Maisha ya ugaibuni sehemu ya 1 kingo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ต.ค. 2023
  • Maish ya ugaibuni sehemu ya 1 kwanaza na kingo ifatilia inasisimua huko mbele

ความคิดเห็น • 22

  • @MustymediaTv
    @MustymediaTv 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nilichopenda kwenye kipindi chako ni namna ambavyo unabadilisha maisha ya Mabaharia kutoka kwenye hali ya ufukara kwenda kwenye hali ya wastani na kuridhisha Hongera sana kwa Kubadilisha maisha ya Steven seagal

    • @bab_seif
      @bab_seif  9 หลายเดือนก่อน +1

      Nisapoti zenu ndio maana stivu yupo vizuri

  • @user-pj2zf6fw9k
    @user-pj2zf6fw9k 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri mno barikiwa sana man, ila Steven siga , anajua kusimulia , na ana akili kubwa mno pia Mungu anampenda sana

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri bab Seif.

  • @jonasmalima9143
    @jonasmalima9143 9 หลายเดือนก่อน

    Bab seif unachelewa sana kuweka muendelezo maana utatupoteza watu wako kwa kusubilia muendelezo

  • @rashidfatmarashid5182
    @rashidfatmarashid5182 4 หลายเดือนก่อน

    Aiseeeh

  • @didamanyanya595
    @didamanyanya595 9 หลายเดือนก่อน

    Twende kazi

  • @josephmay4260
    @josephmay4260 8 หลายเดือนก่อน

    fresh

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 9 หลายเดือนก่อน

    Nawafuatilia kutoka ujerumani

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 5 หลายเดือนก่อน

    Pamoja

  • @RalinPeter-qu3iz
    @RalinPeter-qu3iz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bab seif 😂😂😂😂😂😂

  • @habimanayasin4223
    @habimanayasin4223 9 หลายเดือนก่อน

    Wanyaru mpooo wapi apa ❤

  • @mrochuonit
    @mrochuonit 9 หลายเดือนก่อน

    mzeee awe anasema na mwaka

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 9 หลายเดือนก่อน

    Nawafatilia sana kutoka ujerumani

    • @bab_seif
      @bab_seif  9 หลายเดือนก่อน

      Asante kk

  • @joelmwanza6009
    @joelmwanza6009 9 หลายเดือนก่อน

    Ina kuchukua muda mrefu sana kuleta content

  • @ngido255
    @ngido255 9 หลายเดือนก่อน

    Tupo pamoja

  • @saidomar6610
    @saidomar6610 9 หลายเดือนก่อน

    Wabangu bangu ni watu gani? Maana kenya bangu bangu ni mtu mvivu

  • @salummohd4300
    @salummohd4300 9 หลายเดือนก่อน +1

    SEIF
    Tafuta mtu kama yule anaeweza kuelezea huyu hamna kitu

    • @didamanyanya595
      @didamanyanya595 9 หลายเดือนก่อน +1

      Siusubili mbona anajielezea vizur tu

    • @bab_seif
      @bab_seif  9 หลายเดือนก่อน

      Sawa

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 7 หลายเดือนก่อน

      Kuwa na subira siyo wote wana ujuzi wa kusimulia kuna wajuzi wa kusoma kuandika na kusimulia ujue kama hana uwezo kuna ambao wanaisikiliza halafu wanaisimulia wao kwa ujuzi wao.umvumilie tu