Tunamuomba huyu kijana arudi kuendelea kuigiza kama Magufuli, huenda akili za Raisi Samia Suluhu zikamrudia. Anatutesa sana na maamuzi yake ya kutusaliti siye Wtz. BARAKA TUNAKUHITAJI
Wako 3 kila mmoja ashike nafasi yake huyu anampatia sana magufuli jk comedian nae anamuweza jakaya Steve nyerere anamuza baba wataifa wakae pamoja kwenye mashuhuri kila mtu amuigize anae muweza 🔥🔥
Aisee Mungu ameiinua kipaji chako.alafu kuna kitu kizur sana ktk kujieleza unatumia lugha mama mwanzo mwisho.. Wengine hapo ingekua u knw actually kibaoooo....safi kaka mkubwa
Umejibu vizuri swali LA elimu. Kwanza kipajichako kiisaidie fsmilia na wewe, kisha elimu ije, safisana,, uo ndougsliwako ndugu, kusoma ata baadae kaka!!
isaya ngeze sio kiutaniutani, watu huwa wana njozi na malengo then muda ukifika yanatimia kwanamna hata wasizozitegemea lakini wakiwa na ushahidi kuwa walikuwa kama wanaona na kuhisi yaliyotokea kuwa yatatokea.
namkubaliiii kama unamkubali gonga like
Rafiki yangu Mr Baraka Magufuli, ninakukubali sana, mh Rais Dr Magufuli amekwisha kukutana na wewe, hiyo ni hatua nzuri sana kwako, Ongera sana
Uko vizuri baraka nakukubali Sana from Uganda big up sana
Jamaa ako na confidence sana...very genius kwenye response kwa maswali anayoulizwa..👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏...watching live from Kisumu kenya🇰🇪
kw sababu unamuigiza sauti mtu mwenye Akili nyingi, Yaani naona hata Akili za JPM na ww kidogo unazo Hongera kijana uko vizuri.
ana jiamini sana, na anajua kujibu maswali bila papara, keep it up bro
Gonga like kama unaona huyu jamaa genius🔥🔥🔥
My dear baraka sio Kila swali lazima ujibu, usije ingia mtegoni, mengine sema no comment!
Tunamuomba huyu kijana arudi kuendelea kuigiza kama Magufuli, huenda akili za Raisi Samia Suluhu zikamrudia. Anatutesa sana na maamuzi yake ya kutusaliti siye Wtz.
BARAKA TUNAKUHITAJI
Ongera brother, kaongeze elimu
Ayo hongereni.
Msaidieni miwani mingine. Ili aweze kulinda macho yake.
Wako 3 kila mmoja ashike nafasi yake huyu anampatia sana magufuli jk comedian nae anamuweza jakaya Steve nyerere anamuza baba wataifa wakae pamoja kwenye mashuhuri kila mtu amuigize anae muweza 🔥🔥
Hongera sna kka kwa kusubutu.
BARAKA, MUNGU AENDELEE KUKUBARIKI NA KUKUINUA JUU MAWINGUNI
SIYO WA TANZANIA PEKEE, ATA WA KENYA WANAMUONA. JU WA KENYA WANAMUKOSA KIONGOZI KA JOHN MAKAFULI.
Aisee Mungu ameiinua kipaji chako.alafu kuna kitu kizur sana ktk kujieleza unatumia lugha mama mwanzo mwisho.. Wengine hapo ingekua u knw actually kibaoooo....safi kaka mkubwa
Uko vizuri kaka.
Huyu Jamaa anatisha
Magufuli amteue awe msemaji wake
Baraka unanifurahisha upo juu
Baraka kama jina lako lilivyo ubarikiwe ufike mbali.
Denis Fugamila
Sana,
Hongera Sana JPM.... Unaweza Kweli
Huyu jamaa ana elimu ya darasa la tatu. Ujasiri alonao na zaidi ya mtu ya chuo kikuu. Namuelewa msukuma mbunge.
DAaaah baraka iyo sifa inaendana na wew kabisa 😌👍
Jamaaa Anaweza
jamaa ana roho ngumu sana anamuigiza rais alaf rais mwenyewe sio wa mchezo mchezo
ch ajabu kipi mbna stivini anaiga sauti ya nyerere mbna kawaida tu jmn
nakukubalii sanaaa duuuu
Hahahaha nimecheka sana
uko sawa kijan ongeza juhuda
Good talented
uko vizuri jamani kaka ongera sana
Hongera sana ubarikiwe
Baraka uko vizuri kujieleza wapo wajinga wasiojua kujieleza safi sana
Jamaa noma sana
Mungu akubariki Sana jamaa yangu
Unavyo zungumza bei zako magufur anakuskia ngoja awambie TRA
Huyu jamaa na mvulia kofia wakina oscer mpite kushoto
Huyu Baraka anafanana na Raisi wa zamani wa South Afrika anaitwa Tabbo Mbeki.
T...kk
Unaweza baraka
Big up bro,utafika mbali sana kwan pene nia pana njia daima.
Pierre tunamsahau taratibu yaaani😂😂😂😂🤣🤣🤣
au mweshimiwa Ali........mbn mnafana sana kwa maneno
Prince hance Sam jiangalie dogo acha kuhisi vitu vyakijinga
waaa Mungu ni mwema😣😣😣😣😣
Jamaa nimekukubali ni mkweli yupo swa elimu kitu gan
Yupo vizur sana huyo jamaa
Good boy
Kwanza nakukubali sio muongo maana unajitambua
Upo ok sana
Hahaha huyo ni msanii shupavu#alex kutoka Kenya
#tnx
#ayo
Huyu kijanaa angesoma. Anaonekana hata majibu yake.unapenda kumsikia.
Angesoma???.?
aisee uyo jamaa kiboko
Vissa Mtelea usikate tamaa
Uwezo wako wa kujibu maswali ni mkubwa.
anatoboa huyu jamaa
Munura musa mpka hapo ameshatoboa haya maisha hayana fomula
Munura musa mpka hapo ameshatoboa haya maisha hayana fomula
ushatoka kaka
Uko vizur bro pambana utafika
uko vzr kk bigap xn
Kwanini huyu mtangazaji amuulize uliishia darasa langapi???? Kwann hajamuuluza tu umefikia level gani ya elimu?
Nice
Dharau. Sijui kamwonaje
Ujue darasa ni kuanzia la kwanza mpka la saba kwa hapa Tanzania,,, sasa huyu mtangazaji alisha mshusha hazi huyu Baraka,,, watangazaji waache dharau
Jamaa yupo makini sn hata ujibuji wa maswali yupo vzr sn
Hahahahaaa!! Ni kweli aisee umetoboa👏👏👏👏
Cool
U lit broo
jiendeleze baba elimu nimuhimu
Ila anaweza kwakweli yani utafikili magufuri
Pacha wake si!ample hata ka uwaziri joman
Pacha wa magu
Piga moyo konde utafika mbali tu
Upo saafi jamaa endelea kaza buti
Umejibu vizuri swali LA elimu.
Kwanza kipajichako kiisaidie fsmilia na wewe, kisha elimu ije, safisana,, uo ndougsliwako ndugu, kusoma ata baadae kaka!!
eti hata chakula sikupata hahahaha pambana pambana
uyu jamaa katoboa kiutaniutani tu
isaya ngeze sio kiutaniutani, watu huwa wana njozi na malengo then muda ukifika yanatimia kwanamna hata wasizozitegemea lakini wakiwa na ushahidi kuwa walikuwa kama wanaona na kuhisi yaliyotokea kuwa yatatokea.
👌
Atoe kofia na anawe uso
Nilijua tu huyu jamaa ni lazima afike huku
Mungu atakubaliki balaka kipesile
Na hizo mvi ni za kubandika au zako.
Hahahahahaha bora umuulize!
unatisha kk
ukojuu