JKU yakabidhi Soko Kuu la Mwanakwerekwe mara baada ya kumaliza ujenzi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @PaullyPuyetrov
    @PaullyPuyetrov หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sare zao, JKU hongereni

  • @HashimMakame-q1p
    @HashimMakame-q1p หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @saluma7516
    @saluma7516 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri

  • @mabujuma9355
    @mabujuma9355 หลายเดือนก่อน

    Bado ajira zetu😢😢

  • @othmankhalid7994
    @othmankhalid7994 หลายเดือนก่อน

    Bravo

  • @IslahiMohamed-qi2jf
    @IslahiMohamed-qi2jf หลายเดือนก่อน +1

    Bado ajira muwaajir wamejitahd

  • @sankawila2689
    @sankawila2689 หลายเดือนก่อน

    Safi sanaa

  • @TahirAli-i9o
    @TahirAli-i9o หลายเดือนก่อน

    Hawa ndo mazombi au macho yangu tu

  • @husseinmilao5789
    @husseinmilao5789 หลายเดือนก่อน +1

    Mm binapsi hua Sina utamaduni wa kuwasifia wanasiasa, lakini hapa inabiditu niseme nakuvulia kofia Dr mwinyi, umemaliza kuramba chungu Cha bibi.

    • @amamossi4203
      @amamossi4203 หลายเดือนก่อน

      Chukua tanoo

  • @salimmuhamed-n8z
    @salimmuhamed-n8z หลายเดือนก่อน

    ikovizur kaka

  • @aliabass5242
    @aliabass5242 หลายเดือนก่อน

    back ground music inaboa kidg

  • @abubakarsleiman5738
    @abubakarsleiman5738 หลายเดือนก่อน +1

    Na wale vijana ambao wamejitolea kwenye uo ujenzi ndio hao nyuma ama vipi ?

    • @mudamirmohd-md14mo
      @mudamirmohd-md14mo หลายเดือนก่อน

      Hakuna apo ata mmoja apo

    • @muhaasaa7068
      @muhaasaa7068 หลายเดือนก่อน +1

      Wajenga soko wapo uraiyani watu wa chama ndo walopewa Ajira wapo kazini🤣

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge หลายเดือนก่อน

    Mamlaka kamili ya zanziba ndio yatayo tuvusha kufikia zanziba ya uchumi wa viwanda znz tunahitaji kua na kiti umoja wa mataifa ili tuweze kua nakitambulisho Cha uraiya wa znz pasipoti znz siotutumie utaifawatazania inatakiwa tutumie utaifa wetu wa znz

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge หลายเดือนก่อน

    Hamna kazi ya kufanya Kila siku mnafungua mara mnakabiziana msitusumbue sokosoko sokoilo sokogani malizamuda wako uwondoke

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂CHUKI CHUKI WACHA CHUKI KIJANA NI MBAYA SANA.... SOKO GANI WAKATI NYINYI NDIO MTAKAO JAZANA HUMO MAANA WATU WAUNGUJA ASILIMIA KUBWA WALA HAWAJALI KUFANYA BIASAHARA HUMO WANACHOJALI WAO NI KUWEPO HAYO MASOKO NANI... SO KAA KWA KUTULIA BALAHAU

    • @RahmaRama-ck5my
      @RahmaRama-ck5my หลายเดือนก่อน

      Inaonesha maisha yashakuvurugaa polee sanaa salii sanaa mungu akuondolee roho mbaya ya nafsiii