JUMBA LA KIFAHARI LA MBUNGE BILIONEA LATEKETEZWA, MAGARI, MIFUGO VYAHARIBIWA VIBAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 904

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 3 หลายเดือนก่อน +73

    Duu hawa wakenya wana kila sababu za kujengewa sanamu kwa kazi nzuri

    • @abdallahiddy6333
      @abdallahiddy6333 3 หลายเดือนก่อน +6

      hawa jamaa big up sana wanapambana sana

    • @godfreypaul251
      @godfreypaul251 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa kuharibu vitu vya watu?

    • @martineopapa7383
      @martineopapa7383 3 หลายเดือนก่อน +1

      Siku ukiharibiwa kitu ndo utajua uzuri zaidi

    • @Chrishenryson-beats
      @Chrishenryson-beats 3 หลายเดือนก่อน

      Sisi udaku udaku tu

    • @shabanikitula645
      @shabanikitula645 3 หลายเดือนก่อน

      Hao ndiyo wanaume na wakenya ndiyo taifa ambalo wananchi wake wanajitambua

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 3 หลายเดือนก่อน +58

    Wabunge wanaishi maisha ya anasa wenzangu na mie tunaopanga foleni kuwapigia kura mlo mmoja kwa siku😢tena sio mlo kamili Ee Yesu tusamehe tu😢

    • @RutinikiGosbert
      @RutinikiGosbert 3 หลายเดือนก่อน

      Asante ndugu na wahapa kwetu wala hawana muda nasisi sasa wakati umefika wa kujakuomba kura

    • @josephelisha8413
      @josephelisha8413 3 หลายเดือนก่อน +3

      Bro ni hustler if story ni kweli kuku 10000wa mayai mshahara wa mbunge haufikii

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama kapata wivu wa Nini jamani hata vidole haviko sawa mmekosea sana wacha wawauwe kwani nilazima apate kwa hiyo ubunge mmelaaniwa hadi vitukuuna vilembwe​@@josephelisha8413

    • @celinamachundoInspires
      @celinamachundoInspires 3 หลายเดือนก่อน +2

      Iwe fundisho kwa wabunge na wenye mamlaka bongo

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani matajiri wote ni wabunge angetegemea mshahara asingefika hapo alipo ila laana ya wanyama haitawaacha salama .​@celinamachundoInspires

  • @user13375
    @user13375 3 หลายเดือนก่อน +116

    Machawa wa kusema ndiyooooooo kwa kila kitu ndo funzo😮😮😮

    • @eliariro5514
      @eliariro5514 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 amekoma

    • @majaliwamsigwa6206
      @majaliwamsigwa6206 3 หลายเดือนก่อน +4

      Hayo ndo malipo ya punda afe mzigo ufiko,hiyo sasa imekuwa mzigo ufe punda afike

    • @mshanibeatrice7449
      @mshanibeatrice7449 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ahahaa daa nimecheka km maxur

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@majaliwamsigwa6206😅😅😅😅😅

    • @smartonlinetv5144
      @smartonlinetv5144 3 หลายเดือนก่อน

      😅​@@majaliwamsigwa6206

  • @barakamushi6686
    @barakamushi6686 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri zaidi wamefanya majiran zetu kenya, njoo Tanzagiza sasa😭😭

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 2 หลายเดือนก่อน

    Viongoz huwa hawana huruma na wananchi wanajiangalia wao tu na familia Haki iko wap usawa huko wap Safi sana Kenya Huku Tanzania wanajisahau viongozi

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimazara ya kuwaendekeza wavivu na wavuta bangi. Ndo haya haki gani inadaiwa Kwa kuingilia maisha binafisi ya mtu mkikatazwa kuandamana et tunanyimwa Haki ipi kama haki yenyewe ndo hi basi Africa tuondoe Sheria hi au tuboreshe Sheria za kihalifu. ziwe Kali sana bila kuangalia nani kafanya uhalibifu Hakuna haki ya uhalibifu 🙏💪

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z 3 หลายเดือนก่อน

      Mkundu wako ww

    • @Zuu673
      @Zuu673 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @salamSalehhhhh
      @salamSalehhhhh 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli kaka

    • @JuniorMkoba
      @JuniorMkoba 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe Kuma nn unawatetea nn Kuma mbuzi

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 3 หลายเดือนก่อน +17

    Hao kuku Bora mngechukua mnadhulumu viumbe wasiohusika daa

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli ndugu yangu 😢😮

    • @brianndege5331
      @brianndege5331 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hatukuwa na mda lakini tulichukua zingine za kupika usiku

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 หลายเดือนก่อน


      HHHH HHHHH

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 3 หลายเดือนก่อน

      Kuku wamepitisha mswaada wa Kodi😂😂😂😂

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 3 หลายเดือนก่อน +7

    Duuh kumbe wabunge maboss jamani raia sie maskini sanaa mama kua makini na wafanya kazi wako

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi ni mfugaji mdogo... ninaweza kuhisi maumivu ya huyo mbunge na hata mifugo waliokufa kwa mateso.. maskini hapendi mwenye mali..

    • @BMboss108
      @BMboss108 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mali ya wizi !sahii kuku mmoja Kenya kwa butcher ni 600ksh!kilo moja ya nyama ni hio 600ksh!kutoka 400ksh hadi 600ksh!alafu watuongezee.kodi!hakuna mahali Kenya utapata mkate kwa 50ksh wala maziwa..ni 65ksh kwendaa juu..wao wajingezea mishahara na kuwapa jamaa zao kazi..watu wamesoma na hakuna kazi

    • @mariamboki2868
      @mariamboki2868 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅 wakenya bwiiii

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli huyo ni riziki yake ulitegemea wote muwe juu yaani mna wivu sana na roho za kwanini ishieni huko huko hatuwataki wasomali na Sudan ndio mmekaa fujo tuu mkenya sipendi kabisa kwa tabia zao hizo hata kiumbe anaumwa ni haki yao kupigwa

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 3 หลายเดือนก่อน

      Ila maumivu anayopata mkenya kawaida

  • @riavlogstz
    @riavlogstz 3 หลายเดือนก่อน +17

    Tanzania nchi yangu nakupenda❤❤❤

    • @ahmedalfan8075
      @ahmedalfan8075 3 หลายเดือนก่อน +1

      Na utaendelea kuteseka Kila siku mpaka chai ukamulia maji ya miwa

    • @mwajumaseifu216
      @mwajumaseifu216 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ahmedalfan8075 Akuna anayeteseka

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 3 หลายเดือนก่อน

      Nani aliyekwambia tunateseka wewe kiazi?Stop projecting

    • @ahmedalfan8075
      @ahmedalfan8075 3 หลายเดือนก่อน

      @@Thekidp3702 projecting? U're suffering and then u're comforting ur self. U talking nonsense. Au ndio wale watoto wa baba kanituma ? Tz sugar how much per kilogram ? cornflower how much? A u out of u're mind ?

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 3 หลายเดือนก่อน

      B​@@ahmedalfan8075 Bro hayakuhusu ya huku pambaneni na hali zenu TZ hatuna njaa kali kama nyie

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wow hivi vyote mbunge mmoja

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢😢😢 yani kajikusanyia utasema ataish daima dumu Tena ni nyumba ya shamba je anayo ishi ipoje

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@kamarhelo Acheni kufikiri kimasikini. Mtaji wa kuku elfu 10 unamuingizia shilling ngapi na hao ni waliochomwa tu wengine wapo. Mtoaji ni Mungu, mtu anapambana unaleta roho mbaya ya Kusini mwa Africa.

  • @AnthonySindabaha-de3xb
    @AnthonySindabaha-de3xb 3 หลายเดือนก่อน +3

    We nae umekuwa nyuma sana kutoa khabari.

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kuua viumbe kinyama hivyo sio poa Mungu hapendi😢😢

    • @wkjshsxbbsbs6392
      @wkjshsxbbsbs6392 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kuku utanunua Soko watoto wawatu wako mortuary watanunuliwa wapi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 หลายเดือนก่อน

      Utanunua kuku wengine sio hao waliokufa. ​@@wkjshsxbbsbs6392

    • @KomboHawa
      @KomboHawa 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwahiyo kuuwa watu Mungu ndio anapenda?

  • @Dreambig1-A
    @Dreambig1-A 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwaiyo hiyo ni nyumba ya shambani Aaah

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hii ilitakiwa iwe Tanzania hawa kenge wangekoma kutuhibia

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 3 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa Tanzania tunaanza na wewe, siku mungu akijibu maombi yako utajuta.

    • @jonathanmanyaga4357
      @jonathanmanyaga4357 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jigunze kwanza kuandika, kutuHIbia ndiyo nini?

    • @DaudiJoseph-s1s
      @DaudiJoseph-s1s 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unaomba iwe tanzania je umejipangaje au unajuwa singeri za miso misondo izo.nyama wewe

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 3 หลายเดือนก่อน

      @@jonathanmanyaga4357 wamuibie ana nini kwanza? Ni ushabiki wa kijinga tu.

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 3 หลายเดือนก่อน

      Watanzania wanao shabikia maandano ni wale wezi wanataka yatokee kwetu Tz ili wapore mali za watu, lakini ng'o maombi yao hayatafanikiwa.

  • @gracewilliam4102
    @gracewilliam4102 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ujinga wangefanya tanzania waone yaani nchi haifai hata kidogo we ruto achiti ili muwe na amani sasa hivi ni nini Ee Mungu Bariki Tanzania yetu

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waneanza kama wa south ikitokea maandamano wanaenda nyumbani kwa police wanaua familia zake tuombe mungu Tanzania isije hizi vurugu na nyie viongozi wetu wasikilizeni raia wa chini msiwapuuze

  • @jonasamos555
    @jonasamos555 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana, na wengine zikachomwe mpaka washike akili huyu atajutia siasa maisha yake yote

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya hoyeee

  • @ELIMRINGITILLYA
    @ELIMRINGITILLYA 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana hongera wananchi wa Kenya na hayo mliyoyafanya inabidi na Tanzania tufanye duu raisi Ruto kasikia wakenya wamevamia bunge napia wakatangaza kwenye ikulu Nairobi alhamisi ya juzi kabla hawajafanya Hilo Ruto akasalimu amri akasema atasaini mswada wa ongezeko la ushuru hongera sana wakenya bado Tanzania.

  • @SamiriHassan-dp9kn
    @SamiriHassan-dp9kn 2 หลายเดือนก่อน

    Haoo kuku msiwatupe jamani wanaliwa 😂😂😂😂

  • @saidrashid5972
    @saidrashid5972 3 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli wametenda dhambi kubwa sana ambayo bila ya Toba ya kweli Mungu hawezi Kuwasemehe. Na haki haitafutwi kwa kuwahujumu viumbe visivyohusika au vitu visivyohusika

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 3 หลายเดือนก่อน +2

    safiii sanaa wangemtafuta na huyo mbunge wammalize kabisa

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 3 หลายเดือนก่อน

    wanasiasa wa afrika kwao hawaoni ugumu wa maisha,kazi kujirundikia mali za wizi tu,natamani ilo zoezi lifanyike na huku tz

  • @JosephDandu-sr8tr
    @JosephDandu-sr8tr 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania soon maji yanachemka

  • @dominicksangu8934
    @dominicksangu8934 3 หลายเดือนก่อน

    Bado nanyie vilaza wabunge w tz ipo sku,2.

  • @gililwise
    @gililwise 3 หลายเดือนก่อน

    Duh wabunge WA Tz mnajilimbikizia marupurupu na.kutetea ukandamizaji WA kodi Kwa wananchi.na kikokotoo kwa wafanyakazi
    U kiona mwenzako ananyolewa jitafakari.maana Kama wabunge wakenya wangesimamia serikali hayo yanayofanyika yasingekuwepo.

  • @samtechtanzania3252
    @samtechtanzania3252 3 หลายเดือนก่อน +103

    Wabunge was Tz chukuen darasa la Bure

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 หลายเดือนก่อน

      SUBUTU

    • @annafredinandmatandiko8438
      @annafredinandmatandiko8438 3 หลายเดือนก่อน +2

      2025

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@allahisone6386siyo subutu unajua saa yoyote tunavamiwa ba si watanzania

    • @BMboss108
      @BMboss108 3 หลายเดือนก่อน +2

      ​@allahisone6386 😂😂😂 ukiona cha mwenzako cha nyolewa na chako kitie maji..labdaa wa Tanzania ni waoga

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@allahisone6386usiseme ivo dunia sasa inabadilika

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa 3 หลายเดือนก่อน +19

    Wakenya mungu awabariki Kwa kuitafuta haki❤❤❤❤❤

    • @wilbertaerasto7584
      @wilbertaerasto7584 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 3 หลายเดือนก่อน +1

      Haki ujinga tuu njoo uone maisha yao ndio utajua ata atawale malaika shida haxitaisha

  • @piussangu7963
    @piussangu7963 3 หลายเดือนก่อน +67

    Hiyo ni nyumba ya shamba je ya mjini!!! Aisee wakenya fanyeni kazi

    • @BMboss108
      @BMboss108 3 หลายเดือนก่อน +4

      Katika wabunge wote duniani wabunge waKenya ndio wenyewe mishahara minono...sahii maisha huku yamepanda sana..sio stima,sio mayai,sio sukari,sio uto,sio maziwa sio mkate..kitamba na 50Ksh wapata maziwa 500ML (nusu lita)sahii hakuna kuanzia 60 sh ukiwa na bahati..ndogo ilikuwa 20ksh sahii maziwa rahisi Kenya ni ya 35ksh 200ML!labda ununue kutoka kwa mkuliwa anaefuga ndio labda utapata nafuu kwa bei

    • @gboystoner
      @gboystoner 3 หลายเดือนก่อน +3

      Fanyeni kazi mnachofanya hicho sio solutions la kutatua matatizo yenu. Mnaonekana ni wavivu na hampendi kujishughulisha na michakato.

    • @PaulMsema
      @PaulMsema 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wangekuwa na kazi wasiandamana,Hali ngumu ya maisha inamfanya mtu Bora afe maana garama ya maisha juu

    • @nabii-zc1hm
      @nabii-zc1hm 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@PaulMsemasahihi

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@gboystoneryani umeongea ukweli kiukweli kenya asilimia kubwa choka mbaya angalia wamepata nini sasa jana nilienda Town nimeona mafundi wamemwaga wanajenga tena.

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 หลายเดือนก่อน +1

    NDO MAANA SPEND KABISA MAMBO YA VURUGU SELIKAL YANG TZ NAOMBA MSIRUHUSU UHUN KAMA HUU UFANYIKE KWETU SAS KIKUBWA WANACHO FAID HAWA WENZETU N NIN HILO TAIFA MPAKA LIJE LIKAE STABLE SIO LEO

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kazi imefanyika km ni mbwai naiwe mbwai safi sana wa Kenya mmeonyesha mfano bora😂😂😂

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 3 หลายเดือนก่อน

      🙌🙌🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 3 หลายเดือนก่อน +24

    ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾Safiii ndio wajue sasa Watu wamechoka Na kunyanyaswa wanaishi maisha mazuri Na kusahau wananchi ndio wamewapatia kura 😏hii ndio fundisho kwa African viongozi watu wamechoka kuliwa pesa zenu za kodi wanatuweka kwenye maisha ya tabu wao wanaishi maisha mazuri Tumechoka wananchi safi sanaaaaaa Kenya People 🥁🥁🥁🥁✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾🎷🥁🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️hiii itakwenda Africa nzimaaa Tuamkeeeee🗣️🗣️🗣️🗣️

    • @terashangwe255
      @terashangwe255 3 หลายเดือนก่อน

      Ila na nyinyi ndio mnaendelea kufa

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula3367 3 หลายเดือนก่อน +33

    I love kenyans.. wapo serious sana wakiamua jambo lao.
    Sio sisi huku Tanzania.
    Viva kenyans 💪💪

    • @birianination7097
      @birianination7097 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ujinga huo

    • @zainajirani5296
      @zainajirani5296 3 หลายเดือนก่อน +4

      Usiombe Bubu akiongea patakuwa hapatoshi... Si unawajuwa Panya road 😂

    • @andrewkaswagula3367
      @andrewkaswagula3367 3 หลายเดือนก่อน

      @@birianination7097 hyo ndio dawa ya viongozi wa Kiafrika.. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa Nchi za kiafrika toka tawala za kale enzi za kupigania uhuru utakuwa unaelewa. Viongozi wengi wa kiafrika hawajawai kuamini mpaka wafanyiwe machafuko na hata kupinduliwa.
      Kama wakenya wangelemaa huo mswada ungepita kiwepesi tu. Lakini hapo serikali itarejea tena kuuweka sawa.
      Acha sisi wenye uwoga tuendelee kusemea chooni. Ila wakenya nawapenda, wakichoka hawahitaji muda zaidi, wanaongesha vitendo.

    • @andrewkaswagula3367
      @andrewkaswagula3367 3 หลายเดือนก่อน

      @@zainajirani5296 safi tu.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน +1

      Si wamepata Katiba Mpya juzi tu au ndio hii.

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 3 หลายเดือนก่อน +9

    Safi sn,,
    Iwe fundisho Kwa viongoz wa Africa,,wakichanguliwa wanajiona Miungu watu,,
    Wanatunga Shelia zakuwalinda wao,

  • @vero57
    @vero57 3 หลายเดือนก่อน +25

    Wanaichi wanaenda nchi za kiarabu kufanya kazi wanateswa, wana firwa, wanauliwa , alafu nyie viongozi ndiyo muna kula pesa za nchi , safi sana hii!! Oneni mfano huo

    • @thobiasanthony-ep6lb
      @thobiasanthony-ep6lb 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wanafirwa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 inaumiza sana. binadamu wawe na utu jamani dah! Inaumiza sana. Mungu atunusuru jamani

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@thobiasanthony-ep6lbhaya matusi si amelegeza Yako mwenyewe

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wamemtia Adabu wanaishi maisha ya kifahari kwa ela za walala hoi dhulma wakubwa Safi sana wakenya

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 3 หลายเดือนก่อน +69

    Safi saaana nimefurahi mnakula kodi zetu tena za Zulma wacha yaungue

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 3 หลายเดือนก่อน +2

      kwahyo na mifugo imewafanyaje

    • @aidanmbilinyi8184
      @aidanmbilinyi8184 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@nancyg8664 mifugo imejileta hapo s rasiliamali hizo

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 3 หลายเดือนก่อน +2

      Huu ni uharibifu na uharifu Wala hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha ujinga huu!

    • @SeeMe-uh3sy
      @SeeMe-uh3sy 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@nancyg8664wewe nawe mifugo yakuhusu au ni pesa yakununua hio mifugo imepatikana vp

    • @SeeMe-uh3sy
      @SeeMe-uh3sy 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@nancyg8664 wanakuhusu ww hao kuku pesa ndio imenunua kuku na sio kuku wamekuja kukaa bure

  • @somoeomar4861
    @somoeomar4861 3 หลายเดือนก่อน +48

    Washenzi hawa viongozi wanajitajirisha wao maskini wawaumiza

    • @yordanyona1234
      @yordanyona1234 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kaka huyo anafanya Biashara kuku 10000 unajua ni sh ngapi ...sio kila anayeingia serikali huiba..
      MFANO tuna shabibi
      Msukuma Wana pesa sana ...
      Kishimba wao hutoa fedha nyingi kuliko za serikali

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 หลายเดือนก่อน


      EEWEEEEEH_🤔

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@yordanyona1234kwaiyo jumba lote hilo kalipata kwa kuuza kuku sio!?hiyo mifugo anafuga kwa kujifurahisha tuu sio kwa biashara!fuga nawewe utajirike kama unaona utajiri rahisi kiasi hicho

    • @birianination7097
      @birianination7097 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@IbniAbbas-yz3kt sasa mtu mwenye kuku 10000 atakua na miradi mingapi, pia kuku 10000 thamani yake ni 100,000,000 kwa mwenzi.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@yordanyona1234 Acha tu ndio akili za masikini.

  • @jumamabu3650
    @jumamabu3650 3 หลายเดือนก่อน +14

    Wamekosea sana kuwachoma kuku Bora wangewafungulia tu watawanyike

    • @ParimeloNgarim
      @ParimeloNgarim 3 หลายเดือนก่อน +3

      Wandamanaji wamefanya vizur san lakin kuku hawana hatia jamani

    • @mwinyimatopa2283
      @mwinyimatopa2283 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hata wale vijana walio uwawa na Askari hawana hatia kama sio huyo mbunge kupitisha huwo mswada Kwa hiyo kuku muhimu Sana kuliko watu sio

    • @wilbertaerasto7584
      @wilbertaerasto7584 3 หลายเดือนก่อน

      Hasira hizo, wangemkuta huyo Mbunge ndio angekuwa halali yao😂😂

    • @SalamaHaji-s3c
      @SalamaHaji-s3c 3 หลายเดือนก่อน

      @@ParimeloNgarimwalah. Mm nimeumizwa na kuku 😢

    • @florencezawadi3784
      @florencezawadi3784 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@wilbertaerasto7584alikua hayuko tena ana bahati

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama mimi tu Nina kiglosary kwa mwaka nalipa laki moja bora hata ingekuwa elfu 20 halafu usipolipa wanakufungia usifanye biashara,, na vitishio juu,, halafu unakuja kulipa kodi serikalini ukienda hospitalin dawa hakuna na hawa wabunge sijui kinanani hawatujali pesa zote wanakula wao ndo matokeo yake hivi

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hao wanyama hawana hatia wamewadhulumu bure, bora wangechukua wakawachinja na kupata kitoweo

  • @kelvinKyando-x9d
    @kelvinKyando-x9d 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wa kenya police wao na jeshi lao lipo kuwapa support wana nchi sio km Tz ambapo police wanatetea haki za viongoz kuliko citizens

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 3 หลายเดือนก่อน +55

    Tanzania tushukuru sana kwa amani aliyotujaalia Mwenyezi Mungu, ila hii ni tahadhari kwa ccm inapenda sana kuifanyia mzaha amani hii, ccm mjiangalie sana

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 3 หลายเดือนก่อน +21

      Tanzania hatuna amani ndugu tunavumilia tu

    • @josephwilliammnyune5464
      @josephwilliammnyune5464 3 หลายเดือนก่อน +3

      Wajiangalie kwa vipi? Mambo kama hayo hawawezi kutokea Tz.

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 3 หลายเดือนก่อน

      Muombe mungu sana hata Sudan hawakufikiria hivyo walizani itakuwa Sudan kusin tu lakin mambo yaligeuka kwahiyo ndugu mtangulize mungu tu ​@@josephwilliammnyune5464

    • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
      @mkanjimamkanjimamkanjima2043 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂​@@josephwilliammnyune5464

    • @makatym6151
      @makatym6151 3 หลายเดือนก่อน +8

      Amani ama Uoga

  • @pendonoor8869
    @pendonoor8869 3 หลายเดือนก่อน +1

    mnisamehe kwa lugha, "wakenya ni wajinga!" period. kuku akawafanya nini? tena huyu jamaa atafidhiwa na mali ya uma. Bure kabisa!

  • @imanimussa6256
    @imanimussa6256 3 หลายเดือนก่อน +10

    Kuua viumbe tena kwa moto mutajutia laana hii

    • @peternyingi5545
      @peternyingi5545 3 หลายเดือนก่อน +1

      Magufuri arichoma vifaranga eti zimetoka kenya

    • @georgeichinge8599
      @georgeichinge8599 3 หลายเดือนก่อน

      tz mnakata mazao ya wakimbizi ili wafe njaa

  • @atupelejohnmwakangale3226
    @atupelejohnmwakangale3226 3 หลายเดือนก่อน +19

    Kuharibu mali ni chuki ya kimasikini,na hata wanaofanya HIVYO huendelea kuwa masikini katika vizazi na vizazi VYAO. MTU mmoja ANAWEZA tengeneza laana kwa ukoo kwa kizazi na kizazi pasipo kujua. Mungu hawezi kuwapa Watu wanaofanya Mambo kama hayo. Ukijaribu kujenga anakuta hufiki Hadi hatua ya mwisho na ukifuga hawafugiki.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 3 หลายเดือนก่อน +8

      Utajuaje? Yawezekana na yeye ana Laana hiyo hiyo unayoisema!!

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 3 หลายเดือนก่อน +8

      Si kodi zao ndo zmenunua?

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mbunge ni Tajikistan toka zamani tabla ya ubunge😊

    • @IbrahDeDonny-lv2lo
      @IbrahDeDonny-lv2lo 3 หลายเดือนก่อน +7

      Tulichoma kodi zetu shida ipo wap?, sheenzi ww

    • @DaudiRUBERN
      @DaudiRUBERN 3 หลายเดือนก่อน +6

      We tahila na vinenovyako jitu kama mwigulu yanakera hongera sana Kenya

  • @kaduchucomedy
    @kaduchucomedy 3 หลายเดือนก่อน

    Niiombe serikali ya tanzania ijifunze kitu kupitia wananchi wa kenya. NOTE ( KIONGOZI YOYOTE WA SERIKALI UNAPOKUWA SERIKARINI NIKUOMBE UWE NA MOYO WA KUWAHURUMIA WANANCHI LKN PIA WIZI NA TAMAA ZISIZOKUWA ZA MSIKI ZITUPIRIENI MBALI.] mambo mengi yanatuumiza wantanzania watuna pakusemea ila wakenya nawaunga mkono kwa kuipambania nnchi yetu.

  • @RaymondZindah-ow7wr
    @RaymondZindah-ow7wr 3 หลายเดือนก่อน +10

    Bado skins mwiguru, msukuma na majariwa na chawa wote wanao unga sera kandamizi Kwa wananchi

    • @wilbertaerasto7584
      @wilbertaerasto7584 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂Tanzania hatuthubutu, wake ya Wana umoja wakiamua kufanya Jambo lao hawana masihara🔥🔥🔥🔥🔥

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 3 หลายเดือนก่อน

    Ni fundisho in Tanzania ..but tz utasikia uchochezi.sijui waache wale ndo nafasi zao ..mnataka sheria ichukue mkondo ...uhaini..So What?
    Mjinga akielimishwa hubadilika lakini mpumbavu habadilikagi

  • @lawrencegwerino1656
    @lawrencegwerino1656 3 หลายเดือนก่อน +50

    Wabunge wa tanzania hii inatakiwa iwe somo Kwenu..

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwel kabisa

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 3 หลายเดือนก่อน +12

      Hii inatakiwa imfikiee mwigulu tuchome kila kitu chake moto

    • @Zuu673
      @Zuu673 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@deogratiusyudatadei5658nenda kachome😂😂😂😂😂wenzake wakutaje

    • @birianination7097
      @birianination7097 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@deogratiusyudatadei5658 ujinga huu.

    • @DaudJoel-th7re
      @DaudJoel-th7re 3 หลายเดือนก่อน

      I​@@Zuu673😅😂😂😂😂😂😂

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mali Ya Fisadi Ni Mali Ya Wakenya Wote Kwaivo Nisawa Sema Mngebeba Iyo Mifugo Kuliko Kuchoma Moto

  • @odenmasebo9777
    @odenmasebo9777 3 หลายเดือนก่อน +3

    WAKENYA WASENGE TU MNALAANA KUKU WAMEKOSA NINI SI BORA MNGECHUKUA MKAWALE

    • @ShedrackTunje
      @ShedrackTunje 3 หลายเดือนก่อน

      umbwa wewe,kuna linalo kuhusu huku,kaa tulia shenzi type

    • @hamidriday2352
      @hamidriday2352 3 หลายเดือนก่อน

      PUNDA WEWE NJOO HUKU ,FALA WEWE.

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน

    Msoga ya Kenya hiyo.MsijimbikiIe mali mbele ya masikini,itawaghalimu,mbunge,utanisamehe,sikuhurumii,pambana na hali. yako.kuku elfu kumi?m

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 3 หลายเดือนก่อน +3

    mnaeza msipate haki juu ya huu ushenzi ata Mungu anaweza kuwalaani, hao kuku bora mngewachukua tu sasa

    • @wkjshsxbbsbs6392
      @wkjshsxbbsbs6392 3 หลายเดือนก่อน

      Hii ni pesa ya wakenya wamejiongeza salary na wakenya wakiimumia

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 3 หลายเดือนก่อน

    Msoga ya Kenya hiyo.MsijimbikiIe mali mbele ya masikini,itawaghalimu,mbunge,utanisamehe,sikuhurumii,pambana na hali. yako.kuku elfu kumi?m

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu awarehemu,hii siyo sawa hata kidogo viumbe wamekosa Nini na kuharibu Mali za mtu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน

      Kwel kuchoma viumbe vision na hatia sio sawa.

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 3 หลายเดือนก่อน +1

    Usihangaike na wabunge Wa TZ haitatokea chochote kwa TZ ,lazima unapongea MAMBO ya maana usiongelee wa TZ .Wa Kenya ni mashujaa toka enzi na enzi usifananishe na uchafu wa Wa tz

    • @BoazDillu
      @BoazDillu 3 หลายเดือนก่อน

      Hata hvyo yenu hayatuhusu😅 Kwani nanikakwambia tunajifananidha na nyie kila mtu yuko inchin kwake

  • @PaulJelais
    @PaulJelais 3 หลายเดือนก่อน +23

    Pesa ya dhuluma itakugharimu tuu maana Mungu yupo

    • @haggaikinyau1395
      @haggaikinyau1395 3 หลายเดือนก่อน

      Umejuaje kuwa ni fedha ya dhuluma? Kenya ni nchi ya kibepari watu wanafanya biashara zao na kupata pesa wewe unasema fedha ya dhuluma, hii sio sawa na kwenyu huko Tanzania

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 3 หลายเดือนก่อน

    Hili ni somo kwa wote wanaodhani ukipata Mali ya dunia hii umepata vyote..... bado safari ni ndefu... na bado hatujaona mambo....watch and pray

  • @faustinfrancis9034
    @faustinfrancis9034 3 หลายเดือนก่อน

    Huu ni uharifu, ok unachoma moto kuku, mbuz, ng'ombe, uharifu wa Mali hizo ni ajira kwa watu. Wewe unateketeza? Ebu kaeni chini yamalizeni

  • @stevenngota6400
    @stevenngota6400 3 หลายเดือนก่อน +20

    Safi sana ila kwenye mifugo mngebeba msingechoma

    • @dariandeogratius
      @dariandeogratius 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa kuchoma wamekosea wangebeba tu

    • @stevenngota6400
      @stevenngota6400 3 หลายเดือนก่อน

      @@dariandeogratius sana tu

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 3 หลายเดือนก่อน

      Mwendawazimu sio rahisi kujua chenye thamani kwake bali hupiga mateke tuu nakusepa zake

    • @ndessawandessageorge8895
      @ndessawandessageorge8895 3 หลายเดือนก่อน

      Au wangepumzika hapo siku kadhaa wakila nakutafakari pakwenda kupumzika tena

    • @abdullahkazungu4025
      @abdullahkazungu4025 3 หลายเดือนก่อน

      Time yakubeba ilikua hakuna

  • @kanaelikanuya7919
    @kanaelikanuya7919 3 หลายเดือนก่อน

    Lakini Hawa mifugowanakosa Gani Hawa waliowasha moto. Wakachoma mbuzi,ng'ombe, kuku na wao hivyo vitu havitakaa wangechoma nyumba tu

  • @mosule9262
    @mosule9262 3 หลายเดือนก่อน +28

    Kilichoniuma ni hao viumbe wa mungu kufa bila sababu !!! Daaah!!!

    • @mundhirsalum21
      @mundhirsalum21 3 หลายเดือนก่อน +3

      Usile kuku au usinywe maji maana kuna viumbe pia 😂😂

    • @mercynina6288
      @mercynina6288 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan. Hawajui chochote 😢😢

    • @ManyoriModernFarmMMF
      @ManyoriModernFarmMMF 3 หลายเดือนก่อน +1

      laana huwa inatafuna kila kitu huwa haibagui

    • @landmadvdmbeyacity9561
      @landmadvdmbeyacity9561 3 หลายเดือนก่อน

      Huelewek hata unaongea Nn kuku ww

    • @ManyoriModernFarmMMF
      @ManyoriModernFarmMMF 3 หลายเดือนก่อน

      @@landmadvdmbeyacity9561 🙏 ubarikiwe sana ewe binadamu.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 หลายเดือนก่อน

    huu ni ktk ufusadi na uhabifu mkubwa,ndiyo sababu kwa uislam maandamano yamekatazwa na mtune muhammad sala na amani ziwe juu yake.
    kwa hiyo kina mbowe wasituletee upuuzi na UFISADI huo hapa tanzania!!

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 3 หลายเดือนก่อน +21

    Yani kitu mmeudhi ni kuteketeza hivo viumbe hai visivyo na hatia

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ukivila ww unasemaje

    • @wkjshsxbbsbs6392
      @wkjshsxbbsbs6392 3 หลายเดือนก่อน +1

      Their insults na huge salaries pesa ya wakenya na pia kuhongwa two million each ku vote yes

    • @stevebaluwa7132
      @stevebaluwa7132 3 หลายเดือนก่อน

      Ata kwenye biblia Kuna wakati Mungu aliruhusu taifa lilipige taifa na kisibaki kiumbe hai chochote wala kisichukuliwe chochote vyote viuwawe

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 หลายเดือนก่อน

      kufa basi msenge wewe

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@stevebaluwa7132ushasema kwenye biblia kwani apo ni kwenye biblia Kuweni na utu mnachopambania ni sawa but isiwatoe roho ya utu hao viumbe wanaroho kama alivyobinadamu

  • @MuhammedSaid-l4i
    @MuhammedSaid-l4i 3 หลายเดือนก่อน

    Choyo na roho mbaya na ukabila vinawala Wakenya.
    Kenya imegeuka Libya,
    Sudan Somalia,Waafrka
    ni akili fnyu.
    Wanaangamiza maish
    yao kwa mikono yao we
    nyewe😂😂😂

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa mtakufa vifo vibaya kama mlivo uua kuku ishallah

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 3 หลายเดือนก่อน

    Tuliwatuma bungeni kutuwakilisha sio kutusaliti halafu watuonyeshe kiburi ...hao jamaa waliopiga yes kwa bunge ni wakimbizi hawalali makwao

  • @RosalinaMakenzi
    @RosalinaMakenzi 3 หลายเดือนก่อน +14

    Yan Tz tungekua kama wakenya tusingekuwa tunachezewa na hawa wala rushwa wa pumbafuuuu safi sana kenya

    • @annamussa185
      @annamussa185 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @LugyPlan
      @LugyPlan 3 หลายเดือนก่อน

      Haujitambui

    • @uwembatvonline
      @uwembatvonline 3 หลายเดือนก่อน

      Si ujitambue ungejitambua na nani,, wewe ndo hujitambui

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa aisee

    • @alainnduwimana544
      @alainnduwimana544 3 หลายเดือนก่อน

      Jiombeeni

  • @davidkiswaga4453
    @davidkiswaga4453 2 หลายเดือนก่อน

    Nimpumbavu tu ndo anashangilia ujinga kama huu lakin huwezi furah hata siku moja mambo kama haya kufanyika kwa kuwa hata vitabu vya dini hata kimaadili tu huwezi mtendea mwenzako jambo kama hilo hata kama kakosea.

  • @naomisamwel18
    @naomisamwel18 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hayo ssa sio maandamano ni wehu na wendawazimu. Hao viumbe wamewakosea nn..

    • @progressivemetallicmineral4601
      @progressivemetallicmineral4601 3 หลายเดือนก่อน

      Acha uzwazwa wewe, kwani hata hiyo nyumba iliwakosea nini? Watu wanatizama mali zinazomilimiwa na mpuuzi mbunge na si vinginevyo. Vita hainaga macho jamaa yangu.

    • @Zuu673
      @Zuu673 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน

    Mali za wizi. Ukitaka kutajirika Afrika jiunge na siasa. Ndiyo maana tunona viongozi wetu wamewasukuma watoto wawo kwenye siasa, ili watutawale vizazi na vizazi.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 หลายเดือนก่อน +10

    Chuki zitawaua mtazidi kuwa maskini. Mwenzenu atalipwa na bima atazidi kutajirika.

    • @RaelLeah-z4s
      @RaelLeah-z4s 3 หลายเดือนก่อน

      Bora amepoteza mengine hayatuhusu

    • @salamSalehhhhh
      @salamSalehhhhh 3 หลายเดือนก่อน

      Wana roho mbaya hawana adabu majobless

    • @faithstephen3690
      @faithstephen3690 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@salamSalehhhhh wee mbwa unabwekea nani shoga mkubwa majobless wakati ombaomba huku ni watanzania

    • @NardhisMhagama-sy3eq
      @NardhisMhagama-sy3eq 3 หลายเดือนก่อน

      Huna akili tena inatakiwa nayeye wange mchoma harafu alipwe na bima

    • @damagesinger8971
      @damagesinger8971 3 หลายเดือนก่อน

      Learn how to mind your own business what do you know about Kenya nonsense

  • @shikuhata
    @shikuhata 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hapa si mtafanya kazi ya kumsababisha achukue hela ambayo mwananchi angetakiwa akaitumie ili areplace mali zake?
    Tutashangilia tukiona ni jambo zuri ila litawaathiri wananchi.
    Acheni kujichukulia Sheria mkononi tafakarini kwanza kabla ya kutenda

  • @ParimeloNgarim
    @ParimeloNgarim 3 หลายเดือนก่อน +5

    Safi san wakenya sisi watanzania tunatesouwa tu huku kwetu watawala hawataki kutusikiliza sisi wana tuona kama hatuna akili wanatuwambia kam maisha magumuu tuwamia burundi daaa nimateso tupu

    • @terashangwe255
      @terashangwe255 3 หลายเดือนก่อน +2

      Acha kusifia ujinga haya mamuzi yanasababisha kupoteza watoto na ndugu kwaujumla siwezi kubariana na haya mamuzi mpaka nakufa MUNGU akitaka kukupa haki atakupa tu hata kwakuchelewa Acha tuendelee kuwa wajinga

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@terashangwe255uongo

    • @Hamisi8465
      @Hamisi8465 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@terashangwe255ujinga ni huu unaoufikiria wewe sasa Mungu yuko na yule anaeipambania haki yake

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika Mwenyezi Mungu habadilishi yale yalio kwawatu mpaka watu wenyewe wabadilike
      Hivyo tukitaka mambo yetu yaende vizuri basi kwanza sisi wenyewe tuanze kubadilika tuache husda chuki choyo rohombaya baina yetu.
      Unamkutia mtu anamlaumu mwenzake wakati yeye mwenyewe ndie mwalimu wachoyo naroho mbaya naye akipewa kinafasi anamega anakua mbinafsi sasa vipi tutafanikiwa wakati imani zimekua dhaifu?
      Yote hayo nikutokana nakutokua nakhofu ya Mungu ndio maana mtu anahisi ataishi milele kwakuchukua mali za umma nakudhulumu

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@terashangwe255ndio utawaona tuu wakaa vibarazani nikulaumu tuu serikali embu angalia waliokufa kenya yani ni familia duni bona hawajafa matajiri majitu yanajiendea km manyumbu

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aki wakenya ni waharibifu, mnachoma ndege kuku ,, hasira za kijinga

  • @samuelemmanuel3400
    @samuelemmanuel3400 3 หลายเดือนก่อน +9

    Huu ni wivu sasa😢

    • @ZainabuMrima
      @ZainabuMrima 3 หลายเดือนก่อน

      Wivu gani unaongelea

    • @damagesinger8971
      @damagesinger8971 3 หลายเดือนก่อน

      Do you really know how Kenyans are going through a lot b cause of this silly mps

    • @samuelemmanuel3400
      @samuelemmanuel3400 3 หลายเดือนก่อน

      @@damagesinger8971 does burning there houses and destroying properties solve issues?

    • @dubabaxakatv2993
      @dubabaxakatv2993 3 หลายเดือนก่อน

      Hii ni Mali ya umah.....tuliwatuma bungeni kuhongwa ama kutuwakilisha??mambo bado

  • @JaneChissawilo-dr7nn
    @JaneChissawilo-dr7nn 3 หลายเดือนก่อน

    Chanjo ya Korona imeharibu mawazo ya watu hii nguvu ya pamoja ya kufanya hivi bila kuchoka wamepata wapi??

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 3 หลายเดือนก่อน +28

    Kuku imeniuma wangechoma tuh moto nyumba

    • @AsungaSteven
      @AsungaSteven 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kuku hapo wanakosa gani

    • @husseinmassawa7186
      @husseinmassawa7186 3 หลายเดือนก่อน

      Bora wangewachukua wangeenda kula lakini sio kuwapiga kibiriti aisee

    • @tulinavemgeni210
      @tulinavemgeni210 3 หลายเดือนก่อน

      B​@@husseinmassawa7186
      Hata wangewafungulia waende popote

    • @faridhamad3678
      @faridhamad3678 3 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi kiukweli Kuku wameniuma sana😢 viumbe wa Allah hawakua na kosa Bora wangekula tu kuliko kuwatesa hivo.

    • @asinahussein2176
      @asinahussein2176 3 หลายเดือนก่อน

      Hata hy nyumba wanauhakika ni pesa ya serikali

  • @davidkiswaga4453
    @davidkiswaga4453 2 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wenzangu acheni kushadadia vitendo vya kiaharifu kwa kuwa kutenda jambo la kihain ni sawa na uhain hata kama ulikuwa na haki haki haitafutwi kwa kuchukua sheria mkononi hiyo ni dhambi ambayo kila apandaye uharifu ata ulipa sio picha nzuri kumtendea mwenzako uhain kama huu.

  • @Rukwembe7712
    @Rukwembe7712 3 หลายเดือนก่อน +3

    Me ninavyoona msimu ujao simba tunabeba ubingwa

    • @SofiaS-i5r
      @SofiaS-i5r 3 หลายเดือนก่อน

      😮😮🤣🤣🤣Ndoto za mchana

    • @MuhamedAjigar-dw9ve
      @MuhamedAjigar-dw9ve 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅 umeiona eeh tuachane na wakenya ❤ 🎉 wekundu wa msimbazi juuu zaidi

    • @MuhamedAjigar-dw9ve
      @MuhamedAjigar-dw9ve 3 หลายเดือนก่อน

      Nimefurahi sana maana mada wala aifanani yote kuipenda Simba yetu

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 3 หลายเดือนก่อน

    Dah so sad hao kuku wamekufa kwa mateso hawakustahili iyo adhabu tumehalalishiwa tule kuku ila so kuwaua kinyama ivo bora wangewafungulia tu waondoke zao kuliko kuwachoma ndani ya cage imeniumiza sn!

  • @nyokaapaschal5734
    @nyokaapaschal5734 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii Iko poa Sanaa kazi nzurii

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 3 หลายเดือนก่อน

    Mungekua Tanzania si mungekua vichaa uzuri Tanzania wote sisi ni ng'ombe yaani ktk afrika yote tz wajinga sanasana wakenye mmesibitisha nyie ni majembe hasaaa hamtaki mchezo

  • @rehemavenance3270
    @rehemavenance3270 3 หลายเดือนก่อน

    Actually ni hasira ya alichofanya huyo kiongozi coz wangeweza hata kuwaiba ila hawakupata muda watu hawana chakula then mtu mwenye ako na mali anataka apate zaid...ila hili funzo liwafikie viongoz wanaoona watu ni wajinga ipo siku watachoka tuu

  • @laurfredyadoniar5653
    @laurfredyadoniar5653 3 หลายเดือนก่อน +11

    Wanakoelekea nikutengeneza nchi masikini

    • @kingmsanya3524
      @kingmsanya3524 3 หลายเดือนก่อน +1

      Naungana na wew

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 3 หลายเดือนก่อน

      Njqq itqzidi

    • @riavlogstz
      @riavlogstz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yes maana hata watalii waliokua umo wameondoka fasta jkia airport ilikua imefurika

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@HanifaOman-oo4pl😂😂😂😂😂 haya na wew hanifa umetuandikia lugha gani au ndo woman wamekuchanganya

    • @edwardkasubi5135
      @edwardkasubi5135 3 หลายเดือนก่อน

      Pengine wewe hukusoma historia ya Dunia hii ,anza SA , USA , rudi kwenye mataifa mengine ya Africa wakati wa ukoloni kama HAKI iliombwa

  • @raphaelkorio2435
    @raphaelkorio2435 3 หลายเดือนก่อน

    Wabunge chukuweni hatua, mnaenda bungeni kutuwakilisha sisi wanainchi, tamaa za pesa wacheni kabisa kuna siku mtageukiana, Kenya Rais anapeleka mswada bungeni wanajadili alafu mnapitisha end then kikiumana anacancel mwisho wa siku mnatupiwa lawama utakuja kuwaeleza nn wananchi wako, wote walio pitisha bill hawana sifa tena kwa wananchi. Kumbukeni tumewatuma mtuwakilishe

  • @Msafirimakini
    @Msafirimakini 3 หลายเดือนก่อน +10

    Kenya watakuja kuingia vita ya wenyewe kwa wenyewe

    • @jumamajuu6185
      @jumamajuu6185 3 หลายเดือนก่อน

      We r united

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 หลายเดือนก่อน

      Saivi hawawezi kuingia vita ya wao Kwa woa,Kwa maana saivi makabila YOTE yameungana,hawana tena ukabila,shida yao ni uongozi wote WA serikali wasiotenda haki wapi kujinufaisha wao na familia zao.saivi hata siasa za ukabila hawataki tena.

    • @andrewemmanuel1861
      @andrewemmanuel1861 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa ss wameingiaa vita kal sanaa❤😅😢

    • @jeffmap4038
      @jeffmap4038 3 หลายเดือนก่อน

      hakuna vita ni uwoga tu.... east africa loading....

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@andrewemmanuel1861 hawana vita,ISIPOKUWA NI VIJANA WAMEAMUWA KUPAMBANA NA SERIKALI ILI WATEKELEZEWE MATAKWA YAO.HAWANA vita

  • @NuruJara
    @NuruJara 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kenya mara hii tumeupiga mwingi jamani wameuwa watu 240 askari huko gighurai mbona hawasemi na majeruhi mamia watoto wamekosea nn hii serikali

  • @misungwikids563
    @misungwikids563 3 หลายเดือนก่อน

    Siku ya kwanza 2 ya maandamano nilihis hili jambo lazma lije litokee...maana wa2 wamechoka na unafiki wa viongozi wao🤔

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa km hiyo ni nyumba yake ya shambani ya mjini ikoje? Wakenya safi Sana furusheni hao wanufaisha matumbo

  • @AsaphAroko
    @AsaphAroko 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani hii yote ni nyumba ya mtu? Duu, alafu bado anataka ushuru upande kwa watu wadogo. Kweli kila moja atalipwa hapa hapa Duniani

  • @Mpendahaki
    @Mpendahaki 2 หลายเดือนก่อน

    Kodi za wananchi alizojinufaisha kuzitumia peke yake zimerudi kwa wananchi

  • @IsmailiAyubu
    @IsmailiAyubu 3 หลายเดือนก่อน

    Nimejaribu kusoma komenti wenye hofu ya mungu niwachache sana cjapenda

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hao kuku waliwafanya nn hata muwachome moto acheni ujinga mnajitafutia ufukara

    • @lizmwale
      @lizmwale 3 หลายเดือนก่อน

      Wacha ujinga,,Na zile vifaranga za Kenya magufuli alichoma nilikuwa zimemfanyia nini?!! Think before you lip, Kenya we are not poor, if you don't have nothing to say keep quiet.or we come to you now .

    • @stevenchami26
      @stevenchami26 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@lizmwale😂😂😂kumeanza kuchangamka

    • @timetravellor5367
      @timetravellor5367 3 หลายเดือนก่อน

      @@lizmwale kuiga makosa ni upungufu wa akili yaani nyie mnasumbuliwa na njaa alafu mnachoma Chakula ukapimwe akili😂😂

    • @lizmwale
      @lizmwale 3 หลายเดือนก่อน

      @@timetravellor5367 don't be stupid who ask you food from Kenya surely,in Tanzania you are not safe maker my words.

    • @lizmwale
      @lizmwale 3 หลายเดือนก่อน

      @@timetravellor5367 please try to write English you Tanzania idiot,. Kenya is Africa and Africa is in Kenya so don't call Kenyan stupid and we carry you in our back

  • @KamiliyaHamis
    @KamiliyaHamis 3 หลายเดือนก่อน

    Mbunge tu awe billionaire unadhani watafanyaje kama sio hivi wao wanakula tu pesa kujinufaisha wao na familia zao

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 3 หลายเดือนก่อน +4

    I love tz my mother country idont have other nation

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 3 หลายเดือนก่อน

    kwani nabii suleymani mbona alikuwa tajiri alimwibia nani cc maskini mtu akijiongeza mwizi ni wivu tu mapaka dunia inakwisha maskini watakuwepo ktk nchi zote duniani ata enzi za yesu palikuwa na omba omba kwani mashamba hayakuwepo wamekwenda kuwaua viumbe bila uruma ndio nn sasa

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 3 หลายเดือนก่อน

    Hata kama jamaa amefanya makosa kama haya ila kuuwa wanyama na mifugo kwa kuchoma moto huyo ni ukatili mkubwa saana
    Sijapendezwa na hilo bro wangeiba tu wakaenda na hao mifugo kuliko kuwachoma