Jinsi ya kupika mkate wa mchele kwa kutumia unga wa mchele - Rice flour bread

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • ingredients
    3 cups rice flour
    3 cups coconut milk
    1 cup sugar
    1 tbsp cardamom seeds/powder
    1 egg white
    2 tbsp yeast
    ✔How to make rice flour at home 👉 • Jinsi ya kutengeneza u...
    ______________ shuna's kitchen
    For more updates please follow me on instagram @jifunze_mapishi
    Mahitaji
    unga wa mchele vikombe 3
    nazi /tui la maji vikombe 3
    sukari kikombe 1
    ute wa yai 1
    hamira vijiko 2
    ______________shuna's kitchen
    ✔Angalia jinsi ya kutengeneza unga wa mchele nyumbani 👉 • Jinsi ya kutengeneza u...

ความคิดเห็น • 155

  • @maybintomar1926
    @maybintomar1926 5 ปีที่แล้ว +9

    Wallahy kwa mara ya kwanza after thousands attempts za kufanya mkate wa mchele leo nimefanya kwa recipe hii umekubali alhamdulillah💃💃💃... nimeanzia ile process ya kutengemeza unga wa mchele ulofundisha then nikaja hii... thank you so much guys... jazzakallah kheir... Mwenyezi Mungu atawalipa

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +1

      MashaAllah dear thank you so much for the lovely feedback 👌👌 uliienjoy na family 😋😋

    • @talaanassor1636
      @talaanassor1636 3 ปีที่แล้ว

      09

    • @akbaramershi2413
      @akbaramershi2413 2 ปีที่แล้ว

      I am from uganda after long time I hurd swali v use to make this v call it makati mimina

    • @samhasaid3359
      @samhasaid3359 2 ปีที่แล้ว

      me pia nimefata kila kitu na kiasi cha mchele sawa na hiii lakin wang haujatokea mkavu ndani umekua kama mkate wa mchele ule wa kawaida wa kizamani sjui nimekosea wapiii na nimechomea kwa mkaaa moto ulkua vizuri tu

    • @suadsultani5379
      @suadsultani5379 ปีที่แล้ว

      Kikombe ulichopimiachele nd hcho hcho cha tui

  • @aishabarozi7025
    @aishabarozi7025 ปีที่แล้ว

    Mashallah shukran hbbty....nilikua naomba ricep ya kaki ya sambusa kwa kutumia mashine

  • @zaitunhamis1330
    @zaitunhamis1330 11 หลายเดือนก่อน

    Nimependa.iyo ya kueka yai.nitajaribu Asante sana

  • @hawakhamisi1916
    @hawakhamisi1916 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah dada mapishi yako huwa naelewa haraka Sanaa mungu aibariki mikono yako iendele kutoa vitu vizuri kila siku 😘😘

  • @jamal21ma
    @jamal21ma 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah..! Looks yummy,nitajaribu in Shaa Allah...❤

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +1

      In shaa Allah dear nasubiri mrejesho, shukran kwa kuangalia❤

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah ndiyo leo nimeo order ya kusagia mchele na me niweze kupika kwa urahisi jazakah Laah

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +2

      Mambo super 👌 asante sana kwa kuangalia

  • @NasraSalum-v6s
    @NasraSalum-v6s 6 หลายเดือนก่อน

    Shukran kipenzi najaribu sasahvi

  • @FarhatYummy
    @FarhatYummy 5 ปีที่แล้ว

    Hapo sasa na chai tu..... du Yummy Ma Sha Allah 😍😍😍😍

  • @safiabader5500
    @safiabader5500 5 ปีที่แล้ว +1

    Thx sis I did it and it came out perfect thumbs up 👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽

  • @hasinarashid5059
    @hasinarashid5059 3 ปีที่แล้ว

    Wallah katikaa mkate wa mchelee huu unavutiaa👌👌

  • @tunnymgaza9326
    @tunnymgaza9326 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tunashkuru

  • @laleinemirjangi1930
    @laleinemirjangi1930 5 ปีที่แล้ว

    Whaoh super chef asante sana

  • @shamimshabani6614
    @shamimshabani6614 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah. InshaAllah kesho ntaupika

  • @hawabilalihamisi8809
    @hawabilalihamisi8809 5 ปีที่แล้ว

    Mash Allah, tuko Pamoja pia Unaelekeza vizuri Hatu kwa hatua mola akuzidi shie

  • @aminaahmed4950
    @aminaahmed4950 5 ปีที่แล้ว

    Habari..vikombe havina vipimo ...maana kwa vipimo ingekuwa vizuri sana

  • @nadyaalmhroki8890
    @nadyaalmhroki8890 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah
    Shukran habibty

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Afwan dear

    • @sharifasalum841
      @sharifasalum841 4 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen nakupenda sana weye dada yani unaelewek sana mashallah

  • @leilahassan6731
    @leilahassan6731 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah JazakAllah its looks yummy in sha Allah ill try

  • @emmanuelmisalaba3169
    @emmanuelmisalaba3169 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana chef wetu mpendwa

  • @fatma-si5os6ni7
    @fatma-si5os6ni7 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah..looks very delicious. plz plz teach us mkate wa dona.

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +1

      Thank you dear, in shaa Allah I will:)

  • @a.856
    @a.856 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shukran

  • @husseinjumanne6383
    @husseinjumanne6383 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah nashukuru

  • @ummuamira3885
    @ummuamira3885 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shukran habibty 😍

  • @ahmadabdullah5343
    @ahmadabdullah5343 5 ปีที่แล้ว

    masha Allah masha Allah Allah akupe Afya uzd kutufunza insha Allah

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Ameen yarabbi. Asante mpenzi

  • @habibtysalim2304
    @habibtysalim2304 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah akubarik

  • @sunnahmbarak2949
    @sunnahmbarak2949 5 ปีที่แล้ว

    Allah akubaarik kwa mapishi yako mazuri na rahisi

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Ameen. .. shukran dear pia kwa kuangalia :)

  • @asyarashid7688
    @asyarashid7688 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mkate mzuri sana Allah akuzidishie

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Ameen yarabbi, asante sana dear

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 5 ปีที่แล้ว

    Waalaikumu ssalam dada shukran

  • @fatmaomar5783
    @fatmaomar5783 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah allah akupe affya. nzuri saana inaonekana ni tamu

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Ameen yarabbi, shukran dear. . Ni mzuri sana mashaAllah

  • @fatmarashim6353
    @fatmarashim6353 5 ปีที่แล้ว

    Shukran daa nitajaribu ata mm kla siku nashindwa😀👌

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha,Allah 👌 nice recipe , thanks a lot

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      You are welcome dear. .. thanks for watching :)

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah. Nitajaribu. Thanks 🤗👍

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Karibu tena dear asante pia kwa kuangalia :)

  • @nassorhamad5872
    @nassorhamad5872 5 ปีที่แล้ว

    mashaallah Allah akuzidishie

  • @ukhtywaa6545
    @ukhtywaa6545 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah leo nitapika in shaa Allah

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      In shaa Allah dear nasubiri mrejesho👌❤

    • @ukhtywaa6545
      @ukhtywaa6545 5 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen hhhh in shaa Allah

  • @ShunasKitchen
    @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว +2

    Jinsi ya kutengeneza unga wa mchele mwenyewe nyumbani 👉 th-cam.com/video/OhWb3WLKzEA/w-d-xo.html
    How to make rice flour at home 👉 th-cam.com/video/OhWb3WLKzEA/w-d-xo.html

  • @tabithasaitoti8056
    @tabithasaitoti8056 5 ปีที่แล้ว

    Shukran sana kwa recipe nzur na raisi vip kuhusu kutumia makaaa... Chin na juu wap unanishaur niweke makaaa mengii.. Juu ama chin help plz?

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 5 ปีที่แล้ว

    Shukran Nyc ways to use rice not just for wali .A must try

  • @pilimwagakitu9234
    @pilimwagakitu9234 5 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah 👌

  • @umiy1971
    @umiy1971 5 ปีที่แล้ว

    ahsante sana , naomba kama unajua vipimo vya mchele mzima unigaie.

  • @fatmax8710
    @fatmax8710 5 ปีที่แล้ว

    Shukran sana kwa kutujali tunakuombea kila la kheri

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Ameen, shukran nawewe kwa kuangalia

  • @zulpharamadhani4060
    @zulpharamadhani4060 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @marwaabdalla9306
    @marwaabdalla9306 5 ปีที่แล้ว

    Shukran habibty

  • @ilhammohamed6939
    @ilhammohamed6939 2 ปีที่แล้ว

    Asalm alwykum , hapo umesema yeast mbili umetumia lakin pale nimeona umetia kipacti kimoja au video ilikata ?

  • @nassorhamad5872
    @nassorhamad5872 5 ปีที่แล้ว

    mashaallah mzuri sana

  • @sanazashu1012
    @sanazashu1012 5 ปีที่แล้ว

    Waaaw..easy recipe... Thanks

  • @shi5a_
    @shi5a_ 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah 👌

  • @bintihamisi6917
    @bintihamisi6917 5 ปีที่แล้ว

    Shukran daa

  • @hamidashariff7262
    @hamidashariff7262 3 ปีที่แล้ว

    Assalam Aleykum.nazi umetumia ya mkebe?

  • @marinamooh4055
    @marinamooh4055 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah 😍😍Yummy

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 5 ปีที่แล้ว +1

    MaashaAllh

  • @maimunaathman4664
    @maimunaathman4664 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah I'll try today kama ntafanikiwa, coz everytime hua nenda mchomo 😭

  • @zeanamuhsin9005
    @zeanamuhsin9005 4 ปีที่แล้ว

    Assalam Alaykum samahan Unga wa mchele naweza kufanya chila

  • @yassirmkadam5223
    @yassirmkadam5223 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @ashakhalid2222
    @ashakhalid2222 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana

  • @shammysleyman7112
    @shammysleyman7112 5 ปีที่แล้ว

    A'alleykum habbty..
    umetumiaa basmat or mchele wa kaiwada??

  • @vevo3130
    @vevo3130 4 ปีที่แล้ว

    Shuna naomba kujua blender yako ni ya aina gani na umenunua wapi? Maana hizi zingine unakuta haisagi mpaka uzidishe mimaji sana....

  • @samhasaid3615
    @samhasaid3615 4 ปีที่แล้ว

    Naweza kutumia recipe hii kisha nikauweka jikoni had ukauke ..kishs nikaweka moto wa juu tu katk oven ..km ulivofanya kweny mikate yko mengine

  • @khadijaidd9032
    @khadijaidd9032 ปีที่แล้ว

    Daa Michele Gani umetumia

  • @ravinemfoi6707
    @ravinemfoi6707 4 ปีที่แล้ว

    Asantenimependa

  • @alrahbialrahbi277
    @alrahbialrahbi277 2 ปีที่แล้ว

    Asente sana nimejaribu 2 time haiwivi ndani

  • @ishahabibu601
    @ishahabibu601 3 ปีที่แล้ว

    Naweza tumia maziwa badala ya nazi?

  • @umsalem1081
    @umsalem1081 ปีที่แล้ว

    ♥️💚

  • @reycakesjikoni9085
    @reycakesjikoni9085 5 ปีที่แล้ว

    unaweza kuchanga kwa kutumia mixer ya cake?

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 5 ปีที่แล้ว

    Perfect mashallah

  • @zakiviriot
    @zakiviriot 5 ปีที่แล้ว

    I have tried it look that the liquid is les than the dry ingrédients . It did Work for me😱🤐😜😒

  • @faridamkesso97
    @faridamkesso97 5 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah my dear nitajaribu

  • @ramlamohammed1934
    @ramlamohammed1934 4 ปีที่แล้ว

    Hey nataka kujua mkate wa mayai bila ya kutumia oven

  • @asmabintikiwa1826
    @asmabintikiwa1826 4 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @hafswamuhammadomar2069
    @hafswamuhammadomar2069 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nimependa sana.. Unga wa mchele ni soft?

  • @ibrahimmohd4337
    @ibrahimmohd4337 5 ปีที่แล้ว

    Naomba unielekeze kupika mkate wa tambi habibty

  • @salmagulam6619
    @salmagulam6619 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah mpk mate yamenijaa unaweza kutumia sukari ya brown au lazima hy nyeupe

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Sukari ya brown mkate hautokua mweupe hivyo, kama utakua OK basi haina neno

    • @salmagulam6619
      @salmagulam6619 5 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen asante my

  • @khadijaahmed7455
    @khadijaahmed7455 3 ปีที่แล้ว

    Mimi icho kikombe sjafahamu je kama is sina kikombe icho naweza tumia kikombe cha aina gani

  • @zainabsalim3607
    @zainabsalim3607 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah nitajaribu

  • @alzun3810
    @alzun3810 3 ปีที่แล้ว

    Kwa oven unaeka moto wa juu na Chini ama vipi

  • @naturalbeautychannel9698
    @naturalbeautychannel9698 5 ปีที่แล้ว

    masha Allah 😍

  • @mariethaluvunzu1693
    @mariethaluvunzu1693 4 ปีที่แล้ว

    We ni mwalimu sitaacha kukufuatilia

  • @georgettemassa5490
    @georgettemassa5490 5 ปีที่แล้ว

    Owk thanks so uchomaji wake upo tofaut na ule wa kusaga mwenyeo hom si ndio? Au ata huu unaweza kuchoma kwa juu kwanz then ndan??

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Uchomaji hata ule wa kuchoma juu kwanza pia unaweza tumia. You are welcome :)

  • @jacquelineassey7225
    @jacquelineassey7225 5 ปีที่แล้ว

    Shuna tnx kesho ntajarib naomba kujua kikombe chako kina gram ngap ili nsikosee vipmo

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Kikombe 1 cha unga wa mchele ni sawa na grams 142. Asante dear kwa kuangalia :) nasubiri mrejesho 👌

  • @fatmawasonga7913
    @fatmawasonga7913 4 ปีที่แล้ว

    😋😋😋

  • @nimraahnassor781
    @nimraahnassor781 5 ปีที่แล้ว

    Assalam alaykum habibty
    Kikombe unachopimia tui na unga unapimia ichoicho?

  • @hamidashariff7262
    @hamidashariff7262 3 ปีที่แล้ว

    Assalam Aleykum. Ukitumia unga wa mchele wa kununua dukani unausoak kwanza ama unautumia ulivyo?

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  3 ปีที่แล้ว +1

      Waalaykum salaam, unaweza kusaga moja kwa moja. Kama utasoak basi tumia nazi ile ile ambayo utasagia baadae ili usimwage. Soak kwa dakika 30 mpaka saa 1 na usage.

    • @hamidashariff7262
      @hamidashariff7262 3 ปีที่แล้ว

      @@ShunasKitchen shukran.Jazakillahu kheir

  • @mrsawadh5716
    @mrsawadh5716 5 ปีที่แล้ว

    Ukieka kwa oven ni moto wa chini na juu au chini pekee mpaka ikishawiva ndio niwashie juu upate rangi?

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Moto wa juu na chini kuanzia mwanzo mpaka mwisho

  • @halisiherbalandnaturalremedies
    @halisiherbalandnaturalremedies 5 ปีที่แล้ว

    asante

  • @mwanaidikika3417
    @mwanaidikika3417 2 ปีที่แล้ว

    Mkisema vikombe munatuchanganya sasa sisi tutajua umetumia kikombe kipi jamani mbona hunyoooshi maelezo watakiwa useme nikilo ngapi kama ninusu au nirobo basi kama nikikombe tuonyeshe hicho kikombe ulichotumia

  • @mapishiyetumazuri2312
    @mapishiyetumazuri2312 5 ปีที่แล้ว

    Vikombe 4 nya mchele utaweka vikombe vigapi kwa tui la nazi namaji pia uweka kiasi gani plz nijibu dada nakusubiri

  • @thuwebaahmed833
    @thuwebaahmed833 5 ปีที่แล้ว

    Asalamu aleykum, watumia mchele gani kufanya unga pishori?

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      W msalam dear nimetumia basmati lkn unaweza kutumia wowote

  • @sharipher3440
    @sharipher3440 5 ปีที่แล้ว

    nmejifunza vtu vngi kupitia kwako shuna.. Allah akuparik! ukihitaji tray km ya shuna na barfi silcon tray karibu nikuhudumie. njoo ktk page yangu @jirambe_na_strawberry utakuta mawasiliano. derivery ipo

  • @ngooaggie8471
    @ngooaggie8471 5 ปีที่แล้ว

    Delicious

  • @nazlinjanmohamed8057
    @nazlinjanmohamed8057 4 ปีที่แล้ว

    What yeast do you use, instant or regular

  • @foreveryoung6036
    @foreveryoung6036 5 ปีที่แล้ว

    Yessssssss❤️

  • @safiahamid3255
    @safiahamid3255 5 ปีที่แล้ว

    Glass ya coconut milk 3 nikama ile uliyopimia mchele ama

    • @safiahamid3255
      @safiahamid3255 5 ปีที่แล้ว

      Nimepima kwa glass ya maji coconut milk imekuwa maji maji

  • @nuraawamoury1778
    @nuraawamoury1778 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah shukraan habibty

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 5 ปีที่แล้ว

    Moto je wanzia chini Ao juu?

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 5 ปีที่แล้ว

    Huu mchele una saga ukiwa mbichi upate unga wake

  • @zaynsalma3466
    @zaynsalma3466 5 ปีที่แล้ว

    dada nilazim uwek naz?

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 5 ปีที่แล้ว

    👍💞💞💞💞💞💞

  • @afiasaid5849
    @afiasaid5849 5 ปีที่แล้ว

    Sautii plz

    • @ShunasKitchen
      @ShunasKitchen  5 ปีที่แล้ว

      Sauti ipo mpenzi. .. zidisha sauti kwenye cm yako labda

  • @samhasaid3615
    @samhasaid3615 4 ปีที่แล้ว

    ?

  • @saidasalimyahya6263
    @saidasalimyahya6263 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah shukran

  • @sakinasheidhan4642
    @sakinasheidhan4642 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah