MUSUKUMA AJILIPUA BUNGENI - "MBOWE NDIO ANAONGOZA KWENDA IKULU, ALIPAKUMBUKA SANA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • MUSUKUMA AJILIPUA BUNGENI - "MBOWE NDIO ANAONGOZA KWENDA IKULU, ALIPAKUMBUKA SANA"
    Mbunge Zainab Katimba, ametoa hoja bungeni ya kumpongeza Rais Samia, baada ya jana Mei 25, kupewa tuzo ya nchi yenye miundombinu mizuri huko nchini Ghana, ambapo hoja yake imeungwa mkono na wabunge wengi.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 52

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 2 ปีที่แล้ว +1

    Wabunge wanafiki umezidi.pia mwogopeni Mungu.mpeni sifa zake JPM.kwa udhubutu.barabara,majini,treni ya umeme.wazungu wanaakili Sana.kiongozi wa kiafrika atakayenda tofauti nao.Nchi inawekewa vikwazo.

  • @uwezowamunguutendaokazi3043
    @uwezowamunguutendaokazi3043 2 ปีที่แล้ว

    MÁFUTÀ,TOZO ,BARABARA,BIDHAA ,NAULI , VYAKULA BEI JUU, TOENI 500 KWENYE MAFUTA YA MAG'ÀRI. HALI MBAYÀ KWA WANANCHI MSUKUMA. MUNGU MKUU ATUSAIDIE WATANZANIA, AMEN.

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 2 ปีที่แล้ว +1

    MBOWE Kwenda kwa mama ,wabunge wengi kimewauma sna ,waccm da,

  • @grande9657
    @grande9657 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mnafiki kiongozi wa sukuma gang

  • @sabokomaila1827
    @sabokomaila1827 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh tuna wa bunge wa hovyo kweli

  • @bernardbwakitare1116
    @bernardbwakitare1116 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewe msukuma akili zimeisha, kazi kupongeza

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 2 ปีที่แล้ว +1

    Mpuuzi sana wew kumbe huna akili

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 2 ปีที่แล้ว +2

    Mama Samia amesema tuzo ni ya Magufuli. Msukuma acha uchawa.

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 2 ปีที่แล้ว

    Msukuma wew na mama ako ndo mnampenda

  • @saebajoma8419
    @saebajoma8419 2 ปีที่แล้ว

    Mikundu yenu tunabika Sisi hata mlo mmoja unatutaabisha nanchi yeti km wakimbizi maisha juu

  • @geofreyruta1723
    @geofreyruta1723 2 ปีที่แล้ว

    Pesa zinabadilisha watu tumepitia wakati mgumu gani mjomba kaangaika mama kapewA tuzo nae mpeni sifa zake blo tunakuheshimu sana

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 ปีที่แล้ว

    Mama Samia anachukiwa kwa ajir ya dini yake vingne visingizio tu

  • @ramadhanijumakishai7783
    @ramadhanijumakishai7783 2 ปีที่แล้ว

    Hy mttzo

  • @edwinmandela5658
    @edwinmandela5658 2 ปีที่แล้ว

    Yaani bungeni wapinzani wamekosa yamebaki makondoo tu

  • @leskarmeikok8956
    @leskarmeikok8956 2 ปีที่แล้ว +1

    Tulia ametulia kama jina lake

  • @alexmzumbwe1328
    @alexmzumbwe1328 2 ปีที่แล้ว

    Bunge hili vituko msukuma acha comerd

  • @edwardmalila5230
    @edwardmalila5230 2 ปีที่แล้ว

    Tuzo sawa ni nzr ila inamhusu jpm

  • @lusungukitago9000
    @lusungukitago9000 2 ปีที่แล้ว

    Huna akili

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaan cku kutegemea msukuma daaaaaaah nyie ogopa pesa

  • @adamsibora9991
    @adamsibora9991 2 ปีที่แล้ว

    Siasa izo wanajiandaa kwa uchaguz anacheza na akil za wapiga kula

  • @yohanagidion1217
    @yohanagidion1217 2 ปีที่แล้ว +2

    Baada ya kufaliki Jpm, msukuma umefulia siasa.

  • @allenmkwavi8360
    @allenmkwavi8360 2 ปีที่แล้ว

    Mambo ya ajabu ajabu Sana

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 2 ปีที่แล้ว

    Bunge limekua na vituko

  • @yeunhiasrwetze8377
    @yeunhiasrwetze8377 2 ปีที่แล้ว

    Nothing

  • @elliottrahema
    @elliottrahema 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu msukuma nilimuheshimu sana lakini kuanzia leo I have zero respect to this guy sikujua kama huyu jamaa ni nyoka tena yule black mamba mbaya wewe msukuma ni mnafiki wa kwanza ulimwenguni , you will rot in he'll

  • @christophernzige3913
    @christophernzige3913 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbowe hayupo bungeni,mchambane wenyewe sasa

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

    Msukuma acha wivu wa kitoto,na wewe si uende? Wivu wa nini??😎

  • @piusprospa8832
    @piusprospa8832 2 ปีที่แล้ว

    Huyo ni njuga anazani ikulu ni Mali ya CCM ukiweka siasa kwenye vyombo ambavyo haviingiliani na siasa basi huyu jamaa akupimwe

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว +1

    Unafiki mtupu, siamini kama Dr(PhD) Joseph Musukuma amefulia kiasi hiki...

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 ปีที่แล้ว

    Mmmhhhj

  • @jumannewamburaa4145
    @jumannewamburaa4145 2 ปีที่แล้ว

    Nayeye atuambie mawazo kwanini alimkili

  • @rwechungurajohn3592
    @rwechungurajohn3592 2 ปีที่แล้ว

    Hivi jamani mbona msukuma ww ndie ulikuwa chumba kilicho shindikana imekuwaje!? Hivi kama mh magufuli anakuona mhhhh !!!! Mafuta kwanza madawa n.k

  • @festusjchunya7246
    @festusjchunya7246 2 ปีที่แล้ว

    Mnafiki tu

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 ปีที่แล้ว

    Mnafiki mkubwa huyu

  • @simonkabuka9170
    @simonkabuka9170 2 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa Tulia naona bunge lako linafanya mzaha zaidi kuliko kuaddress national burnnh issues. Maisha yanatusubu Spika. Take firm stand kwa wanaoganya maigizo bungeni. Mambo hayako hivyo mnavyojidanganya huku chini. 2025 mtakuja mlie kilio ambacho hamtakiwa na wa kumlaumu. Ngonjerekeni tu kwa kujidanganya anaupiga mwingi!

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Hutaki kusikia Wananchi wakimpongeza Mama kwa ushujaa wake, umahiri wake na uzalendo wake, sio? Umeumia eee! Hata wasiposema, mawe yatasema ! Nani kama Mama!

    • @simonkabuka9170
      @simonkabuka9170 2 ปีที่แล้ว

      @@j.c.maxima816 Kwa maisha ya maigizo ni vema kumsifu Mheshimiwa Rais. Huku chini mambo hayaendi. Taifa hili lenye ardhi nzuri ya kilimo kukosa mafuta ya kupikia unaona ni sawa. Hivi ni lazima kwenda kukopa Marekani na Ulaya tu kwa ajili ya kujenga Bomba la mafuta toka Hoima (Uganda) hadi Tanga(Tanzania). Kwanini tusijaribu nchi za mashariki kama India na China?

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      @@simonkabuka9170 Huo mradi wa bomba la mafuta baina ya Uganda na Tz umeanza kujadiliwa Enzi za Magufuli. Mama yy katia saini tu kukamilisha baada ya Magufuli kuondoka. Kama mmekuwa na mawazo mbadala, kwa nini hamjamhoji Marehemu akiwa hai??? Kuhusu mafuta ya kupikia, naomba niulize swali. Je, tulikuwa na mafuta ya kupikia ya kutosha katika Awamu iliyopita? Jibu ni hapana! Je, hujui kwamba Sekta ya Kilimo imepewa kipaumbele katika Awamu hii? Bajeti ya Kilimo mwaka huu wa fedha ndio bajeti kubwa kuliko wakati wowote Nchini Tz. Tangu Uhuru, hatujawahi kuwekeza kwenye Kilimo kama tunavyofanya leo! Samia yuko vizuri tu na anastahili pongezi!

    • @simonkabuka9170
      @simonkabuka9170 2 ปีที่แล้ว

      Amini unachoamini nami nabaki na msimamo wangu. Panapomajaliwa majibu tutayaona 2025 during general election.

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 2 ปีที่แล้ว

    Chadema hatuna wabunge shika adabu yako

  • @salama1113
    @salama1113 2 ปีที่แล้ว

    😏😏😏😏😏😏

  • @furahinijoshua116
    @furahinijoshua116 2 ปีที่แล้ว

    Mnataka Tu uwaziri sio kingine wanainchi wanapata taabu vitu vimepanda bei hata hamjigusi

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 ปีที่แล้ว

      Na bado mnalalamika? Serikali imetoa BILIONI 100 kupunguza ukali wa maisha,,, BILIONI 100! Kweli Wanadamu hamridhiki!!!

  • @simonjnrmabula3785
    @simonjnrmabula3785 2 ปีที่แล้ว

    Hizo tunzo zinatusaidia nini watanzania ?
    Aboreshe maisha kwa watanzania na kutengeneza mazingira mazuri ya ajira na soko kwa mazao ya wakulima. Tunzo ni ya miundombini ila tokea aingie madarakani hakuna miundombini mipya iliyojengwa au kuanzishwa zaidi ya kupunguzwa iliyokuwepo.

    • @evelinemsaki2057
      @evelinemsaki2057 2 ปีที่แล้ว

      Jimbo let hakuna barabara inayojengwa wakati jpm alikuwa amemwagiza mkurugenz was tanrod kuhakikusha anate geneza barabara upuuz mtupu Kama Ana tuzo labda kuzurura

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 ปีที่แล้ว

      @@evelinemsaki2057 Huyo jpm alikuwa bunge?kama hawajakujengea mkumbushe kama alikuwa bunge

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 ปีที่แล้ว

      Kulikuwa na ajira miaka sits iliyopita au unataka hadi hadi akutafutie na mchumba

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 ปีที่แล้ว

      Kwa mazuzu hazina heshima kwa wanye akili in heshima kwa taiga na mazuzu yakiwemo