TESSY:ASLAY TULIISHI PIKA PAKUA/YUKO VIZURI KITANDANI/SABABU ZA KUM-UNFOLLOW IRENE UWOYA NA ASLAY

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 93

  • @everlyneasuma1817
    @everlyneasuma1817 3 ปีที่แล้ว +26

    Tz hyu ndio mwanamke anayempa ex wake heshima...big up...

  • @davidmichael4499
    @davidmichael4499 3 ปีที่แล้ว +26

    Gonga like kama unampenda Tessy

  • @khalidomary1381
    @khalidomary1381 3 ปีที่แล้ว +11

    Hongera sana dada mungu akubariki wewe pamoja na familia kwa ujumla nimekuwa nikifatilia sana interview zako kiukweli ni Mtu unayejielewa na kujiheshim hivyo ndio mwanamke anatakiwa awe auna dharau ata chembe dada yangu tessy mungu akubariki na aendelee kukutunza

  • @somewhereinafrica9164
    @somewhereinafrica9164 3 ปีที่แล้ว +12

    Huyu manzi kwa interview huwa inaonyesha anajitambua sana 🤔 cjui ndivyo alivyo au ni mjanja wa ku make attention kwa kuonyesha yupo humble sana na very clever.. 😊

  • @fatumajuma3816
    @fatumajuma3816 3 ปีที่แล้ว +9

    Nakupenda Sana tessy

  • @mtoshauri9183
    @mtoshauri9183 3 ปีที่แล้ว +6

    Tessy hongera sana kwa maongezi mazuri kuhusu aslay ila kupotea kwa baba mtt wak umepachangia pakubwa sana
    Rudi kwa aslay mnaendana

  • @sponsertv5009
    @sponsertv5009 3 ปีที่แล้ว +9

    nimeipenda iyo ukimuona moza unamuona aslay

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 3 ปีที่แล้ว +6

    Shes very mature 😍😍

  • @rajgidion5403
    @rajgidion5403 3 ปีที่แล้ว

    She’s so beautiful 😍 from inside

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว +6

    Mbona sasa hivi unakua mbaya umeanza kuharibu ile rangi yako ya chocolate 🍫 acha hiyo 🙏🙏🙏🙏

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 3 ปีที่แล้ว +3

      Hata mimi nashangaa sio Tessy tena Yule aliyekuwa brown sasa ni mzungu🤣🤣

  • @omanere1255
    @omanere1255 3 ปีที่แล้ว +4

    kwelikabisa mzazi mwenzako

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +8

    Aliyah unavityuko

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 3 ปีที่แล้ว +10

    Kublock niushamba na ukiona mtu anablock hua anaumia Sana na hua anashindwa kuendelea kuona kitu chako chchte cz anaumia

  • @selinaselin8928
    @selinaselin8928 3 ปีที่แล้ว +2

    Understand😂imetumika sana

  • @ngwanasongowelero7153
    @ngwanasongowelero7153 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh

  • @ommymp9058
    @ommymp9058 3 ปีที่แล้ว +4

    Tessy amewakilisha wanawake wengi waliozaa kabla ya kuolewa,mtoto Ni muunganiko wa matone mawili ya maji,kutenganisha uhusiano/mawasiliano Ni ngum sana

  • @frollafabianus8607
    @frollafabianus8607 3 ปีที่แล้ว

    Kiukwel anajiheshimu nikwel asemee maisha ya mtoto wake kwenye mtandao I'll iweje yy si km paula na kajala

  • @laurencenjavike1749
    @laurencenjavike1749 3 ปีที่แล้ว +20

    Uyu dada anajitambua kiukwel

  • @maxwellsanga3662
    @maxwellsanga3662 3 ปีที่แล้ว +8

    wabongo na story za 'hapo Kati' daa!

    • @ashuraumari1322
      @ashuraumari1322 3 ปีที่แล้ว +1

      😅😅😅Ndo abali ya mjini👌

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 3 ปีที่แล้ว +3

    Shout out kwa duwe santana na thisisaaliyaah na refresh kwa ujumla na wasafi media kwa kazi nzuri 🤝👏👏

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 3 ปีที่แล้ว +11

    Kabisa Tessy hamna maana yoyote kuanika mambo yk mitandaon.hamna watakacho kusaidia zaidi yakuku chamba

  • @nasraemanuel8537
    @nasraemanuel8537 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice sister

  • @henryngollengolle6693
    @henryngollengolle6693 3 ปีที่แล้ว +8

    Mwanamke uko poa san nimempenda jamaa arudi tu bonge la mtoto rina akili sana alina mdomo mchafu penda san

  • @salumkassim7949
    @salumkassim7949 3 ปีที่แล้ว +3

    Wenyewe wanajua sasa Asley ayupoo afanyenn mwachenii

  • @Linajbeiby1
    @Linajbeiby1 3 ปีที่แล้ว +2

    Aslay kwenye 6 yupo vizur

  • @wahapahapa3279
    @wahapahapa3279 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hayo maswali hamuulizigi wanawake wa boss wenu?kazi kuwauliza wanawake wa mtu ambaye ana matatizo nae ili kumchafua.. muacheni aslay hanaga shida na mtu anaelea wanae na anapost kila siku

  • @mohamedmuhajiri4690
    @mohamedmuhajiri4690 3 ปีที่แล้ว +6

    Namiwani yake kam taa za bajaji kufololiana ndionin😅😅😅😅

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k ปีที่แล้ว

    Waimbea 😂😂😂 tutakoma

  • @kiliboykilimanjaro377
    @kiliboykilimanjaro377 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtangazaj kapoa due yuk wapi

  • @merinaassey2071
    @merinaassey2071 3 ปีที่แล้ว +10

    Kweli mnafololiana😅

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 3 ปีที่แล้ว

      Sasa hiii 😂😂😂Hhhhh unaisamaje vile?

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 3 ปีที่แล้ว

      @@zuweinaalhabsya8773 🤣

    • @emmysam1510
      @emmysam1510 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbona kufololina..🤣🤣

    • @moudboss8981
      @moudboss8981 3 ปีที่แล้ว

      Hatare😂😂

    • @estherrichard9184
      @estherrichard9184 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

  • @bukuruemmanuel7090
    @bukuruemmanuel7090 3 ปีที่แล้ว +3

    2nd here 😂😂

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukimuon kwenye PC Sasa Ila now🙌

  • @eddymatrix8704
    @eddymatrix8704 3 ปีที่แล้ว +1

    Inaonekana ana maex wengi 🤔

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 3 ปีที่แล้ว +1

    You understand 🤣🤣🤣

  • @frollafabianus8607
    @frollafabianus8607 3 ปีที่แล้ว

    Dada anatambua samani ya baba na mwana namama maana mapenzi hayaozi

  • @omaryrashidy9
    @omaryrashidy9 3 ปีที่แล้ว +2

    Hatali

  • @emmyemmycute6028
    @emmyemmycute6028 3 ปีที่แล้ว +1

    Dula kafukuzwa kazi? Mbona hayupo au ile ishu ya harmolapa

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 3 ปีที่แล้ว +2

    Ujui Ni mke mwenzako

  • @nicklasog.2663
    @nicklasog.2663 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa nn aslya kaachana na pisiii kaly

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 3 ปีที่แล้ว

    You are very brave Tessy

  • @marikopafredi
    @marikopafredi 3 ปีที่แล้ว +1

    Wenyewe wanajua 🚬

  • @sylvanusherman3856
    @sylvanusherman3856 3 ปีที่แล้ว

    Ngoma ya Rapcha-Lissa ndio hawa

  • @spreadlove2119
    @spreadlove2119 3 ปีที่แล้ว +1

    Aaliyah hiyo ya kusema baba mtoto wake hatoi matunzo sijawahi msikia akisema hata hivyo ukishakuwa unaishi na mtoto sehem kubwa unagharimia wewe especially sisi wamama

  • @mutwalesylvie1305
    @mutwalesylvie1305 3 ปีที่แล้ว

    Mh Bongo atari

  • @barnabasshigellla4166
    @barnabasshigellla4166 3 ปีที่แล้ว

    Kufololiana ndio nini wadau wa balaza kiswahili tanzania

  • @lukmaniddi4571
    @lukmaniddi4571 3 ปีที่แล้ว +3

    Oya mimi nnakipaji naweza kuimba sasa nataka na naomba niingie wasafi

    • @sanimoclassic1917
      @sanimoclassic1917 3 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂 wasafi unafkiri watu wanaingia tu kama chooni unavyoongea kirahisi

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 3 ปีที่แล้ว +1

      😀😀weee bwana daah

    • @aminaally4578
      @aminaally4578 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha mwe

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 3 ปีที่แล้ว +1

    Akunaga ushoga wawanawake🤣

  • @deviscosmas2726
    @deviscosmas2726 3 ปีที่แล้ว

    Madem kwann mnakuwa wakavu chin

  • @hawamgallah7410
    @hawamgallah7410 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuuh mim mbon Nina mzaz mwenzang sina ata no yake

    • @mussajabili6836
      @mussajabili6836 3 ปีที่แล้ว +2

      😂🤣

    • @jasmineedamu6089
      @jasmineedamu6089 3 ปีที่แล้ว +1

      Upo kama mie😂😂

    • @hawamgallah7410
      @hawamgallah7410 3 ปีที่แล้ว +1

      Aseeee wanin mtu asiejitambua

    • @jasmineedamu6089
      @jasmineedamu6089 3 ปีที่แล้ว

      @@hawamgallah7410 anasema ananipenda halaf akigombana na huyo dem wake mpya ananambia kaona text wa nn sasa

    • @hawamgallah7410
      @hawamgallah7410 3 ปีที่แล้ว

      @@jasmineedamu6089 aseeee mpuuzi uyo kukuacha hawez ila anataka aenderee kuwa na wew mi wakwang nikimuambuag kuhus mtot nae ananza elelzea matatizo yake nikaona pumbavu nikakablock na saiv mwanang Ana miaka saba

  • @officialhauzimi
    @officialhauzimi 3 ปีที่แล้ว

    Tumefolloliana😂😂😂😂

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 3 ปีที่แล้ว

      Yn nimecheka sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 ปีที่แล้ว +6

    Kichwa kama dafu na iyo nywele

    • @bethm6587
      @bethm6587 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @johnjoseph763
      @johnjoseph763 3 ปีที่แล้ว +2

      Wanawake kwann uwa hampendani

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 3 ปีที่แล้ว +2

      @@johnjoseph763 tunapendandana

    • @emmysam1510
      @emmysam1510 3 ปีที่แล้ว +1

      Miwani Kama kipofu

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 3 ปีที่แล้ว +1

      @@emmysam1510 simooo😂😂😂😂😂

  • @eddymatrix8704
    @eddymatrix8704 3 ปีที่แล้ว

    To be honest content za hizi media sometime zinafeli

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 3 ปีที่แล้ว +1

      Yaani dakika 10 anahoji kuhusu kumfollow mtu na kumblock
      disgusting .

  • @officialhauzimi
    @officialhauzimi 3 ปีที่แล้ว +1

    Tumefolloliana😂😂😂😂