Mwanzo mwisho kifo cha Mtendaji Msumi, Wananchi wafunguka, Polisi yawanasa watatu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 3 ปีที่แล้ว +10

    Mara nyingi viongozi wengi wenye msimamo wa kuzingatia haki uwa awadumu kbs ktk nchi hii poleni sana wafiwa mungu awape roho ya uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana Wafiwa Allah ndie Hakim wa Haki

  • @isayatarimo7062
    @isayatarimo7062 3 ปีที่แล้ว +6

    Hatari,watendaji tunafanya kazi ktk mazingira magumu sana,,mungu ailaze roho ya mtendaji mwenzetu mahali pema

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 2 ปีที่แล้ว

    Kiukweli kupata Vituo vya Polisi ni muhimu sana kwa sehemu km hizi zote nchi nzima!

  • @neemakimali1617
    @neemakimali1617 3 ปีที่แล้ว +4

    Kevin huyu huyu jaman mtumishi wa Mungu jaman nimeumia sana sana waliofanya hivyo Mungu atashugulika nae

    • @adamshaban2697
      @adamshaban2697 3 ปีที่แล้ว

      Poleni sana wafiwa kwani kifo Cha mtendaji huyu kiwe Kama somo kwa watendaji waserikali za vijji nchi nzima kuwa na ulinzi masaa 24

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana jamani ila msivunjike Moyo tupo Vitani mmoja akianguka mwingineo ashike bendera Vita viendelee! Inasikitisha sana kiukweli, 😢💔💔

  • @consolathambuya2239
    @consolathambuya2239 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah!😭😭😭😭 Ee Mungu uonae sirin hukumu zako ni za Haki😭😭🙏🙏

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 2 ปีที่แล้ว

    Inna lillah wainna ilahi rajiun aende kwa Amani 🤲alikua mpigania Hakki na waliofanya ivyo hawatakua na Maisha tena wala wasijidanganye!

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbona mambo kama haya kipindi cha magufuli hayakuwepo? Je mungu ametuacha?

  • @okejapan7643
    @okejapan7643 3 ปีที่แล้ว

    Nafikiri ingekuwa vizur kuficha sura za hawa wanaohojiwa kwa ajili ya usalama wao. Maana kuweka sura zao hadharani namna hii kwa matukio ya kutisha hivi ni sawa na kuyaweka maisha yao hatarini. Ni mawazo yang tu lkn.

  • @lydiachembe9376
    @lydiachembe9376 3 ปีที่แล้ว

    Duh jaman mungu tusaidie

  • @abdallahluwena3571
    @abdallahluwena3571 3 ปีที่แล้ว +2

    Innah illah wa innah lilah rajiun.pumzika kwa aman

  • @josephmwanyika8300
    @josephmwanyika8300 3 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana familia 😭😭😭😭

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo tunafanya kazi kienyeji

  • @raphaelmhina29
    @raphaelmhina29 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @evamethod7031
    @evamethod7031 2 ปีที่แล้ว

    Polen san wananduqu

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 3 ปีที่แล้ว +1

    Binadamu niwabaya sanaa😭😭

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh bahati zuri anapopiga kelele!

  • @emmanuelmabula1686
    @emmanuelmabula1686 ปีที่แล้ว

    Mimi mwenyewe mhanga tunaonewa xn na hawa watendaji wa mitaa

  • @medyhassan2
    @medyhassan2 3 ปีที่แล้ว +2

    Maisha haya du kwani dada akuwagundua kinanani hao wanaroho mbaya sana

  • @sigifridishirima5690
    @sigifridishirima5690 3 ปีที่แล้ว

    Poleni jamani wafiwa😭

  • @abdallahfances693
    @abdallahfances693 3 ปีที่แล้ว

    Watanzania Bhana Kuna Tukio La Kifo Mwenyekiti Anaulizwa Habar Anajibu Nzuri

  • @robbemanase9051
    @robbemanase9051 3 ปีที่แล้ว +1

    I hope the crime scene ilikua protected na processed maana naona waandosho wengi wameruhusiwa ingia ndani na kupaonyesha .
    Uchunguzi unaweza kuwa usiwe mgumu sababu watuhumiwa wamesha acha traces nyingi , moja wapo ni communication kati ya huyo dada aliye pigiwa simu , so itakua rahisi sana kujua motive ni nini na hapo ndio itawezesha kuanza saka wahusika wa tukio hili.

  • @babawawiltegamaso4367
    @babawawiltegamaso4367 3 ปีที่แล้ว

    hii ndio tz yetu ukitenda haki ww ukisema kweli ndo hv

  • @emmanuelmabula1686
    @emmanuelmabula1686 ปีที่แล้ว

    Yafe tu yanaonea watu xn

  • @gasperelasto8208
    @gasperelasto8208 3 ปีที่แล้ว

    Mh!

  • @edigajoseph5130
    @edigajoseph5130 3 ปีที่แล้ว

    Mna onea watu sn Labda itasaidia kufanya kazi zenu kwa weledi.

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 ปีที่แล้ว

    Camera za matukio muhim.ulizi wa askari muhim

  • @shabanismail7762
    @shabanismail7762 3 ปีที่แล้ว

    Mh. Hii no dunia