We dada Mungu akubariki. Kwa Mara ya kwanza Leo nimetoa keki bila kitambi tina Mimi, keki imejaaa vizuriiii daaah Ndani ya mwaka mzima. Daaaaaaah Yesu akutunzeeee.
Daaah nashukuru mpendwa nimeweza kupika keki jamaniiii kweli mapishi yako ni real na kila nikijaribu pishi lolote lazima litokeee haswaaa sio wengine tunapika vituko hakika wewe sio mchoyo barikiwa my dia siwez elezea furaha nliyonayo
Since I watched this video like 2 years back,,it has remained to be my favourite recipe Maa shaa Allah,,,whenever I need to do an Orange cake I also use Shunas recipe😋she's just the best Maa shaa Allah
Maa Shaa Allah...Shukran Habibty Hakika Ww M/Mungu Amekujaalia Kipaji Cha Kufundisha,Maana Unaelezea Vizuri Kila Mtu Anakuelewa Mwenyezi Mungu Akuhifadhi Habibty Wetu Uzidi Kutupatia Vitu Vizuri....Aaamin Nakupenda Kwa Ajili Ya Allah....Asante Saana 😘
Jaman huyu dada masha allah Yaan asante sana Nilikua na tatzo la kupika keki isiyochambuka Ila baada ya hii video Mepika keki tamu balaa inachambuka hadi raha
Mashaallah videos zako Shuna ni very easy to follow. Thank you. Nimefata step by step na keki imetokea vizuri kila nilivyojaribu. Ahsante sana, keep up the good work...Moza
Mekupenda bureeeeeee. Nimeangalia mara moja na nimeweza na tammu mnooo
Ulitumia trey nch ngapi sorry
Sichoki kuiangalia hi video kila nikitaka kupika cake coz nikifata hii napika kake inatoka uzuri mashaallah
Nimefuata maelekezo yako kwa mara ya kwanza nimeweza kupika cake nzuri. Asante sana. May Allah continue to bless and protect you 🙏🏼🙏🏼
Aunt nakupenda SBB video zako unapenda kutumia kiswahili unatupa faida tusiojua kiingereza.ww ni mwalimu asante sana.
We dada Mungu akubariki. Kwa Mara ya kwanza Leo nimetoa keki bila kitambi tina Mimi, keki imejaaa vizuriiii daaah Ndani ya mwaka mzima. Daaaaaaah Yesu akutunzeeee.
Yaani ndo napika cake... niombeeni dua itoke km ya Shuna's kitchen👌🙌
Daaah nashukuru mpendwa nimeweza kupika keki jamaniiii kweli mapishi yako ni real na kila nikijaribu pishi lolote lazima litokeee haswaaa sio wengine tunapika vituko hakika wewe sio mchoyo barikiwa my dia siwez elezea furaha nliyonayo
Mungu azidi kumpa ujuzi na.kumtunza
Nzuri Sana ndugu nimeelewa
Since I watched this video like 2 years back,,it has remained to be my favourite recipe Maa shaa Allah,,,whenever I need to do an Orange cake I also use Shunas recipe😋she's just the best Maa shaa Allah
Maa shaa Allah mamy keki yko nzuri cn nmejaribu
Oohh ..kumbe kuna keki haziwekwi maziwa😮MashaAllah
Keki yako ni best nimepika sijakosea mashallah u are the best dear
Kiukweli nimefuata maelekezo yako na nimepata keki nzuri mashaallah
Masha Allah cake yaonyesha tamu sana😍😍😋
sana tena, asante mpenzi kwa kuangalia
When queen see a queen, i love u both😘
Shukran habibty kw upishi W keki yum yum
Mashallah sk zte nkipika keki znakua ngum ila nmejarib hii njia yako Alhamdulillah imetoka nzr sana na inachambuka mashallah
Nmejaribu and its amazing thank you❤️
Dada barikiwa na munguuu nimetoa kitu kizuriiiii lainiiiii
Mashallwa nimejifunza ahsante
Mashallah Nimejaribu imetoka best 👌👌kwa sasa hii Ndo recipe yangu asante
You are the best! Mashallah mm nimepunguza sukari kdg tu lkn keki imekua soft the best recipe ever!
Mashaallah
Allah akulipe bibie unaelekeza mpaka mtu unsalted
Nimependa mapishi.Straight to the point and simple instructions..Mashaallah.
Mapishi yako mashallah napenda kuangalia
MashaAllah MashaAllah habbty tray Inch ngapi
Nimejaribu kupika cake....uwiiiiii ni hatar...be blessed Shuna
Ahsanteee nimeelewa Sana ntajaribu in shaa Allah
Aleykum salaam, ahsante sana imenisaidia sana nashukulu
Jazak'Allah
Maa Shaa Allah...Shukran Habibty Hakika Ww M/Mungu Amekujaalia Kipaji Cha Kufundisha,Maana Unaelezea Vizuri Kila Mtu Anakuelewa Mwenyezi Mungu Akuhifadhi Habibty Wetu Uzidi Kutupatia Vitu Vizuri....Aaamin Nakupenda Kwa Ajili Ya Allah....Asante Saana 😘
Ameen yarabbi. Asante sana habibty nafurahi kuskia hivyo 😘
Samahan mpendwa naomba unifahamishe hio arki ndo ikoje au ina jina jingine
Shukraan habibty shuna,sijui ndie shuna ninae mjua au mwengine,na kila pishi lako shuna kweli Masha ALLAAH.MWENYEZI MUNGU Akupe kheri daima.
Salma Solidad cj
It was nice, I tried. Thank you
Nimefurahishwa jinsi unavio pika na kuelezea,Asante ssna
I shall try inshaallah thanks so much
We noma na hunachoyo nakupendaje😍😍😍
Wewe ni mwalimu mzuri
Shukran kwa kutumia recipe hii napika keki nzuri sanaa
Asante sana :)
Mashallah napenda mapish yako unaishi zanzibar au dar
Nimejaribu leo hii habibty imekuwa nzur, soft☺☺😘 asante sana
Hongera nami naiandaa sasa hivi
Asante kwa somo my dia
Ma Sha Allah Shukrn 😍
Unajua nn unafany dr keep it Up 👏👏👏👏
waoooo uko vzr Dada asante ntapika na mimi nione
I tried this yesterday! OMG it was delicious and fluffy
Mate yanidondoka💞😋
Wow asant sana mungu akujalie
Asante uko vizuri ubarikiwe
Wow😍😍mashallah keki lainiiiii
Jaman huyu dada masha allah
Yaan asante sana
Nilikua na tatzo la kupika keki isiyochambuka
Ila baada ya hii video
Mepika keki tamu balaa inachambuka hadi raha
asante sana kwa feedback nzuri
Big up dear
@@ShunasKitchen kwa nn keki mm nikipika inachanika juu
Mashallah ❤❤
❤❤ ahsantu ya ukhti mashaallah so sweet
I have been trying for some time now and I have not been able to make it for a while
Ni nzuri👍☺
Mashallah mwenyez mungu akubarikiye kwa mafunzo yako
Asante sana swet nimeielewa sana naomba kipimo cha mandazi matam
Sio pia😊😊😊
MashaAllah dear cake nzuri na laini. Naweza kutumia siagi ya kupima
Yes yes
Asante mamy umenifunza Kitu kizur
Yupo Vizuri kwa kweli
me napend ukifanya video na sauti mm ni sahbiki yko hamn pishi linlonipit alhamdullah
Safi hongera sana
Mashallah pia asante sana nimejaribu kupika ikatoka nzuri kweri Asante sana
Asante sana dear kwa kutupatia feedback
Asante sana nimejaribu style yako na cake yangu ilikuwa tamu sana
Asnte San dear unatoa maelezo mazuri.
Mashaallah shukran kwa somo habibty nauliza ni lazima kuweka uwo unga wa cocoa
Si lazima dear, unaweza kufanya nyeupe tupu. .. asante sana kwa kuangalia :)
asante mumy naomba utufundishe haluwa
Allah akuzidishie ujuz uzidi kutufunza nakupenda saaan mpishi haswaa
Mashaallah Allah barik
Shukran ntajaribu In Shaa Allah
Amila auweki
We ril enjoyed dear, ma sha Allah 😚
Thank u dear,love u unaelewesha vzur mashaallah❤
Asante sana ❤
Zahra Ami
maa shaa raaah uko vzr.
Nimekupenda bure
MashaAllah nimependa
Ahsante
Asante sana kipenzi
Shukuran habibty
Asante mashaallah
Karibu tena dear na asante sana kwa kuangalia
Asante jamani Asante mwaaa
Asante Sana dada maana unaeleza vizuri Sana
Umebarikiwa habibty mola akujaalie ujuzi zaidi na akuepushe na hasad asante sana
Ameen asante sana habibty :)
@@ShunasKitchen hivi kokoa ni kawaha ,eti!? Na ni kahawa yeyeto Tu.??
Mashallah ,nauliza kama ni lazima kuweka siagi
Kwa recipe hii ni lazima ndio, shukran dear
Sorry!. Siagi unaweka yote G500 kwa nusu kilo ya unga?
Mashaallah videos zako Shuna ni very easy to follow. Thank you. Nimefata step by step na keki imetokea vizuri kila nilivyojaribu. Ahsante sana, keep up the good work...Moza
Mashallah Shunas
Naipenda sana hino cake from Kenya
Shukraan hbbty Allah akuzidishie
Ameen. .Asante sana dear kwa kuangalia :)
Asante sana dear
ma sha Allah inapendeza
Nzuri sana
Asante
Hadi raha
Look xo mwa mwa👌
Masha Allah 😘😘❤
Safi sana dada
Shukrn mungu akulipe uti maziwa
Ameen asante. Hapana hutii maziwa
Cake mashallah inaonekana tam kwel
wawooo nice mamy
Masha Allah asante mamy
Asante sana pia dear kwa kuangalia :)
Mashallah hasbiyallah keki ni nzuri sana 👌👍👏😘
Asante sana dear kwa kuangalia :)
@@ShunasKitchen Asante na wewe pia kwa mapishi mazuri ya cake cause I like soft cake
Asante dadangu
Mashaallah hii channel yafundisha vzury paka waelewa shukran habbity
Sukran sana my dear kwa kuangalia
Mashallah tabarakallah
Uko vizuri,asante wanangu wataringa kesho
Asante sana my dear kwa kuangalia. Wapikie watoto waenjoy 👌
Shuna, this is very good work!!!!! i like your videos. I really like the final product!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu hakika we si mchoyo
MashAllah cake nzuri naomba tufunze cupcakes
Asante dear in shaa Allah nitajitahidi