Waziri Mkuu Akoshwa na Mbio za Great Ruaha Marathon Iringa | Kujenga Afya na Kuhamasisha Utalii

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefurahishwa na Mbio za Great Ruaha Marathon zilizofanyika Julai 06, 2024 katika hifadhi ya taifa ya Ruaha iliyopo tarafa ya Idodi wilaya ya Iringa mkoani Iringa.
    Majaliwa ameeleza Umuhimu wa Mbio kama sehemu ya michezo na faida zake katika kujenga afya ya mwili lakini pia umuhimu wa mbio hizo ikiwa ni sehemu ya kukuza na kuhamasisha utalii nchini.
    Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
    Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
    Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
    #FocusDigitoTV
    ..................
    Tufuatilie Zaidi kupitia:
    INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
    Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
    Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
    We Love You | Tunakupenda
    Regards
    Team FocusDigitoTV

ความคิดเห็น •