Wapo wengi wa aina hiyo hata leo hii maofisini ila wanaoyatenda hayo hawawezi kukusikiliza wala kuelewa wanakuwa na mtazamo tofauti au dini nyingine. Neno la kweli hili barikiwa mchungaji
Zaburi 100: 1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote; 2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba; 3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba... 4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake; 5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi. *TWENDE MBELE ZA MUNGU WETU KWA SIFA NA SHUKRANI!! KAMA SIO YEYE HATUNGEFIKA HAPA TULIPO, HALELUYA!!!*
WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO. 1 Wakorintho 11:13
MUWE MNATOA ADRESS VZR TUJUE NI MTUMISHI WA KANISA GANI ILI TUUJUE UHALISI WA UJUMBE KAMA NI THIOLOGY AMA NI KIROHO MAANA HATA MAKANISA YASIO YA KIROHO YANAJIINGIZA KUFUHUBIRI KIMTINDO CHA KUFANANAFANANA NA WENYE ROHO WA KRISTO..anasema hatufanani
@@ev.eliezangiruketv8902 YESU kasema watakuepo makristo wa uongo lkn nao watathibitisha kabisa kwamba YESU ndiye kristo mwana WA Mungu Alie hai.lkn mtawatambua kwa matendo yao sio tendo moja Bali zaidi, ikiwemo kubatizwa na mengine yanayoambatana ambayo wao watasema sio lazma nibatizwe kama YESU alivobatizwa ,mwingine asema ubatizo wamaji umepitwa na wakati ule ni WA Yohana m atizaji sasa ni ubatizo wa Roho mtakatifu na moto. mwingine asema kunena kwa lugha ilikua kwa wale wa kanisa la kwanza sio sasa. mwingine asema kuombea na kupoza wagonjwa sio Kwa kila mtu, lkn imeandikwa ni yeye yule Jana Leo na milele.
Wapo wengi wa aina hiyo hata leo hii maofisini ila wanaoyatenda hayo hawawezi kukusikiliza wala kuelewa wanakuwa na mtazamo tofauti au dini nyingine. Neno la kweli hili barikiwa mchungaji
Huu Ujumbe ni wangu kabisa Baba Mchungaji..., Asante Yesu kwa sababu adui zangu watapigwa mbele yangu.
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu!!!!!!!!!!
MUNGU nakuomba nisamehe pale nilipokukosea Kwa kumchukia mwanadamu wako🙏🙏🙏 nisamehe eeh BWANA
Amen be blessed father , watching from kenya
Mungu akubariki, naona unanisemea Mimi, mungu atabaki kuwa mungu daima.
That's what situation am going through right now, the destruction cabinet against my employment, but Jesus Christ is Greater than them
Powerful word,so blessed.
Be blessed pastor.
Mungu akutunze Askofu Eliona Kahama tunakuangalia live tuko pamoja sana MUNGU AKIZUNGUKE KWA WIGO WA DAMU YAMWANAE YESU KRISTO AMEN
Shemeji yangu James IPO siku haki yako itapatikana haijalishi ni Muda gani itachukua amen 🙏🙏🙏🌹
Be blessed pastor
Nimekuelewa mtumishi.
Mungu akubariki
May God fight for my battles as He fought for Daniel. Our God is gracious and merciful.
Amen watching from kenya 🙏
Asante sana Mchungaji. Walinifanyia hivyo mara kadhaa wakasambaratika
Haika mnu mlyisy Kimaro,
Hoi Ruwa Ukeri uye ya shooese Ulyutarame loose lokuterewa 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu unagusa maisha yetu kwakweli binaadamu wana roho mbaya sana
Baba mahubiri Yako yamekuwa msaada nayamenivusha kwa sehem kubwa sana.Baba am praying for you our God is great than our tribulations
Glory be to the Almighty God, barikiwa sana mtumishi wa Bwana
Amina bb mtumishi
Totally blessed with the sermon in Jesus name
Mungu nisaidie nisimfanyie mtu ubaya
Ameen kubwa
Wapo wengi wa aina hiyo hata leo hii maofisini ila wanaoyatenda hayo hawawezi kukusikiliza wala kuelewa wanakuwa na mtazamo tofauti au dini nyingine. Neno la kweli hili barikiwa mchungaji
Watching from UAE Thankx man of God i
Mungu nI wa wote Asante Baba tuyaishi Maneno ya Mungu
Am blessed with this sermon
Mungu yupo
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Please I find out the truth continue teaching us.amen
Mchungaji , unatumbua majipu. Barikiwa mtumishi wa Bwana.
Amina ubarikiwe Sana Mtumishi kwa neno zur
Hallelujah! 🙏🙏Ubarikiwe Mch Kimaro
Hakuna mwanadam atapenda kusikia haya ila hii ni Sindano Kali sana inachoma mpaka mfupa.
Zaburi 100:
1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba;
3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba...
4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;
5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
*TWENDE MBELE ZA MUNGU WETU KWA SIFA NA SHUKRANI!! KAMA SIO YEYE HATUNGEFIKA HAPA TULIPO, HALELUYA!!!*
Amen na ubarikiwe BABA Mchungaji
Amen, apandacho mtu ndicho atakachovuna.
Aminaaa Baba.....Mungu akaseme nao watesi wetu.
Pppp0000⁰0
Pppp0000⁰0
Asante Mungu kwa Neema ya Neno hili maana ni kweli kazini kuna kazi
Kweli mtumishi barikiwa
Am blessed by these Sermons, Man of God 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hichi kisa cha daniel kwa mfumo wetu wa hapa kwetu kipo sana
Aminaaaaaaaaaaaaa baba nimebarikiwa sana
Amen barikikiwa mch. kimaro umenena
Amina umeguza moyo wangu sana n kunitia nguvu kwamba IPO siku maadui wataangamia tu
Amen 🙏Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
😅
Ubarikiwe baba
Watching from kenya, thanks alot man of God, Rev. Eliona. Mungu wetu ni wa ukweli kila wakati!
Kazini
Ameni
Amina baba🙏🙏
Amina 🙏🙏
Napenda sana mafundisho yako mchungaji
Amen 🙏 🇰🇪
MUNGU azidi kukuinua baba,huu ujumbe umenigusa sana
Amina mtumishi wa Mungu
🙏🙏
Mungu ni mwemaa
Amina mtumishi
AMINA MTUMISHI, MUNGU WETU NI MWAMINIFU
Ameeeeen
Amina
Ameeeeeeen
Barikiwa
Hallelujah 🙏 mungu azidi kupewa sifa nabarikiwa kwa umakini sana
Amen
Yani Ni kweli kabisa ulivyosema
Kweli kabisa baba mchungaji.
WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO.
1 Wakorintho 11:13
Weweeee
Nimebarikiwa na mahubiri haya
AMEEEEN
Ameeeeeeeeeeeeen
Ameni
Hakika hapa ni sima cha uzima
Aminaaa
Ok
Neno lako nitaa ya miguu yangu
Mimi ninakuelewa kabisa
MUWE MNATOA ADRESS VZR TUJUE NI MTUMISHI WA KANISA GANI ILI TUUJUE UHALISI WA UJUMBE KAMA NI THIOLOGY AMA NI KIROHO MAANA HATA MAKANISA YASIO YA KIROHO YANAJIINGIZA KUFUHUBIRI KIMTINDO CHA KUFANANAFANANA NA WENYE ROHO WA KRISTO..anasema hatufanani
Sijakuelewa
@@ev.eliezangiruketv8902 YESU kasema watakuepo makristo wa uongo lkn nao watathibitisha kabisa kwamba YESU ndiye kristo mwana WA Mungu Alie hai.lkn mtawatambua kwa matendo yao sio tendo moja Bali zaidi, ikiwemo kubatizwa na mengine yanayoambatana ambayo wao watasema sio lazma nibatizwe kama YESU alivobatizwa ,mwingine asema ubatizo wamaji umepitwa na wakati ule ni WA Yohana m atizaji sasa ni ubatizo wa Roho mtakatifu na moto. mwingine asema kunena kwa lugha ilikua kwa wale wa kanisa la kwanza sio sasa. mwingine asema kuombea na kupoza wagonjwa sio Kwa kila mtu, lkn imeandikwa ni yeye yule Jana Leo na milele.
Dhabi ya kazini inaenda nyumbani.
Mchungaji sema Hawa watu wapo na Ni hatar Sana
Hata makanisani Kuna michoro Kama hiyo dr mchungajip
Ameeeeen
Ameeeeeeeeen
Ameeeeeeeeeen
Amen
Wapo wengi wa aina hiyo hata leo hii maofisini ila wanaoyatenda hayo hawawezi kukusikiliza wala kuelewa wanakuwa na mtazamo tofauti au dini nyingine. Neno la kweli hili barikiwa mchungaji
Amina baba Sema tuu Mchungaji watu wabadilike kweli
Amen
Ameeeeeen
Ameeeeen
Ikkjj
Bbnj
Jjjik
K