OMMY DIMPOZ ashoot video yake mpya kwenye JUMBA la KIFAHARI la BAKHRESA lenye thamani BILIONI 30

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah ❤🔥🔥

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 ปีที่แล้ว +7

    Video nzuri sema jamaa kuimba hajui kabisa yeye afanye kazi tu kwa Gsm muziki kwake is too late

  • @l.m.a.7570
    @l.m.a.7570 ปีที่แล้ว +7

    Nyimbo yenyewe mbovu

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe ปีที่แล้ว

    Jumba limejengwa for businesses linauzwa hilo wenye pesa waende wachukue mjengo

  • @josephamakobe8404
    @josephamakobe8404 ปีที่แล้ว +3

    Nani amesikia wimbo wa FOUNDER TZ NITOKAJE

  • @MeddyClever
    @MeddyClever ปีที่แล้ว +3

    Bro hii ni kitu cha kawaida bhana isn't a big deal.. I've seen two Nigerian TH-camrs filming this building kotekote.. and it ain't bakhresa's house that he lives in.. hii ni property ya mwamba kwenye mji unaitwa fumba town na nyumba inauzwa $12m I think ungekutafuta namna nyingine ya ku address hii content yako

    • @Hissaba
      @Hissaba ปีที่แล้ว +2

      Ni property ya bakhressa group
      Kweny hiy video unayosema ipo kw promotion purpose
      Kw music video ommy ndio wa kwanz
      Mji wote wa Fumba Upcoming unamilikiwa na Bakhressa Group bro
      Acha ujuaji au kuna sehem umeambiw bakhressa anaishi humo??

  • @ZAGARO90
    @ZAGARO90 ปีที่แล้ว +4

    Ni shoga wa warabu.Nani hajuwi kwamba ni homosexuel shoga wamatajiri na KIKWETE

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅

    • @choggysly3541
      @choggysly3541 ปีที่แล้ว

      Nyinyi ndio mkitiwa ndani kwa kujiripokea hovyo kwa vibando vyenu vya mia tano hivyo ,familia nzima hata ichange haiwezi kukudhamini ,hebu tulieni muwe na adabu

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u ปีที่แล้ว +11

    Location Nzuri, Nyumba nzuri, color ya video nzuri..Maudhuhi mazuri…Ila kwa msichana aliyemtumia Kama video vixen kaaribuuu!!! Ugh!!! Kwanini wamelitumia Miss Masifa Niffer🙄🙄.. Komwe limeharibu shoot.

    • @Casanovatz
      @Casanovatz ปีที่แล้ว

      Acha wivu

    • @yassirgiya6743
      @yassirgiya6743 ปีที่แล้ว

      Apo kwenye colour 💥

    • @Thegossipermediatz
      @Thegossipermediatz ปีที่แล้ว +2

      Kwani sio binadamu kama wewe unamuona mbaya wengine wanamuona mzuri

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 ปีที่แล้ว +3

      Too judgemental,wewe yaelekea ulijiumba mwenyewe na umekamilika kila idara,ulitaka wakutumie wewe kama video vixen au ni wivu tuu wakusumbua na roho ya chuki?

    • @muduboy726
      @muduboy726 ปีที่แล้ว +1

      Wivu

  • @sumeiyamaddy95
    @sumeiyamaddy95 ปีที่แล้ว

    Watu wanaishi mashallah haya muhimu uhai ipo siku na cc inshallah

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz ปีที่แล้ว +2

      Dunia 2 maisha halisi yapo peponi na raha zake ni za maisha ya kudumu huwezi kuja linganisha ataa kidogo na maisha ya duniani

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th ปีที่แล้ว +2

    kwa taarifa nililnayo omy ameruhusiwa kushoot jikon bafuni tu bac

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 18 วันที่ผ่านมา

    Saw

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว +1

    Kuna watu waishi inshallah one day na mie

  • @milazoomilazoo4494
    @milazoomilazoo4494 ปีที่แล้ว +2

    Omyi katishaAa na kumkubalii lazimaaaaa wa kwanza milazooo apaa

  • @akimanaarlene851
    @akimanaarlene851 ปีที่แล้ว +3

    Jamani huo tajili backlessa anaishi wapi?

  • @KhadijaAbdallah-kn3ii
    @KhadijaAbdallah-kn3ii ปีที่แล้ว

    Hizi xipo nyingi fumba zipo xinazouzwa bei mbaya hatar matajir wananunuwa

  • @AbuuNachacha
    @AbuuNachacha ปีที่แล้ว +6

    Uyo shoga bakhlesa kashamuoa uyo

    • @its_khalidy_46
      @its_khalidy_46 ปีที่แล้ว +2

      Ukibadilisha mtazamo wako utafika mbali sana,,,

  • @alexmmbaga441
    @alexmmbaga441 ปีที่แล้ว +6

    Kwaiyo tunamsifia yeye kushoot kwenye nyumba ya watu

  • @niffonlinetz7214
    @niffonlinetz7214 ปีที่แล้ว +1

    APA NAMTAGI VIPI ASAKE AJE AONE HII

  • @Sosedeline
    @Sosedeline ปีที่แล้ว

    Hujui ako. Krbu na daimond

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 ปีที่แล้ว +1

    Nonsense hakuna lolote mji wenyewe kama ghost 👻 tu

    • @twalibmzee2812
      @twalibmzee2812 ปีที่แล้ว

      Saw ndio kwetu na ndipo Mungu alipotupa tunashkur kwa hicho tulichopew

  • @sundaysenga7608
    @sundaysenga7608 ปีที่แล้ว

    nyimbo iwe nzuri sio blah blah

  • @emilioadremaneadremane2706
    @emilioadremaneadremane2706 ปีที่แล้ว

    Sasa awa mdio wasani wakubwa

  • @saidadam2165
    @saidadam2165 ปีที่แล้ว

    Bweleo na fumba ukichanga ya unapt bwefuu moja kwa moja na kwa mzee haresa watu wa fumba ndo wabamuitaa