GPS: Kiongozi mpya wa Syria asogea karibu na Marekani, Wahouthi washambulia, Netanyahu abanwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 199

  • @kinasaba
    @kinasaba 18 วันที่ผ่านมา +4

    GPS has the greatest team combination in geopolitic analyses. I cant wait to follow you daily...

  • @bonifacemwansasu6638
    @bonifacemwansasu6638 18 วันที่ผ่านมา +8

    Dj Smaa hapa kuhusu 2025-2030 ni kipindi kigumu sana kwa kizazi chetu ni💯.Uko sahihi kabisa,dunia inaenda kushuhudia mambo mabaya kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwake.

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 18 วันที่ผ่านมา +1

    Pamoja frome Oman 🇴🇲

  • @ernestkunja3472
    @ernestkunja3472 18 วันที่ผ่านมา +9

    Smaa upo rght watu hawakuelewi ila baada ya muda watakuelewa kwa kuwa yanakwenda kutokea soon

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mko poa sana GPS 🔥🔥🔥🔥💫💫💫🌟

  • @taraagire6176
    @taraagire6176 18 วันที่ผ่านมา +2

    I have been watching this program and bwana fuss Mashallah u are all good 🇳🇴

  • @KaijageKaishozi
    @KaijageKaishozi 18 วันที่ผ่านมา +7

    Jamani nawaombeni muwe mna mfatilia ally masubi vizuri,. Uyu mwamba nimegundua anajua sana asee hongera sana mzee wangu ally na wote hapo studio.,

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 18 วันที่ผ่านมา +2

      Ally Masubi always huwaga anajua tu, labda tu namna ya kuzungumza ni kama kunampa shida ila huwa napendaga sana anavyokuwa Neutral.

    • @freddieelice6377
      @freddieelice6377 16 วันที่ผ่านมา

      Namuamini Sana kwenye numbers, anakupa details za namba na huwa na Google kuthibitisha naona yuko perfect 👍🏽,

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@freddieelice6377 Google huwa wanaandika taarifa ambazo wao wanataka kukupa ila taarifa za nyuma ya pazia huwezi kuzipata google wala CNN

    • @marcedeskaigarula
      @marcedeskaigarula 13 วันที่ผ่านมา

      Now days ameimprove sana Ally kwenye kuongea .

  • @chance0709
    @chance0709 18 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤ dj Sma

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 18 วันที่ผ่านมา +2

    Asante kaka kwa hii gps ila umeichelewesha

  • @YamuremyeYarodi
    @YamuremyeYarodi 18 วันที่ผ่านมา +3

    GPS ahsanten sana kutuelimisha

  • @zuumlondwa9518
    @zuumlondwa9518 16 วันที่ผ่านมา

    Tupo pamoja GPS❤

  • @Useri-bn6ye
    @Useri-bn6ye 18 วันที่ผ่านมา +9

    Leo nimeanza na kusoma comment nimeona wtu wengi wanatukana ovyoovyo tu na hii inaonesha uwezo wetu wakufikiri ulivo mchache
    Tujitahidini tubadilike tuweni wastarabu sote ni watu weusi sote ni waafrica tuweni ktu k1 kwenye kuishi kwa wema baina yetu na tukamua kupingana basi tupingane kwa hoja na sio kwa matusi
    Mm natoka Zanzibar karibu sana Zanzibar

    • @Kulindwa
      @Kulindwa 18 วันที่ผ่านมา +1

      Kutukana ni alama ya mshari ushabiki, mtukanaji ni kumpuuza maana si muungwana

  • @GREYSONSEKULU
    @GREYSONSEKULU 18 วันที่ผ่านมา +3

    Dah.smaa kuna busara moja matata kaiongelea hapo mwisho kwakweli Mungu akubariki sana

  • @mchopacalvin2986
    @mchopacalvin2986 18 วันที่ผ่านมา +6

    Ally hata kama hutajwi sana ila vema mnooo na huna upande unapojadili safi sana

    • @tugemwakilewa1298
      @tugemwakilewa1298 18 วันที่ผ่านมา

      Ally Masubi jamaa yupo deep sana, jamaa ni ngumu kujua yupo upande gani yeye huwa anatoa fact na haoneshi chuki na upande fulani.

    • @godfreymwizarubi109
      @godfreymwizarubi109 18 วันที่ผ่านมา

      Yes dj smaa yeye anachambua tayari na upande

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@godfreymwizarubi109Always

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@tugemwakilewa1298Yuko vizuri sana kiuchambuzi.

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 18 วันที่ผ่านมา +5

    Hakutakuwa na machafuko Syria maana nchi hiyo haijagawanyika ila walikuwa na adui mmoja yaani Assad

  • @SirabahendaYusufu
    @SirabahendaYusufu 18 วันที่ผ่านมา +1

    Number one yusd

  • @eliacmaginya3429
    @eliacmaginya3429 2 วันที่ผ่านมา

    Uko vzuri baba DJ smaa

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 18 วันที่ผ่านมา +6

    Masubi unasema jolani is "smart". Mi nakataa jamaa sio smart mana kila anachosema ss hv anapangiwa kukisema, sasa siamini mtu smart anakua anapangiwa cha kusema. It's true hawana nguvu ya kupambana na western ila "mkono unaokulisha hauwezu kuunyea". Watu wanasahau sana westerners wakikutumia wakishamalizana na wewe wanakutupa tu km wakina savimbi,foday sanko,charles Taylor na wengine wengi tu

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 18 วันที่ผ่านมา +1

      Huu ni mchezo wa Uturuki...kama umefuatilia hii issue utagundua kuwa Marekani na Israel haikuhusika ...huu ulikuwa ni mpango wa Uturuki

  • @MatendoMenganyi-xq8lx
    @MatendoMenganyi-xq8lx 18 วันที่ผ่านมา

    Kazi iendelee

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 17 วันที่ผ่านมา +1

    Dj Sma ana madini mengi sana, ila anazungumza Kwa pressure sijui, mpaka points zake zinakuwa hazieleweki vzuri na haelezei vizuri, japo ana madini mengi sana, yani jinsi ya kuzungumza madini yake Ili yafike vile anavyotaka anatumia njia ambayo Kuna muda kama humuelewi, ila ukiunga Dots ndo unampata vizuri...
    Ila kule kwenye Fuse X files ndo anamwaga vyombo vizuri, nafikir kwasababu labda anakuwa anarecord

  • @AmosOmary-s7w
    @AmosOmary-s7w 18 วันที่ผ่านมา +5

    Masubi akiongelea kwamba jamaa yuko smart Dj smaa body language yake inaongea kama apendi vile😂😂

    • @jibriladat5749
      @jibriladat5749 18 วันที่ผ่านมา

      Dj sma atakuwa ni Shia

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 18 วันที่ผ่านมา +1

      Apana ali masubi mara nyingi anampinga dj smaa nimeona sana

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@salumabdallah2990Sababu SMA huwa anachagua Upande ila Ally Masubi yuko unbiased na Neutral kiuchambuzi.

    • @alphamenson3784
      @alphamenson3784 17 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@GeorgeAkasha-zx2rjSma achambui kuhusu sasa tu, anacomment pia anajaribu kupredict kitachotokea baadae, Yule jamaa ni kibaraka wa magharibi na marekani. Japo muda ndo utaongea

  • @albertyustasi9103
    @albertyustasi9103 17 วันที่ผ่านมา

    Waoooo nawakubari sana makamnda kwa uchambuzi ile tunaomba mtuleetee tahalifa za urusi jamani

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 18 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu ni mtumishi wa CIA

  • @comics3437
    @comics3437 18 วันที่ผ่านมา +2

    Anachoongea DJ SMA ni cha uhakika

  • @MuslimMunde
    @MuslimMunde 18 วันที่ผ่านมา +1

    Yes gps

  • @saidmatola8015
    @saidmatola8015 18 วันที่ผ่านมา +3

    Abu Mohamed Al Golan anaandaliwa kuwa hayatollah wa Syria.

    • @shakeuabuu8851
      @shakeuabuu8851 18 วันที่ผ่านมา

      Wajina wangu tunashangilia Kwa kutolewa reward

  • @mountaincoffee7
    @mountaincoffee7 9 วันที่ผ่านมา

    GPS uongozi mzima. Naomba sana. Kuna jamaa anaitwa MWALIMU GOOGLE TV huyu jamaa anakitu kikubwa tofauti muunganiko utakuwa poa san kuelisha. Jamii

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 18 วันที่ผ่านมา +1

    Pamoja makomlade Smaa,Ali ,Mwinuka,

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 18 วันที่ผ่านมา

    King Netanyahu....🔥 The Best leader so far... kuhusu Wahuthi na taifa nzima la Yemen...waanze kuandaa sehemu ya makaburi..maana Israel mtoa Roho huwa habahatishi...

  • @DozzoSalim
    @DozzoSalim 17 วันที่ผ่านมา +1

    Ally unajifanya unajua sana, huna upeo kuliko Smaa, wewe ongea unachojua acha kunkosoa Smaa

  • @AngelBakrana
    @AngelBakrana 18 วันที่ผ่านมา +3

    Kumuelewa smaa bn ni mpaka mambo anayosema yatokee iv iv huwez kuelewa kirais

    • @KibabiMtumbaClassic
      @KibabiMtumbaClassic 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 swadakta

    • @KaijageKaishozi
      @KaijageKaishozi 18 วันที่ผ่านมา +1

      Hapana mkuu unajua hapo awatabili ., ujue uchambuzi maana yake ni kuchambua kilichopo sio kupredict kijacho., uchambuzi unachambua uimara na uzaifu wa kila pande,. Ni maoni yangu.

  • @BoniphaceMollel-j6o
    @BoniphaceMollel-j6o 14 วันที่ผ่านมา

    12 strong

  • @barikiringo6311
    @barikiringo6311 13 วันที่ผ่านมา

    Ndugu zetu uko Msumbiji wanakufa , Sns msisahau kuwa hawa ndio wakwetu na yanayotuhusu zaidi 😊

  • @MaurusMpinga
    @MaurusMpinga 18 วันที่ผ่านมา +4

    Smaa usitake kutuaminisha unachowaza sio kilichopo

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 14 วันที่ผ่านมา

      Yupo hapo kuelezea anachoona na kuwaza yeye... Kama hutaki unaacha lakini sio kumpangia cha kusema kama unacho cha kuchangia omba na wewe uende ukatoe maoni yako

  • @farukiddi5967
    @farukiddi5967 18 วันที่ผ่านมา +6

    Gps habari ya mjini natazama nikiwa Qatar

    • @shakeuabuu8851
      @shakeuabuu8851 18 วันที่ผ่านมา

      Mm nipo kisemvule mbagala 😅😅😅😅😅

  • @godfreymwizarubi109
    @godfreymwizarubi109 18 วันที่ผ่านมา +1

    shida kubwa ya DJ SMA sio mchambuzi bali ni mwanaharakati wa kuwapinga marekani na washirika wake

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 17 วันที่ผ่านมา

    Masubi, unasema hili kuliongelea ni lazima uangalie angles nyingi sana usiijump Kwa conclusion...
    Conclusion ni kwamba Syria Kwa Sasa Iko Chini ya Marekani...

  • @jonasmrema8550
    @jonasmrema8550 18 วันที่ผ่านมา +8

    Unakuta mwarabu mweusi kabisa anasema wahouth hawaogopi kifo ila sasa Israel ikiwazibua, wanaanza tena kusema genocide

    • @modekaijames
      @modekaijames 18 วันที่ผ่านมา

      Wataanza proud to be

    • @IdrisaSadik
      @IdrisaSadik 18 วันที่ผ่านมา

      Makafir kama

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 18 วันที่ผ่านมา

      Wataanza kulia free Yemen

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 18 วันที่ผ่านมา +1

      Jana ndege ambazo israil wanaringia na marekani zimepigwa na wahouth 😂

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 18 วันที่ผ่านมา

      @@salumabdallah2990 endelea kujidanganya

  • @novatusstanley2789
    @novatusstanley2789 18 วันที่ผ่านมา +1

    🔥🔥🔥

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ally unatakiwa kufuatilia mambo vzur bado ujiwez

  • @lionroot4073
    @lionroot4073 18 วันที่ผ่านมา

    Finally

  • @ellykibale190
    @ellykibale190 18 วันที่ผ่านมา

    Point of correction, aliyetafsiri democracy siyo George Washinghtone bali Abraham Lincolin..
    Lugha ya "wasio na elimu" inaweza kuwa na maana sahihi ila pia may sound "rude" nadhani ni vyema kuiepuka,ukizingatia wote tupo hapa kujifunza...
    Otherwise kipindi ni kizuri, Mungu aendelee kuwatia nguvu

  • @suleymuntar3544
    @suleymuntar3544 17 วันที่ผ่านมา

    Iv ally masubi iyo ndege ya marekan iliyodunguliwa ingekuwa ya iran story ingekuwa kama ivo au

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 18 วันที่ผ่านมา +3

    Dj sma anatak kufanana na baltazar😅

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂 duh

    • @djsma255
      @djsma255 18 วันที่ผ่านมา

      Hapana balataza amefanan na mm😂

    • @Muba-Gucci-TV
      @Muba-Gucci-TV 18 วันที่ผ่านมา +1

      @@djsma255 😄😄😄 sawa Mr fact and logic

    • @shabanibussara8454
      @shabanibussara8454 16 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @melki_official9948
    @melki_official9948 17 วันที่ผ่านมา

    Hahaha jama hataki vyeho vya kawaida I say namimi ana nichanganya 😂

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 18 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo la Ally ana ongea Sana Kila kitu yeye 😢😢😢😢😢😢

  • @ShabaniSalumu-cd3kl
    @ShabaniSalumu-cd3kl 18 วันที่ผ่านมา +1

    🤝

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hizi ni hesabu nyepesi sana, wamagharibi wapo upande wa kuweka mazingira ya usalama kwa Israel kwa hasara ya mipango ya Iran ya kuufuta utawala wa kiyqhudi...Syria inarejeq kuwa mahala salama kwa wananchi lakini kwa hasara ya ushia

  • @Patrick-w1j
    @Patrick-w1j 18 วันที่ผ่านมา

    Vilaza tu hawa hawajui kinachoendelea

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 17 วันที่ผ่านมา

    smaa apo ninacho ona apo ni tayari sitia iko kwenye mikono ya marekani aminini ivyo apo tayari marekani amewini kuichukua siria kinanya lakini sasa nina mashaka na awo watu wake wakaribu watakuja kukengeuka na machafuko yata tokea apo iko shida badae

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi vilikuwa vita vya wananchi wengi wa kisunni dhidi ya uongozi wa kishia na ndio maana mapinduzi haya hayataki tena kuiweka Syria kwenye mizozo ya kmataifa, hili ni pigo kwa kubwa kwa Iran na inaweza kuwa fursa ya Lebanon kukombolewa dhidi ya mkono wa iran

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hawo wahuthi sikuzao zinaanzakuesabikatu

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 17 วันที่ผ่านมา

    Middle east inakwenda kutulia maanw wananchi wanaanza kuamka ijapokuwa wageni wanayo nafas ya kuvuruga

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 18 วันที่ผ่านมา +1

    Lebanon iliwahi kuwa koloni kimtindo la Syria pamoja na kwamba Israel pia alikalia kipande cha Lebanon...

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 17 วันที่ผ่านมา

    Uyo Blinken ndo Muuaji Namba Moja Kwa Sasa..
    Netanyahu Yuko kama Picha Tu...

  • @josephineatieno8486
    @josephineatieno8486 18 วันที่ผ่านมา +3

    Alafu sns hatutaki ushabiki wa kidini kwenye GPS kama hizi we huoni Assad alichowafanyia wasyria kama nyie waislamu mnapendana mbona iran nacAssad wana dam za mamia mikononi mwao givi kuna raha gani kushabikia wapuuzi

    • @allyslim7774
      @allyslim7774 18 วันที่ผ่านมา

      Kama ujui kitu nyamaza Malaya wewe kila siku muambiwe kitu kimoja tu iyo nchi yenyewe waislm weng kwaiyo uwezi kukwepa

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 18 วันที่ผ่านมา

      Eneo alilokaria marekan inaiba mafuta huko syria ndo maana hatak vita viishe na vikiisha wakubali hiyo hali iwe endelevu kama tulivyokubali africa

  • @NyumbaYaHekima
    @NyumbaYaHekima 18 วันที่ผ่านมา

    Haikuwa katika maslahi wala mpango wa marekani waasi kuweza kumpindua Assad. Kwa ulinzi wa Israel, sera ya marekani ni kuiweka Syria unstable. Marekani wamepigwa na butwaa waasi kumpindua Assad.
    Uchumbuzi wa wataalamu zaid hasa wa nchi za waislam, hawaashirii kama Jolani ni bidhaa ya Marekani, marekani anajaribu kumnunua Jolani.

    • @thefactbook...1607
      @thefactbook...1607 17 วันที่ผ่านมา

      Thats it.uko vzuri kulitambua hilo.

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 18 วันที่ผ่านมา

    Sasa anadhani marekani ni watu wazuri wapuzi hawa

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 18 วันที่ผ่านมา

    Mimi sidhani kama Israel ilipewa go ahead na Urusi...maana Israel imepata advantage dhiidi ya Iran na Iran ni mshikaji mkubwa wa Urusi...so nadhani Israel walijuwa hizo sehemu Kwa kupitia MOSSAD

  • @AbuuFardausmiraji
    @AbuuFardausmiraji 18 วันที่ผ่านมา

    Hao HTS hawana tofauti na watalebani huenda huyo asichukue cheo chochote yeye atakua kiongozi wa kijeshi ili awakontrol viongozi wa siasa wasiweze kufanya chochote bila kauli yake

  • @MatridaAdam
    @MatridaAdam 18 วันที่ผ่านมา

    Smaa ana kamba sana !! Hisia ni nyingi, yaan Israel, Idf na mossad wapewe code zilipo kambi za syria code toka urusi kweli !! we jamaa bwana dah , kwanza Israel na Russia hawabadilishani deep military intelligence hawana mkataba huo .

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 16 วันที่ผ่านมา

    HUYO JAMAA NI CIA PERIOD

  • @JewsJews-c8w
    @JewsJews-c8w 18 วันที่ผ่านมา

    Naiona Syria kuwa papeti uturuku

  • @djafro8729
    @djafro8729 18 วันที่ผ่านมา

    Nangoja maoni ya controversial man last week hakuwa sawa, maybe alikuwa mogonjwa ama mawazo mingi ama kutolala. Dj sma

  • @ziggysamson5956
    @ziggysamson5956 18 วันที่ผ่านมา

    Guys kwanini leo wot mnasahau majina ya watu Sana

  • @shafiiramadhani
    @shafiiramadhani 10 วันที่ผ่านมา

    Mfalme

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 18 วันที่ผ่านมา

    Kitete kingi masubi

  • @PeterMmari-p4d
    @PeterMmari-p4d 16 วันที่ผ่านมา

    GPS mkopowasana nauchambuz Makini msongembele

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 17 วันที่ผ่านมา

    GPS itakufa kwa sababu ya hizi comments zetu zenye mwelekeo wa kuwashindanisha wachambuzi wetu.

  • @MichaelChongela-o2l
    @MichaelChongela-o2l 18 วันที่ผ่านมา

    Ww shinwar sijawahi kukuelewa Bora uwe shehe tujue

  • @Kulindwa
    @Kulindwa 18 วันที่ผ่านมา +1

    Middle east inabadilika ikijitoa kwenye mizozo isiyokuwa na tija kwa ustawi wa wananchi, hezubullah anakwenda kufa na Lebanon inakombolewa!
    Mzozo unabakia kwa Israel na wapalestina huku hamas inanyaushwa kama sio kufa

    • @mutaji5454
      @mutaji5454 18 วันที่ผ่านมา

      Izo nchi za arabuni migogoro haishagi magharibi wana interest zao uwezi maliza mgogoro kama ilivyo Congo tu apo

    • @Kulindwa
      @Kulindwa 18 วันที่ผ่านมา

      @mutaji5454 hoja ni mgogoro huu wa Syria ni vita vya alfitna ambavyo vimekuwepo mara baada ya kufa kwa mtume ingawsje uhasama umekuwepo toka za mtume mwenyewe kt ya nyunba mbili za mtume; vita hivyi vinakolezwa na wamagharibi na wamashariki kila mmija kwa masilahi yaje.
      Huko Yemen mzozo unafanana na huu maana shia wsnaamini wao ndio wanapaswa kuuongoza uislam wa waarabu kutokea Mecca! Ukweli huu tusiupindishe, alkaida ni Sunni...na sasa inaonekana wasyria hawataki kufitiniana tena maana adui yao yaani shia ya Assad imeanguka!
      Ila mzozo wa mafuta unaweza kufanya vita visiishe maana ulafi wa USA upo bayana

    • @Kulindwa
      @Kulindwa 17 วันที่ผ่านมา

      Hakipo kisicho malizika kama ambavyo hakipo kisichokuwa na chanzo. Hapo mzozo wa Syria ni sehemu ya kinachoitwa Islam alfitna iliyoweka makundi hasimu mawili yaani sunni na shia.
      Wageni kama wamagharibi na eamashariki wanaingilia kufitinisha zaidi kwa masilahi yao ya kiiuchumi huku Israel akitumia upumbavu wa mwarabu kwa masilahi ya ustaei eake ktkt ya kuirejesha Judea ambayo ilikuwa kirqmani imeingia ndani ya Syria ya sasa, Lebanon ya sasa, misri ya sasa nk

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 18 วันที่ผ่านมา +1

    Sky acheni ubaguzi mbona humuachi dj smaa akamaliza kuongea

  • @mukhtar805
    @mukhtar805 17 วันที่ผ่านมา

    Brother Sma me naona kufananisha uongozi wa Syria na Ukraine sio sawa kwa sababu ukifatillia walichopitia wasyria wamepitia kipindi kirefu cha dhulma na mapinduzi haya yamekuwa ni kama ukombozi kwa wasyria kwa hiyo kuanza kuwatuhumu watu kuwa ni vibaraka sio sawa angalia na mazingira waliyopitia so ni vyema kufanya uchambuzi bila ya kuchagua upande kwa sababu kila upande una madhaifu yake.

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 14 วันที่ผ่านมา

      Sasa nchi ya kiislam toka lini ikawa na urafiki na Marekani?

    • @mukhtar805
      @mukhtar805 14 วันที่ผ่านมา

      @@Fgldesigns Kwa hiyo kwa mfano Saudia sio nchi ya kiislam au? Maana ina ukaribu na marekani.Ngoja niulize hv kipindi kile wananchi wanauwawa na serikali ya Assad na kuwalazimisha wafungwa wakisunni watamke kuwa Assad ni mungu ndo ilikuwa nchi ya kiislam au? Au kwa kuwa walikuwa pamoja na urusi ndo iwe ni nchi ya kiislam? Sasa urusi na uislam wap na wap? Nachotaka kusema ni kwamba kuwa na urafiki na nchi kama marekani ni makosa lakini sio kigezo cha kuchagua ni ipi nchi ya kiislam na ipi sio.

  • @Greatamir
    @Greatamir 18 วันที่ผ่านมา

    Zelesky wa syria😅😅😅😅😅😅

  • @bonifacemwansasu6638
    @bonifacemwansasu6638 18 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa udini umemjaa,ati Israel ilishindwa vita vya six day war.Yaani yeye ni kuibeza tu Israel. Hataki kuamini kama Israel ni superpower middle east.

    • @GeorgeWambura-t1i
      @GeorgeWambura-t1i 18 วันที่ผ่านมา

      Israel haina u super power wowote Middle East..hakuna Israel pasipo America na Ulaya..

  • @GorbyWilliam
    @GorbyWilliam 18 วันที่ผ่านมา

    Kuhusu six day war israel alishinda na kipindi hicho waziri mkuu wa israel alikuwa anaitwa levy eshkol labda dj smaa anasemea vita vya yom kipur ambavyo waziri mkuu anaitwa gold mear na kuhusu misri kuchukua maeneo ya israel sio kweli smaa misri aliokoa aridhi yake kupitia mktaba wa camp david accords.

  • @anthonylaban4943
    @anthonylaban4943 18 วันที่ผ่านมา

    Good GPS..... ila nashauri Masubi na Hendry mchukulieni kibinadamu Dj Asma ili kipindi kinoge sku zote. Unless mtaleta mpasuku miongoni mwenu. Note: kila mmoja ana uwezo katika eneo lake, hakuna aliye mbora zaidi ya mwingine. Show love to each other positively.

  • @samsonnnko8035
    @samsonnnko8035 18 วันที่ผ่านมา +1

    Smaa unaniaabisha bhanaaa, kuhusu Democracy sio George Washington ni Abraham Lincoln kaka..nazani utakuwa umesahau

    • @djsma255
      @djsma255 18 วันที่ผ่านมา +1

      Nimekosea ni Lincoln, na nilimanisha Lincoln, ila ulimi kuteleza ni sehem ya ubinadamu

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 18 วันที่ผ่านมา +1

    Okopa mzungu anapokupamba anajua anachokitafuta akimaliza anakupiga chini hawa wasiriya watajilaumu badae ukopa mzungu sana 😂😂😂😂

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 18 วันที่ผ่านมา

      Sasa wajilaumu kivipi na wakati wao ndio walioandamana kumpinga Assad.Assad aliua watu laki tano.Kama wameamua kujenga ushirika na marekani sio tatizo,mbona sisi Tanzania tuna ushirikiano mzuri na Marekani.Marekani ni mshirika bora zaidi.

    • @burukinyebo6294
      @burukinyebo6294 18 วันที่ผ่านมา +1

      Mshirika bora anakulazimisha mue Mashoga ktk Nchi yenu,.mkikataa anawawekea vikwazo..wanalazimisha pia muwauzie resources zenu kwa bei yao mkikataa wanachukua kimabavu,..ebu tujaribu kuamka kifikra...Hawa Marekani ni watu wakuogopwa wao ndio wanasabisha Machafuko ktk dunia,..Kati ya Nchi na nchi,..na ndio hao hao wanaosababisha machafuko ndani ya nchi ya wenyewe kwa wenyewe

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 18 วันที่ผ่านมา

      @@burukinyebo6294 sio kweli kabisa labda ww una chuki binafsi na Taifa lililobarikiwa la Marekani.

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 18 วันที่ผ่านมา

      Habari za kubarikiwa tuache tuongeeni hoja zamaaana​@@MathewNathan-yb2bz

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@MathewNathan-yb2bzNani alikwambia Marekani ni mshirika bora...
      Marekani hajawahi kuwa na urafiki na nchi yoyote yule wewe endelea kujidanganya kuwa tunasaidiwa na Marekani

  • @ziongate5464
    @ziongate5464 16 วันที่ผ่านมา

    Napenda watu waweze kufahamu ya kwamba kundi la IS kiliundwa na CIA na huyo Julani ni double agent wa CIA.

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 18 วันที่ผ่านมา

    Ukiona simba ametoa meno nje usidhani anacheka, anatakiwa ajifunze kilichomtokea Sadam Hussein, alikuwa kipenzi cha Marekani lakini mwisho wake walimnyonga.

  • @hassanihamidu8546
    @hassanihamidu8546 18 วันที่ผ่านมา

    Huyo ni ayatollah mwingine

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 18 วันที่ผ่านมา

    Amefanya kazikubwa huko syria kwa kufukuza warusi na Iran.

  • @mahadmatebe9775
    @mahadmatebe9775 18 วันที่ผ่านมา

    Nasikia wanajeshi wa Syria waliokimbilia Iraq na Lebanon wameanzisha mashambulizi uko Syria wameua wanajeshi kazaa wa hts tunaomba mfatilie ilo tupate habari za uhakika

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 17 วันที่ผ่านมา

    GPS hamjawahi kutuangusha, Nyetanyahu hastahili kuishi, nakubaliana na papa israel inaua watu bila makosa

  • @HuseinLodi
    @HuseinLodi 18 วันที่ผ่านมา

    Wachambuzi wanaongea lunga ya kiswahili ww kiengereza sasa

  • @bonifacemwansasu6638
    @bonifacemwansasu6638 18 วันที่ผ่านมา

    Democracy is by the people and for the people ni slogan ya Abram Lincoln sio George Washington.

  • @DicksonRameck-e4r
    @DicksonRameck-e4r 18 วันที่ผ่านมา +2

    Dj smaa uislamu unakufanya usiwe mkweli😅😅😅

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 18 วันที่ผ่านมา

    USA hawataki kukubali kua ndege zao zimepugwa na houthi's ndio mana wanasema wao ndio wamepiga kwa bahati mbaya,kwa nchi ambayo imeadvance kijeshi na kiteknolojia wanashindwa kujua kua hiyo ni ndege yao

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 18 วันที่ผ่านมา +1

      Bas ww unajua kuwazidi😅😅😅

  • @MichaelChongela-o2l
    @MichaelChongela-o2l 18 วันที่ผ่านมา

    Upon upande Kila cku na Nina uhakika mwaka ujua hautaisha haujajurikana upande wako wa walabu unawapendelea

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 18 วันที่ผ่านมา

    Unaunga urafiki na marekani subilini nakupeni miezi 3 tu kitawaka

    • @MOSESIMCHUNGUZI
      @MOSESIMCHUNGUZI 18 วันที่ผ่านมา +2

      HAINA JINSI MAREKANI NDIYO DUNIA

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 18 วันที่ผ่านมา +2

      Marekani ni rafiki mzuri sana wanaomuona ni mbaya ni wale wenye chuki zao binafsi.

    • @IdrisaSadik
      @IdrisaSadik 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@MOSESIMCHUNGUZIila kunakifo Cha haki.

  • @ELIFASMADEBHO
    @ELIFASMADEBHO 18 วันที่ผ่านมา

    UNITED STATES
    MOSCOW RUSSIA
    BEIJING CHINA

  • @bonifacemwansasu6638
    @bonifacemwansasu6638 18 วันที่ผ่านมา

    Dj Smaa acha uongo,sio kwamba Russia waliipa Israel green light kupiga military bases za Syria.Huwezi kupata taarifa za ndani za kiitelijensia za Russia na Israel. Wewe tuambie tu labda unahisi sio eti kwa taarifa ulizozipata.FALSE.

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 Mkuu kwani SMA humjui, huyu ni Anti-Israel na West daima.

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 18 วันที่ผ่านมา +4

    Utaskia et wauthi ni watu awaogopi kufa😅😅 pumbaf akuna mtu aogopi kufa mngekuwa mnapenda kufa Hamas wasingeishi kama panya, maislam majinga ndio yanajazwa ujinga ila wenye akili wapo kweny Andaki

    • @KhamisOmar-kt4kz
      @KhamisOmar-kt4kz 18 วันที่ผ่านมา +1

      Ww matako pamoja na mama yako ndio hamna akili shoga ww

    • @josephineatieno8486
      @josephineatieno8486 18 วันที่ผ่านมา

      Wewe ndo matako unaeshabikia upuuzi​@@KhamisOmar-kt4kz

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@KhamisOmar-kt4kz njoo nikufire na Mama ako😅 usisahau Baba ako nije nawatatue malinda

    • @jonasmrema8550
      @jonasmrema8550 18 วันที่ผ่านมา +2

      Haya majinga kishindwa kwa hoja yanakimbilia matusi

    • @allyslim7774
      @allyslim7774 18 วันที่ผ่านมา

      Mjinga wewe unaongea kitu ukijui akuna mtu asiogopa kifo ila awa vita ni sehem ya maisha yao

  • @danielmakubowatz
    @danielmakubowatz 18 วันที่ผ่านมา +1

    kuhusu historia ya vita vya siku sita kipara ametudanganya😂

    • @abdulrazack9577
      @abdulrazack9577 18 วันที่ผ่านมา

      Leta ukweli lengo.ni kujifunza

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 18 วันที่ผ่านมา +3

    Nikiwambia mwislam na akili ni vitu tafaut 😂😂 Hezbraa, Hamas walivyo tandikwa badae tunaanza kulia lia et anakufa watoto na wakina Mama, je kama mnapenda watu wenu uchokozi wa Nini si mtulie kwa kulinda raia wenu😢😢 wauthi acha uchokozi wanao teseka ni raia wenu

    • @HassanRamadhanPashua
      @HassanRamadhanPashua 18 วันที่ผ่านมา

      Kifo tyri waislamu wanajua ivo

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 18 วันที่ผ่านมา

      Tatizo elimu nindogo ujinga umewajaa , nchii zenu meshindwa kuongoza fitna na uchawi 😂😂

    • @burukinyebo6294
      @burukinyebo6294 18 วันที่ผ่านมา

      Wewe usiogopa kufa kwa ajili tu ya kupigania maslahi yako binafsi km Mwanaadamu,..basi Ishi milele tuone

    • @asmaalghafri449
      @asmaalghafri449 18 วันที่ผ่านมา

      Wewe unasema pumba kwa chuki huwapemdi waislamu hasa waarabu kwani miaka mingi hao wazayuni wanawatesa wapalastine huoni au husikii basi wewe kipofu na kiziwia au dhalimu kama hao kwa hiyo unataka watawaliwe watulie tu wasiipiganie nchi yao kazi yako kusema wachokozi vipi wachokozi waambie hawao maziyuni waondoke Palestine uone kama wapalastine watawafata

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@asmaalghafri449 kuanzia leo kama kufa ni kawaida kwenu usje comments Mavi et Israel anaua watoto😂😂😂😂 nitakufira ww mpya

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 18 วันที่ผ่านมา +3

    DJ Sima acha kutukana mashabek wa Sns ww ni mtu mdog kweny icho chombo 😢 unajua maana ya Elimu ndog, vitu vya siku sita Israel ilishinda kwaiy unataka tuamin ujinda wa Madrasa walivyo kufundisha, 😢 lione na kipara kama makalio ya Nyani

    • @burukinyebo6294
      @burukinyebo6294 18 วันที่ผ่านมา +3

      Nakuonea huruma inaweza kua wewe ni mtoto uliolelewa bila Baba ,..tatizo ni elimu mliopata ile ya kusema mtu wa kwanza alikua nyani,.hili ndio tatizo ambalo limetufanya waafrika kua usiku wa Giza

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 18 วันที่ผ่านมา +1

      sasa kwa kupitia hii komenti Yako ya kipumbavu unazani wewe na Dj smaa nani mjinga ,ni wapumbavu kama wewe.Alafu inatakiwa ujiite africanQueeny bwege/zuzu

    • @HamzaMbasha-xs2ky
      @HamzaMbasha-xs2ky 18 วันที่ผ่านมา

      Yeye anasoma wewe unatukana soma umpinge kwa hoja..

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@PAULNYANDILEni ww na Mama ako

    • @samsonnnko8035
      @samsonnnko8035 18 วันที่ผ่านมา

      Matusi sio mazuri

  • @PeterMmari-p4d
    @PeterMmari-p4d 16 วันที่ผ่านมา

    GPS mkopowasana nauchambuz Makini msongembele

  • @PeterMmari-p4d
    @PeterMmari-p4d 16 วันที่ผ่านมา

    GPS mkopowasana nauchambuz Makini msongembele