MKULIMA, MMILIKI WA RUANGWA HOTEL AFUNGUKA | "NI YANGU NA FAMILIA YANGU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Faida Online TV Desemba 21 2022 tumefika katika Hoteli ya kifahari ya RUANGWA PRIDE HOTEL inayomilikiwa na mkulima wa zao la Korosho, Hoteli iliyojengwa katika Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi na kuzungumza na Mmiliki wa Hoteli hiyo Ndugu Mparuka Hashim Mtopela ambae ndiye Mkurugenzi wa Hoteli hiyo.
    Bwana Mparuka amesema Hoteli hiyo ni yake na Familia yake, na hakuna kiongozi yeyote aliyeweka nguvu zake.
    Hoteli hiyo inatarajiwa kuzinduliwa Desemba 30 2022 na Mgeni rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa.

ความคิดเห็น • 12

  • @EmmyMtila
    @EmmyMtila 4 วันที่ผ่านมา

    Mnaojiuliza mazao gani tatizo hamuna uwelewa kwasababu kaeleza vizuri kasema alienda kwenye taasisi zakifedha akakopa sasa hapo mnashanga nni bila shaka hawa ni wakusin wenzake maana huwa uwelewa wao mdogo sana vitu kama hivi kaskazini ni vitu vya kawaid

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

    Mashaalah

  • @mchopacalvin2986
    @mchopacalvin2986 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu yetu ni zao gani lililokupa pesa ya kujenga mjengo huo?????

  • @oryxsongea7769
    @oryxsongea7769 ปีที่แล้ว +1

    Wow❤️

  • @AK-ho2lb
    @AK-ho2lb ปีที่แล้ว

    Ukiwa na akili , Raha sana .

  • @NoelMkwala-q8z
    @NoelMkwala-q8z ปีที่แล้ว

    Natamani na mm nipate lakn napambana

  • @jumahashimchilemba6831
    @jumahashimchilemba6831 ปีที่แล้ว

    Muongo huyo, hana uwezo wa kumiliki hotel hiyo, ni hotel ya Majaliwa.

  • @Metodzacharia
    @Metodzacharia 7 หลายเดือนก่อน

    Mmh Mukurima huyo anarima nini

  • @mchopacalvin2986
    @mchopacalvin2986 ปีที่แล้ว

    Ndugu yetu ni zao gani lililokupa pesa ya kujenga mjengo huo?????