ALIYEKAA JELA MIAKA 9 KISA MAUAJI APATA GHETO “SIMUAZIMI TENA GHETO RAFIKI, ASANTE MLIONICHANGIA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 268

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 2 ปีที่แล้ว +31

    Huyo kaka very humble mashaallah mungu asimame nae ipo siku haya maisha yatabaki storia namuona ni kijana mtaratibu na mwenye kujitambua pia wanamziki kupitia hii story ya huyu kaka wanaweza kutoa kazi nzuri itakayoelimisha jamii
    Allah amlinde na amfungulie milango ya rizki

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 2 ปีที่แล้ว +2

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 2 ปีที่แล้ว +23

    Watanzania MUNGU awabariki sana, huwa tuna moyo wa kipekee sana

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 ปีที่แล้ว +37

    Kuwa makini na hao wanaokuita muonane wengine wazur wengine wabaya,wasije wakakutoa roho selemani aliyehojiwa maximum Tv 👏👏👏

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 2 ปีที่แล้ว

      Kaabisaa yaanii yule kaka walimuua watu wenye rohi mbaya ni wengi

    • @asmhatanzania8697
      @asmhatanzania8697 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwani selemani aliuawa jamani?

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 2 ปีที่แล้ว

      @@asmhatanzania8697 Suleiman aliuawa ndugu tena na watu wasiojulikana.

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 2 ปีที่แล้ว +1

      Suleiman nae badae alikuja kubadilika kama unakumbuka mara katembea na mke wa mtu mara hivi mara vile apumzike salama huko alipo

    • @zainabubalama8869
      @zainabubalama8869 2 ปีที่แล้ว

      @@asmhatanzania8697 Aliuwawa huko kibaha walimkatakata mapanga vibaya mno

  • @NewGenerationProductions
    @NewGenerationProductions 2 ปีที่แล้ว +14

    Jamaa yuko vizuri sana ayo tv nashauri jamaa atafutiwe mwalimu walau amfundishe kusoma na Kuandika aweze kuwa Bora zaidi na kuweka mikakati yake vizuri

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว +24

    Alhamdulilah nimefurahi sanaa ! Mwenyezi Mungu awazidishie wote walio msaidia uyu kaka .

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 ปีที่แล้ว +29

    Baadhi ya nchi za kiarab kuwa makini mpendwa,halafu uwe makini na watu wanao kupigia simu uonane nao sio kila mja ana kher kuna baadhi watu watatumia advantage ya wewe hujui kusoma na kuandika wakakuingiza tena kwenye matatizo uwe makini na mungu atakulinda inshallah 🤲🙏

  • @iconluyo4373
    @iconluyo4373 2 ปีที่แล้ว +32

    Katoka magereza lakini USO una nuru ya bwana kapendeza kweli

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว +1

      Yes sikiliza story yake utajua kwann ananuru hivyo...

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 2 ปีที่แล้ว

      Mchamungu

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 ปีที่แล้ว +15

    Asante kwa mrejesho jaman huyu kaka nampenda sana, story yake iliniskitisha sana

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 2 ปีที่แล้ว

      Sana

    • @saidrajabu635
      @saidrajabu635 2 ปีที่แล้ว +2

      Mcheki inbox mnaweza kuelewana na mambo yakawa bambam

    • @doricecyprian7246
      @doricecyprian7246 2 ปีที่แล้ว

      @@saidrajabu635 😂😂😂

    • @berthamghanga1093
      @berthamghanga1093 2 ปีที่แล้ว

      @@saidrajabu635 jamani yamekuwa hayo tena😂😂😂

  • @kebekebee
    @kebekebee 2 ปีที่แล้ว +5

    Najivunia Utanzania na Mungu awabariki wote wenye moyo wa kusaidia watu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +8

    Hallelujah hallelujah YESU AHSANTE kwa kijana huyu 😘pambana mwamba 😓

  • @DenisMatontu-wf5xz
    @DenisMatontu-wf5xz ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana bwana Tumaini kwa kupata makao mapya na Mungu awabariki wale wote waliokusaidia kwa namna moja au nyingine.. Mungu huwainua watu kwa njia mbalimbali

  • @aaSs-yf8oq
    @aaSs-yf8oq 2 ปีที่แล้ว +6

    Kaka hongera sana ila naomba umtafute Mungu kwa bidii ndo utafanikiwa zaidi

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana , Mwenyezi Mungu awabariki sana sana wale wote waliojitolea kuchangia ALLAH akufanyie wepesi

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah watz tuna moyo sn wa kusaidiana mdogo angu mungu akupe umri / afya njema malengo yako yatimie pia angalia sn sn ktk hii dunia kuna matapeli wanawake / wanaume pia kuwa makini kwa kipind hiki

  • @fatmahamad6177
    @fatmahamad6177 2 ปีที่แล้ว +3

    So far jamaa akajua viti bwana Ila mashallah yupo vizuri kaka jitunze we handsome sana

  • @sifandayisaba9360
    @sifandayisaba9360 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ushauri wangu ungerudi tena kariakoo haimtupi mtu kauze hata viatu mtaa wa kongo kuna flusa nyingi sana matunda yatakuchelewesha sana kaka yangu

  • @RASHIDMPUMU
    @RASHIDMPUMU 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli watanzania tunaupendo sana jamaa kapata faraja kubwa Mungu kwa atasaidie. Mwenyezi Mungu wazidishie kipato hao waja wako waliojitolea kumsaidia

  • @aminaamina-xj6qs
    @aminaamina-xj6qs 2 ปีที่แล้ว +6

    Nyie huyu kaka mzur jmn Allah akufanyie wepes kila hatua babe 😘❤️

    • @vivianavivy3656
      @vivianavivy3656 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aminaaa

    • @aminakawawa5800
      @aminakawawa5800 2 ปีที่แล้ว

      Wajina 🤣🤣🤣

    • @aminakawawa5800
      @aminakawawa5800 2 ปีที่แล้ว

      Inshallah 🤲🤲

    • @aminaamina-xj6qs
      @aminaamina-xj6qs 2 ปีที่แล้ว

      @@vivianavivy3656 🤣🤣🤣🤣🤣acha niseme ukweli tyu🙈

    • @aminaamina-xj6qs
      @aminaamina-xj6qs 2 ปีที่แล้ว +1

      @@aminakawawa5800 🤣🤣🤣🤣🤣 wajinah nime shindw kujizuia bhn🙈

  • @mercynelima4241
    @mercynelima4241 2 ปีที่แล้ว +9

    Humanity always wins🙏🙏

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 ปีที่แล้ว +10

    Mashaaallah hongera sana

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 ปีที่แล้ว +1

    mashaAllah mashaAllah mungu atatuvusha inshaAllah na atakufanyia wepesi inshaAllah,mungu mpatie huyu Kaka mke wa kheri kwake asije pata wakumpa stress za moyo usahau huko ulikotoka🥰 asaiv tafuta mtu akusaidie kusoma na kuandika ni rahisi Sana .ninaimani utaweza inshaAllah

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu wetu ni mwema sana huyu kaka anabusara Sana jmn Mungu akurinde

  • @hidayamakuka7876
    @hidayamakuka7876 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akufungulie milango yako ya ridhiki yotee kaka pambana

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 2 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania wana upendo na moyo wa kusaidia jamani ,Mungu awabariki mnooo,mnafanya jambo jema sana kuwasaidia na kuwainua wenye huitaji.

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi umeona VP kuvua viatu mwenzio kasafisha.. Hongeren milady ayo kufanikisha msaada.

  • @HappynessDamian
    @HappynessDamian 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka Sina chakukupa mungu akupe wepesi naomba kuunganishwa namirdayo

  • @NdabinengesereNadine
    @NdabinengesereNadine ปีที่แล้ว

    Jamani Kamdada kalicoment Kuwa Uyu kaka nimuongo,Eti Sijuwi amemtelekeza Mke Na watoto,Ila kimuono wangu Naona kaka Yuko sahihi kabisaaa, Mungu Bado yuko nawew

  • @aminasuleiman8120
    @aminasuleiman8120 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akujaarie Kila kher kakaangu una busara sana pia umpolee mnoo kua makin na waja!

  • @berthamghanga1093
    @berthamghanga1093 2 ปีที่แล้ว +5

    Jaribu lako ndio mlango wako wa kutokea,Mungu ni mwema sana

  • @anonymouse3993
    @anonymouse3993 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe shukru walio guswa na maisha yako aachana na samia

  • @ruthjohn4317
    @ruthjohn4317 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamn Mungu awabariki san waTanzania kwa moyo wa upendo jmn

  • @fakiikibakola1300
    @fakiikibakola1300 2 ปีที่แล้ว +9

    OYA.NIAZIME GETO LAKO MWANANGU SNA NAKUJA NA DEMU WNGU HPO LEO. USIKU

  • @ilungasalle
    @ilungasalle 2 ปีที่แล้ว +9

    Matapeli huwa hawaangalii shida za mtu wanaetaka kukwangua, kuwa makini vibaya mno utakuja kulia vibaya mno binadamu siyo wema kabisa hao wanaojidai wanataka mshirikiane kibiashara ujue wameona jinsi ulivyo mkweli na muwazi atakuja kujichomeka akupukutishe

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka milada Ayo mtafutie mwalim hata mwezi moja tu atakuwa ameweza kusoma na kuandiki ataweza kwa,uwezo wamungu inshaAllah

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 ปีที่แล้ว

    Milado mumsaidie apate mwali wa kusome ili afike mbele ili apate kazi nzuri kwa sababu ili aweze kusoma hata barua

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah mashaallah allah awape kher kwa wote mloomchangia

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 2 ปีที่แล้ว +4

    hakika Mungu ni mwema umekuwa na amani na uhuru wa nafsi kwa vile kwanza umeikubali hali na ukawa hru kufunguka otherwise ungejificha ungekuwa mnyonge sana, Mungu akusaidie

  • @mamakekhubeiby4206
    @mamakekhubeiby4206 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimefurahi sanaaaa Allah azidi kukubariki kakangu

  • @neemapeter3880
    @neemapeter3880 2 ปีที่แล้ว +5

    Nampenda jaman huyu kaka mtu anipe number yake Mimi n Kenya nafanya kazi Dubai

    • @aselina5862
      @aselina5862 2 ปีที่แล้ว +1

      Angalia intavuu yake ya mwanzo kuna namba walitoa kwa ajili kumsapoti kwa chochote

  • @hadijahadija4699
    @hadijahadija4699 2 ปีที่แล้ว +1

    dada.wakimarekani.mwenyezi.mungu.akubariki.sana.nawote.mulio.musaidi

  • @zahramohammed2337
    @zahramohammed2337 2 ปีที่แล้ว +4

    Kazuri mashaallah yupo Kam kapemba fulan mix ya mtanga 😘😘😘

  • @elmanichombe7198
    @elmanichombe7198 2 ปีที่แล้ว

    Pole kijana mungu ni mwema hongera kwa busara zako kijana

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣Jamn tushakuwa majini 🤣🤣🤣🤣🤣🔥💖Mashaallah. mung niwema

  • @bernadetampoloto2476
    @bernadetampoloto2476 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akufanyie uwepes katk safari yko

  • @zainabmbarak1043
    @zainabmbarak1043 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah mungu amjaalie anajielewa

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 2 ปีที่แล้ว +3

    Wale wote mliotoa MUNGU awabariki pambana kaka achana na hao wanaokuita ukaishi Nyumbani kwao.

  • @aminaamina-xj6qs
    @aminaamina-xj6qs 2 ปีที่แล้ว +2

    Ooooh babe kuwa makini na hao wanao kupigia sm wasije kufanyia unyama ❤️

    • @naimanuran2663
      @naimanuran2663 2 ปีที่แล้ว

      😆😆😆🤦🏻‍♂️

    • @aminaamina-xj6qs
      @aminaamina-xj6qs 2 ปีที่แล้ว

      @@naimanuran2663 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 ปีที่แล้ว

    Watanzani wote mliojitolea kumsa8dia huyu kijana na walio nje mungu awape roho za imani na awaz8dishie pale palipopungua na awape zaidi ya hapo

  • @arnoldlusambo3921
    @arnoldlusambo3921 2 ปีที่แล้ว +4

    mungu ni mwema nimefarijika sana baada ya kuona huy jamaa amepata chumba cha kuishi mungu amsimamie na awabariki waliomsaidia

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mkubwa na umoja ni nguvu😍😍

  • @stellah3844
    @stellah3844 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akujaarie uje kua tajir ili usaidie na wengne inshallah🙏

  • @asiaoman3040
    @asiaoman3040 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Allah akufanyie wepesi InshaAllah

  • @mwana4599
    @mwana4599 2 ปีที่แล้ว

    Woooow. Hingerah watanzania. Hingerah wachangiaji.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereen watz kua wamoja

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema kijana wangu kapata msaada amina

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakufikisha mbali kaka ishi kwenye uasiliawako

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 5 หลายเดือนก่อน

    Mm nakushauri umeshapata pesa panga chumba lakini achana na mitandao mshukulu Mungu

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana, jitahidi kuwa makini sana

  • @MartinKasiga
    @MartinKasiga 9 หลายเดือนก่อน

    Very talented

  • @DM_15
    @DM_15 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwabongo ilivyo sikusinyingi anatongozwa huyu .atatokea mdada wakujifanya anampenda

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyo Dada wa marekani anaitwa Mange Kimambi

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 2 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 2 ปีที่แล้ว

      Mange🤣

    • @VANPAUL77
      @VANPAUL77 10 หลายเดือนก่อน

      Umbea tu lione 😅😅😅😅😅😅

  • @jemedarikalimasi5754
    @jemedarikalimasi5754 2 ปีที่แล้ว

    Wote mliomchangia huyu mwamba mungu awabariki na kuwazidishia

  • @lilianiambokile6400
    @lilianiambokile6400 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabaliki waliotoa

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Tumaini mungu mwema.

  • @isunga1964
    @isunga1964 2 ปีที่แล้ว +4

    Dubai kaka yangu akukikishie kuna kazi maana watu wanarudishwa kwenda nyumbani pamabana na mungu akufanyie wepesi katika maisha yako na kuwa makini sana na watu kaka yetu Seleman tumempoteza kwa watu wachache wenye wivu na kuondoa uhai wake alihojiwa na Maxmamu

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      ni kweli kabisa yule Selemani jaman 😢😢😢

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 2 ปีที่แล้ว

      Ndio walimuua😭😭

  • @freyzoo124
    @freyzoo124 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki jamaa yangu

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว

    Aaah wewe kijana unastahili kupewa sifa una akili sana mungu akuhifadhi inshaallah, Amin 🤲🤲

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah sasa neda hospitar

  • @streetconatv100k
    @streetconatv100k 2 ปีที่แล้ว +3

    Ni mkweli sana huyu bro mungu mkubwa atanisaidia

  • @daud405
    @daud405 2 ปีที่แล้ว +2

    uwe makini sana ndugu yangu.kuna hao wanaokupigia nchi za nje.sikuhizi wanauza nyama za watu . uwe makini san

  • @mpalazotz7753
    @mpalazotz7753 2 ปีที่แล้ว +5

    Inahuzunisha Sana Allah amfanyie wepes kijana huyu

  • @لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه

    Usikate tamaa kaka ipo sk utasahau yote hayo ndo changamoto za maisha

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akufanyie wepesi ktk kila jambo lako

  • @annamdem8273
    @annamdem8273 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema awazidishe kila mmoja alietoa apokee zaidi

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweri Africa Wanaupendo Sana Tungeunga hata gadafi Wa singe muua

  • @hellyfridy
    @hellyfridy 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema mda wote

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuzini kubaya huwa nawaza siku baby wangu akifia room itakuwaje alaf hotel nje ina camera hata ukikimbia utadakwa😭😭😭😭😭

  • @hawaamohammed6687
    @hawaamohammed6687 2 ปีที่แล้ว +2

    Usiende nchi yanchi kunachangamoto nyingi ht hao wenje wanakusaidia niwema lkn wengine wabaya fuatilia kisa Cha mchungaji kipindi ripoti yaleo

  • @saidomary6414
    @saidomary6414 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @hadijagumbo4769
    @hadijagumbo4769 2 ปีที่แล้ว +1

    Naijua hiyooooooo

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว +3

    Jiepushe na starehe fata ndoto zako utafika mbali sana

  • @pendocharles2276
    @pendocharles2276 2 ปีที่แล้ว

    Weka namba yake tuchangie

  • @margrethamsechu7088
    @margrethamsechu7088 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba amtunze awe makini na pesa ataobiwa qepuke simu za kuitwa awe makini kabisa

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 5 หลายเดือนก่อน

    Dah kwanini hamjampeleleka shule😢😢

  • @himoda7647
    @himoda7647 2 ปีที่แล้ว

    Asantni Sana kwa wale wote mlioludisha fraha ya Uyu Kaka

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว +1

    Ongeraa

  • @sosthenesjairo7995
    @sosthenesjairo7995 2 ปีที่แล้ว +2

    Oya Mzee huyu jama namkubali kinyama yani yukosilias yani ata serikali ingemfanyia mchakato ata wa kazi yani katoboa kama....mandonga m2 kazi

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 2 ปีที่แล้ว +3

    Kaka angu ingia maxmam TV uone kilichomkuta selemani alivotoka jela had kufa humu watu wengine wabaya wanamajaribu kuwa makini na wanawake wa nje watakutongoxa kataaa

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbezi pazuri jmn eeh 😘

    • @saidomary6414
      @saidomary6414 2 ปีที่แล้ว

      Tumshumkuru mumgu kwa kila jambo

  • @nabirabakary4209
    @nabirabakary4209 2 ปีที่แล้ว +2

    Maskin mkaka mzuri sana na busara kajaaliwa

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +1

    Biashara ya juice na matunda ni nzuri sana km utapata eneo nzuri

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 ปีที่แล้ว

    12:08 subir mtangazaji nicheke kdgo

  • @ibra_muddy
    @ibra_muddy 2 ปีที่แล้ว

    Millard Ayo mie nahisi mungempatia kazi apo ofisini ya kuanzia ili aweze kukuwa kiakili na kuweza kusave pesa aliokuwa nazo.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว +1

    Iyo namba ya mchango mngeiweka hapa ili tutoe tulicho jaliwa.

  • @juliuskidoto791
    @juliuskidoto791 2 ปีที่แล้ว

    Kijana una Akili saana ungesoma angalau kidogo ungefika mbali sana

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +3

    Maashallah Alah awajalie walio Changi a woote kulala heri

  • @mgucci896
    @mgucci896 2 ปีที่แล้ว

    Beka love jmaa tapel hyo

  • @juliuskidoto791
    @juliuskidoto791 2 ปีที่แล้ว +1

    Kijana soma angalau kidogo A to Z nakuomba usipuuze Kwa Hilo tafuta mwalimu Kwa ghalama yeyote upate elimu angalau ujue kusoma na kuandika KK utaona faida yake

  • @babalad983
    @babalad983 2 ปีที่แล้ว

    Mungu was mbariki nimemkubali huyu jamaa

  • @ladymunahmunah5153
    @ladymunahmunah5153 2 ปีที่แล้ว +7

    Handsome Masha-allah 💕❤💖♥