Kumbe kiingereza cha aaliyah cha kawaida tu amy gal ndio kabisa anajikongoja na tambwe lily ommy cha kuombea maji cha kuandika na kusoma a,e,i,o,u tuwachie watu na lugha zao sisi lugha yetu ni kiswahili tu
@@evalinemalole6709 ingekuwa uwezo wangu,TASNIA YA HABARI ENTRY QUALIFICATIONS ZIWE MTU MWENYE DIVISION ONE SU TWO KWA FORM SIX,WALAU ITASAIDIA KUWA NA WANAHABARI BORA WANAOJUWA ENGLISH
Wakija wageni Kama Hawa muwe mnamualika "Wema sepetu, Diva au Abby Chams" Mbona mnakua Kama Mimi Tena U know nying😂😂😂😂
Exactly 🤷🏽♂️
@@Sean1877 Yan Kam Mimi kabisa 😂😂😂
Mbona wameongea vizuri jamani.
@BenedictaMagantg nawatania to 😂😂😂 sio serious
Kumbe kiingereza cha aaliyah cha kawaida tu amy gal ndio kabisa anajikongoja na tambwe lily ommy cha kuombea maji cha kuandika na kusoma a,e,i,o,u tuwachie watu na lugha zao sisi lugha yetu ni kiswahili tu
Watanzania mmejaliwa kukosoa yaani nimejua tu atatokea mtu akosoe jamani inatosha ebu imagine Kenya watukosoe na wewe Mtz uponde wenzio sio poa
Wewe dada mwenye kep uliza swali you know , you know nyingi sana
Kinge ndugu,kinge,kinge,kinge,TZ KINGE HUWA KINATUAIBISHA SANA KIMATAIFA BASI TU 😂😂😂😂,YOU KNOW YOU KNOW,NIMECHEKA KAMA MAZURI😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
@@evalinemalole6709 ingekuwa uwezo wangu,TASNIA YA HABARI ENTRY QUALIFICATIONS ZIWE MTU MWENYE DIVISION ONE SU TWO KWA FORM SIX,WALAU ITASAIDIA KUWA NA WANAHABARI BORA WANAOJUWA ENGLISH
😂😂😂😂😂😂😂
Shut up,nenda ww ukawe Mtangazaji
Wow short interview but sweet ❤
❤❤🎉🎉
Hahahaha , aliaaaa anajikutaa black americaaa kwishaa habariii yakeee
Anavojifanya anakijua kizungu hana lolote akikutana na wanaokijua aibu tupu kabaki you no you no you you no yanini yote kutaka kujitafuna bure😂😂😂
Ameingea vizuri mbona?
The ears is it surgeries or...😮
Chioma and are sharp mouth 😂