MAOMBI YA SAA KUMI USIKU-Pastor Myamba
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ธ.ค. 2021
- #HOUSEOFVICTORYCHURCH #PASTORMYAMBA #LIVEHVCSERVICE
This is the Official TH-cam Channel for Pastor Emmanuel Myamba. Is a Pastor of the HOUSE OF VICTORY CHURCH , This church is Headquartered in Kigamboni-Mbutu (Dar es salaam) Tanzania
-----------------------
For Offerings / Tithe and Seeds please send through Western Union / Money Gram / RIA and M-PESA: NETWORK: Vodacom, NUMBER: +255 744 982 517, NAME: Emmanuel Myamba, COUNTRY: Tanzania
-----------------------
Follow Us:
Instagram: / pastormyamba
Facebook: / pastor-myamba-12973112...
TH-cam: / pastormyamba
Call: +255 744 982 517,+255 713 842 123,+255 686 953 030 - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Maadui zangu wote wapigwe upofu kwa Jina la Yesu kristo ameen
Asante sana mtumishi MUNGU wetu azidi kukutia guvu.
ubarikie baba MUNGU awatie guvu mtumishi wa bwana
AMEEN naomba MUNGU adui zangu wote Leo wapoke upofu wa milele
Upofu upingwe Kwa madui wangu wote baraka zangu zifukuke Kwa jina la yesu christo
Amen barikiwa Sana mtumishi kwa maombi haya Asante
Asante mutumishi wa Mungu kututiya nguvu.
unarikiwe mutumishi wa mungu kwa maombi
Amen 🙏 mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
Kils adui yangu, na watoto wangu, na ndoa, na ndungu apigwe upofu kwa Jina la Yesu
Mungu'wako'anione'saiyi'ninà'miaka,mine,kizazi,kiko,inje,mungu,wako,akirudishe,ndani,ya,tumbo
Haya maombi niyangu😭😭😭Eee mungu baba niondoleye kahaba wa mume wangu ndoa wangu nampiga upofu kwa jina la yesu kupitiya maombi haya nachanganya lugha yawo IJN
Amen , barikiwa Sana mtumishi
Amen mtumishi wa Mungu
Kila adui zangu nawapiga upofu katika jina la yesu
Amina ninaimani imeshakuwa barikiwe sana
Thank you .Barikiwa sana. Praise to Jesus.
Asante mchungaji maombi unayofanya usiku nimepata uponyaji wa miguu
Amina, Amina, Amina
Amen barikiwa sana Mtumishi.
Asante sana mtumishi
Amina,barikiwa Sana mtumishi
Uniombeye,yesu,aniponye
Amen amen amen pastor pray for my family mm nko saudi Arabia
Napokea maombi haya naushuhuda wakahaba kwenye ndoa, kahaba apigwe upofu kwa jina la Yesu.
Amina 🙏🙏🙏
Ameen tumepokea
Amen ubarikiwe
Naomba mdogo wangu apone halo wodini alipo
AMEN (Juliet Francis Madrina)
Asnt sana muchungaji
Amen pastor
Naamini sana katika maombi ,maana MUNGU aliko nitoa Kuna muda natafakari sipati majibu
Amen
Amen 🙏
Ameni
Ameen Mungu akubariki kwa maombi haya kila adui yangu akapigwe upofu kwa jina la YESU
Najiunganisha na maombi haya naomba urejesho wa mahusiano na mawasiliano yangu ameen
Amen Amen
AMEN AMEN 🙏
Hallelujah,napiga upofu adui wangu wote adui wa ndoa yangu nawapiga upofu
Naomba maombi katika maisha yangu ki kazi na watoto wangu na jamii yangu kwa jumla kabla sija lala mpaka ni pate maombi ndio ni lale mchungaji mungu akubariki na usiku mwema
Powerful God barikiwa Sana mtumishi
Amen mtumishi🙏
Maadui zangu wapingwe upofu wasinione
AMEN AMEN 🙏
Kwa viumbe vyote
Powerful God
Asante mtumishi mungu akutie nguvu katika kulitangaza neno la uzima nami nimebarikiwa Sana namaombi ya usiku na mkono wa bwana nimeuona
Anaye piga ndoa yangu nampiga upofu,, Kwa damu ya yesu
Amen pasta
Amen
Amen🙏
Amen
Amen 🙏