Maisha ya ughaibuni na ras kajole sehemu ya 3 no sim +255713212434

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 8 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah mzee baba umefikiaa location ngumu sana Langaa sio pw location ngumu sana kuna weziii balaa pole San 🇹🇿🇿🇦

  • @omaryakub5387
    @omaryakub5387 8 หลายเดือนก่อน +1

    yesss

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 8 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana
    Much love from capetown

    • @bab_seif
      @bab_seif  8 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 8 หลายเดือนก่อน +3

    Leo number moja kutoka 🇩🇪

  • @tamimumzamilu2726
    @tamimumzamilu2726 4 หลายเดือนก่อน +1

    Makaladi Ni watu gani

  • @EvansKonzi
    @EvansKonzi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Very nice

  • @abduJumbe-n4b
    @abduJumbe-n4b 2 หลายเดือนก่อน +1

    💪💪💪

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 8 หลายเดือนก่อน +1

    Simulizi safi sana

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 8 หลายเดือนก่อน +3

    Inaitwa Sliver town hiyo km ukitokea Langa kuja Raylands Rasta,Daaa hile take away ya Golden Dish simchezo,Spangala mtoto kilwa Road Marehem alipigwa risasi Joz,2pac yupo cape town hila mteja akuna tena kunyoa,

    • @swadatimmbaga7435
      @swadatimmbaga7435 8 หลายเดือนก่อน

      😢😢dah

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 8 หลายเดือนก่อน

      Sema huyu mwamba anakumbuka sana maeneo…rylands,gatesville zote hizo mwamba kakumbuka afu kitambo kichiz

    • @rasjamal9854
      @rasjamal9854 8 หลายเดือนก่อน

      @@aminmohammed4249 kweli yupo vzr sana maana matobo yote na ya juwa, hata Mimi nilisha sau,

  • @andrewmziray2233
    @andrewmziray2233 8 หลายเดือนก่อน +1

    Analysis yangu fupi . Waliokupokea pale capetown kwa nyange ndo walikuw watu mhm lakin ukahama kwend gugulethu kwa wahuni huku ndo ulikutana na kichaa wako 😂

  • @mazagazagaonlinetv9775
    @mazagazagaonlinetv9775 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 8 หลายเดือนก่อน +1

    Makaladi ndo zao kukaba pole

  • @swadatimmbaga7435
    @swadatimmbaga7435 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo Tz ndan ya Dsm

  • @NdongaKichwa-hz7jf
    @NdongaKichwa-hz7jf 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoka zanzabar nipo nafatili babu seif Ali marufu kama Mava walete

  • @MudyMtambo
    @MudyMtambo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ila maisha ya ughaibuni ni somo tosha

    • @bab_seif
      @bab_seif  8 หลายเดือนก่อน

      Weacha tu

  • @dyder5153
    @dyder5153 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahishwa na hicho kitoeo cha kuku

    • @bab_seif
      @bab_seif  8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @musayosia4081
    @musayosia4081 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nilichojifunza kimojawapo kwenye hii mikasa ni kwamba sauth Africa ni nchi ambayo amani ya watu wake ni ndogo sana yani muda wwte unakula chuma😢

    • @bab_seif
      @bab_seif  8 หลายเดือนก่อน

      Nikweli usemalo mm natokea kuichukia sana watu hawajali maisha ya mtuu 🥹🥲

  • @MudyMtambo
    @MudyMtambo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kundu chuna