"NILIFUNGWA MIAKA 30 BILA KOSA, NIKAPATA KISUKARI, RAFIKI ALINIPONZA" | TESTIMONY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • "NILIFUNGWA MIAKA 30 BILA KOSA, NIKAPATA KISUKARI, RAFIKI ALINIPONZA" | TESTIMONY
    Ushuhuda wa kijana aliyehukumiwa miaka 30 jela kutokana na makosa ya rafiki yake na baadaye kutoka kwa ruhusa ya Rais John Magufuli.
    Ushuhuda wake unamafunzo mengi hasa kutokukata tamaa katika safari ya maisha.
    UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
    (+255 784 888982)
    (+255 676 229628)
    Email: globaltvbest@gmail.com
    abbymrisho@gmail.com
    HABARI MPYA DAILY:
    bit.ly/habarimpya
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    bit.ly/mikasa_y...
    GLOBAL RADIO TV:
    bit.ly/255globa...
    EXCLUSIVE INTERVIEW:
    bit.ly/exclusiv...
    Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania

ความคิดเห็น • 23

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 4 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo ndio nchi yetu ilivyokua, uonevu mpk basi, kwa ss tumshukuru Mungu mzee baba yuko makini Muheshimiwa wetu mr Magu💪

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 4 ปีที่แล้ว +5

    Simnge weka hata mawasiliano yake ili hata tumchangue kidogo za dawa na hata biashara kidogo😞

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 ปีที่แล้ว +1

    Daaa🙆jera kwakwer Uskiye Tu 😭pole Sanaa kaka Angu kwachangamoto 🔥Mungu Atakupigania🙆

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว +1

    Maskeen pole sana kaka yangu Mungu Mkuu

  • @raphaelenoc6965
    @raphaelenoc6965 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 ปีที่แล้ว

    Pole Allah akufanyie wepesi

  • @mwajumakweli7931
    @mwajumakweli7931 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kaka

    • @fiacredady1107
      @fiacredady1107 4 ปีที่แล้ว

      Kaka pole sana serekali ikulipe tu.hahna hatya.

  • @nomatter1239
    @nomatter1239 4 ปีที่แล้ว +1

    Inauma snnn

  • @kanjunjujhone5481
    @kanjunjujhone5481 4 ปีที่แล้ว

    Pole kaka Allah atakulipaa kwa kila jambo

  • @wenge4x423
    @wenge4x423 4 ปีที่แล้ว +1

    mtihani mkubwa sana

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana sjahawahi kuona😥 mwenye haki ameachwa na MUNGU🙏

    • @ااجج-ط5د
      @ااجج-ط5د 4 ปีที่แล้ว

      ⁰ppĺ⁰⁰⁰ said ĺ⁰⁰l⁰⁰0⁰lpl0p⁰pp0l0

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 4 ปีที่แล้ว

    Wamekudhulumu na mungu atawahukumu wote walokudhulumu

  • @zaramunir8238
    @zaramunir8238 4 ปีที่แล้ว +1

    Sooo sad 😔 😭yani inauma sana kwakweli angekuwa ulaya asingefungwa hivo na wangemlipa muda wake wote aliopotezea jela pour africa pole sana

  • @hekimasanga3952
    @hekimasanga3952 4 ปีที่แล้ว

    Mtihani mkubwa sana 😢😢😢

  • @himoda7647
    @himoda7647 ปีที่แล้ว

    Sass apo mmemsaidia nn angeyoa namba ya Simu

  • @remigiuskomba639
    @remigiuskomba639 ปีที่แล้ว

    Dunia hii dah!

  • @mwajumakweli7931
    @mwajumakweli7931 4 ปีที่แล้ว +1

    Ad nimetokwa na machozi

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 4 ปีที่แล้ว

    Ulizaliwa 1976 kwa hiyo ulifungwa na miaka 14 kama ulifungwa miaka 30 Sasa unassmaje ulipofika miaka 20 ukaanza biashara?

  • @saidybhokey5744
    @saidybhokey5744 ปีที่แล้ว

    tanzania sheria mbovu uchunguzu wa police mbovu

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 ปีที่แล้ว

    Tanzania hii...huna hela u can't survive..keai ya kijinga namna hii auntakuwa mzalendo kwel na nchi hii??