ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

JUMA MAGOMA mzee wa yanga YUPO SAHIHI / JEMEDARI SAIDI AFICHUA UKWELI WOTE / INJINIA AACHIE NGAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 135

  • @RaymondMwanza-xm4jf
    @RaymondMwanza-xm4jf หลายเดือนก่อน +2

    Njaa ni mzigo na mwenye njaa hua hana kauli. Wanacho taka hao walio vurugika tayari hakito fanikiwa .Cha mtu ni Cha mtu na Cha MUNGU ni Cha MUNGU.Hizo mbinu walizo pewa za kuivuruga YANGA zimegonga mwamba.

  • @emanuelsikaona3347
    @emanuelsikaona3347 หลายเดือนก่อน

    Du kazi ipo sana nimecheka kama chizi ,Naomba nikushauri Mahakama ni muhimiri kamili unatambulika kisheria pia kwenye katiba ya hii nchi umetajwa Magoma yuko sahihi kwamjibu wa kesi yeye Aliwashitaki wadhamini sio viongozi wa sasa but kwabahati mbaya mahamani alikuwa anahuria mtu 1mama karume Rita hawamtambui!!

  • @MariamKilimba
    @MariamKilimba หลายเดือนก่อน +2

    uyo mzee tena atupishe tutamtoa kwa njia yoyote km ataendelea kulete ujinga wake km we magoma umetumwa sasa km ww ulikuwepo ulifanya nini acha ujinga ww magoma unataka kufa vibaya

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 หลายเดือนก่อน +2

    Mmelaaniwa wote mnaotaka kuihujumu team

  • @syliviamurondoro4690
    @syliviamurondoro4690 หลายเดือนก่อน

    Ebu hersi njoo huku simba nguvu moja❤❤❤❤

  • @bernardjohn6571
    @bernardjohn6571 หลายเดือนก่อน +2

    Nabado anawakela sana akina jemedali na wanafiki wenzako

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 หลายเดือนก่อน +1

    Jemedar ni miongon mwawatu wanaopenda yanga isifanikiwe

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

      Jambazi dari ana chuki na husda kwa Yanga

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohdkhatib223na wala hajifichi yaan yy na karia wanatamani yanga ipotee kabisa ili kusiwepo timu ya kuwasumbua

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

      @@fettiemaganza1484 lakini huyu jambazi dari hana akili, yeye muandishi wa habari na mchambuzi katika soka alitakiwa asionyeshe kupendelea timu yoyote hata kama ana timu yake anayoipenda. Angejifunza kwa wachambuzi akina Mwanduke wana timu zao na zinajulikana lakini kwenye uchambuzi hawaonyeshi kubezi katika timu yoyote wala kupendelea timu yoyote

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

    MATOPOLO MACHOGO FC NG'OMBE WA MAZIWA TU YAO NI MAJANI 😂😂😂😂😂😂 MZEE MAGOMA OYEEEEEE 😂😂😂😂😂😂 UBAYA UBWELA UBWELA NA BADO 😂😂😂😂😂😂

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 หลายเดือนก่อน

    Hatabeba mtu dhambi za mwenzie hili ni la kwenu Yanga wala siyo la upade wa pili haki ikidhihiri fisadi(batili inapisha njia)

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt หลายเดือนก่อน

    Jemedali mbona kawaida yake tunajua anachuki na team yetu kwa hiyo na yeye ni walewale

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 หลายเดือนก่อน +1

    Nyiyi mnaombeza engineer Heres Saidi kaeni kimyaa kwanza mahakama ya kisutu na mpira wapi na wapiii? Mimi mwenyewe ni shabiki wa yanga kitambo mno ila sikuwa na furaha kushabikia yanga wala sikuwa naifuatilia yanga kiivyo ka ivi sasa nimefuraishwa sana na uongozi mzima wa yanga chini ya mhandisi Hersi Saidi yupo poa sana tena sana sana atutaki kusikia habari za wazee wanga wanga hao wachukue time pumbavu zao wametumwa upande wa pili na makolo na pesa wamepewa ili waivuruge yanga kwa taarifa yao mhandisi Heris saidi atoki na tutamlinda kama wao ni wazee wa yanga hata sisi huku ni wazee wa yanga tena ndiyo wachawi kuliko wao wasipo angalia atapotea mtu kimzaha mzaha maana kuna midude mikubwa yakiutisha tupo ata atujulikani tulipo ndiyo tuna tunamlinda huyo raisi wetu mpendwa wa Yanga Africa kwa mazuri yake aliyo yafanya atutaki siasa ktk foot Ball ivyo wakiiona hii coment wakae chonjo machifu tusije kuwafanyia mabalaaa ooh ooooh 🔥🔥🔥

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 หลายเดือนก่อน

      Hilo jambo dogo tu hao walishitaki hiyo timu siyo yao na hakuna atakaye kuwaunga mkono tuna taka furaha timu akabidhiwe nani baada ya kesi yao hiyo😊😊😊

    • @AllyFeruuz
      @AllyFeruuz หลายเดือนก่อน

      Tuna maadui wengi ndani na nje ya timu kesi imefichwa siku zote na Sasa usajili wa jirani mbovu eti wanatoa hukumu kama ni Mimi we apewe wazee siku mbili tu wahudumie timu kule camp tuone

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA หลายเดือนก่อน +2

    Inatakiwa hao wazee kqma wanakad ya wanachama wafutwe na wasiruhusiwe kufika kqngwan ktk ofis za yanga na wala ktk mechi za yanga

  • @JustinSanga-ei8lo
    @JustinSanga-ei8lo หลายเดือนก่อน

    Huyo mzeeee takataka mbwa Wana Yanga huyo mzeee Hafai kuishi Tumpotezeee mbwa huyu

  • @bernardjohn6571
    @bernardjohn6571 หลายเดือนก่อน +1

    Eng mnamuonea wivu jemedari mnafiki tu anamuonea wivu eng

  • @user-qi7px6nb8r
    @user-qi7px6nb8r หลายเดือนก่อน +5

    Jemedari watu watakuchoka.Fanya mambo yako.Huyo mzee akipewa timu ataweza kuongoza? Hata sh Mia hana.Acheni watu wafanye kazi.Mpira ni pesa.Mambo ya wazee yamepitwa na wakati.

    • @JumbeOjaso
      @JumbeOjaso หลายเดือนก่อน

      Usimuonee jemedari hiyo ni Hukumu ya kisutu, habari hii imeripotiwa kwenye kill media na wanahabari mama

    • @JumbeOjaso
      @JumbeOjaso หลายเดือนก่อน

      Usimuonee Jemedari ,hii ni habari ya ukweli na wala siyo maneno yake ya kutunga.

    • @hassanabdala7383
      @hassanabdala7383 หลายเดือนก่อน

      Uto walifurahia issue ya kilomoni sheria ni msumeno pambaneni na hali zenu mtapeli wajiengue

    • @Carolina-sm5zt
      @Carolina-sm5zt หลายเดือนก่อน

      Basi muiambie mahakama hiyo ichukue team,tena Yanga ya sasa ni Moto

  • @festomartin6170
    @festomartin6170 หลายเดือนก่อน

    Huyo mzee Magoma tutambonda kama ngoma

    • @bethmahela2182
      @bethmahela2182 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq หลายเดือนก่อน

    Vicha nchi hii hawataisha kwakweli si wehu kweli

  • @AbdallahFaki-rd5qd
    @AbdallahFaki-rd5qd หลายเดือนก่อน

    Yanga Wana utomvu wa macho

  • @josephmwangita7041
    @josephmwangita7041 หลายเดือนก่อน

    Hao wazee n mamluki yananjaa zao yalizoea kula bila jasho yameshaona mtungi wapesa umejaaa yalikua wap na wakat wao waliifikisha wap tim yetu tim iliwashinda sasa imefanikiwa ya nataka tulud tuliko Toka tunachotaka mafanikio ya tim haijarishi ilikua vipi Yan ss watu weusi weusi had akili kwaza mshazeeka mtulie wachien vijana mubak kua washauli kama akili zenyee mnazo za kuishauli timu

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np หลายเดือนก่อน +1

    Hersi Said akiondoka ndio kufeli Kwa Tanzania kwasababu hata usajili utakua batili mbeleni

  • @phirimrishomandari692
    @phirimrishomandari692 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela!mambo ndiyo kwanza yanaanza. Tunywe mtori..........

    • @JanuariMchuno
      @JanuariMchuno หลายเดือนก่อน

      Kunyw na mama yako kolo mkubwa

  • @abdulazizmkondo7350
    @abdulazizmkondo7350 หลายเดือนก่อน

    Namsih Jemedar kma ana njia nyengn y kupt rizk aach uchambuz utakmkost yy au familia yke astegemee kupta saport baad y mttz nimeon post nyng za vtish juu yake wtu na hasr z mpira huwambii kitu kam an mpenz n tim fulan aumie kimoy moy asjichngany wtu wabay dunia hii inatosha kw ushaur huu

  • @manaseyona9260
    @manaseyona9260 หลายเดือนก่อน +1

    Hao wazeee hawana lolote. Wameona tim inazid kufanikiwa wao ndio waone kua uongozi haufai ..hii niupumbavu kwasabb hatakama wapewe wao uongoz hawawez kuiongoza yanga. Swali kipindi wapo wao uongozini walifika waapi. Naleo wanataka kuuihujumu tim.

  • @JanuariMchuno
    @JanuariMchuno หลายเดือนก่อน

    Huyo mzee ni kolo asijitafutie kiki uzeeni atakufa vibaya

  • @abdulazizmkondo7350
    @abdulazizmkondo7350 หลายเดือนก่อน

    Maon yangu ni kuwapa nasaha hao wazee n jemedar kua wasihatarshe maisha yao hii ni Africa wataachwa wao lakin FAMILIA ZAO wanaweza kuzhatrsha kwaiy wachunge akili zao na bnadam

  • @MsafiliNhabe-ll2vx
    @MsafiliNhabe-ll2vx หลายเดือนก่อน +1

    Wazee hao wamejichanganya

  • @user-ny7mi1ui4w
    @user-ny7mi1ui4w หลายเดือนก่อน

    Kikundi Cha wahn mamaako na babaako bado tarehe 8,hamtutoi kwenye mchezo hata kidogo

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 หลายเดือนก่อน +1

    Huo ni uchawa uyo mzee ametumwa na simba

    • @tabumayuhana47
      @tabumayuhana47 หลายเดือนก่อน

      🤝🤝🤝💯kwa💯

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

    HERS atawavuruga sana akili na bado aachie timu nyie mbna iliwashinda

  • @boscomalangalila
    @boscomalangalila หลายเดือนก่อน

    Jemedari kirusi

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 หลายเดือนก่อน

    Huyu jambazi dari si mchambuzi, na mpira haujui. Lina mihemko ya ukolo

  • @johanesdeogratias5106
    @johanesdeogratias5106 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kwhy njia za kujiepusha na Vipigo vya5G zimeanza niwasaidie semen na Aziz' K kambaka mobeto

    • @EsterKindoli
      @EsterKindoli หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 หลายเดือนก่อน

    Hersi anaongoza yanga kama yake hiyo sio halali lazima awache wazee waongoze timu

    • @JanuariMchuno
      @JanuariMchuno หลายเดือนก่อน

      Wew Kuma kweli akuongoze wewe sio timu ya yanga

  • @bernardjohn6571
    @bernardjohn6571 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee gani hao wachawii tu wametumwa na akina mkia fc na jemedali

  • @acreativefilms828
    @acreativefilms828 หลายเดือนก่อน

    Yani Hao Wazee Wanachokitaka Watakipata

  • @195941233
    @195941233 หลายเดือนก่อน

    Kiwango cha ujinga. Mara nyingi mkweli ni adui wa watu waovu. Hao wazee wawafungue akili wanachama. Ni kosa kubwa sana mbele ya sheria kutenda bila kufuata Katiba inayotambulika. Yanga walikuwa na haraka gani?

  • @KhamisKinobad
    @KhamisKinobad หลายเดือนก่อน

    Akuna mcjambuzi nisiempenda kama jemedari

  • @ExecutiveHouseKeeperElewana
    @ExecutiveHouseKeeperElewana หลายเดือนก่อน

    Mmeona Yanga imepata mafanikiio mnaanza chokochoko. Hamtaweza kufanya lolote kwa yanga na Eng.Hersi ataendelea kuwa Rais wa Yanga hadi aseme mwenyewe amechoka.
    Hso waxee ni mamluki tu.
    Jenedar na ww kitu gani kinakuwasha washa hadi uingilie kwenye mjadala ambao hauna Tija kwako? Katiba ni kitabu kinaweza kubadilishwa within a minutes.
    Kaa mbali na Yanga jenedar

  • @user-yf5rq1mx9v
    @user-yf5rq1mx9v หลายเดือนก่อน

    Hatumtambui enjinia aondoke

  • @user-xj2wd7qr7l
    @user-xj2wd7qr7l หลายเดือนก่อน

    We Mzee kama huna Hela za mboga sema tukuchangie kwanza huyo jemedali mi hua namwona Kuma Kam Kuma zingine

  • @AmonBukene-go9mz
    @AmonBukene-go9mz หลายเดือนก่อน

    Hao wazee bora wafe ni wana simba wametumwa kutoka mwanza

  • @user-uc8ee8eq9m
    @user-uc8ee8eq9m หลายเดือนก่อน

    jemedari wa usenge na sio habari kundu lake

  • @sangaelly8548
    @sangaelly8548 หลายเดือนก่อน

    Yanga sio bora kama mnavyo dhani yanga ina umoja hata kwenye ubivu huu ndio ukweli wanabebana some time ni vizuri

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 หลายเดือนก่อน

    Gemedari hana kosa anaongelea haki haki haiangalii kuweza kuongoza

  • @richardkokoro3269
    @richardkokoro3269 หลายเดือนก่อน

    Mnatakiwa kujua kuwa hukumu inasema uongozi wote ni batili. Wanachama hawana lolote juu ya kubatilisha hukumu hiyo

  • @Pendo-xd4es
    @Pendo-xd4es หลายเดือนก่อน

    Jemedar ww para kama tako la mtoto mchaga ww

  • @RamadhaniMfaume-se9op
    @RamadhaniMfaume-se9op หลายเดือนก่อน

    Wale wako sahihi waachie uongozi ili wafate katiba

  • @AllyGolota
    @AllyGolota หลายเดือนก่อน

    Kwanza hao mnao wataja cyo wanachama wa yanga.nyie mnalorizungumzia hilo yote nyaa mnakusumbueni endereeni kutumika wala hamtutoi mchezoni njaaaaaaaaa itakuponzeni

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 หลายเดือนก่อน

    Ndio mwanzo huo hata bado

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki หลายเดือนก่อน

    Wanataka kula pesa ya gsm hao wazee tumewagundua wameshaziea kuihujumu yanga mahali alipo hersibna sisi tupo mbwa nyie nahata mkichukua form hatuwachagui washenzy nyie

  • @azamsp0rtshd2kiangi3
    @azamsp0rtshd2kiangi3 หลายเดือนก่อน

    Sisi tunataka maendeleo ya yanga na matokeo huo uchawi wenu inasikitisha mmefungua kesi ya nini mnataka nini mnataka kutupiga mlete wachezaji wa mchongo tufugwe na Simba wanatumika hawa tuwalaani.

  • @JumaNassoro-tq2yf
    @JumaNassoro-tq2yf หลายเดือนก่อน

    je medari nakuchukia kinoma san. alie kupelka crown alizingua. tutayiham kwa sababu yako.

  • @iddathuman5613
    @iddathuman5613 หลายเดือนก่อน

    Gsm na kundi lake ni wakati muafaka wa kutuachia yanga yetu heris saidy aende kwao Somalia

    • @AllyFeruuz
      @AllyFeruuz หลายเดือนก่อน

      YEYE ende somalia wewe kwenye wapi kuwa mtulivubtuone mwelrkeo wa timu AU ndio nyie mapandikizi tunahutaji ushindi

  • @HOLYCROSSPRIMARYSCHOOL1
    @HOLYCROSSPRIMARYSCHOOL1 หลายเดือนก่อน

    Watwachie time ytu

  • @user-vl7vt4bq8t
    @user-vl7vt4bq8t หลายเดือนก่อน

    Uyo mzee njaa inamsumbua

  • @wetemjini8818
    @wetemjini8818 หลายเดือนก่อน

    Mm naona Hersi atuachie team yetu

    • @AllyFeruuz
      @AllyFeruuz หลายเดือนก่อน

      Wewe kama nani na unachangia sana kadi YAKO lkn huwashi huzimi kinachotskiwa ni ushindi tu

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe หลายเดือนก่อน

    Jemedari wewe ni CEO wa jkt ACHA kuongea utumbo kwako umekuweza?

  • @user-jd5ru7dr2r
    @user-jd5ru7dr2r หลายเดือนก่อน

    Wambieni tutawafanya kitu kibaya

  • @johnmwanja4476
    @johnmwanja4476 หลายเดือนก่อน

    Viongozi Waporaji wa timu WAUMBULIWA na mahakama...Hukumu lazima itekelezwe

    • @AllyFeruuz
      @AllyFeruuz หลายเดือนก่อน

      Lzm ufurahi sababu kipigo kinakuja kama kawaida

  • @user-st7vf4zf4k
    @user-st7vf4zf4k หลายเดือนก่อน

    wazee ha washenzi tuu

  • @user-zi1mc9nw3m
    @user-zi1mc9nw3m หลายเดือนก่อน

    Nyie achen mambo yakikuma acheni timu yetu tumeshawajua nataka mtutoe kwenye reli Kuma nyie

  • @michaelmhina3613
    @michaelmhina3613 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mafanikio ya Yanga ni ujanjaujanja tu. 😂😂

  • @faridmohdkhassan3656
    @faridmohdkhassan3656 หลายเดือนก่อน

    Watu wanafata katiba

  • @devisjoseph5787
    @devisjoseph5787 หลายเดือนก่อน

    Hersi atuachie timu yetu

    • @AllyFeruuz
      @AllyFeruuz หลายเดือนก่อน

      Wewe una timu kama nani tinachotaka ushindi tu imetosha HAO wazee na njaa zao wavimilie tu

    • @josephmwangita7041
      @josephmwangita7041 หลายเดือนก่อน

      Ukuachie tim yako unatimu ww kwaza wee Koro unaonekana

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 หลายเดือนก่อน

    Hao wazee ni wachawi enheeee!!!
    Hawatoboi

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 หลายเดือนก่อน

    Jamani si mtuachie Raisi wetu!!
    Tatizo nn?

  • @user-us7wo7jf8s
    @user-us7wo7jf8s หลายเดือนก่อน

    Ww mmakonde na uyo mmakonde mwenzio wote mabwabwaz mnaanza uchoko uchoko wenu tutawachoka

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 หลายเดือนก่อน

    Eng kakata mirija yao ndo maana wanahangaika

  • @bongotv7120
    @bongotv7120 หลายเดือนก่อน

    Mzee anatafuta kiki

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน

    Aondoke Tuu bc kwanza ni Mtu wa Rushwa sana huyo anaharibu ligi yetu

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

      Bado yupo sana mpk 2026 hamtutoi kwenye reli

  • @user-yr4pv2vj7m
    @user-yr4pv2vj7m หลายเดือนก่อน

    Jeme dar kuma tu

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน

    Shida si kuongoza hapa Tunazungumzia.sheria za yanga

  • @Fredynchacha-qx1lv
    @Fredynchacha-qx1lv หลายเดือนก่อน

    Naona wazee wamechoka kuishi

  • @azamsp0rtshd2kiangi3
    @azamsp0rtshd2kiangi3 หลายเดือนก่อน

    Jemadari nae nani badala yakuongelea watu waandishi muandishi mguli haandiki kwa ushabiki hiyo ni mshabiki wa timu fulani

  • @RamadhaniMfaume-se9op
    @RamadhaniMfaume-se9op หลายเดือนก่อน

    Yanga ni kikundi Cha wahuni sio tim ya mpira

  • @iddathuman5613
    @iddathuman5613 หลายเดือนก่อน

    Kwanza heris said ni msomari
    Pia asili yake ni mpenzi wa Simba

  • @MsafiliNhabe-ll2vx
    @MsafiliNhabe-ll2vx หลายเดือนก่อน

    Hao wazee wametumwa

  • @bernardjohn6571
    @bernardjohn6571 หลายเดือนก่อน

    Hawa waking juma na Geofry wacheni tutamalizana naoho

  • @user-yr4pv2vj7m
    @user-yr4pv2vj7m หลายเดือนก่อน

    Jemedar wewe na wewe uo mkundu una kuwasha nyie na ao wazee mamruki tuachieni yanga yetu atu wataki nyie wazeee njaaaa tuuu

  • @ibrahimmtoni1863
    @ibrahimmtoni1863 หลายเดือนก่อน

    Watu wawili hawawezi kuharibu furaha ya wengi hatukubaliani na ujinga wa kumuondoa ENG

  • @sangaelly8548
    @sangaelly8548 หลายเดือนก่อน

    Inawezekana, ingawa ni ngumu

  • @Ally-zz2hv
    @Ally-zz2hv หลายเดือนก่อน

    Eti ndio mchambuzi uyo ajui mpira wa sasa unaideshwaje uyo mtu ata apewe mkanda tu siwezi kumtuza

  • @amosijoseph5552
    @amosijoseph5552 หลายเดือนก่อน

    Tutaandamana

  • @user-eb1xi2qk8e
    @user-eb1xi2qk8e หลายเดือนก่อน

    huyo chawa umemckia?

  • @user-us7wo7jf8s
    @user-us7wo7jf8s หลายเดือนก่อน

    Awo wazee njaa inawasumbua nyie wote tunawajua nyie no mabwabwaz

  • @user-tm1vn7fd4f
    @user-tm1vn7fd4f หลายเดือนก่อน

    Mtasema,badohamjasema

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk หลายเดือนก่อน

    Change the leadership system Wazee wabaki washauri na kuroga tu ndo kazi zao uongozi hawawezi brain capability is chokad

  • @GwakisaMwangajilo-rm4es
    @GwakisaMwangajilo-rm4es หลายเดือนก่อน

    Wamechoka kuishi

  • @user-jz1ur2ny5u
    @user-jz1ur2ny5u หลายเดือนก่อน

    Nyie wote makuma tu

  • @Ally-zz2hv
    @Ally-zz2hv หลายเดือนก่อน

    Jenerali Kuma tu

  • @bernardjohn6571
    @bernardjohn6571 หลายเดือนก่อน

    Jemedali nani ktk yanga

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib หลายเดือนก่อน

    Kunawatu wanakutimeni ubavu Amna Simba wapo nyumayenu tutaelewanatu

  • @user-qo5hq7pt5t
    @user-qo5hq7pt5t หลายเดือนก่อน

    tumekuchoka

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu wanayanga!!
    Tusijeingia kwenye mitego ya kijinga!!
    Tushikamane!!

  • @MtoroIdd
    @MtoroIdd หลายเดือนก่อน

    Tunataka tujue matumizi kwanini wanaficha

  • @abdullahabdul9246
    @abdullahabdul9246 หลายเดือนก่อน

    Hawa wanafiki .wote wazee

    • @josephmwangita7041
      @josephmwangita7041 หลายเดือนก่อน

      Ungekua na akili kchwan ungemtambua ss spo miguun utamtambuaje

  • @FaidhaSeleman
    @FaidhaSeleman หลายเดือนก่อน

    Dah, ebuu watuachie yanga yetu HIV hiki ki2? Ebu tuambien hawa wazee wanayaoa nn

  • @Fredynchacha-qx1lv
    @Fredynchacha-qx1lv หลายเดือนก่อน

    We jemedari wewe unachokitafuta utakipata

  • @saidkilungi641
    @saidkilungi641 หลายเดือนก่อน

    Hao wazee kwanza hatuwataki yanga wakaanzishe tim Yao ya kwenda mahakani kwanza wajinga hao wazee

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 หลายเดือนก่อน

    Watakuchoka Kuma ww