Kwa nini vijana wa Iringa wisijishughulishe na Kilimo?! Iringa mmejaliwa ardhi nzuri, mnaweza kujiajiri wenyewe na kuwa matajiri! Msipoteze muda kutafuta kazi Serikalini! 1. Hamtazipata hizo kazi kwa sababu hakuna Serikali duniani inayoweza kuajiri Watu wote. 2. Hata mkipata hamtaweza kuwa matajiri! Mtaweza tu kukidhi mahitaji yenu, lakini hamtatajirika kwa mshahara wa Serikali tu! Nendeni kwenye Kilimo na biashara zake, bila shaka mtakuwa matajiri!!!
Asante Mkuu kwa maelezo yako mazuri! Ni kweli Mlima Kitonga ni fursa nzuri ya Utalii! Cable car, mahoteli,... lakini haitatosha! Lazima kuwe na mkakati wa kujenga vizuri mji wa Ilula, maduka na soko lenye hadhi!
hongereni kwa makala poa sana
Safi sana
Waoo ilula kwetu jmn
CHICLAYO PERU 🇵🇪 🤝 TANZANIA 🇹🇿
Wengi hawajui maana ya Ilula‼️ inamana cha kwanza sio cha mwisho ...
Hapo. Duh hapn kwa kweli. Nikwetu lkn mmh
Utajua hujui
Tatizo uuhavi ipo palula uchawi hapo hatari
Hukaye
Kwa nini vijana wa Iringa wisijishughulishe na Kilimo?! Iringa mmejaliwa ardhi nzuri, mnaweza kujiajiri wenyewe na kuwa matajiri! Msipoteze muda kutafuta kazi Serikalini! 1. Hamtazipata hizo kazi kwa sababu hakuna Serikali duniani inayoweza kuajiri Watu wote. 2. Hata mkipata hamtaweza kuwa matajiri! Mtaweza tu kukidhi mahitaji yenu, lakini hamtatajirika kwa mshahara wa Serikali tu! Nendeni kwenye Kilimo na biashara zake, bila shaka mtakuwa matajiri!!!
Asante Mkuu kwa maelezo yako mazuri! Ni kweli Mlima Kitonga ni fursa nzuri ya Utalii! Cable car, mahoteli,... lakini haitatosha! Lazima kuwe na mkakati wa kujenga vizuri mji wa Ilula, maduka na soko lenye hadhi!
Twiwilage be
Nmemuona mbabe wa xauli bus uyo n Gordon dear bus
Chetu ni chetu
Kukaye nye ndiliwene ilibasi la kwimange
Napajua apo mtua juzijuzi nilipita hapo
Karibu ilula