ความคิดเห็น •

  • @citynews5611
    @citynews5611 ปีที่แล้ว +13

    Nakubali team konde boy

  • @kalziidazamba2862
    @kalziidazamba2862 ปีที่แล้ว +23

    Kweli kabisa kwenye ile albamu ya HARMO kuna ngoma mzuri sana tafauti na EP ya MBOSSO kuna full taharab.. kuna kitu nimejifunza kwenu nyie wa tz mkiwa na chuki na mtu uwa wanaungana wakati ukweli unaonekana uku kwetu tuna mapenzi na nyimbo za tz ila kwenye hii EP bado sana...🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇹🇿 mimi sina ushabiki na lebo yoyote ile... ila kwenye ukweli tuongee ukweli ili twende sawa...

    • @richardmweri7918
      @richardmweri7918 ปีที่แล้ว

      Ep haina maana

    • @savyboy6164
      @savyboy6164 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe Harmonize katoa album enh

    • @hamisissa1115
      @hamisissa1115 ปีที่แล้ว

      Na Qaswida kabisa

    • @asyamgeni9819
      @asyamgeni9819 ปีที่แล้ว

      Yep harmonize nyimbo zake nzuri tatizo bongo kuna chuki na fitna kali sana na mondi anahonga watu sio kama wanampenda kwa mapenzi wanampenda anahonga ndo maana wanamsifia kwa nyimbo zake za upuuzi lakini hawaendi kwa harmo anoimba vizuri na tatizo bongo hawaendeshi mziki kwa kunufaika wanaendesha mziki kwa ufitna ndo maana mziki wao haukui kama huku us kuna wanamuziki zaidi ya 100 na hakuna upuuzi wa uteam wala machawa lakini bongo wapo kidogo tu lakini wamejawa na chuki upuuzi tu

  • @gipsonstivin864
    @gipsonstivin864 ปีที่แล้ว +4

    Jeshiiiii

  • @mmaunasaiderachide5384
    @mmaunasaiderachide5384 ปีที่แล้ว +6

    We muanago weewe Noma mpaka mozambique

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 ปีที่แล้ว

    Lunya pamoja Sana konde boy jeshi

  • @blackblue9729
    @blackblue9729 ปีที่แล้ว +1

    Sema watangazaji mue munajua kati ya hip hop na rapp

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 ปีที่แล้ว +1

    Tuko na ww sambamba apa usa tuna kukubali

  • @azizizizo8390
    @azizizizo8390 ปีที่แล้ว +1

    Harmonize jeshhiii

  • @ibrahimothman3191
    @ibrahimothman3191 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana runya

  • @mmaunasaiderachide5384
    @mmaunasaiderachide5384 ปีที่แล้ว +3

    We muanago weewe Noma mpaka mozambique