BIBI ALIEMFUATA RAIS MAGUFULI IKULU, YAAMRIWA ALIPWE MILIONI 500, LUKUVI AWAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2019

ความคิดเห็น • 26

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 4 ปีที่แล้ว +13

    Ooooh asante Mr raisi ni bibi yangu mzaa mama sema nilimuacha nikaja kusaka ugali ss narudi kwabibi yang sitoki tena kwnd kuzulula🙄

  • @davidobonyo7558
    @davidobonyo7558 4 ปีที่แล้ว +6

    Asante Sana Rais Maghufuli

  • @mommary2424
    @mommary2424 4 ปีที่แล้ว +7

    Hakuna short cut ya maisha,ckuhzi ni kazi tu

  • @isunga1964
    @isunga1964 4 ปีที่แล้ว +6

    Dah milioni 500 bibi atarudi kijana maana nasikia mtu akiwa na pesa hazeeki😊😊😊

  • @Raphadebluz
    @Raphadebluz 4 ปีที่แล้ว +3

    Pamoja Sana mtu wa nguvu #millardayo

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 ปีที่แล้ว +2

    Bibi nakuja .Tena mumuwekee ulinz watamvamia huyo

  • @hafsamhd9264
    @hafsamhd9264 4 ปีที่แล้ว +7

    Haki yamtu haipotei

  • @bryanfelix3771
    @bryanfelix3771 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimefurahi sana

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 4 ปีที่แล้ว

    Duh tayari wajukuu wanaanza kutaka kurudi mtammaliza

  • @tanzaniashinyanga454
    @tanzaniashinyanga454 4 ปีที่แล้ว

    Huyu bibi amefanikiwa kuwatapeli watu wengi

  • @singlemom6915
    @singlemom6915 4 ปีที่แล้ว +3

    Si mnalipwa ?kama majengo tunalipia vipimo michoro juu yenu sisi tutalipia majengo tu

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 ปีที่แล้ว

    Aaaaaaaaaaaaaaaa jamani Bibi kawa tajiri ghafla. Watoto wake wote lazma warudi kwa mama

  • @omarybabuutv972
    @omarybabuutv972 4 ปีที่แล้ว

    Huyo bb km hana mume mi niko tayari

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 4 ปีที่แล้ว +3

    Mln 500 !?? Jiongezeni viongozi
    Isije kuwa km ya ndege