kweli kabsa mimi natokea mikoa ya kanda ya ziwa wakati nahamia mikoa ya pwani nilikuwa nachukia sana muziki ya singeli kwanza nikimuona m2 anasikiliza nyimbo hizi namuona kama sijui yupo na qkili gqni vile bas 2😂😂😂 nashangaa saizi mimi ndio nasaport mziki wa singeli na kwenye simu au frash sikosi singeli
Big up kwenu,watoto wa bongo...mmeua bonge la Ngoma, ni mix msebene flan hv mix mtaarabu flan hv mix singel la kwenda, Kwa kwel God bless you all, mmejua kutoa kitu Cha kwenda.....
Mikoa ya pwani hususani Dar es salaam mpak morogoro hadi mtwara ukiishi lazima utapenda singeli✌😎
kweli kabsa mimi natokea mikoa ya kanda ya ziwa wakati nahamia mikoa ya pwani nilikuwa nachukia sana muziki ya singeli kwanza nikimuona m2 anasikiliza nyimbo hizi namuona kama sijui yupo na qkili gqni vile bas 2😂😂😂 nashangaa saizi mimi ndio nasaport mziki wa singeli na kwenye simu au frash sikosi singeli
tulio waona clam vevo na bairam gonga like ata 8 tuu
Jamani anaeirudia hii video kama mimi like hapa tujuanee mashabiki wa MEJA KUNTA🥰🥰🥰🥰
Ww kwa mpalange unaend lakin tualikan ..!!
@@saidi1365 nyooooh niacheee hukooo🤣🤣🤣🤣kwanza sipajui huko kwa mpalangeee🥶🥶
th-cam.com/video/LYlDptjFxNg/w-d-xo.html
💔💔💔 nimeielew hatar
Nimeipenda
Unaonyesha kweli unatabia mbaya
Dee Lucky apewe mauwa yake,kauwa sana humu ndani,ana sauti ya kipekee💣👊
Una kitu utafika mbali sanaa. Una jicho la kuona vitu vizuri na kutambua vitu vizuri. Nimependa uchambuzi wako
Big up kwenu,watoto wa bongo...mmeua bonge la Ngoma, ni mix msebene flan hv mix mtaarabu flan hv mix singel la kwenda, Kwa kwel God bless you all, mmejua kutoa kitu Cha kwenda.....
Meja VIP mbona kama umeniimbia mimi😅😅😅😅 I like it❤😅😅
Now this is Tanzanian Music… sio kila siku Amapiano bongo!!
Nakkubali tu sana nkiwa mombasa kenya☝️
Clam VEVO ndio mwenye huu wimbo huna muusu😂😂😂😂😂😂😂👍🇰🇪🇰🇪❤️❤
Na mwingine ako apa juu ya clam😘😘🥱
Tabia mbaya goma la moto sana meja vs deeluck mmetisha sana 🔥🔥🔥2023
Wewe Clam umenichekesha sana beramu
meja akika ww wapekee ako video tamu mnoooo jamb nmerudia kama mala 7 jamn ❤❤❤❤❤❤❤❤
Inaonekana clam kashiba chapati na maharage vibe iko juu😅😅🥰
Kichupa kikali saana 🔥🔥🔥🔥 mume tisha
Goma kali na video kalii dah ila kuna tabia moja hv wanapenda wengi siku hz lkn mmmmh 🤭🤭🤭
Ngoma kalii sana sema mwana Dee luck kauwa sana na hii ilikuwa hit kbisa bila collable na meja
Sema wanangu mmetish kinoma ❤❤❤
Waah Dee Luck 😊😊😊 seriously nimeirudia mara kumi ivi
Big fans wa Meja😂but Dogo amemfunika Meja❤❤
Unyama unyamani kaka braza VIBE SINGELI saluute sana,, wakusoma usinizoeee 😂😂😂😅😢 noma sanaa MEJJA
Unike sounds ngorii eyoo kenny 🎯🎯🎯🎯🎯🎯🎯🎯🎯🎯🎯 Namcheki #Clam vevo ameenda nyumbani #Tabia yake mbaya kula chapati na maharage😘😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎼🧤
Hatari sana 🔥 🇰🇪
Ududu Mwingi
Number one lover I can’t wait
Meja and clam nawapenda sana muendele kutupa utamu zaidi I 💕 💖
Mejaah Thnks kw hiki kipaji ch d. Ila kakupoteza mnoo ndo maan ya maendeleo bro
Clam of Bailam 🙌🙌🙌🙌❤️❤️
Hii imeenda
Balaaaaaa
Bonge La Ngomaaaa
Shoo❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉 Good 💯💯💯💯💯💯
Bhailam bhailam bhailam 🎉🎉🎉🎉
Nomaaaaa
Waaa!!!....singeli
Jamani mejawanikoshaje nahiinyimbo yanikilanyimboyako pambe2 ❤❤❤
Magnifique kk muziki imeticha
Mimi hapa mkenya nazipenda nyimbo za darsalaam sana
Nivyema sana kujijua kama unatabia mbaya❤❤❤❤❤❤
Karibu kweny channel yang upate nyimbo nzur seach navolee
Tabia mbaya!!
Nawapenda sana mejana clam
Dee Luck unajua sana
Clam na vituko vyake much love
Mejaaaa
Clam in the house🔥🔥🔥
Gomaaaaa 🔥🔥🔥🔥
Niko hapa ju ya clam
Lovely ❤️❤️ this song like good friend Mejja🇰🇪🇹🇿
Mejakunta na clam munatisha waaaa safi sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ya moto sanaa💥💥
Sema nini Tabia yangu mbaya 🔥🔥
Kali san
😂😂😂😂 mejakunta nakukubali sana unapenda twiiiitaaaaaaaa🎉🎉
On Repeat! 😍😍😍
My favorite King of Singeli🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌👌
nimeipendaaaa iiiiiii meja
Oyooooo deeluck damu yetu
Mbona boomplay haipo
Kwa hili goma chukua mauwabyako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
singeli tamu bana😊😊😊😊😊
hongereni sana 😅🔥🔥🔥🔥🔥💯
Yaaan we Mimi kabisa
Dogo kakufunika mejja hun vibe
He has never dissapoint us meja kunta🔥🔥🔥
💥💥💥meja unstoppable brooh💥💥
Dee lucky ❤❤❤❤❤
Tabia Yangu Mbayaaa
Kaka mkubwaa❤❤❤❤❤❤
Taarifaaaa
Ngoma kali sn
Hatareee😸😸😸😸😸😸💥💥💥💥💣💣💣💣
Big up bro
Sana kaka
Very nice song brother.
Big up❤❤❤
Safi sana Kunta
Yeaaaah! ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mr Hit song
Bonge la banger💥💥
Wa hii kali
Masha Allah ❤❤❤
Hit song 🔥
Meja kunta kiboko❤❤
Video sio quality 👌
quality ni ipi mzee wangu au ushazoea video zenu za kun'gaa
Clam oyeeee❤❤❤
K maaaaaaAa keeeeee3
Am happy to know you guys from this song, thanks for the wise video and the good vibe lyrics and audio. Much respect from Kigali.
Kweli unatabia mbaya
Clam 🔥🔥🔥🔥
Bravooo
Bomba sana #tellaaxistz
Strong message
Dogo huyu meja kunta kawafunika majayant wa singeli wote tz
Singeli Kali Sana Aisee🔥
Oyaaaaa a🙌🙌
Motoooooo 🔥🔥
U made it cong bro
Tungeipromote singeli, ikachuane na amapiano