DC ALIYEBAINI MADUDU SOKO LA MABIBO AMWAMBIA RC "ETI WANATAMKA KUICHOMA MOTO GARI YA HALMASHAURI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2023

ความคิดเห็น • 25

  • @FettyCoca-nb4gh
    @FettyCoca-nb4gh 9 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi safi mwenye uweledi wa kutosha tunashukuru maboresho yameanza asanteni kwa kutujali.🥰

  • @bakariadamu6068
    @bakariadamu6068 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mkuu wa wilaya ngangari mkuu wa mkoa nganagari mnatuwakilisha vizuri sana

  • @nathushanani9610
    @nathushanani9610 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri mheshimiwa

  • @winfredkaroli5065
    @winfredkaroli5065 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe bado wapo viongozi kama hawa wajasili hivi ,hongera sana mheshimiwa ,

  • @kimangu1
    @kimangu1 11 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa Ni wa haki kuliko chal

  • @user-se3dl4sx2u
    @user-se3dl4sx2u 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 11 หลายเดือนก่อน +3

    Soko ra mabibo ni chafu sana na miundominu mibovu wakusanya ushuru wara wao tu

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi indelehe

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 11 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana mkuu! Pambana Mungu Atakusimamia.

  • @agnellamwita6733
    @agnellamwita6733 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli…soko la Mabibo linahitaji marekebisho

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 11 หลายเดือนก่อน +2

    Naenda viongozi wanaofwatilia mambo ya wananchi.

  • @mvullamanase
    @mvullamanase 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ripoti ya Mapato imeanza Kuchezewa Baada ya MAGU kufariki.... Sahv sio Soko la Mabibo tu, Kila sehemu Kumeozaa

    • @muuminikidunda9214
      @muuminikidunda9214 11 หลายเดือนก่อน

      Ila bahati mbaya wakati huohuo wa magu licha ya makusanyo lilikua bovu na chafu

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mama ebu jaribu kumuangalia kwa jicho la pili huyu mkuu wa Wilaya ya Ubungo ni mtenda haki,anachapa kazi kweli kweli!yupo vizuri saaana!

    • @mariachristian3585
      @mariachristian3585 11 หลายเดือนก่อน +2

      Anapambana yaani anakuja mpk uchochoroni huku anatembea mno kwenye vituo vya watoto yatima.Huyu Dc Mungu amuongoze.Pia ukitoka huko na mbezi mwisho.

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@mariachristian3585 Kabisa!ukiwa na hofu ya Mungu lazima utende haki!huyu jamaa amebarikiwa sana ana hofu ya Mungu

  • @RamadhanOmar-ow1ki
    @RamadhanOmar-ow1ki 11 หลายเดือนก่อน

    Soko la mabibo kwa kweli ni basi tu mpaka leo hakuna kinachofanyika miaka yote soko chafu sana tena sana kwa kweli hata vipi lingefungwa lifanyiwe marekebisho .

  • @fettyrashid9042
    @fettyrashid9042 11 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah Mashaallah mie nikona Sigda tu kwa mwanaume mie hoiiiiiii❤🙈🙈🙈🤲🙏🌹

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 11 หลายเดือนก่อน

      wewe Fetty weweee

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 11 หลายเดือนก่อน

      @@rayisadesigns2646 Nini tena Jamani ?

  • @DaudyJakaya-qm9qo
    @DaudyJakaya-qm9qo 11 หลายเดือนก่อน

    Km hujualewa simu 2000 uliza we ulie nje y dar

  • @abrahammollel3558
    @abrahammollel3558 11 หลายเดือนก่อน

    Mje soko la Tegeta nyuki maji ya choo yanatiririka barabarani hapohapo ndio damp hapohapo ndio mizigo inashwa njooni muone

  • @user-rv7zt6tj3d
    @user-rv7zt6tj3d 11 หลายเดือนก่อน

    Kama mapato yanakusanywa na soko lenyew bovu chafu, mazingira hayana mpangilio sasa hela hizo wanakula akina nani na wanafanyia nn yaan afrc mafisadi ndio wanakatisha maendeleo yaan soko halina quality zuri hao viongz wanaokula mapato kamata pelek jela wanakula jash la wananch wanajali maslha yao na family zao ukiwaona ni matumbo marefu kama yanataka kupasuka loh yaan tunarudishwa nyuma na viongz wachache hasa ktk ngazi za chini serikali fatilieni hizi ngaz cha chini ndip zinarudisha maendeleo nyuma,

  • @user-uw7yf9dr4h
    @user-uw7yf9dr4h 11 หลายเดือนก่อน

    Daaaa wewe unastaili kuwa mkuu wa mkoa

  • @user-kv1wl1br9h
    @user-kv1wl1br9h 11 หลายเดือนก่อน

    Mama oyeeeeeee😂😂