Maisha ya ugaibuni na kingo sehemu ya 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @amirimuhsin560
    @amirimuhsin560 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bab sefu unazinguwa kaka hiyo sio kauli ya kihuni kaka

  • @RaymondNicodemus-cu8yk
    @RaymondNicodemus-cu8yk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi hizi story za ukweli sio zakutunga zinafundisha sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 9 หลายเดือนก่อน +1

    NIMEFATILIA INTERVIEW MBAKA MWISHO DAAAA POLE SANA MZEE WANGU KINGO
    SHUKRAN BABU SEFU MABAARIA TUNAIJUA HII KITU MBOGA SABA AMUWEZ ELEWA HATA KIDOGO

  • @nickbrown8350
    @nickbrown8350 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji kuna shida gani hapo unamtoa kwenye mood

  • @fazilahmad1553
    @fazilahmad1553 10 หลายเดือนก่อน +3

    Npo apa first nipe like zangu🤸🤸🤸🤸

  • @rashidfatmarashid5182
    @rashidfatmarashid5182 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah wallh nimtihan 😢😢

  • @aronjohn8818
    @aronjohn8818 10 หลายเดือนก่อน +3

    Babu unazingua bwana mwache baharia aongee mbona neno bwana halina shida acha miyeyusho utamtoa msimliaje mchezoni

    • @richardjoseph3347
      @richardjoseph3347 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kwel kabsa ila babu seff hana taluma ya kumuhoji mtu yy anajua kumkatisha tu halafu babu seff unakua mkal

  • @lamarshibu5800
    @lamarshibu5800 10 หลายเดือนก่อน +2

    bab seif kumbuka hao unaowahoji ni mabaharia na wanaongea kwa hisia kwa yale waliopitia neno( unaona bwana ) kwao wao ni kawaida kulingana na jinsi anavyosimulia fatilia inteview za mabaharia wengine neno hilo hilo limetumiwa zaid ya mara zote so usimkatishe kauli mwache atumie tu.umeona bwana 😀😀

    • @treyvissy9854
      @treyvissy9854 10 หลายเดือนก่อน +1

      Alafu hilo neno halina shida yoyote … muaache mtu aongeee

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huez bdlsha lafudh y mtu ambayo anaitumia maisha yake yote we skizia iishe utapatia watu wakat mgumu n lbda wamezoea mabaharia lugha zao ndo hizo

  • @user-wf5sm8cu6h
    @user-wf5sm8cu6h 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kibangubangu ni lugha ya kireno inaitwa Portuguese ambayo inaongelewa Mozambique Unaona bwana 😂

    • @saidomar6610
      @saidomar6610 10 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa kufafanua maana mombasa kenya bangubangu ni mtu mvivu

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂 babu bwana😂😂😂

  • @user-gm1tt7zs1j
    @user-gm1tt7zs1j 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kibangubangu ndio lugha gan

  • @hamispakaya9209
    @hamispakaya9209 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unaona bwana. 😂😂😂

  • @BarakaJames-nu2be
    @BarakaJames-nu2be 10 หลายเดือนก่อน +1

    Uszngue babu ndio spirity zetu

  • @user-gm1tt7zs1j
    @user-gm1tt7zs1j 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unaona bwana

  • @ibrahimabdallah4858
    @ibrahimabdallah4858 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unamkatisha bhn

    • @richardjoseph3347
      @richardjoseph3347 10 หลายเดือนก่อน

      Kwel kabsa babu seff anazngua anamkatisha