, kuwa naomba. Namba za simu,
Jer Nashon,seleman mbwe mbwe,hemed manet wameshachukuliwa na muumba ,kidev wa kinanda kafarik mwaka huu januar
Hemedi Maneti Chiriku ni moto wa kuotea mbali. Ilibidi kushusha Zima moto kuponea chupuchupu. Dr ogeto International
Nakumbuka kitambo sana katika ukumbi wa Vijana Hostel VIJANA DAY kila SUNDAY
music ndio kitu pekee kinachoturudisha pamoja asante
Jamani izi nyimbo ndio basi tena Raha imekwisha zimebaki karaha Tu nyimbo zisizoeleweka Mimi siku zote siwezi kuimba nyimbo za sasa
Hivi nashon na eddy sheggy waliwahi kuimba band moja kwa pamoja. Si balaa hilo. !?? Vipaji adimuv sana
Yeah waliiba Julie utafute hautajuta
Asante nilienda kutafuta nimekuta waliimba wimbo wa "wivu" wakiwa vijana jazz.
Hivi Leo Dunia inaelekea wapi, namaana vijana hawasikilizi hata nyimbo za kuelimisha kama hizi!?
Benedict Adamson /siku hizi vijana hawana tafsida (lugha ya picha) kila kitu wanaanika had I ikisikiliza unaona aibu!
Nakumbuka mbali sana miaka ile makwizi kwakweli kwa sasa amna miziki tena
Taratibu na Kazi zinakwenda,nakumbuka mbali sana.
Asante.nimefurai na kuhudhunika.
When Music was music. I miss those days.
Sure bro. Maisha yamebadilika sana.
Nimeipenda, vijana Jazz wananikumbusha ujanani
Nyimbo hii inanikumbusha mbali sana.
Wananikumbusha enzi ya Dunia ilikuwa tulivu, imani ya watu, heshima na mengineyo mazuri
Nakumbuka mbali enzi hizo vyuma vilikuwa vimekaza sana sio sasa Rtd hasa kipindi cha salam kwa wagonjwa
Upigwapo wimbo huo nawakumbuka sana marafiki zangu tuliokuwa tunatoka KARIAKOO, JANGWANI SAID, MWINYI KHAMIS, NASIIB, MASIGA hawa wote kipindi hicho tupo Young Kids chini ya kocha Marehemu Kessy Tarzan. Ni KITAMBO SANA
inanikumbusha enzi uhaii Wa baba yangu aliupenda sana wimbo huu
Nakumbuka sana yaani wewe. acha tu. mziki wa zamani unamafundisho makubwa sana.
Wimbo huu pia unanikumbusha marehemu Shaaban Yohana Wanted ,Jerry Nashon ,Suleiman Mbwembe na wengine wengi ilikuwa hatari sana
Bila shaka tutakutana Mbinguni!
Hivi huu wimbo umetoka mwaka gani maana niliusikia kwa mara ya kwanza mwaka 2005 nikiwa darasa la 3 ingahawaje nilikuwa mtoto lakini nilikuwa naupenda sana.
Ulitoka mwaka 1991
Nakumbuka niko knondoni mkwajuni mafele street na akina sugar, mbetu juma limonga.
Ama hakika ukisikiliza nyimbo hizi kwanza unapata ujumbe ulotulia vizuri poili unapata mipangilio ya vifaa AMBAPO hauwezi kuzima radio mpaka wimbo unapokwisha yaani ni Raha tupu!!
Hatari sana vijana jazz inanikumbusha mbali sana
This is the powerful voice of Dudumizi Jerry Nashon Omoro alipokuwa na Vijana Jazz
+Saad Mazen Omolo
We Acha!
Vijana kama vijana
Old is gold
Tunzi muruua sana
So greaty!!
Unanikumbusha
Miaka ya1990
Nilipokuwa na mpenz wangu aliyekwisha tangulia mbele ya haki
Mungu ampatie pumziko jema
Vijana jazz, nakumbuka 1992/93 nikiwa nakipiga Mikumi National Park, Geofray Mashoto alitaka kuliwa na simba
Kaka unanikumbusha ba mdogo marehemu chondoma ndani ya gitaa na mkewe juli yupo mpk ss,,
Wajomba zangu nawa kumbuka,. Sana,
Ama kweli kila zama na zama zake,radha halisi ya muziki wa TanzaniA
Kila zama na wakati wake nakumbuka ni 1990
Huu ni wimbo ambao uikua ukichezeka kwenye madisko. Ukipita kariakoo kila kibanda cha kaseti kilicheza wimbo huu
Aziimbiki jamani nyimbo za matusi Tu
Enzi hizo radio aina National za mjapani na mbili sabasaba dudu proof betri zinatumika zaidi ya miezi miwili we acha tu
inatukumbusha mbali sana kwanini tv zisiwe na vipindi maalum ht one hour live
R.I.P Jerry Nashon, Asante Power Nguzo kwa hii good memory
RIP Dudumizi. Miziki yake hasa Thereza imenikumbusha wkt nasoma chuo kikuu.
Naomba mtu a post wimbo wa Jerry ulikuwa unaitwa joy
Joy joy dada
Joy joy mie
Toto la kimakonde lime......
Wimbo ule unaitwa bint afrika upo kwenye albam ya top qween Joyce mtoto WA kimakonde ni moto sana nazuzuka kwa ndonya na machale yake ya asili
Vijana jazz-tereza ulibamba sana. Ahsante Kwa aliyeupost.
Maneti mhamed gotgota hii ilisababisha nikaowa jina tereza mziki mtamu
Drive me crazy...Jerry Nashon hakuwa mtu wa kawaida
Nakumbuka wakati huo kipindi ni redio tanzania RTD kuna kipindi kiliitwa kombora asubuhii zilikuwa zikipingwa.
ninomaaaa tereza band yangu namba moja
Mjomba kinanda, muhando,
Yakale dhahabu jamani hapa nimekujita Nina furaha.enzi Raha sana
Kuna watu hawakutakiwa kuwa mapema aiseeee
Vijana jazz mlikua vema aiseee
Wimbo huu umenikumbusha mbali San
Old is gold.
Nyimbo zinanikumbusha mbali sana tereza VIP
Naupenda balaa
Ama kweli unanikunaga pa zaman
Power nguzo long time
Nice Music we have
Vijana jaz Bujumbura
Nina swali kwa mwenye ufaham. Hivi hii Band ya vijana jazz bado ipo?Na kama ipo huwa wanapiga kumbi gani kwa Dar es Salaam?
Bendi haipo tena mkuu
That hurts! 😢😢😢
Pumzika kwa amani Jerry Nashon Dudumizi
baada yap edy shegy hamza kalala manet aliisuka upya
nyimbo hunifanya nimkumbuke binti mmoja 1992 shule ya msingi hananasif kinondoni alikuwa anaitwa Irene joseph alikuwa mzuri smati na wanafunzi walimbabakia bila ya mafanikio ama kweli nyimbo ni silaha pekee inayomfanya my arud kwa muda mahali alipotoka!
ulikua hananasif dah umenikumbusha home kitambo sana
Hananasif home sweet home
akikupa busu la shavu nitakupa la kinywani nakumbuka mbali Sana
Hizi nyimbo zilikua zinatisha
Sana kaka!
Bg up xana? Nawakubali vijana jazz kwa nyimbo zao mahili na zenye ujumbe mzuri?
Yasikie tuu yakisimuliwa, ila yasikukute.
Ni ukwel kabisa
OLD IS GOLD
safi sana
izi ndio zilikuwa nyimbo ata unaweza kuzisikiliza sio za asaivi za kubana pua
Mambo ayo 😃😀😃
Naughty Theresa
aibu umenipa mama..
Nakumbuka tanga bara 13 bado niko primary school hisiakalisana acha tuu
unanikumbusha vijana jazz band walipiga zanzibar mess polisi tuliachungulia ya miti na rafiki yangu hatuna pesa wadogo wanafunzi pia wanted shebi hongera
Hapo Manet alishakufa mwaka 1988
Nipicha ya nani iyo ,shut man ?
haaaa
mziki wa ukweli
saf sana
Japo tunaitwa waenga lakini tuliinjoi sana
Solo ya Shabani Yohana wanted
ulikuwa mxiki usiyochuja
Duh