Rais wa Zanzibar Aipongeza JKU kwa Mafanikio Walioyapata

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @amanikhamiss7937
    @amanikhamiss7937 9 หลายเดือนก่อน

    Allah amlinde kiongozi wetu❤

  • @amanikhamiss7937
    @amanikhamiss7937 9 หลายเดือนก่อน

    Allah pia amlaze pepa kiongozi wetu na alie kuwa rais wa jamuhuri ya muungano na alie kuwa pia rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar....pole kiongozi wetu kwa kuondokewa na tuwe pole kwa watanzania wote amini🇹🇿

  • @Alishaur-xd3ci
    @Alishaur-xd3ci 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ya Allah blessed Zanzibar

    • @Alishaur-xd3ci
      @Alishaur-xd3ci 9 หลายเดือนก่อน

      Pia wafikirieni walio jitahidi kuimarisha jengo

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 9 หลายเดือนก่อน

    Good 👍 move forward our president

  • @binsaidmakame3646
    @binsaidmakame3646 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee vijana tumejenga soko la kwerekw tumejenga viwanja vya matumbaku asubh na mchana zikija ajira tunaambiwa tulipe milion2 sisi masikini watoto wa wakwezi na wakulima tufanye nn

  • @husseinhaji7097
    @husseinhaji7097 9 หลายเดือนก่อน

    Tunataka ajera vija na

  • @AbdulSaid-b2p
    @AbdulSaid-b2p 9 หลายเดือนก่อน

    Kushaanza kuwapokeza tena ili wajiendae kwa kupiga watu kwa ajili ya kukusaidia kukuibia kura maana hilo ndo tegemeo lako

  • @NurdinOthuman-j1p
    @NurdinOthuman-j1p 9 หลายเดือนก่อน

    Mbna hmututetei kuhusu ajira sisi tunaumia tunatukanwa tunapewa lana baadae wanapewa ajira watu walojuwa mtaani sisi wakala tunachekwa na na kunyooshewa vidole kwa 7bu sisi tunatumika na wamechukuliwa w2 ambao wametulia 2 mtaana serikali y2 mnafeli xna tna xna hyo daima ndio wakututetea cc kwa 7bu changamoto tunazo pitia anazijuwa tumeumia xana wakala wa ulinzi na vijana wa kujenga taifa mbn jkt hawana mambo kma hyo yakupelekeshwa au hakuna hao vijana wa ccm au cc ni vijana wa nn na cc pia ni ccm na pia tunalinda tunatetea tunapigania ilani ya chama cha mapinduzi hebu angalieni hli kwa jicho la tatu na la huruma mungu ibariki Zanzibar mungu wabariki viongoz wetu

  • @amrankombo6799
    @amrankombo6799 9 หลายเดือนก่อน +1

    na vijana tunasbri

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 9 หลายเดือนก่อน

    Mitano tena

  • @SamirFabuzo
    @SamirFabuzo 9 หลายเดือนก่อน

    Ss tumejenga taifa ajira wmepew ccm

    • @SALEHSALEH-lk5jr
      @SALEHSALEH-lk5jr 9 หลายเดือนก่อน

      Inauma kwa kweli ila iko siku mtatoboa tu

  • @SalehNta
    @SalehNta 9 หลายเดือนก่อน

    Vijana wanataka ajira mnawahangaisha 2