Ni kweli hawa Ni wakali Ila hawa sio Marapa hawa Ni manamashairi tu Kama mpoto sema wanatumia beat za hip hop. Rapcha sio rapa wala disasta sio rapa. Lunya ndo rapa. All in all wote Ni wakali
Ningelifurai disasta akajibu Diss tracks Maana tungeenjoy rap bora duuh kudadadeki rapcha anabahati sana jama akujubu maana angetubu Uyu disasta niliskiliza song zake kama mbili ivi nikaona nimwandishi mzuri Jameni anaejuwa taito za track zauyu mwamba anambiye Ili nienjoy mangoma yauyu mwamba
Dizasta ni genius
Nimekubali reaction yake much love much respect genius dizasta
Disaster na Rapcha hawa jamaa ni wakali mbona huko Bongo mnawachukulia pouwa sana ...nawakubali sana 🇶🇦🇶🇦
Dizasta namba nyengine huo moto rapcha auwezi kwa dizasta ameona haina haja ya kujibizana na dogo man dizasta yupo piece sana
Msikilize rapcha again and comment again
@@diasalicastro5353 nenda sasa kamskilize dizasta afu uje ucomment tenh kwendraaaaa
Fresh mkuu dizasta hakika umefanya kitu cha uungwana... much love from Moz 🇲🇿
This is 👑 mazee dizasta ni matured sana an🔥🔥🔥
Huyu jamaa ni Genius
maturity .. an wanajuana
Thanks br sky
Ame inspire the rapcha ,the nacha ,the killer hata akifa hatakuwa na deni tena
The Maarifa
The boshoo
Dizasta is Matured and 🔥🔥🔥
Black maradona...n level uyu jamaa Lisa apa angeomb Pooh...
Hip hop love!❤️
Hivi ndivyo inavyotakiwa, itakuwa aliteleza tu
Dizasta hana itikata za kumake bifu big up for dizasta vina
📌
Ni kitu kizuri!
dizasta ni lyricist asee bado rapture ni mtoto mdogoo sanaaaa ...
Ukweli utabaki kuwa ukweli
Kama ujui hip hop ni maneno ya vikatuni ata akitukanwa MTU uwa tunacheka tu
Amuache dizasta
Dizasta ni matured, ashavuka huko
Bro je unamkumbuka DJYusuf@mbele kwa mbele...tupe stor yake na yupo wapi
Anajua hadi anajua tena dizasta
Ni kweli hawa Ni wakali Ila hawa sio Marapa hawa Ni manamashairi tu Kama mpoto sema wanatumia beat za hip hop. Rapcha sio rapa wala disasta sio rapa. Lunya ndo rapa. All in all wote Ni wakali
Nini maana ya rap???, na imegawanyika katika sehemu ngapi???
hujui kitu wew kuhusu Hip Hop kaa kimya!
Lunya ame hip kwenye hope gani nyingine ukiacha freestyle ya BAADA YA HII SESSION NAENDA ZANGU ZENJI?
Unajua maana ya hip hop bro??? Nibora kukaa kimya kama hujui nn unakiongea dizasta huwezi muweka kwenye kundi la huyo toto tundu wako lunya
Napenda diss track kichizi
Kiume kabisa! Ame wakomesha nyie mlikuwa mmesha tabiri ugomvi🤣
Co ugomvi tunataka hip hop ichangamke co kilelemama
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,,,,
Disaster vinna de genius..
Ningelifurai disasta akajibu Diss tracks
Maana tungeenjoy rap bora duuh kudadadeki rapcha anabahati sana jama akujubu maana angetubu
Uyu disasta niliskiliza song zake kama mbili ivi nikaona nimwandishi mzuri
Jameni anaejuwa taito za track zauyu mwamba anambiye Ili nienjoy mangoma yauyu mwamba
Go to his channel, hutojutia🤐
Hatia I-V,
Confession of a mad son
Confession of a mad teacher
Kifo
Vuta picha
Kikaoni
Sister
Thanks sana aca nikaenjoy mawe
Ingia you tube tafuta hatia namba 1 mpaka 5 halafu kuna ndoa ndoano ngoma kali zote ila lazima ujue kuzielewa
Wanangu asanteni sana niko naziskia kwakweli jama siopoa ni Alien huyu mwamba kunangoma nimeskia inaitwa Hatia 5 nibonge langoma aisee