MBUNGE ASHINDWA KUAMINI APIGA MAGOTI KATIKATI YA LAMI, AMSHUKURU RAIS KWA BARABARA MPYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Mbunge wa Kilombero Abubakari Asenga, amepiga magoti kumshukuru Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha jambo kubwa la barabara ya lami ya Kidatu hadi Ifakara.
    Kama unakumbuka mwaka 2022 Mbunge huyo alipiga magoti katika barabara hiyo hiyo ikiwa ya matope na kumwomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kumsaidia kupata barabara ili wananchi wake waweze kuepukana na hadha waliyokuwa wakiipata wakati wa kipindi cha masika.

ความคิดเห็น • 10

  • @NinaMon-b1y
    @NinaMon-b1y หลายเดือนก่อน +1

    Congrats mama

  • @SalimaMohamedi
    @SalimaMohamedi หลายเดือนก่อน +2

    Mitano tena kwa mama❤

  • @Dcreature-b4m
    @Dcreature-b4m หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzurii

  • @kennedycalvinn2065
    @kennedycalvinn2065 หลายเดือนก่อน

    Kijana wa hovyo kabisa😏

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 หลายเดือนก่อน

    Yani mmetuchereweshea maendeleo miaka mingi leo mnajifanya kupinga mangoti kwenyerami mnashahau raslimali zetu hatuzifaindi

  • @ruhindacostantine2092
    @ruhindacostantine2092 หลายเดือนก่อน

    Mhe bashungwa mbunge wangu makini sana nitakutafuta nina jambo nyeti na wewe kwa ajil ya wana karagwe

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa tunaomba tutengenezewe barabara ya karikoo mtaa wa Lindi st gerezani na Somali kipande gerezani st karikoo gerezani magharibi

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 หลายเดือนก่อน +1

    Mbunge kimpigia magoti ni unafiki wa aina ya pekee. Kwa nini watu wanamushukuru Rais kwa kila kitu? Mbona fedha zinazotumika ni kodi za watanzania? Je wanamukebei kusema barabara ni Rais kaijenga? Jamami tuache unafiki. Rais ni mutumishi wa watanzania, kazi anazozifanya ni za watanzania na analipwa na kodi za watanzania, sifa zote ni za nini?

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 หลายเดือนก่อน

    Msimu huu

  • @user-mk1qz1mn7w
    @user-mk1qz1mn7w หลายเดือนก่อน

    ifike mlimba