Faida Online TV
Faida Online TV
  • 920
  • 793 266

วีดีโอ

WANANCHI MTWARA WAPEWA MSAADA WA KISHERIA KUTOKA KWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MAWAKILI WAKE
มุมมอง 1412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakishirikiana na Mawakili wa Serikali, Wametoa Msaada wa Kisheria kwa Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Mtwara ili kuwasaidia katika matatizo mbalimbali waliyonayo ikiwa ni pamoja na Mirathi, migogoro ya ardhi, Talaka na mambo mengine. Hafla hiyo imefanyika hii leo Novemba 29 2024 katika viunga vya Mashujaa Park Manispaa ya Mtwara mikindani mkoani Mtwara. SUB...
GARI LA WANAFUNZI LAPATA AJALI MTWARA| 26 WAJERUHIWA MWALIMU NA MWANAFUNZI WAVUNJIKA MIGUU
มุมมอง 2.8K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Gari la Wanafunzi la Shule ya Msingi Salem limepata ajali siku ya Novemba 28 2024 katika eneo la Migomigo Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, Walipokuwa wakirudi Nyumbani kutokea Uwanja wa ndege walipokwenda kutembea safari ya kimasomo. Akiongea na Faida Online tv Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mtwara Ligula, Dkt. Zawadi Bwanali amesema kati ya hao waliopata majeruhi, ...
MWANAMKE MWENYE ULEMAVU ALIYEANGUKA NAFASI YA UJUMBE MTWARA | AJIPANGA KUGOMBEA UDIWANI 2025.
มุมมอง 834 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Bi. Fatma Mpondomoka, mwanamke mwenye ulemavu wa mguu aliyethubutu kugombea nafasi ya ujumbe wa viti maalum katika mtaa wa Mdenga kata ya Likombe Manispaa ya Mtwara Mikindani, kupitia tikeki ya Chama cha Wananchi (CUF) ambaye kura zake hazikutosha katika uchaguzi uliofanyika jana Novemba 27,2024, ameeleza kutokata tamaa juu ya anguko hilo hivyo amajipanga kuwania nafasi ya udiwani viti maalumu ...
WENYEVITI WAPYA WA MITAA WANAWAKE WAAHIDI MAKUBWA BAADA YA KUSHINDA UCHAGUZI MTWARA.
มุมมอง 1434 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Bi. Blandina Chilumba na Bi. Sofia Nanyembe ni Wanawake waliogombea nafasi ya uwenyekiti wa Mitaa wa Mihambwe na Pwani B Kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara mikindani mkoani Mtwara na kushinda, wameeleza mipango yao katika safari ya kuwahudumia Wananchi.
MWANAMKE ALIYEWASHINDA WANAUME 7 KWENYE KURA ZA MAONI AFUNGUKA WATU KUTAJA JINA LAKE
มุมมอง 1387 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Faida Online tv tumezunumza na Bi. Sofia Nanyembe ambae ni Mgombea wa Uwenyekiti wa Mtaa wa Pwani B kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani na kuahidi kufanya vizuri katika Uchaguzi huo wa Serikali za mitaa uliofanyika leo Novemba 27 2024
MWANAMKE ALIYEGOMBEA UJUMBE WA KITONGOJI AJISIFU| AAHIDI KUSHINDA MBELE YA MWANAUME MTWARA
มุมมอง 1327 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Bi Zainabu Namkwanga ni Mwanamke aliyegombea nafasi ya Uwenyekiti wa Kitongoji cha Moma Sokoni Kijiji cha Moma Kata ya Moma Wilaya na Mkoa wa Mtwara kupiti Chama cha Mapinduzi, ambae amesema kwenye uchaguzi huo atashinda kwa Kishindo. Bi Zainabu amesema hayo leo Novemba 27 2024 baada ya Faida Online tv kumtembelea Nyumbani kwake Kijijini hapo na kuzungumza nae. SUBSCRIBE TH-cam CHANNEL YA FAIDA...
BI. BLANDINA CHILUMBA ATEGEMEA KUSHINDA UWENYEKITI WA MTAA WA MIHAMBWE MTWARA.
มุมมอง 1607 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mgombea wa Uwenyekiti wa Mtaa wa Mihambwe Kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara amepiga kura mapema hii leo huku akiahidi kushinda kwa kishindo katika uchaguzi huo. Faida Online TV tutaendelea kukupa Updates kuhusu mambo ya Uchaguzi
RAIS SAMIA ACHANGIA MILIONI 100 UJENZI WA MSIKITI WA WILAYA YA TANDAHIMBA MTWARA| RC SAWALA AKABIDHI
มุมมอง 2599 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan, amechangia Shilingi Milioni 100 katika Ujenzi wa Msikiti wa Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara Fedha iliyokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Kenani Sawala kwa niaba ya Rais huyo. Hafla hiyo imefayika leo Novemba 26 2024 katika Viunga vya Msikiti huo unaojengwa katika Wilaya ya Tandahimba huku Mkuu huyo wa Mkoa akiw...
MHE. SHAMSIA AELEZEA UMUHIMU WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA| AWANADI WAGOMBEA
มุมมอง 2549 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini Mhe. Shamsia Azizi Mtamba, siku ya Novemba 25 2024 amezungumza na Wanachama wa CUF katika Kijiji cha Mnazi Kata ya Nalingu Mkoani Mtwara na kuwanadi Wagombea wa Chama hicho katika Nyadhifa mbalimbali. Akiwa katika Eno hilo, Mbunge huyo amewasisitiza Wapiga kura hao kuuona Uchaguzi huo wa Serikali za Mitaa kuwa wenye umuhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya Kiji...
SLIM SMART YAJA NA MY HERO KID FESTIVAL MTWARA | WATOTO 350 WA SHULE 10+ KUONESHA VIPAJI DISEMBA 7.
มุมมอง 1839 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Katika kuelekea kumaliza mwaka 2024, Kampuni ya SLIM SMART GROUP inatarajia kukutanisha watoto takribani 350 mkoani Mtwara, wa kuanzia umri wa miaka 3 hadi 12 kwa ajili ya kushiriki tamasha la MY HERO KID FESTIVAL linatotarajiwa kufanyika siku ya Disemba 07,2024 katika viwanja vya Veta hotel iliyopo manispaa ya Mtwara Mkindani. Tamasha hili lililoandaliwa na kampuni hiyo ya Slim smart, kampuni ...
MHE. SHAMSIA MTAMBA AWANADI VIONGOZI WA CUF KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MTWARA.
มุมมอง 38912 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ni muendelezo wa Kampeni za kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa zinazoendelea katika Kijiji cha Mnaida Kata ya Tangazo wilya na Mkoa wa Mtwara chini ya Mbunge wa jimbo la mtwara vijijini ambae pia ni Mjumbe wa baraza kuu la uongozi Taifa kupitia chama cha Wananchi CUF Mhe. Shamsia Azizi Mtamba siku ya Novemba 24 mwaka 2024 Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika siku ya Novemba 27 2024. Akiwahutubia...
SAMEER MURJI AZINDUA SHINA LA CCM NALINGU MTWARA | APOKEA 16 WALIOHAMIA CCM | AGAWA JEZI.
มุมมอง 37814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mjumbe wa baraza kuu la umoja wa vijana CCM Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa halmashauri kuu CCM mkoa wa Mtwara Sameer Murji, amefanya uzinduzi wa shina la umoja wa vijana CCM kata ya Nalingu halmashauri ya wilaya ya Mtwara. Uzinduzi huo umefanyika Novemba 23, 2024 katika kata hiyo ya Nalingu, ambapo uzinduzi huo umechagizwa na kupokea wanachama wapya kutoka vyama vya upinzani na kujiunga na chama...
MBUNGE SHAMSIA AZINDUA RASMI KAMPENI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MTWARA | APOKEA WANACHAMA WAPYA
มุมมอง 70514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mbunge wa jimbo la Mtwara Vijijini na Mjumbe wa baraza kuu la uongozi Taifa kupitia chama cha Wananchi CUF Mhe. Shamsia Azizi Mtamba leo Novemba 23 2024 amefika kwenye Kijiji na Kata ya Mpapura akiwa na viongozi mbalimbali wa Chama hicho, mahsusi kwa ajili ya Ufunguzi wa Kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika siku ya Novemba 27 mwaka huu. Akizungumza na Wananchi katika ...
MAKALA MAALUMU INAYOANGAZIA CHANGAMOTO ZA WATU WENYE ULEMAVU WA KUSIKIA KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI.
มุมมอง 12616 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kuna Changamoto nyingi ambazo wanakumbana nazo watu wenye mahitaji maalum mathalani kundi la wenye ulemavu wa kusikia hasa nyakati za uchaguzi, kwa kuwa kwenye harakati za uchaguzi ikiwemo kujiandikisha, kuchukua fomu na hata nyakati za kampeni huwa hakuna watafsiri au wakalimani wa lugha za alama. changamoto kubwa kwa watu wenye ulemavu wa kusikia ni ukosefu wa taarifa muhimu katika lugha ya a...
WANACHUO| WASANII| KUPAMBA SAMIA UNI BONANZA LENYE KUHAMASISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MTWARA
มุมมอง 14319 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANACHUO| WASANII| KUPAMBA SAMIA UNI BONANZA LENYE KUHAMASISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MTWARA
WAKULIMA WA KOROSHO NEWALA WALALAMIKIA UHABA WA MAGUNIA | WAHOFIA KOROSHO ZAO KULOWA MVUA.
มุมมอง 163วันที่ผ่านมา
WAKULIMA WA KOROSHO NEWALA WALALAMIKIA UHABA WA MAGUNIA | WAHOFIA KOROSHO ZAO KULOWA MVUA.
WAZEE WENYE MAISHA DUNI WASAIDIWA NYUMBA MTWARA| WAOMBA WASAIDIWE MILANGO | MMOJA ANA UONI HAFIFU
มุมมอง 517วันที่ผ่านมา
WAZEE WENYE MAISHA DUNI WASAIDIWA NYUMBA MTWARA| WAOMBA WASAIDIWE MILANGO | MMOJA ANA UONI HAFIFU
TGNP YAFANYA TATHIMINI YA MAFUNZO YA MWANAMKE NA UONGOZI MTWARA | WAVUKA ZAIDI YA 50% YA MALENGO.
มุมมอง 116วันที่ผ่านมา
TGNP YAFANYA TATHIMINI YA MAFUNZO YA MWANAMKE NA UONGOZI MTWARA | WAVUKA ZAIDI YA 50% YA MALENGO.
"MABADILIKO TABIA YA NCHI TATIZO AFRIKA | WAHITIMU KAELIMISHENI JAMII KUTUNZA MAZINGIRA" DKT.BITEKO.
มุมมอง 188วันที่ผ่านมา
"MABADILIKO TABIA YA NCHI TATIZO AFRIKA | WAHITIMU KAELIMISHENI JAMII KUTUNZA MAZINGIRA" DKT.BITEKO.
KAMPUNI YA ROTAI INAYOSAMBAZA MIZANI ZA KIDIGITALI YAIKABIDHI MAMCU PIKIPIKI TATU.
มุมมอง 14914 วันที่ผ่านมา
KAMPUNI YA ROTAI INAYOSAMBAZA MIZANI ZA KIDIGITALI YAIKABIDHI MAMCU PIKIPIKI TATU.
SHEIKH MZIWANDA AUNGANA NA FAMILIA YA SHEIKH MNAWATE KWENYE SHUGHULI YA ZIARA MIKINDANI MTWARA.
มุมมอง 79314 วันที่ผ่านมา
SHEIKH MZIWANDA AUNGANA NA FAMILIA YA SHEIKH MNAWATE KWENYE SHUGHULI YA ZIARA MIKINDANI MTWARA.
NMB YASAIDIA VIFAA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA MIL. 34 KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA NANYAMBA MTWARA.
มุมมอง 13014 วันที่ผ่านมา
NMB YASAIDIA VIFAA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA MIL. 34 KATIKA SEKTA YA ELIMU NA AFYA NANYAMBA MTWARA.
MWANAMKE AWACHAKAZA WANAUME 6 KWENYE KURA ZA MAONI | MMOJA WAPO AMEONGOZA MIAKA ZAIDI YA 40 MTWARA
มุมมอง 16614 วันที่ผ่านมา
MWANAMKE AWACHAKAZA WANAUME 6 KWENYE KURA ZA MAONI | MMOJA WAPO AMEONGOZA MIAKA ZAIDI YA 40 MTWARA
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MIONZI KATA YA CHIWALE
มุมมอง 21514 วันที่ผ่านมา
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MIONZI KATA YA CHIWALE
ALIYEWEKEWA PINGAMIZI AISHUKURU SERIKALI BAADA YA KUMSAIDIA KURUDI KWENYE NAFASI YAKE MTWARA.
มุมมอง 24814 วันที่ผ่านมา
ALIYEWEKEWA PINGAMIZI AISHUKURU SERIKALI BAADA YA KUMSAIDIA KURUDI KWENYE NAFASI YAKE MTWARA.
TAKUKURU YAWAPA MAFUNZO WANAHABARI MTWARA KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
มุมมอง 11014 วันที่ผ่านมา
TAKUKURU YAWAPA MAFUNZO WANAHABARI MTWARA KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
ZAIDI YA TSH. BILIONI 870 ZALIPWA KWA WAKULIMA WA KOROSHO | SERIKALI YASISITIZA MALIPO BILA DHULMA.
มุมมอง 18714 วันที่ผ่านมา
ZAIDI YA TSH. BILIONI 870 ZALIPWA KWA WAKULIMA WA KOROSHO | SERIKALI YASISITIZA MALIPO BILA DHULMA.
MIMBA ZA UTOTONI | TALAKA HOLELA ZINAVYOMRUDISHA NYUMA MWANAMKE KIUCHUMI NA KIUONGOZI.
มุมมอง 20514 วันที่ผ่านมา
MIMBA ZA UTOTONI | TALAKA HOLELA ZINAVYOMRUDISHA NYUMA MWANAMKE KIUCHUMI NA KIUONGOZI.
WATATU WAFARIKI KWA AJALI YA BODABODA NANGURUWE MTWARA | MMOJA AACHA MKE MJAMZITO
มุมมอง 17K21 วันที่ผ่านมา
WATATU WAFARIKI KWA AJALI YA BODABODA NANGURUWE MTWARA | MMOJA AACHA MKE MJAMZITO

ความคิดเห็น

  • @hemedrashid2921
    @hemedrashid2921 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hata alipochangiaa kanisa katoliki watamaliza mapadrii acha kauli za kichocheziii kungunii mmoja😂😂😂😂

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SUBAHANNAALLAH

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hotel ya majariwa sio yake aache kudanganya umma

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Vihele hele to kukaa nyumbani mlee watoto aaaaah kwenye mamb yadin sas huwaon ila ushetan to me kuwapigia kula wasahau pesa yenyewe ya kula na isumbukia niache kutafuta pesa ya kula nikapange foleni sipat hata mia

  • @MaulidMfaume-j4h
    @MaulidMfaume-j4h วันที่ผ่านมา

    Polen san

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl วันที่ผ่านมา

    Subuhanallah. Poleni sana Allah awaponye naawapesubra

  • @LaurentMdumbwa
    @LaurentMdumbwa วันที่ผ่านมา

    utasabqbisha mashke wamalizane

  • @KihandaSayi
    @KihandaSayi วันที่ผ่านมา

    Pole sana

  • @MlishoAlly-x1f
    @MlishoAlly-x1f วันที่ผ่านมา

    Pole dada mungu akupe subra

  • @SimaNestory
    @SimaNestory วันที่ผ่านมา

    Daah Mungu atutetee

  • @Zuu673
    @Zuu673 วันที่ผ่านมา

    Poleni ndugu zetu

  • @markbundi9821
    @markbundi9821 วันที่ผ่านมา

    Heli kutubu kumrudia mungu kuliko kujitoa uhai

  • @VochamanMan
    @VochamanMan วันที่ผ่านมา

    Poleni sana mungu aendelee kuwaponya abali imetufikia uku kwetu msumbiji Mozambique

  • @JahidaRashid
    @JahidaRashid วันที่ผ่านมา

    Poreni sana Wana mtwara

  • @HappyLenatus-yn4tv
    @HappyLenatus-yn4tv วันที่ผ่านมา

    Huyu dada mpumbav

  • @marcelinapilly5200
    @marcelinapilly5200 วันที่ผ่านมา

    polen sana Mungu aendelee kuwaponya

  • @HappyLenatus-yn4tv
    @HappyLenatus-yn4tv วันที่ผ่านมา

    Kwann vimfate yeye tu au anaixhi na vitu vibaya humo ndan

  • @user-princs
    @user-princs วันที่ผ่านมา

    Poleni sana sanaaa jamani MUNGU awaponye watoto majeraha na walimu pia

  • @HossenKilango
    @HossenKilango วันที่ผ่านมา

    Polen

  • @abilahnamnungu1819
    @abilahnamnungu1819 2 วันที่ผ่านมา

    madaraja n@kukubali sana

  • @abilahnamnungu1819
    @abilahnamnungu1819 2 วันที่ผ่านมา

    Naliendele hakuna upinzani ,wameingizwa tu.hapi ni Dodoma

  • @saidilivemba7326
    @saidilivemba7326 2 วันที่ผ่านมา

    Aisee hili tatizo ni kubwa sana, Nanyumbu DC pia suala la Ndoa zisizo Imara na talaka Holela lipo kwa kiasi kikubwa kwa mujibu wa Afisa Maendeleo, Mr. Sengela

  • @material_liv4674
    @material_liv4674 2 วันที่ผ่านมา

    Wow hiyo ni gas au mafuta

  • @abdallahmakombo3866
    @abdallahmakombo3866 2 วันที่ผ่านมา

    👍

  • @HIDACHAPILE
    @HIDACHAPILE 2 วันที่ผ่านมา

    Shuhuda hatua zotehizo za mate so kwanini ulichelewa ivo

  • @ALYLUHUNDE
    @ALYLUHUNDE 2 วันที่ผ่านมา

    Mwenyekiti kwanini mkono kaficha?

  • @salimumohamed2517
    @salimumohamed2517 2 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana mungu awafanyie subra Kwa kipindi hiki kigumu

  • @nelsonmapunda6797
    @nelsonmapunda6797 3 วันที่ผ่านมา

    Mama mlezi Buti Moka Fc Naliendele miaka ya 2014 - 2016

  • @NadyaJuma
    @NadyaJuma 4 วันที่ผ่านมา

    Wazee wanaupwiru do maana wanabaka

  • @KhamisiJohn-s1u
    @KhamisiJohn-s1u 5 วันที่ผ่านมา

    Daaa jaman poleni saana

  • @ALYLUHUNDE
    @ALYLUHUNDE 6 วันที่ผ่านมา

    Namkubali sana huyu dada

  • @AishaIssa-l4q
    @AishaIssa-l4q 6 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Allah awalipe Kila kheri inshaallah

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 6 วันที่ผ่านมา

    Ameturetea mambo ya iringa

  • @AS-qh5mb
    @AS-qh5mb 6 วันที่ผ่านมา

    Nalingu ni yetu❤

  • @Mudaniboy
    @Mudaniboy 6 วันที่ผ่านมา

    Wamempgaa jaman wamemsemanga kumbe hat

  • @Mudaniboy
    @Mudaniboy 6 วันที่ผ่านมา

    Polee jmn

  • @SuleimanKhamis-r5t
    @SuleimanKhamis-r5t 6 วันที่ผ่านมา

    Nyege zinasumbua wanaona wivu❤

  • @EsterDaud-l6r
    @EsterDaud-l6r 6 วันที่ผ่านมา

    Mungu awaweke mahari pemapepon

  • @AishaIssa-l4q
    @AishaIssa-l4q 7 วันที่ผ่านมา

    Innalillah wainalillah rajuun

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 7 วันที่ผ่านมา

    Wamakonde acheni roho mbaya nyie kwani nyie wakati jambo hilo mmeliona mnatizama tuu

  • @AlexMwenda-zu3ej
    @AlexMwenda-zu3ej 8 วันที่ผ่านมา

    Duu polen sana

  • @ashamgeni-ns7rs
    @ashamgeni-ns7rs 8 วันที่ผ่านมา

    😢pol nisan

  • @TexnoNames
    @TexnoNames 8 วันที่ผ่านมา

    Majini hayo ya baharin Kwan lazima ujenge hapo dah mh

  • @irenemichael
    @irenemichael 9 วันที่ผ่านมา

    Watoto wenyewe sasa

  • @MariamMgeni-w4d
    @MariamMgeni-w4d 9 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana

  • @Daniel-p3o8z
    @Daniel-p3o8z 10 วันที่ผ่านมา

    Ok nimeelewa hee mungu wasamehe

  • @Mona-l7g
    @Mona-l7g 10 วันที่ผ่านมา

    Innalilahi wainalilahi rajiun

  • @MwanaHamis-y4e
    @MwanaHamis-y4e 11 วันที่ผ่านมา

    Allah awalipe kher kwa mliojitolea

  • @Osm90-m3j
    @Osm90-m3j 11 วันที่ผ่านมา

    Hongerani wote mlifanya jambo hili

  • @VochamanMan
    @VochamanMan 11 วันที่ผ่านมา

    Apo bado ajamaliza tatizo ukumu tu kwa mungu ila basi niwape pole familia au wa Tanzania wote abali imetufikia uku kwetu msumbiji Mozambique 😢😢😢😢😢😢