walekhum salam wa mama zetu mi KUTOKA Congo mkoa wa mambasa, hapa kwetu mambasa bado Mila ziko hapo hapo wa kungwi wetu wanafanya kazi vizuri Wanaelimisha wakina dada vizuri watoto waume bado wanatairiwa nyandoni vizuri kwa hivo Mila ziko sawa
Ntakutafuta bi Chau. Ila mbona ulikua ukimtura mzee small vile😂😂😂. Big ❤ bi Chau. umegusa ndipo, cc wa sasa ndoa hazidumu coz hatutaki kujishusha kisa twafanya kazi sote na vilevile tumejaa viburi na twaendeshwa na udigitali
Bi chsu nakukubali sana. Hayo unayosema ni mambo ya zamani hivi sasa zimepotea. Kwanza mwanamke wa kizamani kwa sasa hivi unaonekana mshamba. Na wanaume wa kizanzibari hata usugue kea hawawi. Na na anakudharau ukimfanyia hivyo. Wanaume wa siku hizi wanaonaowa sio mke inakuw mfanyakazi wa ndani.
Maashaaallah bi chau uko vizuuuri👌👌madini adimu na adhimu ❤️watu kama nyie wachache Allah awaweke tunawapenda sana, utandawazi umetuharibia watoto na jamii kwa ujumla! Msiba mkubwa!ya KALE NI DHAHABU!!!kipindi muda ni mfupi lkn kitaaamu ajabu😍😍👌🙌🙌
Asante bi chau kwanza kbs naomba ck ingine muzungumzie kuhusu kipin cha pua maana cc wenye vipin vya puani twaonekana ni malaya kwa dhama hz za smart phone pili bi chau na shangza yangu hpo pemben ck hiz kuna mafundisho ya ndoa kwenye mitandao yan was was hd kero mie naona kwann baadhi ya wanawake huwa wanafundisha mambo ya ndn ya ndoa hadharani kbs 😢
Mitandao imejaa upotoshaji wa tamthilia na maadili mabovu ya kigeni kwa vijana. Mazingira yamechafuka siyo rahisi tena kuwafunda vijana. Hata DINI zetu hazithaminiwi tena kutuongoza kimaadili.
Kwa watoto wa sahivi hatauwe mkufunzi kiasibgaji hata uwe kungwi kias gani.dujia hii ya sim za kupangusa kilaanapoenda diamond wapo nyuma ndowa haziwezi kukuwa wakat wenu kulikuwa na heshima ujirani ndugu balehe wa nyumba fulan kijiran anaogopa kumtongoza mtoto wa kike wa jiran yake kwasab wazee wako kidugu halafu watoto walikuwa wanahaya sahivi hakuna haya hatamkirud jandoni bure
Jamani vijana tu sikilize wazee wetu hizi hadisi wanasimulia unahisi kabisa walikuwa na furaha waliishi kwa kujali hisia zao waliishi kwa adabu mashallah jamani tujifuze tuwafundishe na watoto wetu asilizetu wazee wetu walifanikiwa kwa kujishusha kubembelezana awakuwa kufika hapa sisi tulipo tu jitahidi I turudi kulikotoka
Kurudi ulikotoka unaona ni rahisi ee? Haya anza wewe. Wewe unarudi ulikotoka mmeo anaenda mbele kwa mbele na digitali hapo ndo utaona rangi zote. Ya kale yalishapita dear ni kuendana na mazingira tu yaliyopo
Sasa mama zangu mume hakupi hela ya kula alafu anakukwaza kila wakati mm mke namuomba ladhi kwa makosa yake ndoanaongeza kukukwaza akijua hutofanya chochote je huyo nae mwaniambiaje hapo? Lazima huyu mama au dada atachoka ndipo dhalau kwa mumewe inaanza wanaume Leo hawapo
Nyie mnaongelea mambo ya 50s dunia hii ya leo! Mjue zamani mwanamke alikuwa hafanyi kazi so muda anao wa hayo yote. Leo hii kila mtu anachakarika kutafuta pesa akirudi home hoooi huo muda wa kuchokorana masikio unatoka wapi?
kwa nini Wakufunzi wengi ni wale walio achika?, Je! elimu hiyo ya ndoa walipata baada ya kuachika ao kabla ya kuachika, na kwa nini waliachika pindi wanayo elimu ya kumpeti petit mwanaume
Kwasababu wanawakae wa aina hiyo blaablaa sana utekelezaji hawana na wanaume wengi hawapendi wanawake wa aina hiyo mwanamke mzuzi mkimya na mwenye utiifu.
Bi chau umeongea mengi lakini mm yamenikuta nilipata mume lakini alikuwa mchawi badala ya kupendana kwa dhati akaniwekea limbwata la kunifunika nisiende popote iyo ni haki b chau.
Shida mmeshindikana na ata adabu amna kwasababu wamama kama awa anaelekeza darsa zuri ww unaongea nn ndoa zitawashinda asa pale mume akichepuka na akimpata wakuwafanyia aya kwisha abali yako
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
walekhum salam wa mama zetu mi KUTOKA Congo mkoa wa mambasa, hapa kwetu mambasa bado Mila ziko hapo hapo wa kungwi wetu wanafanya kazi vizuri Wanaelimisha wakina dada vizuri watoto waume bado wanatairiwa nyandoni vizuri kwa hivo Mila ziko sawa
Mona
Mleteni tena bi Chau anamafunzo mazur Mungu amzidishie inshaAllah
Bi chau mashaallah mama huzeeki Allah akueke zaidi na zaidi ishlah
Ntakutafuta bi Chau. Ila mbona ulikua ukimtura mzee small vile😂😂😂. Big ❤ bi Chau. umegusa ndipo, cc wa sasa ndoa hazidumu coz hatutaki kujishusha kisa twafanya kazi sote na vilevile tumejaa viburi na twaendeshwa na udigitali
Utamkuta somo hata kuolewa hajaolewa hata mara moja eti somo!! Anagunda kitu gani?!! Hongera sana bi Chau kwa maneno yako mazuri,
Maashaalah tupatie namba za b.chau❤Atupe mafunzo zaidi 🙏🥰
Bi chsu nakukubali sana. Hayo unayosema ni mambo ya zamani hivi sasa zimepotea. Kwanza mwanamke wa kizamani kwa sasa hivi unaonekana mshamba. Na wanaume wa kizanzibari hata usugue kea hawawi. Na na anakudharau ukimfanyia hivyo. Wanaume wa siku hizi wanaonaowa sio mke inakuw mfanyakazi wa ndani.
mashaallah bi chau nikiiipenda sana michezo yako na mzeee small sijui ata inapatikana wapi kwa sasa
Mashaallah,, npe npe nitekeleze inshaallah, nkiolewa
Maashaaallah bi chau uko vizuuuri👌👌madini adimu na adhimu ❤️watu kama nyie wachache Allah awaweke tunawapenda sana, utandawazi umetuharibia watoto na jamii kwa ujumla! Msiba mkubwa!ya KALE NI DHAHABU!!!kipindi muda ni mfupi lkn kitaaamu ajabu😍😍👌🙌🙌
Nakupenda sana bi Chau kwa ajili ya Allah tatizo ya watoto wazisiku awasikiyi ushauri nakupenda sana bi Chau naomba namba za bi Chau
Ahsante bi Chau , umenikosha, unaelezea bila ubaguzi
Shukran madam nimeongeza maarifa mengi hasa ktk somo la msuaki na umuhimu wa kusafisha miguu baada ya bafu. ❤
Shukrani bi chau mm nauombea Allah akupe maesha marefu uzidi kututoa ujinga ulio ganda ndani yavichwa vetu
Tunawasikiya makungwi bi chau mm nitakuja kutafuta inshaallah unipe darsa nzr nilikuona itv zamanii
Shukran sana kwakunifunda na mim mtoto wenu ntayafanyia kazi
Walkumsallam wa rahmatullahi wabarakatuhu ✔️ shukran Mom ❤️ 🌹 heshima kwako
Mashaallah mwenyezi mungu azidi kuwatunza wazazi wetu ili muzidi kutuelimisha tunapo koseya
bi chafu anaonekan alikuwa mwiz sana
@@hassankimwan4402 😂kivipi?
Asante Sana bibi.nitayatilia manani maneno yako
Tenaaaa wambie wana ndoa sijui wanakwama wapi ndoa hazidumu mtu wezi tu kaachika mpaka unashangaa mtu masha Allha b chau 😘🔥
Tupo siri ya urembo bibi yangu huzeeki mashaallah. Bichau
Nakupenda sana bi chau mashallah ❤🥰🥰🌹🇴🇲👌
uko vzr bi chau mungu akuweke
AMEEN
Waaleykum salaam warahmatullhy wabarakatuh
Nakupa kongole bi Amina, toa namba zako
mashaallah tumeisikia
Mi nilikua sijui kutengeneza mafuta ya nazi Asante sana
hata mimi nimefurahi bi chau kanifundisha kutengeneza mafuta ya nazi
MashaAllah bi chau uko vyema
Asalam aleikum. tunashkuru sana bi chau.
Asante bi chau nakupenda bureee
Mashallah bi Chau tunaomba namba
Asante bi chau kwanza kbs naomba ck ingine muzungumzie kuhusu kipin cha pua maana cc wenye vipin vya puani twaonekana ni malaya kwa dhama hz za smart phone pili bi chau na shangza yangu hpo pemben ck hiz kuna mafundisho ya ndoa kwenye mitandao yan was was hd kero mie naona kwann baadhi ya wanawake huwa wanafundisha mambo ya ndn ya ndoa hadharani kbs 😢
Shanga zinatakiwa ziwe 3 na langimaalum na kilalangi inamaana yake
Mitandao imejaa upotoshaji wa tamthilia na maadili mabovu ya kigeni kwa vijana. Mazingira yamechafuka siyo rahisi tena kuwafunda vijana. Hata DINI zetu hazithaminiwi tena kutuongoza kimaadili.
Jamani kweli unayo yasema ni mazur lakn waaume wanasababisha
Kwa watoto wa sahivi hatauwe mkufunzi kiasibgaji hata uwe kungwi kias gani.dujia hii ya sim za kupangusa kilaanapoenda diamond wapo nyuma ndowa haziwezi kukuwa wakat wenu kulikuwa na heshima ujirani ndugu balehe wa nyumba fulan kijiran anaogopa kumtongoza mtoto wa kike wa jiran yake kwasab wazee wako kidugu halafu watoto walikuwa wanahaya sahivi hakuna haya hatamkirud jandoni bure
Nampenda sana bi chau
Cku izi hata mikeka makawa vipepeo hawatumii ila kwetu tanga bado vipo na tunaenjoy mahaba
Kabisa Akhuy
Mashallah mama kazi safi
Mashaallh thanks allah
Mashaallah Bi chau ❤❤❤💯
Mbn raha jmn ila waume wengine walishindkna mjuee
Jamani watu sasa kwenda kusafisha miguu, kucha na massage huko nje ati ndio maendeleo hayo. 😮😮
Jamani vijana tu sikilize wazee wetu hizi hadisi wanasimulia unahisi kabisa walikuwa na furaha waliishi kwa kujali hisia zao waliishi kwa adabu mashallah jamani tujifuze tuwafundishe na watoto wetu asilizetu wazee wetu walifanikiwa kwa kujishusha kubembelezana awakuwa kufika hapa sisi tulipo tu jitahidi I turudi kulikotoka
Kurudi ulikotoka unaona ni rahisi ee? Haya anza wewe. Wewe unarudi ulikotoka mmeo anaenda mbele kwa mbele na digitali hapo ndo utaona rangi zote. Ya kale yalishapita dear ni kuendana na mazingira tu yaliyopo
Ngoja kwanza nizaliwe upya haya yameshanipita
@@fettiemaganza1484 🤣🤣
Allah akbar
Sasa mama zangu mume hakupi hela ya kula alafu anakukwaza kila wakati mm mke namuomba ladhi kwa makosa yake ndoanaongeza kukukwaza akijua hutofanya chochote je huyo nae mwaniambiaje hapo? Lazima huyu mama au dada atachoka ndipo dhalau kwa mumewe inaanza wanaume Leo hawapo
Huyu mama nampenda alafu hazeeki maasha Allah
Hazeeki nani kakwambia
Wakenya twaitaji kusikiliza bi Chau hata kama kiswahili kigumu
Bi chau nataka namba za cm
Namtafta bi chau jamani nampatapi. Ni shangazi yangu. Nipo America
Tuna omba namba ya bi chau ❤️🥰🙏
Nime penda jamn kina mama zangu nikiolewa nitafanya ivi kabisaa mbalikiwa sana na MUNGU
Thanks
Cheko la ni Chau tu linasisimua je mengine huko si haubanduki 😀😀😀😀
Nyie mnaongelea mambo ya 50s dunia hii ya leo! Mjue zamani mwanamke alikuwa hafanyi kazi so muda anao wa hayo yote. Leo hii kila mtu anachakarika kutafuta pesa akirudi home hoooi huo muda wa kuchokorana masikio unatoka wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣kuchokorana masikio join 😆😆😆
😄😄😄
Ndy maana mnaachika hamuna mahaba mmeendekeza kutafuta hela 🤣🤣🤣
MAADILI hayapitwi na wakati ndugu yangu
Si lazima kila siku taguta siku ya kufanya surprise mumy ukiendekeza sana pesa hotokuwa na maisha ya furaha maisha ndio haya
Acnt 🙏 Mama ❤❤❤
Kweli BChau
Nice Bi Chau
Mashaallah mashaallah
Cjaolewa lakini najifunza jaman kazi nzuri mama zangu
Insha Allah utapata mume wa khery
Ibadah ufunguo wa kila kitu
Inshalla
@@mwajumaahmadi5533 Tanzania au kenya weye
Tz
UnapatikaniwaWapiBiChau
Bichau.nakupenda
Bichau 💕💕💓💓💓💓💓🍎nakupenda sana mungu akuweke sana
Namb ya cm tunataka
Nakumbuka buchau na mzee small....walinifurahisha....ningezipata kabisa....
Jamani 🥰 anapendeza avyovaa mashallah tuambie nasisi mavazi yako jamani nimependa Sana ilo kuberi ♥️♥️♥️♥️
Swa baba
Nna mwari wangu namtaka bi chau aje anifundie
Mashaallah mama
Bi Chau ni kweli jando la unyago lirudi , sio wengi katika waume wana mafunzo ya ndani katika unyumba .Mia fil Mia Jando la unyago lirudiiii
Jinsi ya kufanya wake wenza wapendane
Nakumped mma yang chau shikamoo
NapendaSanaHiliDarasaLakoMami
kwa nini Wakufunzi wengi ni wale walio achika?, Je! elimu hiyo ya ndoa walipata baada ya kuachika ao kabla ya kuachika, na kwa nini waliachika pindi wanayo elimu ya kumpeti petit mwanaume
Hili mie pia hua najiuliza sana sijawai pata jibu
@@Iragibarune1. nawaza na bahati kwa kujenga inakuwemo....ao mwanaume amekuwa mbaya ao,Familia,...kuacika....si mpqka hujuwi kitu..na kujenga sio lazima ijuwe kitu....hatari kabisa
Kwasababu wanawakae wa aina hiyo blaablaa sana utekelezaji hawana na wanaume wengi hawapendi wanawake wa aina hiyo mwanamke mzuzi mkimya na mwenye utiifu.
Kwan bichau nae kaachikaa
Kuna wanaume awakubali makosa yao yaani kila siku wewe ndio mwenye makosa.khee 😂😂sio wanaume wa leo
hivi bi chau nakupataje unifunde jamani
Nipo hapa niwasikiliza moja baada ya jengine
😅😅napenda mnavyo cheka
Bi Chau mbona ITV?
Bi chau umeongea mengi lakini mm yamenikuta nilipata mume lakini alikuwa mchawi badala ya kupendana kwa dhati akaniwekea limbwata la kunifunika nisiende popote iyo ni haki b chau.
Kumbe tupo wengi 🤣🤣🤣pole natumai ulijikwamua
Duhh
Mashallah
Yani niwaze hela niwaze nahayo yakum bembeleza ivi😅😅😅😅umefeli
Shida mmeshindikana na ata adabu amna kwasababu wamama kama awa anaelekeza darsa zuri ww unaongea nn ndoa zitawashinda asa pale mume akichepuka na akimpata wakuwafanyia aya kwisha abali yako
Kuachwaa ndio habari yamjini
Wanakinai haraka wameumbwa na miyoyo minne yote utamfanyia hakuacho kwa hayo ila ata owa tuuuuuuu ni vimbe walio shindikan
Kabisa Ndugu yangu. Kwa wanaume wa kiafrika hufanye kazi saana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wasema walishindikana
@@aisharajimbo6784 kama una tako sawa
Wengi wao wanaacha tamaduni kisa tu utandawazi
Kweli kabisa! Huo utandawazi ndiyo unawaharibu,
Nandyomana migogoro ya ndoa haiishi kila siku tunaona maajabu aisee
Mashaallah❤️
Samahani nampataje bi chau
@Salhabeauty Bashiru Wapata Taabu Ya Nini Wewe Hebu DondoshA Namba Zako humu Umpate Bi Chau Maana Ni Bibi YangU HuyO
Wengine wakitaka kufanyiwa hawataki wasema wataka kuchukuliwa huchafu hupeleke kwa mnganga
😂😂😂😂😂😂daah kali hii
Mashallah bichao hajabadilika kicheko chake 🤣
Naomba munitajie vitu gani vinatumika katik kumsinga mume
Bib namba yako naomb
Zilipendwa,
Na kunyolewa wananyorewa pembe zote
🤣🤣🤣🤣Chau weeeee nakukubali!
MonaAli
Kwahiyo haya mafundisho kwa watu waloolewa t kama mm sijaolewa hanaifai naomba jibu
Utajua mwenyewe 😂😂
Inakufaa maana nawe unategemea ndoa panapo uhai na majaaliwa
@@rakinaabdalla7193 shukuran
Njoo nikuoe basi
@@Pedeshee01 Hahaha usinichekeshe
Mambo mazito 😍😍
Masha Allah
A shukulani mama
KutokaKenya
Bi chau unasura ya kitandani kujibenua benua
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂wa mama wanipunga mashaallah
❤❤❤
😂😂😂😂😂majirani tukoooooo
👍👍👍👌👌👌
Kama huna cha kupika 😅😅😅
😄😄😄
bi Chau yupi huyu tena🤔🤔🤔
Bi Chau mbona ni msanii wa bongo movie famous snaa enzi izo za kina majuto na mzee small aliwahi kuact Dana miaka hiyo.
@@leilashume8826 namjuwa ila tetesi kichwan nko na zile za zaman sasa nashangaa kumuona!!!
Uko vizuri Sana ila utandawazi unatuhalibu sana