Mh.Wazir Mkuu Ayo Ni Maneno Tu Lkn Ukwel Hv Sasa Nchi Hii Bila Rushwa Hupat Huduma Mie Ni Shuhuda Pale Mahakama Ya Kizuiani Kama Una Pesa Ndgu Yako Anaweza Akapotelea Jela
Cha Arusha hakiishi maana kinapta chenyewe tu huko kisimiri labda serikali itafute dawa ya kumaliza zao hilo ,lakini kuongea tu na kukamata huku Mbegu ikiwa inajiotea nisawa na kuweka Maji kwenye pipa kutokea kisima kisichokauka hata ukiweka pipe ya kuyatoa nje hayatakauka ilmradi kisima kinatoa Maji aaaa, mbona ni maneno tuu? Cha mno zibeni kisimaa
Mbona sijawahi kukuskia unaongelea ushoga na usagaji wazir hapo kuna siri gani? Au ndio mmegalalisha? Mmaona bangi ni mbaya ila ushoga na usagaji ruksa?
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Mh.Wazir Mkuu Ayo Ni Maneno Tu Lkn Ukwel Hv Sasa Nchi Hii Bila Rushwa Hupat Huduma Mie Ni Shuhuda Pale Mahakama Ya Kizuiani Kama Una Pesa Ndgu Yako Anaweza Akapotelea Jela
Free up Ganja mbona wazungu sio machizi weusi Ndio wanakuwa machizi
Cha Arusha na Skanka 😁😁😁😁😁😁, Waambie baba Taifa lipate kupona 📌📌📌