KIVUMBI WALIOMTISHIA DC, RC CHALAMILA AAGIZA WASAKWE "NITAWAFYATUA, HAKUNA WAKUPANDA KIPARA HIKI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2023

ความคิดเห็น • 260

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 11 หลายเดือนก่อน +29

    Kwenye jamhuri yetu ya Ze kabwelas republic nitakupa u waziri mkuu. Yuko vizuri sana Komrade Chalamila kijana wa JPM Watanzania ndio wanataka kuendeshwa hivyo

    • @daudedson4520
      @daudedson4520 11 หลายเดือนก่อน +1

      Haya mamb ndo tunataka Sasa au awe rais au bc 🤣🤣

    • @m.m.tvmbebamaono
      @m.m.tvmbebamaono 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mwehu huyoo kalewa

  • @user-wp8yk6ow8h
    @user-wp8yk6ow8h 11 หลายเดือนก่อน +19

    Mhe Rais Samia hongera kwa chaguo😢😢😢lako la mkuu wa mkoa wa Da es salaam

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 11 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo ndio kiongozi anae itajika kwa maslahi ya taifa chukua maua yako baba 💐💐💐💐

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 11 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana Mkuu wa Mkoa uko vizuri.

  • @fathiliamakuka4858
    @fathiliamakuka4858 11 หลายเดือนก่อน +6

    Vizuri sana unajua kuna watu wanata ,kupelekwa namna hii , wanajiangalia wao tuu bilakujua wengine wapo, nenda nao hivohivo bila kuogopa.

  • @kitejamayunga7645
    @kitejamayunga7645 11 หลายเดือนก่อน +6

    Hapa Mama yangu Samia aliupiga mwingi Kwa chaguo Hili Hapa Dar

  • @RamadhanOmar-ow1ki
    @RamadhanOmar-ow1ki 11 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana mkuu wa mkoa kwa kweli inauma sana hiyo tabia kwa kweli serikali nyie ndo mnailea hapo mkuu ushasema kuwa hao watu unawajua wanao kula nao .Hivi kwanni wasichukuliwe hatua hao watu wakawekwa hadharani na mwisho wa siku wataifishwe Mali zao wakionekana wameiba .Ila serikali yetu kila siku kwenye madudu hamchukui hatua kabisa kuanzia juu ya serikali mpaka huko chini .Watu wamgekuwa wanafungwa na kutaifishwa mali zao hao walioiba hayo mambo yasingekuwepo kabisa .Kwa kweli inasikitisha kila siku habari ni hizo watu wanaiba hawachukuliwi hatua .Waliotajwa na Cag mpaka Leo kimya hivi tunawqfundisha wengine ni kuendelea kuiba na wanajua hawafanywi kitu chochote.Washahili walisema ".Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"

  • @husseinally3015
    @husseinally3015 11 หลายเดือนก่อน +4

    Muheshimiwa chala hongera sana hii tz inatakiwa wa2 makauzu ukijitia mnyonge wanakufata mpk nyumbani bro chala nimekuelewa sana

  • @user-rk5jf2lq3h
    @user-rk5jf2lq3h 11 หลายเดือนก่อน +2

    Umetishaaa wa mbeya tunakukumbuka piga kaziiiu

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 11 หลายเดือนก่อน +8

    FANYA KAZIII BABA MUNGU AKUSIMAMIEEE❤

  • @user-dz1lo1nx1w
    @user-dz1lo1nx1w 11 หลายเดือนก่อน +5

    Pigia kazi RC narudia piga kaziiii
    Dar inahitaji maamuzi ya aina hiii.

  • @barakasandey1980
    @barakasandey1980 11 หลายเดือนก่อน +15

    Mimi Huwa namkubali sanaaa huyu mwambaaa

  • @user-ln5zv9to6e
    @user-ln5zv9to6e 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana mheshimiwa, haiwezekani masokoni ushuru unakusanywe kila siku mabadiliko hayaonekani.TUMBUA TU MHESHIMIWA CHALAMILA.

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 11 หลายเดือนก่อน +8

    BIG UP RC SWEKA WOTE KILA ANAYELETA TAHARUKI NCHINI 😢😢😢😢😢

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 11 หลายเดือนก่อน +3

    Nampenda sana mkuu wa mkoa hasa akiongea

  • @AmidaKomba
    @AmidaKomba 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana kazi nzuri,

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kanywe soda mh nitalipa 💪👍

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ni Bora kaingilia kati,kwasababu watu wakishakuwa na ku control eneo la biashara wanaonea wenzao Bora watimuliwe waweke wanaojali bila kunyanyasa wenzao,

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 หลายเดือนก่อน +1

    Chalamila ni kiboko.hongera sana❤

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 11 หลายเดือนก่อน +10

    Mungu akutangulie piga kazi…..

  • @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
    @ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl 11 หลายเดือนก่อน +5

    Jembe la JPM Hilo piga Kaz baba

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani huyo dikteta JPM yupo wapi.
      Na kwa nini liwe jembe Lake?

  • @deomusyebi9930
    @deomusyebi9930 11 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana RC Chalamila baadhi ya watu wamezidi jeuri na hii inakatisha Tamara sana sasa huyo mtu Ana mtu gani nyuma yake anae mpa kiburi kamata wote tupa store washike Adabu wote

  • @josephkaunga8014
    @josephkaunga8014 11 หลายเดือนก่อน +2

    Salute kwako mkuu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 11 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana mkuu

  • @edwinmachange6607
    @edwinmachange6607 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana Mkuu wetu wa Mkoa kwa kazi nzuri mnoo. Zidi kubarikiwa kiongozi

    • @mwanaishaabubakar5013
      @mwanaishaabubakar5013 4 หลายเดือนก่อน

      Wende jela au mahakamani mboma umepotoliza kiongozi😂😂3

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sanaaaaa waaambiweeeee wanakuja pesaaaaa hao. Viongiziii MATAPELIIII watoweniiii

  • @fanuelmpesa3484
    @fanuelmpesa3484 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi iendelee mpaka kieleweke

  • @user-rk5jf2lq3h
    @user-rk5jf2lq3h 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wapelekee moto mkuu

  • @iddimultano9478
    @iddimultano9478 11 หลายเดือนก่อน +4

    Kama #Katiba inamruhusu Basi hana baya mwacheni apige kazi ni muhimu sana tunataka maendeleo.

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 11 หลายเดือนก่อน +3

    Piga kazi baba usiwasikilize wanaokuambia hufai usijali hata piga kazi ukweli,ni ukweli tu

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ayo tv kuna habari huku mtahani ni muhimu Sana tofauti na hapo tunaweza poteza

  • @LaurentMkolea-rh8sh
    @LaurentMkolea-rh8sh 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaomuona huyu mwamba kazingua wote was hovyo. Wabongo tunaenda kwa ubabe kidogo ndo inatakiwa hivo.wengine wanajifanya kujaza matumbo yao tu na kunyanyasa wadogo

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 11 หลายเดือนก่อน +7

    Sasa munakata kata nini wakati yeye katukana mbele ya wananchi acha ivo ivo

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 11 หลายเดือนก่อน +10

    Chalamila endelea kusimama namna hiyo, watu wanapenda mzaha sana, na ndio maana nchi haiendi! Na nchi hii inataka viongozi wa aina yako. Huo ndio ukweli!

    • @emmykundy4273
      @emmykundy4273 11 หลายเดือนก่อน

      Sawa, lakini jazba ya nini? Matusi ya nini?

    • @checkchannel3876
      @checkchannel3876 11 หลายเดือนก่อน

      @@emmykundy4273 hakuna matusi hapo! Halafu we ulitaka aende anawabembeleza? Kwa nchi hii ilivyo yuko sawa tu!

    • @isabujoisabujo1214
      @isabujoisabujo1214 11 หลายเดือนก่อน

      Yuko sawa sanaaa❤

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 11 หลายเดือนก่อน +1

    Fanya kazi yako bila hofu mh

  • @daudedson4520
    @daudedson4520 11 หลายเดือนก่อน +2

    🤣🤣🤣🤣za Moto ka maji ya betrii🤣🤣Hii imeenda sawa

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 11 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mwamba kachafukwa kweli

  • @salumukimbanga2495
    @salumukimbanga2495 11 หลายเดือนก่อน +1

    RC Chalamila na DC Komba pigeni kazi

  • @yasinimalya4001
    @yasinimalya4001 7 หลายเดือนก่อน

    Ayo tv safi sana!!

  • @edwardkongo410
    @edwardkongo410 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hatariiiii hakuna kuchezeana hapa

  • @salummhina4857
    @salummhina4857 9 หลายเดือนก่อน

    HUYU BWANA CHALAMILA AMEKOSEA SANA KUTUKANA WATU.KUTISHA WATU SIO SAWA.BILA KUJALI HAO WENGINE WALIFANYA NINI YEYE NIKIONGOZI HAPASWI KUJIBU HOJA KWA KUTUKANA .SIJA PENDA KABISA

  • @user-ds8zk6ns7t
    @user-ds8zk6ns7t 8 วันที่ผ่านมา

    Dah Yani Mtu Anatukana watu wanashangilia dah hii ni hatali sana

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 11 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali sana toka enzi za Magufuli alikuwa hana mchezo na mtu

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 3 หลายเดือนก่อน

      Acha kumbuka muuwaji dikteta ni sawa na kukiota kifo chako

  • @showejikinjekitile5942
    @showejikinjekitile5942 11 หลายเดือนก่อน +4

    Aise watazania bure kabisa wao nikushangiliatu kilakitu

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 11 หลายเดือนก่อน

      Ukiona hivyo ujue hawakubaliani na kikundi kidogo cha wenzao kinachokwamisha ukarabati wa soko

  • @emmykundy4273
    @emmykundy4273 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hali ya soko la Mabibo ni shida sana, kuna watu walijifanya ni shamba la bibi yao.
    Sasa wamekutana na mwehu zaidi yao, jamaa kaamua ajifanye mwehu ili apambane nao ki-wehu…
    Hilo soko lipo kama dampo

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 11 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndio mkuu wa mkoa tuliokua tunamtaka

  • @dignapetro2903
    @dignapetro2903 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha sna mh nakuunga mkono kabisa hali ya hapo n mbya sana tena n muda sana nashindwa kuelewa viongozi wapo wapi kwa hili ubarikiwe sana

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 11 หลายเดือนก่อน +5

    Alikuwa muimba kwaya huyo jamaa baada yakutenguliwa......huwa namkubari sana kwenye usimamizi wake wa majukumu yake

  • @isaacndashuka5959
    @isaacndashuka5959 11 หลายเดือนก่อน +8

    Hapa ndio mtajua elimu wanayopewa watz ni ziro.kila kitu wanashangilia.aibu kwa viongozi na wananchi pia

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 11 หลายเดือนก่อน +2

      Yaani ni aibu tupu,yaani kuwa mkuu wa mkoa ndio utukane watu na kuwatisha watu kwenye nchi yao,huo uongozi anaosema anauvunja leo,aliuteua yeye?Hana weledi wa kuongoza mkoa,hii ni aina ya viongozi wanaoteuliwa kutoka UVCCM,hovyo kabisa.

    • @emanuelayubu5021
      @emanuelayubu5021 11 หลายเดือนก่อน

      watanzania wanatakiwa tujithimini haraka iwezekanavyo, haiwezekanini kabisa kiongozi kuporomosha matusi na kutishia watu.

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 11 หลายเดือนก่อน

      @@emanuelayubu5021 Halafu kuna Watanzania wenzetu wanamsupport matendo hayo ya kijinga na ya kipumbavu,ni hovyo kabisa.

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaaa mtu wa kzi sanaaa nmefatilia vipande vyt nmewaelewa sanaaa na mkuu wako wa wilaya pigen kaz lindez mal zetu

  • @hassanisaimon1531
    @hassanisaimon1531 20 วันที่ผ่านมา

    Acha kiburi ww Kwan ww nani
    Umejiumba,nakupa muda huwez kukaa milele apo kwenye kiti Makonda is around the corner

  • @michaelmrema5233
    @michaelmrema5233 11 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kuyaona hayo

  • @MichaelEdwrdi-jp5ve
    @MichaelEdwrdi-jp5ve 11 หลายเดือนก่อน

    Daaah hatimae soko la raia aisee ahsante mkuu wa mkoa kwa kuja

  • @shadrackjacob800
    @shadrackjacob800 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania inatawalika tuuu !

  • @athumanfuko199
    @athumanfuko199 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mnyororo hapo km ulivyosema ndio maana wanaleta jeuri.

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona mnakataka maneno ya mkuu wa mkoa hamtendi haki

    • @alenialex6941
      @alenialex6941 11 หลายเดือนก่อน

      Maneno mengine makali ndo misingi ya abari

  • @user-cx6xt4pm8u
    @user-cx6xt4pm8u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Chalamila yupo sawa wabongo ndio tunatakiwa tupelekeshwe na kauli za kibabe ata ivyo wamemkera sana

  • @johnzege209
    @johnzege209 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mtanzania yeye Kila kitu anashangilia, ukimuuliza kimezungumzwa Nini hajui, mradi maisha yanaendelea tuu, 😂😂😂

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk 11 หลายเดือนก่อน

      Hhhhh

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 11 หลายเดือนก่อน

      Hahahaaaaaa kabisa aisee

    • @user-sl8bu3we1m
      @user-sl8bu3we1m 11 หลายเดือนก่อน +1

      Tanzania bado sana kila kitu mafi , hata mgeambiwa nyie wote mlipo hapa wapumbafu sana , mgepiga makif na vigelegele .

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk 11 หลายเดือนก่อน

      @@user-sl8bu3we1m jmn ww jeur duh 😃😃😃😃

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 11 หลายเดือนก่อน +1

    Cha Cha Cha chaaaaaalamilaaaaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tumainikomba9008
    @tumainikomba9008 หลายเดือนก่อน

    Mhn.....mbona kama sio

  • @user-se3dl4sx2u
    @user-se3dl4sx2u 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba .ndio anafaa hapa dar..

  • @user-ps7kv7lp4m
    @user-ps7kv7lp4m 10 หลายเดือนก่อน

    Mh rais kama kuna mtu tunamkubali wakuu wamikoa rc chalamila namkubali sana anamaamuzi yake sahihi

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 7 หลายเดือนก่อน

    HII HASIRA NI KUBWA MNO MNAOSUMBUA KIMBIENI HARAKA.

  • @SaidihusseinAthumani-dy9kw
    @SaidihusseinAthumani-dy9kw 11 หลายเดือนก่อน +1

    chalamila piga kazi wa dar tuna imani na ww dar imepata mkuu sahihi

  • @reginas1832
    @reginas1832 11 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi Mungu tusaidie.

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 11 หลายเดือนก่อน +1

    huyu chalamila nikama mwanri hawafai kua viongozi huyu kweli ni mtawala kama irivyo tabia ya ccm ni watawala sio viongozi hawa ccm mtaondoka siku moja tu

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 3 หลายเดือนก่อน

      Bwege wewe hata kuandika kwako ni mgogoro

  • @EdesPagiel-dh4ls
    @EdesPagiel-dh4ls 11 หลายเดือนก่อน

    Bado ujasema na utasema ( yaani anaongea kwa zarau ya hali ya juu)

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 11 หลายเดือนก่อน

    Mmm ngoja nipite tu😊😊

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 4 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi hakupaswa kutukana hata kama mtu kakosea. Kiongozi tumoa busara kama kiongozi. Kama umekasirishwa basi tumia busara na usitukane wala usikasirike mpaka ukapotiliza mipaka.

  • @ElifurahaLaizer-lj7ed
    @ElifurahaLaizer-lj7ed 7 หลายเดือนก่อน

    Unafaa Kuwa Rais wa Tanzania

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 11 หลายเดือนก่อน

    Daaaaaaa hii nch kuna watu wanausenge sanab

  • @MozaAly-st8fl
    @MozaAly-st8fl 11 หลายเดือนก่อน

    Tenda kazi kuwa na hekima km magufuli. Serekali ni alla sio ww mtukanifu. Ukikata roho tu huna lolot.

  • @user-re5fe9si4v
    @user-re5fe9si4v 11 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyoo mnatowa pongezi Kwa kutuita tukome kama tulivyo koma ziwa la mama yetu duuuuuh wasomi wa nchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 11 หลายเดือนก่อน

    Uko vzr mkuu nchi hii inaitaji hivo tu. Safi:km Magu vile?? Ila punguza kidg. Bkb tunakukumbuka

  • @midundotechtz6843
    @midundotechtz6843 11 หลายเดือนก่อน

    Nan uyo

  • @feisalseif6488
    @feisalseif6488 10 หลายเดือนก่อน

    Ila kauli na maneno unayotumia yatabalia kuwa kumbu kumbu ndani ya vichwa na mioyo ya watu uongozi ni busara hekima na uvumilivu

  • @Hapomwanzo
    @Hapomwanzo 11 หลายเดือนก่อน

    HII NCHI NI KILA MTU ANAWEZA KUAMUA LOLOTE! MMMMM!.

  • @eliannko
    @eliannko 11 หลายเดือนก่อน +3

    uyu afai kuwa kiongozi ana busara

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 11 หลายเดือนก่อน

      Watanzania hawaitaji busara hivi ndio safi!ukileta kauli za kishoga huta eleweka!busara kamfanyie Baba ako au Mama ako kwenu huko

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 11 หลายเดือนก่อน

      Nyie munapend busara kweli

    • @user-eg3fg3ic9q
      @user-eg3fg3ic9q 7 หลายเดือนก่อน

      Yani anamatus sana hafai kuwa kiongoz so muda samia atamtumbua tu mbona mama anakauli nzuri sn

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 11 หลายเดือนก่อน +1

    dah naona reo umeongea kwaasira kweri reo

  • @ElisaLuisMarengula-wg9ul
    @ElisaLuisMarengula-wg9ul 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hii no serikali wa Afrika wanataka

  • @user-ow3fz2fh2w
    @user-ow3fz2fh2w 20 วันที่ผ่านมา

    Majitu yanafulaia ujinga

  • @michaelmrema5233
    @michaelmrema5233 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu nizaidi ya magufuli.
    Tuache ubinafsi chalamila jembee.

  • @majabumbaga2349
    @majabumbaga2349 11 หลายเดือนก่อน

    Si kwa vitisho hivyo 😢😢

  • @patrickjohn4135
    @patrickjohn4135 11 หลายเดือนก่อน

    tanzania bil kiongozi mbabebe mnazoeana viby

  • @sikalumea9028
    @sikalumea9028 11 หลายเดือนก่อน +7

    Acha inyeshe tuone wapi panapovuja😢😢😢

  • @cosein
    @cosein 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyu jamaa akiwa rais Tanzania itafika mbali

  • @mathiasmanonga3939
    @mathiasmanonga3939 11 หลายเดือนก่อน

    Hizi kauli ni mbaya sana,

  • @allyabdallah4641
    @allyabdallah4641 6 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wawilaya uko vizuli pamoja mkuu wamkoa mnatukumbusha laisi wetu magu

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 11 หลายเดือนก่อน

    Chalamila yuko sawa,wabongo ukiwaendekeza wanaleta dharau sana wasenge hao wanachukua ushuru mazingira mabovu .big up bro.

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we 11 หลายเดือนก่อน

      Mazingira ya soko la mabibo ni mabovu sana kama kiongozi ukiwachekea hawata ogopakuchukua ushuru na kula tu bila marekebisho safi sana chalamila huo ndio uongozi

  • @kiwangasaidi6284
    @kiwangasaidi6284 11 หลายเดือนก่อน

    Safisanaa Mkuu wa Mkowa Nakutakiya Kila Laheli Natamani Ufikembali Katika Uongozi Wako

  • @dynamicplatform2102
    @dynamicplatform2102 11 หลายเดือนก่อน

    Linafaa kuwa Rais la 2030

  • @salama1113
    @salama1113 10 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo nyie mnao shangilia kama mzaziwako anatukanwa mnalidhika akili kweli mali bola ukose mali upate akili

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 10 หลายเดือนก่อน

    Halafu kwanini umeme unakatika katika? Dar! Kama ndiyo tunapata uhuru?

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 11 หลายเดือนก่อน +1

    Leo chalamila kanywa mbege nn

  • @user-eg3fg3ic9q
    @user-eg3fg3ic9q 7 หลายเดือนก่อน

    Kuwait ma hekima

  • @ImaniHussein
    @ImaniHussein หลายเดือนก่อน

    😢

  • @bouzartbc5641
    @bouzartbc5641 10 หลายเดือนก่อน

    najiona mimi nkijaa,

  • @MozaAly-st8fl
    @MozaAly-st8fl 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe mjinga mkubwa hatukani watu.

  • @rhodapyuza6053
    @rhodapyuza6053 11 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @ShabaniOnyango-gm3vz
    @ShabaniOnyango-gm3vz 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa hafai kuwa kiongoz gan anawatukana wanachi jipime