MAOMBI YA SAA KUMI USIKU-PASTOR MYAMBA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2022
- #HOUSEOFVICTORYCHURCH #PASTORMYAMBA #LIVEHVCSERVICE
This is the Official TH-cam Channel for Pastor Emmanuel Myamba. Is a Pastor of the HOUSE OF VICTORY CHURCH , This church is Headquartered in Kigamboni-Mbutu (Dar es salaam) Tanzania
-----------------------
For Offerings / Tithe and Seeds please send through Western Union / Money Gram / RIA and M-PESA: NETWORK: Vodacom, NUMBER: +255 744 982 517, NAME: Emmanuel Myamba, COUNTRY: Tanzania
-----------------------
Follow Us:
Instagram: / pastormyamba
Facebook: / pastor-myamba-12973112...
TH-cam: / pastormyamba
Call: +255 744 982 517,+255 713 842 123,+255 686 953 030
Asante mtumishi batilisha aibu na kufedheheshwa. Ili adui asifurahie Asante mtumishi
Asante Mungu kwa kufuta aibu naomba niondolee aibu na kufedheshwa na kila adui anayetaka niaibike nabatilisha leo kwa Jina la Yesu ameen
Amina naomba mungu aniondolee aibu kwa ndoa nimekuwa kicheko kwa wengi sana adui alipanda magugu kwa ndoa yangu ikasambaratika nimuondoa kwa jina la yesu kristo
Amina mtumishi umenigusa
Amen
Thank you so much pastor your my favourite, your prayers keeps me safe here in the desert 🏜 of the black women of sorrows 😢😭😭Saudi Arabia pastor asante sana Mungu akubariki sana
Ameen
Amina mtumishi ubarikiwe mno mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu 🙏🙏🙏🙏
Amina Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana asubuhi ya Leo Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu
Amen
Pastor
Maombi ya leo yamenigusa muchungaji asante sana na kwahidi siku tapata tatowa sadaka kwasasa sina kitu lakini nikipata tatowa zidi kutuombeya na mungu akubaliki
Amen
Amen