NABII MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KWA WATOTO, AWABARIKI NA KUWASAIDIA FEDHA - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2022
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 102

  • @michaelmoro4801
    @michaelmoro4801 ปีที่แล้ว

    unanibariki sana Baba Yangu Nabii Mkuu naomba Mungu wako anipe moyo kama wako wa utoaji Na Mungu akubariki sana

  • @meikoking
    @meikoking ปีที่แล้ว +2

    Baba Ni Baba tu ana moyo wake wa kipekee Mungu akupe maisha marefu Nabii Mkuu Dkt GeorDavie

  • @josephlameck1916
    @josephlameck1916 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukubariki sana Nabii Mkuu Mungu azidi kukupa Miaka mingi sana ya kuzidi kuwasaidia watanzania na Dunia kiujumla

  • @giftmwamba601
    @giftmwamba601 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ndie nabii mkuu wa Mungu hakika ni mfano wa kuigwa Mungu azidi kukuinua siku zote za maisha yako

  • @pastorjoshuajuma.2601
    @pastorjoshuajuma.2601 ปีที่แล้ว +3

    Binafisi nakuombea Mungu akupe maisha marefu na baraka tele 🙏

  • @godfreypeter4630
    @godfreypeter4630 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Nabii mkuu,aendelee kukutunza huyu Mungu aliyeziumba mbingu na nchi.

  • @Nimubonaegide-hd7iw
    @Nimubonaegide-hd7iw ปีที่แล้ว

    Amupe maisha marefu baba hatawanadamu watasewa vibaya mungu yupo matendo Yako baba nimazuri siyowote wanafanya kamahivo unavyosayidiya mungunjo atakuripa baba urivyo fanyiya duniyani utaripwa na mungu

  • @djjoe_tzmixingmaster5872
    @djjoe_tzmixingmaster5872 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana hii...MUNGU AKUONGEZEE ZAIDI NA ZAIDI..

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 ปีที่แล้ว +2

    Kwel Baba Geordavie Mungu akubariki na uwe mfano kwa kila mtumishi wa Mungu.

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    Baba wewe ni Wajabu Kabisa. Hauna Pacha la lako. Wewe ni wa kipeke Sana. Wewe ni msaada wa Wanyonge na sisi wa Tumishi wa dogo. 🇧🇮🇧🇮 Tuko na wewe Baba Nabii Mkuu GeorDavie

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Nabii mkuu wewe nimfano wakuigwa watumishi wengine wao kuangalia sadaka tu

  • @shedracksimbeye8460
    @shedracksimbeye8460 ปีที่แล้ว +2

    So touching God keep you our dearest Father Hon Sn Prophet Dr GeorDavie 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🖊️🖊️🖊️🖊️

  • @NeemaMinga-pl8ty
    @NeemaMinga-pl8ty ปีที่แล้ว

    Hongera Kwa moyo wa huruma, na kutoa!

  • @nancynahum7567
    @nancynahum7567 ปีที่แล้ว +1

    My super hero dady I love u unanifundisha mengi sana utoaji nikitu kikubwa sana Barikiwa Baba

    • @dariageorge1448
      @dariageorge1448 ปีที่แล้ว

      Mungu aendelee kukubariki Sana na akuzidishie uwezo ulionao uzidi kutuomea nasisi baba

  • @simionprosper7726
    @simionprosper7726 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU anawatu na watoto wake na wewe ni MTOTO wakwanza ndiyo maana unatembea katika njia za BABA yako barikiwa sana sana

  • @peterswai391
    @peterswai391 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mwenyezi Mungu kwa zawadi hii ya Nabii mkuu, God bless more brother,unafanya unique kindness

  • @aokalelitv4546
    @aokalelitv4546 ปีที่แล้ว

    Nabii MUNGU akuzidishe kwa huduma hiyo kwakweli tena sana

  • @dorothmalekela3974
    @dorothmalekela3974 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukutunza baba na kubariki huduma unayotoa kwa watoto wako baba hakika nauna mkono wa mungu kwako baba

  • @shedrackngaila383
    @shedrackngaila383 ปีที่แล้ว +1

    Zawadi ya watanzania nabii mkuu mh Dr geordavie hajawahi tokea Tanzania huyu ndo wa Kwanza usipokumbukwa Kwa unabii utakumbuka hata Kwa sadaka 🥰🥰🥰🥰

    • @festo4742
      @festo4742 ปีที่แล้ว

      Asante baba mungu azd kukubarik

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sisali Kwa nabii lakin Mimi napenda anasaidia watu sanaaaa Arusha ndo nabii naona anajalii watu

  • @pastorjoshuajuma.2601
    @pastorjoshuajuma.2601 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu hapa duniani kwa utukufu wa jina lake takatifu 💪🇹🇿💐🇹🇿🌸 hakika wewe ni nyota inayong'aa Tanzania 🇹🇿🙏

  • @longututitajiri1426
    @longututitajiri1426 ปีที่แล้ว

    🇰🇪 Uyu ndo Nabii wa MUNGU imeniguza Sana barikiwa Sana Nabii wa mataifa🙏🏿🙏🏿

  • @simionprosper7726
    @simionprosper7726 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa MUNGU NABII mkuu MUNGU akubariki sana sana umekuwa ukigusa maisha yawatu sana hii nizaidi ya upendo wao uko tofauti sana

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 ปีที่แล้ว

    Nakushukuru sana BABA Umetufaa sana MUNGU akuepushe na mabaya wote tuzidi kukuona na kupata huduma kutoka kwako ,Nakushukuru sana BABA🙏🙏

  • @adamulubwigamhwihwi7325
    @adamulubwigamhwihwi7325 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana nabii nimekosea nauri tu siku moja ningekuja kanisan kwako kupata ukombozi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sanaaaa nabii geodavie kwa kujali watoto

  • @pauljames6265
    @pauljames6265 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo naww kwel kwel

  • @pastorjoshuajuma.2601
    @pastorjoshuajuma.2601 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi wa Mungu

  • @marieayinkam4521
    @marieayinkam4521 ปีที่แล้ว

    Asante sana Nabi kazi munafanya mungu azidi kubariki

  • @theresiatate8043
    @theresiatate8043 ปีที่แล้ว

    Asante sana Baba Nabii mkuu Dr GeorDavie. Kwa kuwahudumia watoto kifedha na kiroho pia. We are so blessed to have you.

  • @alphamosha5571
    @alphamosha5571 ปีที่แล้ว +1

    I love you ❤️ Nabii I have never been to your church but you touch me in a different way

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 ปีที่แล้ว

    Hongeraa nabii unafanyaa kazi nzurii.mtumishi wa mungu

  • @rosentikha1572
    @rosentikha1572 ปีที่แล้ว

    Viva mh nabii mkuu Baba yangu mungu akuepushie na mabaya yoooote akupe kila uzuri na kila jema ameen

  • @jonathankitindi7068
    @jonathankitindi7068 ปีที่แล้ว

    MUNGU azidi kukubariki Mtumishi wa MUNGU,

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 ปีที่แล้ว

    Kuna watu watabeza sana ila huyu mtumishi wa Mungu ni baraka na mfano kwa watumishi wa Mungu

  • @mrefu
    @mrefu ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu nabii Mkuu uzidi kuwaudumia watu wa Mungu

  • @janethmwawalo1578
    @janethmwawalo1578 ปีที่แล้ว

    Asante baba mungu akupe baraka tele

  • @ayoubemmay2721
    @ayoubemmay2721 ปีที่แล้ว

    Be blessed father,.

  • @chileshekabwe8726
    @chileshekabwe8726 ปีที่แล้ว

    Amen mkuu mngu aku bariki amen amen

  • @levinamuspeka643
    @levinamuspeka643 ปีที่แล้ว

    Wau yote kwa Mungu wa baba yetu yawezekana ufadhiwe milele amina

  • @saidisadiki3139
    @saidisadiki3139 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu sana baba

  • @movietrailer8114
    @movietrailer8114 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha baba

  • @yudaaraphati9673
    @yudaaraphati9673 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu sana🙏🇹🇿

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

    Hongera mtumishi Kwa msaada!!

  • @simonibahati4045
    @simonibahati4045 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie hekima

  • @ndugutv5417
    @ndugutv5417 ปีที่แล้ว

    Nakukubali kwakweli Mungu Akuongozee sana kwakwel

  • @josephmolle
    @josephmolle ปีที่แล้ว

    Amen baba uzidishiwe

  • @christinenyandwi8993
    @christinenyandwi8993 ปีที่แล้ว

    Merci papa

  • @winniemwangi9441
    @winniemwangi9441 ปีที่แล้ว

    We love you dad ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️.... More life daddy

  • @mosesjunior6545
    @mosesjunior6545 ปีที่แล้ว +2

    God bless you Papa,but sijui kwann kila nikiangalia video zako natokwa na machozi ya furaha.

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 ปีที่แล้ว

    Baba kama Baba ubarikiwe maradufu in Yesus Christ name

  • @esupatthomas5881
    @esupatthomas5881 ปีที่แล้ว

    Great

  • @priskahesebi256
    @priskahesebi256 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 ปีที่แล้ว

    Shalom 🙏🙏🙏🙏

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏

  • @dontheo4671
    @dontheo4671 ปีที่แล้ว

    Namkubal sana Baba Daaah

  • @zawadisospeter827
    @zawadisospeter827 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 ปีที่แล้ว

    Àsante sana jamani baba

  • @simionprosper7726
    @simionprosper7726 ปีที่แล้ว

    Ndiomaana amekupandisha juu juu sana

  • @dinnahnassary8717
    @dinnahnassary8717 ปีที่แล้ว

    Hakuna kama huyu BABA karne hiii❤️❤️❤️❤️

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 ปีที่แล้ว

    Mwambie baba nabii mkuu Namkubali na siku nikifika Tanzania Lazima nifike kisongo

  • @aaronmtumbuka7028
    @aaronmtumbuka7028 ปีที่แล้ว

    MUNGU akubariki nabii mkuu kutoka serikali kuu mwenye mamlaka

  • @browrinah9357
    @browrinah9357 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @christinenyandwi8993
    @christinenyandwi8993 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏💯💯💯

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🥰

  • @nathaliamayo8311
    @nathaliamayo8311 ปีที่แล้ว

    Hakika wewe unatumika sana na mungu

  • @lameckadamu1198
    @lameckadamu1198 ปีที่แล้ว

    Tena nisisikie mtu akimsema vibaya huyu baba .Wengi huwa tunajisahulisha wema aliletwa na mungu Magufuli tukabeza alipoondoka tukajilaumu wakati alipokuwepo tukambeza tubadilike mm naomba ndugu zangu Mungu katupa huyu baba tumuombee tumshukuru sana. Ahsante Mungu kwaajili ya mpakwa mafuta wako

  • @christinenyandwi8993
    @christinenyandwi8993 ปีที่แล้ว

    👩‍🎓👨‍🎓👩‍🎓👨‍🎓

  • @dinnahnassary8717
    @dinnahnassary8717 ปีที่แล้ว

    💞💞💞💞💞❤️❤️❤️❤️❤️❤️💕💕💕💕💕

  • @mariamariki7132
    @mariamariki7132 ปีที่แล้ว

    So nice baba

  • @olaiskidaa5708
    @olaiskidaa5708 ปีที่แล้ว

    MUNGU akupe nguvu Zaid baba

  • @simionprosper7726
    @simionprosper7726 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU ana kusudi kubwa na wewe kwawalio sahaulika

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Gd

    • @milikakanja282
      @milikakanja282 ปีที่แล้ว

      Baba naomba unilibie watoto wangu Kwa sai Sina kasi

  • @denisjoel1592
    @denisjoel1592 ปีที่แล้ว

    Yaan mm sijawah mpenda mt kama nabii Joe Dev natama hata kufk kwake jaman

  • @christinakembe3869
    @christinakembe3869 ปีที่แล้ว

    Naombeni.namba za nabii jamani

  • @florianakhweso5749
    @florianakhweso5749 ปีที่แล้ว

    😲😲😲🤔🤔🤔🤔🤭🤭🤭🤭 BABA

  • @sifaelkikoti3141
    @sifaelkikoti3141 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUBARIKI KWA KUANGALIA MAHITAJI YA WATU

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 ปีที่แล้ว

    Huu ndio utumishi uliotukuka kama TB Joshua wa Nigeria🙏🙏🙏

  • @nisetameena9276
    @nisetameena9276 ปีที่แล้ว

    Wazazo wa hawa watoto jmn kumbukeni bure inauwa

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 ปีที่แล้ว

    Baba ukiwapa hao walimu wanakula

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 ปีที่แล้ว

    Kwa kuwa MUNGU AMEKUTUMA KWA HAWA watoto..naamini UTAZIDI KUBARIKIWA MTU WA MUNGU.NIMEJISKIA FARAJA SANA SANA JAPO NINA SHIDA

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 ปีที่แล้ว

    Huyu mwamba ni jiraniyangu,anapesa yakutisha

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 ปีที่แล้ว +2

    Biblia hakuna sehem. Iliyoandikwa nabii mkuu. Najua. Nabii. Mkuu. Ni mungu peke yake anaitwa mungu mkuu basi hakusi kuwa nabii mkuu wengine wote ni karama za kinabii .nawenine hupewa huduma ya dabii watendakazi wa yesu wote.hakuna aliyeitwa no nabii mkuu. .huku ni.kujikweza. ubarikiwe sana kwa utoaji .nabii

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

      Wapi kwenye Biblia imeandikwa Mungu ni Nabii. Mungu ni Mungu tu hana sifa nyingine kama hujui Biblia kawadanganye wengine na ukafie mbali.

    • @macrinajoseph1422
      @macrinajoseph1422 ปีที่แล้ว

      @Marco Kilale tafuta.palipoandikwa. Nabii mkuu. Wa. Manabii. Utuonyeshe

    • @macrinajoseph1422
      @macrinajoseph1422 ปีที่แล้ว

      Yohana. 10;29. Yesu alimwita .baba mkuu hicho cheo an ni.cha.mungu. .hakuna biblia.iliyo.andikwa..nabii.. mkuu...nabii .ni .nabii ..huwezi.kuongeza.neno no tena..yanayoendelea. Yanatoka. Kwa. Ibirisi

  • @erickjmgema3923
    @erickjmgema3923 ปีที่แล้ว

    Nabii mbona una bodigadi..?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 ปีที่แล้ว

      Kwani hatakiwi kua naye?

    • @erickjmgema3923
      @erickjmgema3923 ปีที่แล้ว +2

      @@Sheba4651 sina maana iyo ila mimi kwa uelewa wangu.nabii ana lindwa na mungu au wafuasi wake sasa bodigadi kweli..???labda kwa manabii wa sasa ivi.

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 ปีที่แล้ว

      @@erickjmgema3923 kaka ata wewe naamini unasali na unalindwa na Mungu....kwanini kuna mlango nyumban wenye komeo na uliondoka wafunga kwa funguo? Je huna imani?

    • @erickjmgema3923
      @erickjmgema3923 ปีที่แล้ว +1

      @@kakanicodemus3632 🤣🤣🤣🤣mlango na nabii ni vitu 2 tofauti..kaka em tuishie hapo..maana kila mtu uwa ana mawazo yake..kazi njema kaka

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 ปีที่แล้ว

      @@erickjmgema3923 😂😂😂😂😂, dhana ni kuwa unahitaji ulinz pia wa mwili endapo unahic una vitu vya thamani kama fedha au una maadui wa kimwili ...... vya rohon Mungu anafanya , vya mwilin vilivyo ndan ya uwezo wetu kuvifanya tuvifanye sijaona ubaya

  • @volcanokitomary8941
    @volcanokitomary8941 ปีที่แล้ว

    Hakika wewe ni baba

  • @enizemwayingatv5196
    @enizemwayingatv5196 ปีที่แล้ว

    Amina