MAARIFA YANAVYOWEZA KUKUSAIDIA KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA -PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.ย. 2021
  • Hosea 4:6
    [6]Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
    Maarifa ni taarifa sahihi juu ya jambo fulani.Taarifa sahihi ni ufunguo ambao utakusaidia kufungua malango ambayo unapaswa kuingia.
    Watu wanaozungumziwa hapa sio watu wasiomjua Mungu,Mungu anawaita "watu wangu" maana yake ni watu wanaomjua Mungu.Na anavyosema kuwa "umeyakataa maarifa..." ni kwamba aliwapelekea hao watu maarifa lakini wakayakataa na athari yake ndio hiyo wanaangamizwa.Na Mungu anasema kwa sababu hiyo Yeye(Mungu) atawakataa wasiwe makuhani wake.
    Maarifa sahihi ni muhimu kwa sababu yatakufanya ufanye kazi yake kwa urahisi na ufanisi.
    Katika somo hili utajifunza maana halisi ya maarifa,ni maarifa gani unayopaswa kuwa nayo,kwanini Mungu anataka uwe na maarifa sahihi, na athari za kukosa maarifa.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our TH-cam: th-cam.com/channels/67L.html...
    Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
    and Subscribe Pastor Sunbella Kyando TH-cam
    / @pastorsunbellakyando

ความคิดเห็น • 72

  • @patrickmwakai5545
    @patrickmwakai5545 4 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you the man of God i like your teachings ,i am in kenya the way we teach it's really kabisa ,natamani nipoker upako Kama wako ,just pray for me

  • @Devotamlelwa9239
    @Devotamlelwa9239 3 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru Kwa mafundisho Yako myumish

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 ปีที่แล้ว +5

    Asante poster ubarikiwe mungu azidi kukutumia nikiwa muislam umenifundisha jinsi ntaongeza maarifa ktk swala zangu Asante sanaaaa 🤲🤲🤲

  • @ruthie8466
    @ruthie8466 2 ปีที่แล้ว +6

    Just discovering this great man of God,he is awesome,baraka,more grace.

  • @mustafagehonde1154
    @mustafagehonde1154 2 ปีที่แล้ว +2

    Somo zuri Sana nimelipenda limenifundisha Mambo mengi ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @ntulisuzan897
    @ntulisuzan897 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi mifano inatufanya tukuelewe sana 🙏

  • @elizabethmwamdanga7377
    @elizabethmwamdanga7377 3 หลายเดือนก่อน +1

    AMEEN

  • @mariamzambi1995
    @mariamzambi1995 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu nipe maarifa ya jinsi ya kujiombea nipate uponyaji. Najiungamanisha na madhabahu hii nipate kibali cha uponyaji wa mwili na wa roho AMEN.

  • @veronikaaugustino2258
    @veronikaaugustino2258 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante MUNGU kwa Kila maarifa ktk Kila NENO lako Nisiangamie mm na family yangu AMINA

  • @elvaidaernest6210
    @elvaidaernest6210 2 ปีที่แล้ว +2

    Aminaaaa ubalikiwe sanaa mtumishi wa Mungu nimebalikiwa sanaa

  • @jameskoome1607
    @jameskoome1607 ปีที่แล้ว

    Nasukuruu kutoka Kenya

  • @lydiawasai9439
    @lydiawasai9439 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akueke na azidi kupanua your ministry. B blessed 🙌 😇 🙏 thanks so much

  • @andrewsenyagwa
    @andrewsenyagwa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sure relationship with holy spirit is the key

  • @amosjblack9614
    @amosjblack9614 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi wa Mungu mafundisho yako yananijenga sana kiroho

  • @nasrakitwana4744
    @nasrakitwana4744 2 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe mtumishi kwa masomo yako hakika yananijenga sana

  • @magrethsomi4318
    @magrethsomi4318 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameen mtumishi. Somo zuri sana.

  • @aisiamkonyi4977
    @aisiamkonyi4977 ปีที่แล้ว

    Ameen, umenibariki sana pastor sunbella.ubarikiwe

  • @liliankeyabaraka8195
    @liliankeyabaraka8195 ปีที่แล้ว

    Asante sana pastor nabarikiwa sana na MUNGU akubariki sana 🙏💕

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 ปีที่แล้ว

    Ameen asante kwa hili somo sina cha kuongea zaod ya kusema asantee Yesu

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @geendaki7678
    @geendaki7678 2 ปีที่แล้ว

    Namuomba MUNGU aniwezeshe siku moja kukutana na wewe Mtumishi Sunbella hakika naamini nami nina Jambo nahitaji kupokea kutoka kwako Mtumishi wa Bwana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾.

  • @user-ok3gy6nc7w
    @user-ok3gy6nc7w 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @leytcastle9402
    @leytcastle9402 2 ปีที่แล้ว +1

    Namwomba Shetani mmoja😃😃 ... Barikiwa Mchungaji

  • @shedrack4694
    @shedrack4694 ปีที่แล้ว

    absolute

  • @erastomendamenda172
    @erastomendamenda172 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki we baba mch

  • @mhamdahmd7758
    @mhamdahmd7758 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen barikiwa mutumishi kwa somo zuri

  • @elishajailosy8346
    @elishajailosy8346 2 ปีที่แล้ว +1

    Maarifa ni MUHIMU sanaa

  • @timotheomahala373
    @timotheomahala373 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @happinessakim2679
    @happinessakim2679 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks so much dady🙏🙏🙏

  • @lucilamushi2894
    @lucilamushi2894 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa Sana na Neno zuri la maarifa.Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu.

  • @mosesmnyantope9534
    @mosesmnyantope9534 ปีที่แล้ว

    Nimekuerewa pasta

  • @stellanamunaba813
    @stellanamunaba813 ปีที่แล้ว

    Amen.Thankyou LORD for using your servant to help me understand well your word.

  • @tatukadope7213
    @tatukadope7213 2 ปีที่แล้ว

    Amen mtumish

  • @user-gm7pe1rd8z
    @user-gm7pe1rd8z ปีที่แล้ว

    Amina sana❤

  • @wilbard3692
    @wilbard3692 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo zur sana barikiwa Min Sun

  • @cocubanza1049
    @cocubanza1049 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ,Bwana yesu asifiweee...
    Mm nahitaji maombi kwa habari ya ndoto niliyoota nikwamba niliota nimeng'atwaa mkononii na mwanangu halafu baada ya siku moja sehemu ya mkono niliyong'atwa ikaanza kuuma..

  • @ezekielluhas3351
    @ezekielluhas3351 2 ปีที่แล้ว

    🙌Mungu azidi kukuinua Pastor

  • @florenceflorence1170
    @florenceflorence1170 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen pastor

  • @agnesalex4761
    @agnesalex4761 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mchungaji

  • @hendrykingmecky3922
    @hendrykingmecky3922 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen somo lilikuwa ni moto nimelielewa

  • @philipmaina9046
    @philipmaina9046 ปีที่แล้ว

    Amen amen man of God am blsd from Kenya,am a pastor I wish i ca meet you one day for impartation

  • @florencemueni7598
    @florencemueni7598 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Asante pastor

  • @estherlukawe5435
    @estherlukawe5435 ปีที่แล้ว

    Efaha church

  • @4gtradingimpex201
    @4gtradingimpex201 ปีที่แล้ว

    wakati nafuatilia somo ulipofikia swala la kuhani kabra hujamnyanyua mimi nimeletewa picha haraka huyo mtumishi amekuja kutoa ibada kwangu na anaondoka na binti zangu kutoka nyumbani kwangu kwenda nao sehemu kwa ajili ya masomo zaidi.Naamini haya ni maarifa yanaweza kutoa kutoka sehemu fulani.

  • @graceneema5569
    @graceneema5569 2 ปีที่แล้ว

    Amen papa pastor

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 2 ปีที่แล้ว

    amen,God is good

  • @edwarddaud6785
    @edwarddaud6785 2 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @anaaanick4187
    @anaaanick4187 2 ปีที่แล้ว

    Amen Ameen

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 2 ปีที่แล้ว

    Marifa ni muhimu

  • @bettymwigune8150
    @bettymwigune8150 ปีที่แล้ว

    Hekima ya ajabu

  • @yaotv360
    @yaotv360 2 ปีที่แล้ว

    Mweee umenifungua mch

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 2 ปีที่แล้ว

    AMEEEN AMEEEN

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 2 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏👏👏

  • @estherkillango5867
    @estherkillango5867 ปีที่แล้ว

    sio mitatu tuuu hata ishirini

  • @salamamapendo6461
    @salamamapendo6461 2 ปีที่แล้ว

    Jambo jina langu ni Salama Mapendo nawapata nikiwa marekani naitaji namba ya mtumushi uyu Mungu kwa musaada ya maombezi

    • @realityofchristchurch
      @realityofchristchurch  2 ปีที่แล้ว

      Wasiliana na nasi kwa namba hii hapa +255 657 173 322

    • @marymlewa8682
      @marymlewa8682 2 ปีที่แล้ว

      @@realityofchristchurch Bwana Yesu asifiwe

    • @injili658
      @injili658 2 ปีที่แล้ว

      @@realityofchristchurch Bwana Yesu asifiwe sana. Anauliza kama mnaweza kumpa kijana counseling na mwongozo wa kichungaji. Anachukua theology hapo Rhema bible college na hana kipato kwa hiyo anataka kukata tamaa kabisa. Naweza kumsaidia?

  • @cocubanza1049
    @cocubanza1049 2 ปีที่แล้ว

    Halafu baada ya siku moja mkono huo huo wa kuliaa kidole cha pili baada ya kidole gumba kikanzaa kuvimbaa sehemu ya ukucha, huku maamivu ni makali saana...mdudu namsikia anatemvbea mbele mara nyuma, na ukucha unazidi kuuma...

  • @blessingyusuphu504
    @blessingyusuphu504 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @priscaibrahim5660
    @priscaibrahim5660 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 2 ปีที่แล้ว

    Asante 🤣😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 Mtumushi kwa somo

  • @rehemakatana1137
    @rehemakatana1137 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @janetjanet8669
    @janetjanet8669 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @renaldleonard5956
    @renaldleonard5956 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @Willyb254
    @Willyb254 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @RoseRose-vf5km
    @RoseRose-vf5km 2 ปีที่แล้ว

    Amen