Bosi Mpya TRA Aja na Mfumo Mpya Kuondoa Malalamiko ya Wafanyabiashara

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Kamishna Mwenda alikua akitoa taarifa hiyo Julai 15, 2024, akieleza baadhi ya hatua walizozifikia kutimiza maazimio kati ya serikali na wafanyabiashara
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 10

  • @YusufuMalila-b1d
    @YusufuMalila-b1d หลายเดือนก่อน +7

    Ninaimani kubwa TRA sasa inakwenda kuwasaidia kwakiwango kikubwa Mungu azidi kuwabariki viongozi wetu.

  • @mariamngallangalla906
    @mariamngallangalla906 13 วันที่ผ่านมา

    Mungu awe mbele yako akikuongoza wakati wote.Tuna imani Nawe tutalipa Kodi kwa uaminifu kwa faida yetu wenyewe.Ahsante kwa kuzidi kutufungua

  • @bongo39
    @bongo39 หลายเดือนก่อน +5

    Ukitoka safari za nje pale airport jamani tunanyanyasika kweli tunarudi na zawadi za watoto wetu yani ukiwa nje labda bado wiki tuu urudi nyumbani yani unakuwa na presha tuu saa ingine pia unaota usiku jinsi wanavyotubana na kauli yao kubwa hapo forodha airport wanakwambia sio sie ni mama huyo wao ila kuna watu wao wanapita na mabegi mengi tuu unakaa unajiona myonge kwa uonevu

  • @bongo39
    @bongo39 หลายเดือนก่อน +2

    Chanzo endelea na habari za uhakika na za ukweli utafika mbali

  • @BituroPaschalKazeri
    @BituroPaschalKazeri หลายเดือนก่อน +1

    Anzeni na kuondoa hili neno mlipa kodi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน

    Boss, is there a way you can slot in other minitries related to your department and have the business guys as your audience so they can express thier concerns to a wider panel for more efficiency and effectiveness this way it eases the implementation of their sort out views for a better business environment? could you plse?

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 21 วันที่ผ่านมา

    Mimi nawakubali wachina wachina hupambana kupunguza kero sasa watu weusi huongeza kero wivu kama wachawi

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 หลายเดือนก่อน

    boss weka namba zako watsap wazi